Kwanini mwanadamu hawezi kutii maagisho yamungu mkiristo kuwangalia kitabu Cha mwanzo kuwanzia Moja na kutafakari njia za mungu ilikuithi ufalme wamungu ❤
Bwana Sule, unadai umesoma saaaana lakini naona huielewi dini ila kichwa yako imejazwa uarabu na chuki kwa wayahudi bandia wazungu. Kwanini niseme hivi? Kama kweli umesoma hayo yote kikamilifu, ungelijuwa kwamba muyahudi kamili ni mtu mweusi na Canaan haipo kule wazungu wanatuonyesha ila ndani ya "middle east" ki geography wala si middle east ya kubandikwa na wazungu na waarabu. Kama unatumia kichwa chako mzuri, utaitaje inchi haipo hata ndani ya tropics eti middle east? Je, Halafu inchi ziliopo kwa equator unaziita nini wewe ? Hivi punde Tu Russia imeutoa ushahidi uliyofichwa kuonyesha wayahudi walikuwa weusi. Misri yenyewe ilitawaliwa na watu weusi kwenda Hadi huko kupakana na Babylon. Yesu alikuwa kujificha ndani ya watu weusi. Ulisikia wapi utamchukuwa mbuzi mweupe kuficha ndani ya zile nyeusi? Hata kule Roma kuna black Samantha. Kulingana na bibilia, kuna wayahudi kadhaa wametajwa au kuonyeshwa kuwa weusi.Hawa hawa watu weusi ndiye waliyokuwa wakipigana vita na waarabu,waroma na wagreek na wewe hapo ndipo unausaliti uafirika wako kumtumikia mwarabu na kumsifiya kwa uovu. Tafadhali elewa kwamba miaka Mia inne tangu wazungu na waarabu kuleta utumwa Africa imekamilika. Niwakati ujikomboe kujielewa na kutupiliya mbali dhana za kiarabu. Taifa teule ni mtu mweusi peke Yake na hivi karibuni dhana zenu za sijui aqsa aqsa aqsa kilawakati utawaporomoshea vita Hata hizi vita mnaotangaza zianzishe na mchapwe kabisa kwani mungu amekwisha wapa watu wake upanga wakuwanyorosha waliyokuwa vinara vya utumwa wao. Mzungu atawagonganisha waarabu na wazungu kutwangana nao waarabu na washirika wao watachokoza mtu mweusi kulipuzia kisasi kwa kisingizio eti wanashirikiana Na wayahudi wazungu. Hapo ndipo mungu atawawapa waafrika nguvu ya kuwalima waliyowapeleka utumwani maana atawaruhusu kutumia upanga. Huu ni utabiri uliyopo, waja na utakamilika hizi karibuni Tu maana tayari kisingizio baina ya muarabu na muzungu kipo na kinashughulikiwa. Viva Africa. Viva mungu mkuu WA taifa takatifu la mwafrika. Down with fake Jews. Down with terrorists killing fellow Africans. Down with Arabs! Mungu akubariki ujielewe
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
@@ivanbusumbiro6429Ndiyoo Maandiko yanasema Mwishoni YESU atashuka na Farasi mweupe kuja kuamua Vita ya Almagdonia na hapo Kila Goti litapigwa na Kila Ulimi utakiri kwa YESU kuwa huyu ndiye masihi Mwana wa MUNGU.
Unapoteza muda Kwa kupotosha na kuyafundisha Maneno ya Mungu sivyo -Kichwa Cha Mwili ni Kristo mwenyewe-wamvunjia heshima mwenyewe Kwa kulopoka kama hukuwahi kujazwa na Roho,umelogwa na nani!. Amen
Huyu jamaa simfuatiliagi kabisaa sijui ila leo nimemsikiliza mwanzo mwisho Kuna mambo kaongea pointing saana fuatilia history utayajua hayo na ni kweli mwaka Jana Israeli wametunga Sheria ukimtaja Yesu ni jela na mengine mengi saana
Hamna taifa la Mungu hapa duniani. Ile nchi ya Israel ni nchi tu kama nchi nyingine haina umaalumu wowote. Mungu na haki yake hawezi kuendelea kuji-identify na taifa ruthless kama lile. Mungu hana fahari ktk unyama na uonevu wa israe. Kuendelea kumuhusisha Mungu na taifa kandamizi, onevu kama lile ni kufuru tu. Mungu anayeagiza na kusimamia haki hawezi kuwa kipenzi cha wakoloni
Mzee wa upako umejitaid kufundisha ila wayahudi watamwamini yesu baada ya unyakuo wa kanisa. Soma warumi 11_ Aya ya 25. Ila waweza soma sura ya 11 yote.
