Mwl, Ungetumia nguvu hiyo kuwafundisha watu sheria ya Mungu na kanuni zake nadhani wanadamu wenyewe wangejua Mungu ni nani bila hata ya kutumia nguvu. Waambie watu waachane na ukristo wala uislam wala upagani, fundisha haki ya kweli, fundisha kweli ya Mungu uongo utajitenga wenyewe bila hata ya kutumia nguvu nyingi. Ukitaka kujua dini si kitu chochote wala si lolote angalia masadukayo,mafarisayo na waalimu walikuwa watu wa dini kama nyie hapo lakini Yesu krist aliwambia wao ni wanafiki hivi hujiulizi tu?. Kinachotakiwa si kung'ang'ana na dini theolojia havikusaidii ndugu. Wafundishe wanadamu kweli ya Mungu si Kubishanabishana hovyo. Hujengi ila unazidi kuchanganya watu.
SWALI LANGU; Kuna Vitabu 9 hadi 10 katika Bibilia ambapo Waandishi wake Hawajulikani mpaka leo, Jambo hili limekaaje..??!! 🎉 naomba ufafanuzi kidogo Doctor
Sule elimu Yako ndiyo ndogo hautaelewa Bibilia ukiongozwa na hayo majini maelezo Yako ni dhaifu Kama za mtoto huaelewi na hautaelewa mpaka ukatae majini Yesu katika mwili lakini Yesu kabla kufanyika mwili John 17:5 1john5:20 , Isaiah 9:6-8,john1:1-3, Isaiah 7:14, Tito 2:13,wafilipi 2:6-8
@@issakayogoma7463 Nimesoma Bibilia yenu, Sijapata sehemu YESU kafundisha yeye ni MUNGU .. Bali nimeona sehemu nyingi akifundisha kuwa Yeye ni Mtume alietumwa na Mungu .. (Yohana 17:3 n.k)
@@swafiirbulbul819Sasa hapo Kuna swali 😂😂😂😂 maandiko yanasema nyinyi hamuujui iweza wa Mungu ndomana QUR'AN nzima hakuna muujiza wa yponyonyaji kama upo nipe nirudi kwnye UISLAM DINI ya SHETANI
shekhe wetu yani apo awa watu ata uwafahamishe vip naukweli usha wambia elim usha wapa awawezi kukufaham sababu awataki kubadirisha dini ya kislam sababu dini ya kislam imekataza vitu vingi vya haram nadini Yao wao wanakula kila kitu kunywa kila kitu namengine wanao fanya ujinga kuiga maisha ya kizungu kufanya uharam ao waislam wasio taka kufata alio yakataza allah wao ndo kama Hao wengine
Mapokeo huwa yana nguvu sana na mbaya zaidi watu hurithi mapokeo kutoka kwa wazazi wao tangu wanapozaliwa hadi wanapokuwa watu wazima. Na ndio maana Yesu na hata manabii wote walikuwa wanawasisitiza watu kumcha Mungu na kufuata sheria na kanuni zake. Shetani kupitia wanadamu akaingiza matabaka ya dini na wanadamu wakaacha kumuabudu Mungu kwa ukweli wakaanza kurithisha mambo ya dini. Sasa hivi mtu anaona dini kwake ndio kilakitu yupo radhi amkasirikie mwenzake hata kumuua kwa sababu ya dini. Hubirini kweli ya Mungu ili watu WATUBU na kumrudia Mungu muumba mbingu na nchi. Sio kutangaza dini, dini haikupeleki popote. Mtu akimwita Yesu ni Mungu mwambie kwamba siyo fuata maandiko haya akikataa mwache usitoe hukumu juu ya hili wewe endelea kuhubiri habari njema itakayomfanya mtu alazimike kufanya toba ya ondoleo la dhambi na kuishi maisha yampendezayo Mungu muumba mbingu na nchi.
