UKRISTO NA POMBE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 159

  • @anjelinamwinga
    @anjelinamwinga 9 місяців тому +13

    Wana wa mungu popote mlipo simameni imara yesu anakuja na malipo

  • @stephenlembo8986
    @stephenlembo8986 9 місяців тому +7

    Ktk Ufunuo anasema nawachukia walevi, wazinzi na waabudu sanamu

    • @jonamnyone8014
      @jonamnyone8014 7 місяців тому

      Si wote wanywao pombe ni walevi. Anaekunywa pombe chupa moja si mlevi ni mnywaji na Biblia haikatazi anywaye kiasi.

    • @NeemaKwingwa
      @NeemaKwingwa 5 місяців тому

      Nyakat zamwisho watu wataipend dunia,ndio haya,tusimame kwamiguu yetu tuachane namanabii yusome sana neno lamungu

  • @HamisFaraji-s2j
    @HamisFaraji-s2j 9 місяців тому +4

    Mwenyezi Mungu tujaalie mwisho uliokuwa mwema

  • @AdamLuoga
    @AdamLuoga Місяць тому

    Mtenda dhambi atende sana mtakatifu azidi kujitakasa siku za mwisho kuzimu ipo kazini

  • @KanalIdrissah-dh5hj
    @KanalIdrissah-dh5hj 3 місяці тому +1

    Tatizo hamjamuelewa mzee ypo sawa

  • @HappyKiteboarder-du9th
    @HappyKiteboarder-du9th 5 місяців тому +2

    Wakristo kama haya ndiyo mafundisho yenu mmh hongereni sana na diniyeni ya mchongo

  • @abelialsen5383
    @abelialsen5383 8 місяців тому

    Mzee anazeeka vby pole sana

  • @marylucy1455
    @marylucy1455 3 місяці тому

    Wana wa Mungu, kimbieni hapo hapana kitu mtaachwa na Yesu Kristo anarudi.

  • @MichaelmotikaLaiser-dl6wm
    @MichaelmotikaLaiser-dl6wm 9 місяців тому +2

    Endelea na konyagi mzee wa bapa

  • @bakariramaddhani5689
    @bakariramaddhani5689 9 місяців тому

    anakubali, anakataa, mzee wa bapa yaliyoujaza moyo...

  • @patrickmakori-y6x
    @patrickmakori-y6x Місяць тому

    Naomba unisaidie

  • @aziziabdulrahman3914
    @aziziabdulrahman3914 9 місяців тому +3

    Mzee me nakuelewa sana wache waseme yao mwaga ukweli ila siku ukitaka kuwa muislam karibu usione haya

    • @esaubakuza2640
      @esaubakuza2640 9 місяців тому +1

      Aje awafudishe kulewa kwenye miskiti yenu, mnaweza kumpa hata semina miskitini mwenu.

    • @Jurbeg
      @Jurbeg 8 місяців тому

      Duu nilikuwa sijui kumbe miislam inaluhusu ulevi kumbe sheh kishki mazinge niwalevi basi lusekelo ata wafaa 😏😏😏😏

  • @nuruemmymkayula861
    @nuruemmymkayula861 5 місяців тому +1

    Nyakati za mwisho hofu ya Mungu itatoweka kabsa

  • @martinkisha6307
    @martinkisha6307 9 місяців тому +3

    Kunywa tu mzee

  • @bishopstephanosaid9205
    @bishopstephanosaid9205 3 місяці тому

    Sababu mjinga mzee

  • @doricesanga9783
    @doricesanga9783 9 місяців тому +2

    Hapo tayari kishalewa

    • @ElshadaiAnthony
      @ElshadaiAnthony 9 місяців тому

      Kuwa mtaarabu kumbuka ana watoto uyo unavo andika ivo unamaana gani

  • @SmilingBuoy-kb1yn
    @SmilingBuoy-kb1yn 7 місяців тому

    Jamani hukumu ya.mwanadamu anaye jua ni mungu ila.wanadamu kazi ni kusema

  • @veronicamnico4773
    @veronicamnico4773 2 місяці тому

    Kunywa baba😢😢ilaa mh

  • @JamalKishangu-p7w
    @JamalKishangu-p7w Місяць тому +1

    Mimi ni Muislamu, huyu jamaa anaijua Biblia. Na hakika anapata upinzani kutoka kwa wachunguji kanjanja.