@@vincentcharles4385 mimi sitomtukana mzee wako najua kwangu ni point... huenda ukawa ibilisi anaetafuta point kwamba amesababisha nikatukana, ila kama wewe ni mtu,,, jidhanie wewe si mtukanaji alaf mtu anakutukania mama na babako just think ila kama ni mwehu au mhadarati potezea tu.. mimi spati faida kutukana, usisema wewe ni mtu wa mungu umechukia nimesema yesu ni WANTED huo ni ukweli ndio maana ni marufuku kumtaja,,, so ungekuwa unajua kitu ungenikosoa lakini huna zaidi ya matusi angekuwepo hapa angekuunga mkono??
Wayahudi asilia sio watu wa hivyo , hata mavazi yao ni modestly ...Hao mazayuni ndio wa hovyo chini ya agenda yao ya Great israel ...Wayahudi hata unayemuona raisi ya palestina ni myahudi kabisa libadili dini ..
Mzee wa upako unasema myahudi haendi syria,haendi lebanon,hapo sio kweli kabisa,Golani ni syria ambayo israel inakalia kimabavu, ramani yao impya ni mpaka Saudi Arabia ,Jordan na labanon
Uko sahihi kabisa.kuhamishia makao makuu Jerisalem ni dalili kabisa za kubomoa msikiti huo .ule unabomolea nina uhakika ..na wameshajipanga ni muda tu unasubiriwa
Mambo hayo yako dhahiri kabisa , hapa ndio maandiko mengi yatatimia ...wanachofanya ni kuwamaliza wapalestina makusudi sio bahati mbaya mpaka msikiti watavunja.
Maya HUD walimsaliti mwenyezi Mungu baada ya kuombewa na nabii musa na walikuwa vyakula vya peponi lakini baadaye alipoenda musa kuchukua amri sheria kwa mwenyezi Mungu alipo rudi akakuta mayahudi wanaabudu ndama sio tena mwenyezi Mungu wa musa aliye umba mbingu na aridhi na wakati walikubali Mungu wa musa ndo Mungu wa kweli musa alipo yakuta yale alichukizwa sana kisha mwenyezi Mungu akasema mmesahau mlicho niahidi kipindi mkiwa na dhiki kule misiri
Waislam acheni kufatilia mambo ya kikristo hayawahusu mbona mnapenda kufatilia mambo yetu mkitaka kupata uzima wa milele kama sisi njooni kwa YESU KRISTO awe Bwana na mwokozi wetu sote.
