Part1_USHUHUDA WA VIKII KAMCHAPE ALIYEKUWA MCHAWI MKAMaTA WACHAWI CONGO-KIGOMA
Вставка
- Опубліковано 27 лис 2024
- JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuchangia kila mwezi jiunge na magroup haya hapo chini na kama unataka kuchangia mara moja tu tumia namba ziko hapo chini :-
1.JS01-Kuanzia Tsh.2,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp....
2.JS02-Kuanzia Tsh.5,000 kila mwezi,bonyeza link hii chat.whatsapp....
3.JS03-Kuanzia Tsh.10,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp....
Namba za mawasiliano na kuchangia pesa ni: +255784074462 / 0766294335 jina ni Jacktan Msafiri
#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV
Hapo ndo utajua kuwa kumwamini Bwana Yesu ni njia sahihi.
Yaani nje ya Ukristo ni moto tu
Anaelezea vizuri Mungu amlinde kutokana na Yule mwovu juu ya kutoa Siri hii in Jesus name
Amen
Barikiwen sana Mzee wetu anaelezea vizuri
Tuned in from Kenya
Bwana Yesu asifiwe watumishi.....naomba mtumishi wa Mungu aongeze sauti kidogo. Mbarikiwe sana
Amen
Watching from UAE
Watching from Lebanon 🇱🇧 mbarikiwe nyote
Zaburi 104:16
@@victorkomba1748 muombe jacktan tutakuchangia utapata hela ya vitabu na movies
Hivi Lebanon kunayo makanisa? Na kama hakuna wakristo inakuwaje?
@@sarahmsangi7243 makanisa yako mengi lkn Catholic sio ya kiroho
@@hebronsdaughter1661 kwahyo wpentekoste lakini wapo hata kama nikwa uchache,lebnoni wnaongea lugha gani?hivi waarabu huwa hawana ubaguzi kama wazungu? Elimu ya huko kuna levo zote kama huku?,
Watching from, Holland
@@odemarypeter4935 God bless you too
Niko tuned in kutoka kenya
Glory to God
Mtumishi basi andika kitabu usije ukasahau
Huko karemi Congo ni kunoma
Tuwaishie mwendelezo kaka
Mimi nashare shuhuda hizi kwenye TikTok sikujua hairuhusiwi.samahani.
Kamchape si na yeye ni Mchawi tu,Ee Dunia hii kazi kweli kwelo
Powerful
Tuned from athens
Watu wabaya Jamani wanataka wale kwa mgongo wa Promover Tv duuh
Mie huwa napenda nidownload ni share na ndugu wasiopata Mb kuona youtube waokoke au wajengwe,lakini huwa ni ngumu mno kupata ushuhuda wote
Toka Canada siachi kuwafuata
Sound zenu nimbovu mjikaze kurekebisha.
Kzimba kama madhabau yaani mkoba wenye madawa Bira hiyo hufanyi kitu😁😁😁
>
Sasa Katoliki mtu akiacha uchawi hawawezi kumuombea akawa Delivered??maana Wanasema nao Wananguvu ya Mungu kumwezesha mtu asimame Imara
Hawana nguvu hiyo
Kuna sista aliwahi kupigwa na mapepo gafra katikati ya ibada wakamtoa ibada ilivoisha wakamwekea kikao kumuonya eti kazalilisha kanisa tabia Gani ya kupagawa kanisani akawa hajielewi yule sista yalio tokea pare ibadani wakamuacha tu😔😔😔
@@messikihongosi5290 usiseme kitu usichokijua
@@eneamathew6432 eleza unachojua mwenzetu