  • @PeterMagoye
    @PeterMagoye 5 місяців тому

    Huenda kashalewa tiyari

  • @justardzelphine6526
    @justardzelphine6526 6 місяців тому

    Umeishiwa!

  • @PropKibali-f8d
    @PropKibali-f8d 8 місяців тому

    Hautabiriki!

  • @StephanChika
    @StephanChika 3 місяці тому

    Dah mzee nawapa pole walio kaa kuku sikilizeni naona kama hata wewe mwenyewe hujielewi

  • @BonfaceWawire-k6p
    @BonfaceWawire-k6p 5 місяців тому

    anganyikiwa baba

  • @MichaelAbel-s4r
    @MichaelAbel-s4r 8 місяців тому

    Soma lsay 5:11,22, Lk 1:15. Amen

  • @ErnestLule-z7t
    @ErnestLule-z7t 2 місяці тому

    Wagalatia 5:19-21
    19 Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, uasherati, uchafu, ufisadi,
    20 ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi,
    21 husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia mapema, kama nilivyokwisha kuwaambia, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa Mungu.

  • @RafaelyMmbede
    @RafaelyMmbede 5 місяців тому

    Mafundisho ya kipepo ayo mzee wa upako

  • @JescarkarugabaJescar
    @JescarkarugabaJescar 3 місяці тому

    Kaeni makini,haya hayana budi kuwepo

  • @nyimbozakuabudu2650
    @nyimbozakuabudu2650 9 місяців тому

    Unatakiwa uelewe dhambi ni nini ? Dhambi sio kuvunja amri kumi za Mungu pekee ... jaribu kusoma maandiko utaelewa Wagalatia 5:19-21 ,(Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, uasherati, uchafu, ufisadi, ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi, husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia mapema, kama nilivyokwisha kuwaambia, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa Mungu.

  • @joycerichard9274
    @joycerichard9274 5 місяців тому

    Ni nyakati za mwisho

  • @ErnestLule-z7t
    @ErnestLule-z7t 2 місяці тому

    2 Wakorintho 6:14-18
    14 Msifungiwe nira pamoja na wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa; kwa maana pana urafiki gani kati ya haki na uasi? Tena pana shirika gani kati ya nuru na giza?
    15 Tena pana ulinganifu gani kati ya Kristo na Beliari? Au yeye aaminiye ana sehemu gani pamoja na yeye asiyeamini?
    16 Tena pana mapatano gani kati ya hekalu la Mungu na sanamu? Kwa maana sisi tu hekalu la Mungu aliye hai; kama Mungu alivyosema, ya kwamba, Nitakaa ndani yao, na kati yao nitatembea, nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu.
    17 Kwa hiyo, Tokeni kati yao, Mkatengwe nao, asema Bwana, Msiguse kitu kilicho kichafu, Nami nitawakaribisha.
    18 Nitakuwa Baba kwenu, Nanyi mtakuwa kwangu wanangu wa kiume na wa kike,

  • @Onlyforfun1992tube
    @Onlyforfun1992tube 7 місяців тому

    Duh lusekelo atakua anapenda mitungi😂😂😂

  • @yohanamorisi9027
    @yohanamorisi9027 9 місяців тому +4

    Mbona imeandikwa mselewe kwa mvinyo!! MLEVI MKUBWA WEWE

  • @blessingcharles-lc1rr
    @blessingcharles-lc1rr 3 місяці тому

    Amen,

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 4 місяці тому

    Vita vya upinzani wa historia ya Kristo iachwe vibaya tunakataa ktk Jina la Yesu Kristo Aliyehai mbaya sana Tusamehe Tusaidie Yehova tumalize salama. Uchambuzi mwingine hauna lazima mtaua wengi jamani. Si mtulie nayo acheni watu wamalize hivyo wajuavyo. Itawaghalimu na mtajibu kwa ajili ya hao wadogo ambao Yesu Kristo Aliyehai Aliwafia.