Sawa ndio lakini mjomba ila hayo ya kwako ni kama uchukue Nyama ya umbwa halafu uipike na viungo ili ifanane na ladha ya Mbuzi ndio kilicho fanyika ndio maana unaona vitu kama “Masii Dajal “ lakini mambo ipo huku
12:33 mkuu unawaumizi vichwa watakudhani umekula TENDE kutoka gaza edited: nawambia hivi alivyo andaliwa ibilisi ni sawa na alivyo andaliwa Israel kama unambariki Israeli wengine wanambariki ibilisi... 👈 kweli iyo niite muongo nikupe ushahidi
Kisha nikaona mbingu mpya na nchi mpya; kwa maana mbingu za kwanza na nchi ya kwanza zimekwisha kupita, wala hapana bahari tena. Nami nikauona mji ule mtakatifu, Yerusalemu mpya, ukishuka kutoka mbinguni kwa Mungu, umewekwa tayari, kama bibi-arusi aliyekwisha kupambwa kwa mumewe. Nikasikia sauti kubwa kutoka katika kile kiti cha enzi ikisema, Tazama, maskani ya Mungu ni pamoja na wanadamu, naye atafanya maskani yake pamoja nao, nao watakuwa watu wake. Naye Mungu mwenyewe atakuwa pamoja nao. Naye atafuta kila chozi katika macho yao, wala mauti haitakuwapo tena; wala maombolezo, wala kilio, wala maumivu hayatakuwapo tena; kwa kuwa mambo ya kwanza yamekwisha kupita. Na yeye aketiye juu ya
Hayo unenayo Muhammad alikwisha tuelezea tangu karne ya 3 na koran au waislamu tunaposema issa mwana wa maryam hajafa wala hajasulubiwa bali alipaishwa mbinguni tunamaana kubwa
Mzee, upako Leo umekaa viziri sana. Ila point ya mwisho kwamba yesu atatawala miaka 1000, watakatifu wa bwana watakua mbinguni. Kifungo Cha shetani kitakua duniani ambapo waovu wote watakua wamekufa wakisubiri ufufuo wa pili baada ya hio miaka 1000 ambayo watakatifu wanakua mbinguni, watafufuliwa kwa ajili ya hukumu pamoja na shetani. Ndipo uovu wote baada ya hukumu hio ya waovu pamoja na shetani utakapokwisha kabisa na Dunia itasafishwa na kua shwari tena. Hapo ndipo watakatifu waliokua mbinguni kwa miaka 1000 watakaposhuka kuishi katika nchi mpya na mbingu mpya. Milele na milele. Rejea ufunuo 21
Labda WA Islam WA kwenu muislam gani ana urafiki na uyahudi mpaka amuelezee mambo ya yesu? Allah anatuambia Sisi sio marafiki WA WA Kristo wala WA mayahudi mana nyie ni marafiki nyinyi kwa nyinyi
Sisi Waislamu tunaamini kuwa Yesu Hakuuwawa, bali Mungu alimnusuru kutoka katika makucha ya Umauti ... Tuulize Waislamu... Usisikie yanayosemwa juu yetu..
@@martinmkoba361 Ni maneno ya Mungu wetu sote pamoja na Yesu/Issa Mwana wa Mariamu... Hakuwa Yesu isipokuwa ni Mtume kwa Wana wa Israeli kama inavyotaja katika kitabu chenu YOHANA 17:3 ....
Mayahudi wahamwamini yesu kabisa, alaf wanasema katika torati dini inayosujudia sanamu ni bora achinjwe...yan hawaamini kabisa ukristo...Alaf waarabu wapo wengi tu wakristo kama lebanoni pupulation kubwa ni wakristo japo ni Waarab na nchi zote za kiarab zina wakristo wengi yeye muyahudi anapigana na dini zote hzo anasema dini ya kweli ni uyahudi na torati ni kitabu cha mwisho. Mussa ndo Nabii yao.
Mzee wa upako uko sahihi kabisa Yesu Kristo akutunze
Ahsante BABA yetu CHIEF kwa mahubiri mafundisho mazuri Ameen
Safi baba.huwa nakuelewa sanaaaaaa.miaka ming kwako
Anthony lusekero nakupenda sana kwa uwalimu wako unakuja sana kufundisha
Nakukubali mzee wa upako. Wape wembe wanyoe. Israel ni taifa la YEYE.
Kwa kweli sisi hatuna la kusema zaidi tushikeni jembe tukalime. Well said
Leo NIMEFURAHI SAAANA....UMENENA VYEMA SANA...hasa mwishoni.
Ahsante.... Asalam aleykum
Nimelielewa vzr hili somo , Mungu akuinue
Napataga amani sana kukusikiliza mzee wa upako.
Upo sahihi mzee wa upako.
Lu! We mzee.mm ni mwislamu lakini nakuelewaga bhn👏🙏
Kwakweli mzee wa upako upo sahihi sana.