SWALI LA 2; Nina Majirani zangu wawili Wakristo, Mmoja anadai YESU ni Mungu, mwengine anadai YESU ni Mwana .. Na wote wanadai kuwa wanae Roho mtakatifu.. Nahitaji kujua, Huyu ROHO MTAKATIFU anafundisha Mafundisho Tofauti..?????🎉
Yaani wew Sule kweli humjui YESU katika Roho ila wamjuwa katika mwili una maneno mengi sana ila huna maandiko .YESU aliuvaa ubinadamu Alkaatumboni aliuvaa ubinadamu ,alitahiliwa aliuvaa ubinadamu , alilia aliuvaa ubinadamu, alikuwa na ukoo aliuvaa ubinadamu na kadhalika . Hivyo wew Sule na waislamu mnamfahamu YESU katika mwili, ila katika Roho hamumjui kabisa pamoja na huyo unayemtaja lusekelo hamumjui YESU kabisa . Sas ikiwa wew kweli una maandiko pita hapa( Wafilipi 2:5-7) inasema iweni na nia iyo hiyo ndani yenu ambayo ilikuwamo pia ndani ya Kristo YESU ambaye yeye mwanzo alikuwa yuna namna ya MUNGU naye hakuona kule kuwa sawa na MUNGU kuwa ni kitu Cha kushikamana nacho bali alijifanya kuwa Hana utukufu akatwaa namna ya mtumwa akawa ana mfano wa wanadamu (8) tena alipoonekana ana umbo kama mwanadamu alijinyenyekesha akawa mtii hata mauti Naam mauti ya msalaba .pita hapo kama ni msomi kweli wew Sule una maneno mengi na mposhaji na hata huyo lusekelo hamna maandiko. Wew nenda tu ukanyooshwe na ndacha huko akakufundishe Biblia
Halafu kingine Sule Biblia ni union version ,mwanzo mpaka ufunuo hiyo ndiyo iliyo vuviwa na Roho mtakatifu hizo nyingine sijui nakabayo ,Sila hiyo siyo Biblia ya wakristo bali ni Biblia iliyoongezwa vitabu waroman yaani ni Biblia ya waroman ulifahamu hilo kisawa sawa
Mwl, Fundisha watu kweli ya Mungu ili kuokoa nafsi zao. Kusisitiza dini gani ni nzuri gani ni mbaya, Yesu alikuwa di i gani, chakula gani ule au usile hayo hayo hayana faida katika kuokoa roho za watu. Torati na manabii zilitoa muongozo wa jinsi ya watu kuishi, Yesu alikamilisha torati na manabii kwa kuendeleza sheria na kanuni zilezile za torati na manabii. Jukumu lako kama mwalimu waongoze na wafundishe watu kuzifuata na kuishi maisha yampendezayo Mungu. Pia wafundishe mafundisho yapsayo TOBA, Hata Yesu mwenyewe hakufundisha watu habari za dini gani nzuri wala dini gani mbaya na ndo maana aliwaita watu wa dini kuwa ni wanafiki au hukusoma?
Neno la Mungu niufunuo na nimafumbo na neno la Mungu nisiri iliyojificha , ili ulijue neno la Mungu,kanuni ya Kwanza ,mtu atubu na kubatizwa kwajila la Yesu,ili upewe Roho mtakatifu,au kipawa Cha roho mtakatifu, bila kuyafanya Huwezi kuwa mwalimu wa neno la Mungu sanasana utamsaidia shetani kuupotosha ulimwengu,
Siyo kweli kuwa neno la Mungu ni Siri, mitume na manabii wote walihubiri na kulingania dini kwa uwazi ili watu waelewe na kufuata dini. Huwezi kubatizwa au kusilimu alafu ujifunze, unatakiwa kwanza ufundishwe uelewe ndipo ufuate dini.
Umeulizwa maana ya neno Emmanuel umeng'ata maneno na hujatoa Jibu usilazimishe kumjua Yesu kimwili hata siku Moja hakuna Muislam akamtaja Yesu katika ulimwengu wa Kiroho kwasababu lazima muumbuke
Kwa lugha ya kiswahili au ya wapi? Pia kama alikuja kimwili unajuaje kiroho ? Pia kama mungu alikuwa ndan yake Alisema anaenda kwa baba yake wapi mwilini mwake au Mungu alikuwa wap?