  • @BboossBILLY
    @BboossBILLY 4 місяці тому

    Unawachanga sasa

  • @paschalsafari9747
    @paschalsafari9747 5 місяців тому

    Pombe siyo dhambi ..ulevi ndiyo dhambi.

  • @patrickmakori-y6x
    @patrickmakori-y6x Місяць тому

    Naomba uniombee ninamatatizo

  • @lovenessrichard9969
    @lovenessrichard9969 9 місяців тому +3

    Upo sahihi mchungaji....huo ndo ukweli...tena ukitaka kujiona wewe ni Mtakatifu lewa pombe....mambo utakayofanya baada ya kulewa ndio yaliyopo moyoni mwako

  • @edsonmruma4833
    @edsonmruma4833 5 місяців тому

    Kuna kuzidiwa lkn watu wa Mungu waambiwe ukweli.

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 9 місяців тому

    pombe mumehalalishiwa kabisaaa munywe mulewe mpaka muanguke😂😂 nyinyi kila baya mumeingiziwa na waandishi wa kizungu ndipo tunapogundua bibilia sio tabu la mungu Mungu hawezi kuwaamuru machafu

  • @dismaslalubare4196
    @dismaslalubare4196 9 місяців тому +1

    Pombe ni tamu kiukweli

  • @odilomwemeziernest646
    @odilomwemeziernest646 9 місяців тому

    Kuzini kumeandikwa kuwa tusizini,ila ukianza kusema kuhusu kuzini wanaozini watakushambulia kwa kuwa wanafaida nalo,hivo wote wanaomtetea Lusekelo ni kwa sababu Amelita mlemle wanapopapenda.kwenye angle yao.pole

  • @EvelinQueen
    @EvelinQueen 5 місяців тому

    Chukizo la uharibifu limeshasimama mahali patakatifu wana wa Mungu tuwe macho tunakaribia kwenda

  • @agustinohizza1395
    @agustinohizza1395 9 місяців тому +2

    Ni kweli pombe siyo zambi Ila nikisababishi

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 9 місяців тому

      Pombe ni dhambi isiipambe pombe ni kilevi ndomaana biblia imesema walevi hawataurithi uzima WA milele ulevi unatokana pombe na mengineyo nyenye kilevi pombe inakilevi ndani yake wakati biblia inaandikwa hakukuwa jina pombe wara bia konyagi mbege na ulanzi na kitochi maana pombe Ina majina mengi

  • @Elikanashileka
    @Elikanashileka 7 місяців тому

    Bas ipo siku utaitwa kubariki mtaji wapombe

  • @AkimuWaziri
    @AkimuWaziri 5 місяців тому +1

    Vichungajigani hivi?

  • @BatazalNdifwa-nk2hl
    @BatazalNdifwa-nk2hl 4 місяці тому

    Hah hah hah hah! Lusekeloooooooooo! Ok

  • @stevenlugano7888
    @stevenlugano7888 9 місяців тому +2

    Du!! Dunia imeisha

  • @giclifetv-lq8dn
    @giclifetv-lq8dn 5 місяців тому

    Lusekelo unajaribu kuonyesha wewe ni wawapi

  • @desderiushaule4264
    @desderiushaule4264 8 місяців тому

    Soma vizuri biblia mzee wa upako ili ujue habari ya pombe. Mit 23:20-21

  • @CharlesMwaisomola-v9o
    @CharlesMwaisomola-v9o 9 місяців тому

    Dah

  • @norahmike7643
    @norahmike7643 9 місяців тому +3

    Mungu atuhurumie😢

  • @elibarikimeela2761
    @elibarikimeela2761 9 місяців тому

    Tafuta kazi nyingine ya kufanya,,,,, ya uchungaji huwezi.