Kwanini mwanadamu hawezi kutii maagisho yamungu mkiristo kuwangalia kitabu Cha mwanzo kuwanzia Moja na kutafakari njia za mungu ilikuithi ufalme wamungu ❤
Bwana Sule, unadai umesoma saaaana lakini naona huielewi dini ila kichwa yako imejazwa uarabu na chuki kwa wayahudi bandia wazungu.
Kwanini niseme hivi? Kama kweli umesoma hayo yote kikamilifu, ungelijuwa kwamba muyahudi kamili ni mtu mweusi na Canaan haipo kule wazungu wanatuonyesha ila ndani ya "middle east" ki geography wala si middle east ya kubandikwa na wazungu na waarabu. Kama unatumia kichwa chako mzuri, utaitaje inchi haipo hata ndani ya tropics eti middle east? Je, Halafu inchi ziliopo kwa equator unaziita nini wewe ?
Hivi punde Tu Russia imeutoa ushahidi uliyofichwa kuonyesha wayahudi walikuwa weusi. Misri yenyewe ilitawaliwa na watu weusi kwenda Hadi huko kupakana na Babylon. Yesu alikuwa kujificha ndani ya watu weusi. Ulisikia wapi utamchukuwa mbuzi mweupe kuficha ndani ya zile nyeusi? Hata kule Roma kuna black Samantha.
Kulingana na bibilia, kuna wayahudi kadhaa wametajwa au kuonyeshwa kuwa weusi.Hawa hawa watu weusi ndiye waliyokuwa wakipigana vita na waarabu,waroma na wagreek na wewe hapo ndipo unausaliti uafirika wako kumtumikia mwarabu na kumsifiya kwa uovu.
Tafadhali elewa kwamba miaka Mia inne tangu wazungu na waarabu kuleta utumwa Africa imekamilika. Niwakati ujikomboe kujielewa na kutupiliya mbali dhana za kiarabu.
Taifa teule ni mtu mweusi peke Yake na hivi karibuni dhana zenu za sijui aqsa aqsa aqsa kilawakati utawaporomoshea vita Hata hizi vita mnaotangaza zianzishe na mchapwe kabisa kwani mungu amekwisha wapa watu wake upanga wakuwanyorosha waliyokuwa vinara vya utumwa wao. Mzungu atawagonganisha waarabu na wazungu kutwangana nao waarabu na washirika wao watachokoza mtu mweusi kulipuzia kisasi kwa kisingizio eti wanashirikiana Na wayahudi wazungu. Hapo ndipo mungu atawawapa waafrika nguvu ya kuwalima waliyowapeleka utumwani maana atawaruhusu kutumia upanga.
Huu ni utabiri uliyopo, waja na utakamilika hizi karibuni Tu maana tayari kisingizio baina ya muarabu na muzungu kipo na kinashughulikiwa.
Viva Africa. Viva mungu mkuu WA taifa takatifu la mwafrika. Down with fake Jews. Down with terrorists killing fellow Africans. Down with Arabs!
Mungu akubariki ujielewe
Daaa father nimekupata vema sana
Uko sahihi saana,uko sahihi history imekaa vzr kwako
Shalom.kuhusu historia ya wayahudi na ile habari ya Mungu ni mmoja si nafsi 3. Kweli nakukubali. Kuwa umtumishi wa kweli.
Acha kusifia umpufu wew
Asante umeeleweka baba
Kwa nini mnapiga hayo magita gita????Tunataka kusikia taarifa
Well explained Pastor
Hii kichwa ni hatariiiiiiii,
Hii ndio maana halisi ya CHIEF
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Big up sana, nakuaminia!!!¡
Nabii wa uongo haendagi sehemu waliopo watu masikini. Maana huko hakuna hela.piga kazi mtu wa Mungu.
Eeh miamala isomeke 😂😂
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
Acha kutetea hao wauwaji WA manabii washalaniwa sana Pepo hawatoipata pia walitaka kumuuwa yesu mungu akamnusuru
Walimua mpaka Yesu Kristo
@@lulanjamd3886sio yesu tu hata mtume pia walimtilia sum Ili afe
Wewe unesikiliza sawsawa au ulikuwa unasikiliza jambo la kuku fariji
Ndonimeshangaaaa😅😅😅😅@@mwlpierre
Walimuua sio walitaka..
