WATEKAJI, WAUAJI WAMEPATA HAMASA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 вер 2024
  • Watawala wameturahisishia kutambua watekaji ma wauaji

КОМЕНТАРІ • 25

  • @MercyMbonde
    @MercyMbonde 2 години тому +3

    Mungu atusaidie

  • @LensonMwaigombe
    @LensonMwaigombe Годину тому +2

    Daa! Kuongoza ni rahisi sana ,lakini ukizungukwa na washauri wabaya uongozi ni kazi ngumu.

  • @philemonkafyulilo7128
    @philemonkafyulilo7128 47 хвилин тому +3

    Wanajukikana tumeambiwa tuko vizuri kwenye intelijensia iweje tuseme kunawasiojulikana

  • @AmisiLulacha
    @AmisiLulacha Годину тому +2

    Watekaji ni serikali

  • @WillyJohny
    @WillyJohny Годину тому +1

    Mungu akulinde comrade

  • @Didaskamili
    @Didaskamili Годину тому +4

    Kila lenye mwanzo lina mwisho

  • @FrenkMushi-i7f
    @FrenkMushi-i7f Годину тому +2

    Ao ccm ndo wanao tuuwaa asee nimeamini baad ya kauli ya mamaa

  • @StevenGendo-vx9jo
    @StevenGendo-vx9jo 30 хвилин тому

    Wana enjoy Sana warekaji maana wana ulinz wakutosha mbwa Hawa lakn wakumbuke mungu niwetu site, ukiua kwa upanga lazima ufe kwa upabga

  • @rashidkihunga2938
    @rashidkihunga2938 9 хвилин тому

    🎉🎉🎉🎉yako ngurumo

  • @ajmstationery6157
    @ajmstationery6157 48 хвилин тому +1

    Asante

  • @EstherSamwel-vk4wb
    @EstherSamwel-vk4wb 2 години тому +1

    😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @jeremiahblazio4781
    @jeremiahblazio4781 20 хвилин тому

    Du! Yaani ukitoa taarifa unageuka mharifu

  • @personpeter2221
    @personpeter2221 43 хвилини тому

    Mm nahisi watekaji ni wasiojulikana nahao watu bora uktane na simba

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 27 хвилин тому

    Nini Serikali ? Amir jeshi mkuu katoa kauli ya kiongozi mkuu, Mtawala alishasema Jambo lichunguzwe haraka watu wakaja na agenda yao ya kisiasa na mtazamo tofauti, sijui jema ni lipi,ila wanasiasa ndioo washutumiwa namba moja kwa kuchochea kufa kwa Raia 😢 tusilaumu Serikali tu bali kauli mbaya za viongozi wotee wa kisiasa

    • @philemonkafyulilo7128
      @philemonkafyulilo7128 3 хвилини тому

      @@ameirzapy1318 mfano rais angesema vyombo vyangu vya usalama hao waliopotea haraka waonekane msinichafue na serikali yangu hivi ni kweli hawengetolewa waliko ? Lakini unaposema haya yanayotokea hata nchi nyingine yapo bado jibu la waliopetea halijatoka sisi wenye ndg waliopotezwa tunakuwa tumefarijiwa? Naona maneno ya faraja yalikuwa ya muhimu zaidi ambayo huyapati kwenye hotuba ile

  • @patricklameck2425
    @patricklameck2425 Годину тому

    Hata ambaye hajasoma uko biased kwenye negatives ignoring strong points like SGR, bwawa la mwalimu Nyerere. Etc. you are irrational. You can't convince anyone.

    • @marcokaroje8980
      @marcokaroje8980 Годину тому +2

      Hizo SGR,BWAWA LA NYERERE matunda yatatumiwa na nani kama watumiaji ndiyo wanakufa?wewe ndiye una mtazamo hasi maendeleo ni watu siyo miundombinu isiyotumika itakuwa mapambo tu kama watumiaji hakuna afadhali awachimbie makaburi ili marehemu hao wazikwe vizuri😊

    • @sadiqadam7971
      @sadiqadam7971 49 хвилин тому +2

      Hivyo vyote havina maana kama uhai wa binadamu. Omba sana mungu isitokee kwenye familia yako! Jiulize hizo familia za wahanga zinaona hiyo miundo mbinu ni ya maana au wanalilia ndugu zao?

  • @LucasSimba-f2p
    @LucasSimba-f2p 2 години тому

    Nchi inaendeshwa vzr San HatA vyama vingi vifutwe Tu mana vinatetea wahuni na wakoloni