  • @wilfredlukowo9476
    @wilfredlukowo9476 8 місяців тому

    Mmmmmmmmmmmmmmmm eleza maana ya kosa

  • @samsonmwaipaja4839
    @samsonmwaipaja4839 7 місяців тому

    Aiseyi Hilo ni tatizo la kuwa na waalim wengi Yak 3:1,2

  • @Mgutehekima.
    @Mgutehekima. 9 місяців тому

    Mmh😮
    Ujasiri unatoka wapi huu?

  • @philemonkafyulilo7128
    @philemonkafyulilo7128 9 місяців тому +2

    Kunyweni kanisani

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 5 місяців тому

    Wewe Mlevi wa Kvant mchungaji gani hufai kabisa ndiyo maanavunatetea pombe

  • @richarddavidmk
    @richarddavidmk 5 місяців тому

    Huyu mzee bolt zimekata

  • @davidmalila9221
    @davidmalila9221 5 місяців тому

    Tutawatambua kwa matunda yao

  • @rashidmohamed1949
    @rashidmohamed1949 5 місяців тому

    POMBE IMEKATAZWA
    Walawi 10:8
    Waamuzi 13:3 - 5 usinywe pombe
    Luka 1:15
    Efeso 5:18

  • @kesterkanyala7718
    @kesterkanyala7718 5 місяців тому

    MIMI NAONA,MZEE HUYU...ANAKOSA ZA KUSEMA AU KUFUNDISHA KANISANI MWAKE.
    -AMESHAMKANA HATA,"YESU KRISTU KUWA NI MUNGU"
    -HII SIJUI NI IMANI GANI

  • @shadraachshadinho
    @shadraachshadinho 4 місяці тому

    Jamaa simuelewi kabisa huyu

  • @MsafiriCharange
    @MsafiriCharange Місяць тому

    Ww nimkweli myaminifu

  • @juliusmartin1839
    @juliusmartin1839 5 місяців тому

    Habakuki 2:15 Ole wake yeye ampaye jirani yake kileo, wewe utiaye sumu yako, na kumlevya pia, ili kuutazama uchi wao! Woe unto him that giveth his neighbour drink, that puttest thy bottle to him, and makest him drunken also, that thou mayest look on their nakedness!
    Habakuki 2:16 Umejaa aibu badala ya utukufu; unywe nawe, uwe kama mtu asiyetahiriwa; kikombe cha mkono wa kuume wa BWANA kitageuzwa ukipokee, na aibu kuu itakuwa juu ya utukufu wako. Thou art filled with shame for glory: drink thou also, and let thy foreskin be uncovered: the cup of the LORD'S right hand shall be turned unto thee, and shameful spewing shall be on thy glory.

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np 9 місяців тому

    Wewe Mzee tubu kabla hauja lala usiwapotoshe watu usiitete dhambi kisiasa

  • @benedictmhina4819
    @benedictmhina4819 5 місяців тому

    Kwani mzkosa na dhambi tofauti yake ni ipi hapo?

  • @NeemaKwingwa
    @NeemaKwingwa 5 місяців тому

    Huyu anaejiita mzee waupako kwanza mwenyewe nimlev ndio mana anatetea dhamb tazamen hata liuso lake lilivyo lamtu mlev kabis

  • @KijukuuMtemi
    @KijukuuMtemi 8 місяців тому +1

    Mm muislam ila mzee mambo mengine unaongea ukwel ila pombe haifai ni dhambi na ndo baba wa maasi # na kwa akili ya kawaida tu ukichunguta utaona pombe haifai ina madhara mengi sana