Asilimia kubwa anaongea ukweli Ila kwakua hampendi ukweli mnahisi kamavile ameegamia kwawaislamu huo ndio ukweli japo hamuutaki
Kumuabudu yesu tena 😮mzee waupako unapatiaaa alafu unaharibu tena😢
Ananichanganya hapo mwishon
Kwenye alimagdon unanichangany
@@ivanbusumbiro6429Ndiyoo Maandiko yanasema Mwishoni YESU atashuka na Farasi mweupe kuja kuamua Vita ya Almagdonia na hapo Kila Goti litapigwa na Kila Ulimi utakiri kwa YESU kuwa huyu ndiye masihi Mwana wa MUNGU.
Nakupenda sana wajina wangu
Mkiristo wakwanza kumsikia anaongea point. 👏👏
Saw mtume wako alioa mtt wa miak 6
@@FranceYohana-eg5zd afadhali yeye kaoa Kuna wengine mashoga wanaoana jinsia moja na ndoa zunafungwa kanisani
@@AziziRajabu-mv8jz Vp askari wa zenj yule aliolewa kanisan?
@@FranceYohana-eg5zd ulimuona msikitini
@@AziziRajabu-mv8jz Sehem zenye waislam weng zinaongoza kwa Ushoga
Safi sana mzee wa upako Mungu akubalik
Moja ya maswal ambayo niliwahi kuwaza sana, nikuusu chukizo la uharibfu kasimama mahari patakatifu. Leo nimepata jb lake
Pole sana wala chukizo la uharibifu halina maana hiyo aliyosema
Hujapata jibu kabisa
Ahsante kwa kuwakumbusha malofa wanaosema Palestine wapigwe
Du nimeilewa sana
Hatari
Asante mwalimu mkuu
Ttzo wwe n mkweli Sana mzees👏👏👏
Hujui
uyo ndio Antoni namufahamu Sana toka 2001 kibangu maeneo ya homeck ni ticha Safi sana
Leo nimekukubali kweli wewe ni nabii
Njo uwaone wa kristu wanavyo funga na kuwa ombea wayahudi kwa hi vita yani wakristu weng ni wehu sana
Ehh sababu yesu ni myahud hapo ww kilaza Hujaelewa nn?
Ndivyo dini yako inavyo kufundisha kutukana watu
Unapoteza muda Kwa kupotosha na kuyafundisha Maneno ya Mungu sivyo -Kichwa Cha Mwili ni Kristo mwenyewe-wamvunjia heshima mwenyewe Kwa kulopoka kama hukuwahi kujazwa na Roho,umelogwa na nani!. Amen
Huyu jamaa simfuatiliagi kabisaa sijui ila leo nimemsikiliza mwanzo mwisho Kuna mambo kaongea pointing saana fuatilia history utayajua hayo na ni kweli mwaka Jana Israeli wametunga Sheria ukimtaja Yesu ni jela na mengine mengi saana
Kweli leo Nami nimeona kaongea ukweli,ila israel ndio hii hii hakuna nyingine Bali kizazi kitabadirika
mimi mwenyewe kunakitu nimejifunza@@oigenmwaya6018
Tulia wwe ujui kityuu
@@oigenmwaya6018hata mimi
Mzee wa upako endelea na ukweli hivyo hivyo
Hamna taifa la Mungu hapa duniani. Ile nchi ya Israel ni nchi tu kama nchi nyingine haina umaalumu wowote. Mungu na haki yake hawezi kuendelea kuji-identify na taifa ruthless kama lile. Mungu hana fahari ktk unyama na uonevu wa israe. Kuendelea kumuhusisha Mungu na taifa kandamizi, onevu kama lile ni kufuru tu. Mungu anayeagiza na kusimamia haki hawezi kuwa kipenzi cha wakoloni
Live. Hao so wenyewe tunadanganywa
Ndo ufahanu wako ulipo ishia
@@isayaamulikeWaafrika tumeaminishwa vitu vingi sn,sisi tukabki tunajiona duni,hii tiukatae kws nguvu zote!!!