  • @josephinamkono5183
    @josephinamkono5183 9 місяців тому +1

    Hizi ninyakati za ukweli na uwazi

  • @wilfredlukowo9476
    @wilfredlukowo9476 8 місяців тому

    Unajiaibisha

  • @ZENAMHUMBA
    @ZENAMHUMBA 5 місяців тому

    Mtumishi wa shetani huyu

  • @Direct-0000
    @Direct-0000 9 місяців тому

    Siasa izi ...na ushoga nao mnasema si dhambi nao ni kosa kwani dhambi Nini.? Dhambi si Imani dhambi ni kosa huu uhuni mtupu...😮

  • @ErnestTomas
    @ErnestTomas 9 місяців тому

    Amekengeuka

    • @ElshadaiAnthony
      @ElshadaiAnthony 9 місяців тому

      Kuwa mstaarabu ndgu maneno mazito ktka account ya mtu hasa ukizingatia ni mtu mzima uyo

    • @ErnestTomas
      @ErnestTomas 9 місяців тому

      @@ElshadaiAnthony mtu mzima anapotosha neno la Kristo,upumbavu

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 9 місяців тому

      ​@@ElshadaiAnthonymtu mzima haambiwi ukweli?

    • @barakakibuti3324
      @barakakibuti3324 7 місяців тому

      Wewe Bado mchanga Sana wa maandiko tatizo unaongozwa na hisia zaidi na sio ukweli

  • @zachariazachaaa4958
    @zachariazachaaa4958 5 місяців тому

    Pombe ni dhambi

  • @bishopstephanosaid9205
    @bishopstephanosaid9205 3 місяці тому

    Sasa mzee unaipamba dhambi rangi dah pole heri mwisho wa jambo kuliko mwanzo wake mzee

  • @jumahili8121
    @jumahili8121 9 місяців тому +1

    Mzee wa Upako nimekuelewa. Mtu hataenda jehanum kwa kunywa pombe.

  • @mabondolawrence1812
    @mabondolawrence1812 9 місяців тому

    Feel free

  • @OmaryIddi-d9g
    @OmaryIddi-d9g 2 місяці тому

    Watu wangu wamekua kondoo waliopotea wana wachungaji wao wamewapoteza

  • @JoyceMkini
    @JoyceMkini 5 місяців тому

    Watu wanashangilia kunywa pombe jamani tunapelekwa wapi ? hii injili ya sasa

  • @msemakweli243
    @msemakweli243 9 місяців тому

    Uyu mzee ni mtume wa shetani lkn mkumbusheni yesu anarudi

  • @MichaelJohn-et8mk
    @MichaelJohn-et8mk 3 місяці тому

    Huyu ni mlevi kama walevi wengine kaeni mbali na hiyo roho ya ulaghai

  • @PeterJuliusSabuni
    @PeterJuliusSabuni 4 місяці тому

    Haya bwana yanatokea kwasababu ya kosefu wa ajira yaani huyu mzee ni mpigaji nawaambia jamani, tuweni makini

  • @tiracymbombo5337
    @tiracymbombo5337 5 місяців тому

    hiyo injili yako ina mashaka hakuna ulevi bila bombe.

  • @cliffdenis144
    @cliffdenis144 9 місяців тому

    Walimu wa uongo Hawa tayari wameanza

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 5 місяців тому

    We ni mlevi tu ndio maana unaitetea.

  • @HabibuUrasa
    @HabibuUrasa 9 місяців тому

    Msiposilimu wote mtaishia motoni

    • @denisharris2889
      @denisharris2889 9 місяців тому

      Ifahamu hiyo Dini Yako mpya, uliohamia kabla haujashauri watu waje huko. Isije ikawa uko tayari moyoni Kwa kumkataa Yesu.

  • @amanamani4429
    @amanamani4429 9 місяців тому

    Mmmh

  • @wilfredlukowo9476
    @wilfredlukowo9476 8 місяців тому

    Mlevi hutetea ulevi

  • @johnjohnkipokola5077
    @johnjohnkipokola5077 9 місяців тому +1

    Acha kudanganya watu wakaangamie.