Hayo uyasemayo ni haki..tatizo wengi ni maskini wa akili hawafahamu..Kama Israel ni taifa la Mungu. Je Mataifa mengine ni ya nani ?
Mandiko matakatifu yameongelea hayo anayosema mzee wa upako.
Chief🎉🎉🎉🎉
Mzee wa upako umejitaid kufundisha ila wayahudi watamwamini yesu baada ya unyakuo wa kanisa. Soma warumi 11_ Aya ya 25. Ila waweza soma sura ya 11 yote.
9:54 bora uwambie mapema, maana huko Israel Yesu mwenyewe ni WANTED...
ni kheri ashukie GAZA atakabidhiwa mamlaka yote...
Wanted ni mamaako anaefirwa na babaako
@@vincentcharles4385 unanitukana kwa sina vya kukukamata ama?
@@vincentcharles4385 fresh mamangu hajasulubiwa na babangu ni marehemu,,,
unatusi lingine?
@@vincentcharles4385
so wewe huko kanisani unafundishwa kutukana wazee wa wenzako bila kujali ni marehemu au wako hai, na unatoa sadaka?
@@vincentcharles4385
mimi sitomtukana mzee wako najua kwangu ni point...
huenda ukawa ibilisi anaetafuta point kwamba amesababisha nikatukana, ila kama wewe ni mtu,,,
jidhanie wewe si mtukanaji alaf mtu anakutukania mama na babako just think ila kama ni mwehu au mhadarati potezea tu.. mimi spati faida kutukana,
usisema wewe ni mtu wa mungu umechukia nimesema yesu ni WANTED huo ni ukweli ndio maana ni marufuku kumtaja,,, so ungekuwa unajua kitu ungenikosoa lakini huna zaidi ya matusi angekuwepo hapa angekuunga mkono??
Duh sawa
Mungu kawapa Pepo ya Dunia to Pepo hawatoiyona
Sio kweli kwani wako ambao wanashikamana na Torati hao wataiona pepo
Wayahudi asilia sio watu wa hivyo , hata mavazi yao ni modestly ...Hao mazayuni ndio wa hovyo chini ya agenda yao ya Great israel ...Wayahudi hata unayemuona raisi ya palestina ni myahudi kabisa libadili dini ..
Asantee;
Dunia inahamia mashariki Brics hiyo history inaenda kufa
Jamaa hatakagi kupindisha maneno anawachana makavu wale wazee wakuiombea Israel
Nimekuulewa
Lusekelo hakika umebarikiwa kipaji cha utambuz na maarifa
Umeharibu huku mwishoni tena umeharibu mno
Unamakosa mengi juu ya ujio wa yesu...miaka 1000 ni mbinguni.. sio
Duniani ...Bado haujafikia ukweli endelea kuuliza kwa wenye kitabu...
10:40 huu uongo kwangu una maslahi nitaupataje mkuu yani nautafuta kwa garama yoyote..
Soma Biblia kila kitu kimeandikwa
@@samarigm
hicho nnacho kitaka hakimo kwenye biblia
Mzee wa upako unasema myahudi haendi syria,haendi lebanon,hapo sio kweli kabisa,Golani ni syria ambayo israel inakalia kimabavu, ramani yao impya ni mpaka Saudi Arabia ,Jordan na labanon
Nimecheka aliposema Satellite wanayo marekani tuu😂😂😂 ile ya Uganda ni kibwengo labda😂
Fanya utafiti wa kutosha unapozungumzia historical and geopolitical issues
Wewe mwenye utafiti tujuze hapa
🔥🔥🔥
Genius
Israel taifa la Mungu sahihi
tunawaombea amani wasiuwane wanaoumia ni wazee wanawake na watoto
Inafaa wa kuelewe
Israel SI Taifa la Mungu.Mataifa yote ni ya MUNGU MMOJA.
Sio kweli huyu jamaa anapotosha watu
Yupo sawa 100%
Kama hasemi ukweli sema wa kwako
Lete wewe ukweli
Uko sahihi kabisa.kuhamishia makao makuu Jerisalem ni dalili kabisa za kubomoa msikiti huo .ule unabomolea nina uhakika ..na wameshajipanga ni muda tu unasubiriwa
Mambo hayo yako dhahiri kabisa , hapa ndio maandiko mengi yatatimia ...wanachofanya ni kuwamaliza wapalestina makusudi sio bahati mbaya mpaka msikiti watavunja.
Lusekelo ACHA vituko
Wewe ndo hujui
Daa kaongea fact
Kichwa cha maarifa hicho ubarikiwe chief mwantembe miaka 120
Ni kweli maana ukristo ulikuja baada ya yesu kuondoka
Muisrael anakalia kimabavu eneo la Golan Heigh huko Syria na pia sehemu za Lebanon
Maya HUD walimsaliti mwenyezi Mungu baada ya kuombewa na nabii musa na walikuwa vyakula vya peponi lakini baadaye alipoenda musa kuchukua amri sheria kwa mwenyezi Mungu alipo rudi akakuta mayahudi wanaabudu ndama sio tena mwenyezi Mungu wa musa aliye umba mbingu na aridhi na wakati walikubali Mungu wa musa ndo Mungu wa kweli musa alipo yakuta yale alichukizwa sana kisha mwenyezi Mungu akasema mmesahau mlicho niahidi kipindi mkiwa na dhiki kule misiri
Wewe ndo hujamsaliti???
Waislam acheni kufatilia mambo ya kikristo hayawahusu mbona mnapenda kufatilia mambo yetu mkitaka kupata uzima wa milele kama sisi njooni kwa YESU KRISTO awe Bwana na mwokozi wetu sote.
Akili una
Umenena kweli waache kabisa wafuatilie yao
Nimefarijika na mafundisho yako
Ukcklza mzee wa upako na Dr sule maneno yao yanafanana kama sule!
MASII DAJALI HUYOOO ATAKUJA KUWAPOTEZA WATUU.
😂😂😂
Sawa ndio lakini mjomba ila hayo ya kwako ni kama uchukue Nyama ya umbwa halafu uipike na viungo ili ifanane na ladha ya Mbuzi ndio kilicho fanyika ndio maana unaona vitu kama “Masii Dajal “ lakini mambo ipo huku
12:33 mkuu unawaumizi vichwa watakudhani umekula TENDE kutoka gaza
edited:
nawambia hivi alivyo andaliwa ibilisi
ni sawa na alivyo andaliwa Israel kama unambariki Israeli
wengine wanambariki ibilisi... 👈 kweli iyo
niite muongo nikupe ushahidi
Acha kunichekesha
🎉🎉❤❤
Tunaiheshimu Nchi ya Israel ni Nchi takatifu
Vp kuhusu sisi mzee wa upako itakuwaje make apo naskia wapalestina na wayahudi tu😢
Mpinga kristo yupo hata sasa
😅😅 hii video miezi 11 iliyopita leo hii November 11, 2024 Israel wanashambulia lebanon
Kisha nikaona mbingu mpya na nchi mpya; kwa maana mbingu za kwanza na nchi ya kwanza zimekwisha kupita, wala hapana bahari tena. Nami nikauona mji ule mtakatifu, Yerusalemu mpya, ukishuka kutoka mbinguni kwa Mungu, umewekwa tayari, kama bibi-arusi aliyekwisha kupambwa kwa mumewe. Nikasikia sauti kubwa kutoka katika kile kiti cha enzi ikisema, Tazama, maskani ya Mungu ni pamoja na wanadamu, naye atafanya maskani yake pamoja nao, nao watakuwa watu wake. Naye Mungu mwenyewe atakuwa pamoja nao. Naye atafuta kila chozi katika macho yao, wala mauti haitakuwapo tena; wala maombolezo, wala kilio, wala maumivu hayatakuwapo tena; kwa kuwa mambo ya kwanza yamekwisha kupita. Na yeye aketiye juu ya
Yesu ataabudiwa? Au mungu? 🙂
Hayo unenayo Muhammad alikwisha tuelezea tangu karne ya 3 na koran au waislamu tunaposema issa mwana wa maryam hajafa wala hajasulubiwa bali alipaishwa mbinguni tunamaana kubwa
muhamad kazaliwa karne ya 6. ila amewaambia hayo maneno karne ya 3🙌🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hakuna lolote hapa
Nasikia Paul alikuwa mrumi mchungaji.