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 9 місяців тому

    Wale ambao wanajiita walokole wa kukaririshwa.ni ngumu kukuelewa.kwa kuwa watakusikiliza lakini hawatakuelewa.wakatoliki tunasema pombe ni mzizi was dhambi wala mapadri hawatoi jasho kuhuniri pombe.Bali neno LA Bwana.unaweza kuwa hunywi pombe lakini mwongo.utapataje kupona.

  • @IjumaaIjumaa
    @IjumaaIjumaa 5 місяців тому

    Wkiristo mnakazi pombe si zambi ila ni makosa ila pombe ni mlango wa shatani sasa zambi ni ipi? Na ushani ni upi? Njani katika wislam na ww mzee wa upako geuza kanisa weka msikiti acha kudanganya watu

  • @Jurbeg
    @Jurbeg 8 місяців тому

    Mwana wajoka yupo kutetea maslahi Yake uku dhamila iki msuta anajua anacho kifanya ila hana namna amesha fika mbali sababu ya tamaa mbaya sawa ila haichelewi atakukuta MUNGU wa moses kulola 😢😡

  • @MichaelAbel-s4r
    @MichaelAbel-s4r 8 місяців тому

    Biblia inakataa pombe Moja Kwa Moja,wewe una agano la pombe toka kwa shetani,wewe na wote wanaokunywa,kumpa kileo,kulewa,kutapika,kuanguka wote jehanamu.

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 5 місяців тому

    Biblia haijakataa pombe je matendo ya pombe he sijui jamani

  • @EBENEZEREMMANUELtv
    @EBENEZEREMMANUELtv 9 місяців тому +1

    HABAKUKI 2:15 ole wake yeye ampae jirani yake kileo

  • @laurianogerold5129
    @laurianogerold5129 9 місяців тому +2

    Kunywa pombe sio dhambi ila ni makosa, kwani kosa sio dhambi? Danganya watu tu

    • @titokwareh1852
      @titokwareh1852 9 місяців тому

      Sio lzm. Dhambi Ni zile zilizomo kwenye amri 10 za Mungu. Ndo maana anakuambia pombe sio dhambi

  • @samwelndaki201
    @samwelndaki201 9 місяців тому

    Wewe umekwisha sababu ya. Fedha zako

  • @rajeshndola
    @rajeshndola 9 місяців тому +1

    Kweli we mzee mwezangu acha tu kuhubiri maana hata wanaokusikiliza wamepigwa upofu pombe ni dhambi.

    • @GeofreyKalo-ot3we
      @GeofreyKalo-ot3we 9 місяців тому

      Dhambi ya pombe ni ipi kwani nikinywa bia 2 ninadhambigani wapi imeandikwa pombe ni dhambi mmekaririshwa mahubiri ya wachungaji wenu bila kushika neno la mungu

    • @FrancisMsemwa-z6r
      @FrancisMsemwa-z6r 9 місяців тому

      Mimi sinywi lifike mahala tuone mnywajj nimdhambi twajidanganya sana. Basi dhambi itakayowapeleka motoni nifedha tafakari mapato yako kwaupana wa dhambi tuone uko salama anza nyumbani kwako kwanza. Afu toka inje

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 9 місяців тому

      ​@@FrancisMsemwa-z6r🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤😅😅😅😅

    • @nyimbozakuabudu2650
      @nyimbozakuabudu2650 9 місяців тому

      ​@@GeofreyKalo-ot3we​ unatakiwa uelewe dhambi ni nini ? Dhambi sio kuvunja amri kumi za Mungu pekee ... jaribu kusoma maandiko utaelewa Wagalatia 5:19-21 ,(Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, uasherati, uchafu, ufisadi, ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi, husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia mapema, kama nilivyokwisha kuwaambia, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa Mungu.