anawasanua uyo
Mzee, upako Leo umekaa viziri sana. Ila point ya mwisho kwamba yesu atatawala miaka 1000, watakatifu wa bwana watakua mbinguni. Kifungo Cha shetani kitakua duniani ambapo waovu wote watakua wamekufa wakisubiri ufufuo wa pili baada ya hio miaka 1000 ambayo watakatifu wanakua mbinguni, watafufuliwa kwa ajili ya hukumu pamoja na shetani. Ndipo uovu wote baada ya hukumu hio ya waovu pamoja na shetani utakapokwisha kabisa na Dunia itasafishwa na kua shwari tena. Hapo ndipo watakatifu waliokua mbinguni kwa miaka 1000 watakaposhuka kuishi katika nchi mpya na mbingu mpya. Milele na milele. Rejea ufunuo 21
Wewe hujui vizuri bible huyu upoko anajua kweli
Umeruka kutoka wababeli walikuja waamed na waajemi sio wayunani
Wanaoamini yesu kuibiwa sio wayahudi tu hata waislamu wanaamini yesu kaibiwa.eti iyo habari wameambiwa na mayahudi nao wameamini😢😢😢
Labda WA Islam WA kwenu muislam gani ana urafiki na uyahudi mpaka amuelezee mambo ya yesu? Allah anatuambia Sisi sio marafiki WA WA Kristo wala WA mayahudi mana nyie ni marafiki nyinyi kwa nyinyi
@@madawamchuwa8253 acha uongo Quran inasema mayahudi ndio wamewaambia kristo aliwatoroka na wakamsurubisha mtu mwingine
Sisi Waislamu tunaamini kuwa Yesu Hakuuwawa, bali Mungu alimnusuru kutoka katika makucha ya Umauti ...
Tuulize Waislamu... Usisikie yanayosemwa juu yetu..
@@swafiirbulbul819 Mungu alimnusuru kristo hasiuwawe hayo ni maneno ya nani kwenye Quran aloyasema hayo ni nani?
@@martinmkoba361 Ni maneno ya Mungu wetu sote pamoja na Yesu/Issa Mwana wa Mariamu...
Hakuwa Yesu isipokuwa ni Mtume kwa Wana wa Israeli kama inavyotaja katika kitabu chenu YOHANA 17:3 ....
Wokovu ulianzia kwao
Lakini sio hao waliokuja
Wauwaji wazungu
Israel ni wahangaikaji na wanata kuitawala dunia
yote anayoyazungumza ni kweli tupu wahuni hawawezi kumuelewa
Sasa mbona hueleweki..mara Israel ile siyo hawa ...mara watarudisha ibada zao za mwanzo... hueleweki jamani
Mchungaji nimemuelewa
Kama nakuelewa
Mayahudi wahamwamini yesu kabisa, alaf wanasema katika torati dini inayosujudia sanamu ni bora achinjwe...yan hawaamini kabisa ukristo...Alaf waarabu wapo wengi tu wakristo kama lebanoni pupulation kubwa ni wakristo japo ni Waarab na nchi zote za kiarab zina wakristo wengi yeye muyahudi anapigana na dini zote hzo anasema dini ya kweli ni uyahudi na torati ni kitabu cha mwisho. Mussa ndo Nabii yao.
Myahudi kwa sasa ana nguvu kwa sababu alishawachonganisha wakristo na waislamu miaka mingi sana.
Paul alikua myahudi????
Haja egemea Kwa waislamu eleweni hapo ana tukuzwa yesu kristo mwamba
Jamaa ana madini huyu