Mtapata shinda watu wanao msikiliza sule juu yakufundishwa nae, elimu ya mambo ya Mungu sio elimu ya 2+2 hiyo, hiyo ni roho pekeee anaeweza kukufundisha, kwani wewe sule na mzee wa upako mnatofauti gani, huna roho huna elimu yoyote ya MUNGU.
Ukweli utaupate hapo tutakaposimama mbele ya yesu kwa hukumu.mbona hamumjadili muhamadi jamani nimeamini kua kila ulimi utalitaja jina la yesu.ndimi zenu hazitulii hadi mumtaje yesu hata iwe ni kwaunafiki mtataja tu
Tatizo la wakristo wengi wanakalili vifungu vya ju ju! Sasa si rahisi kumwelewa dor, sule! Yesu sio mungu! Kivyovyote vile, endelea kusoma biblia mtaelewa. yesu mwenyewe mwishoni kabisa anakata roho yake alisema baba mikononi mwako naiweka roho yangu! Hata baada ya kufufuka kwake! Alisema kazi nimeimaliza naenda mbinguni kwa baba yangu! Hi inatosha kuelewa!
Wakiristo munatakiwa musome Bibilia yenu na muielewe ili mujue ukweli , saivi kila mchungaji ana kuja na jambo lake jipya kwahiyo munatakiwa muijue Bibilia yenu na mueke hoja , sio kusikiliza anacho sema mchungaji tu na nyinyi munatakiwa mujue kuisoma Bibilia lia yenu tena kwa ukamilifu
Alha nineno la kiarabu kiswahili ni mungu nakushaur sana ndugu yangu chukua vitabu kaa chini usome kuhusu kujua dini yako apo sule anaongea anasoma kitabu naww chukua kitabu upate faida
Uyu baba ni mbishi jamani tatizo upo kimwili haupo kiroho, iyo ni mbaya sana ni sawa na kuukimbiza upepo bule na uisilam wako, omba sana roho mtakatifu akuongoze, kwani MUNGU hawezi kufanya lolote atakalo? MUNGU ni roho anaweza kugawanyika anaweza kuwepo mbinguni ata duniani pote. umtake sana YESU, sio udini ili ukue kiroho usiwe na moyo mgumu kama wa farao utaangamia vibaya na YESU ndie njia ya kwenda mbinguni tulia wewe. uwelewi wewe.
Hapo mwanzo palikuwapo neno nae neno alikuta kwa Mungu nae neno akafanyika mwili akawa mwanadamu. Mbona hayo maandiko unakwepa? Umekomaa kumuelezea Yesu kimwili mbona ukiambiwa kuhusu roho mtakatifu hamtaki? Kama Yesu alisema amini Mimi nilikuwepo kabla ya ulimwengu kuwepo alikua Nani? Alisema yeye ni Mzee kuliko Ibrahim wakati Ibrahim alikua Mzee kuliko Yesu alikua na maana gani? Huyo Lusekelo anatafuta viewers nakutafuta Kiki baada yakupotea kwenye ramani
Sule tunakuchek tu 😂😂😂 Quran inasemaje kuhusu allah kusali 😂 Quran 33:56 Hakika Mwenyezi Mungu na Malaika wake wanamsalia Nabii. Enyi mlio amini! Msalieni na mumsalimu kwa salamu. Kazi kwenu waisilamu???😂😂😂😂
Neno Kuswali au Swala tumelitohoa kwenye Lugha ya Kiarabu .. 😃 . We Msukuma mwenzangu unataka utafsiri kwa Lugha ya nyumbani..! Wenye Elimu hawajawahi kuuliza Swali hili ... ! 🖊 Maana ya Neno SWALA; 1) Dua/Maombi 2) Rahma/Rehema 3) Kiunganishi/Mawasiliano Lugha zetu sisi ni Masikini sana wa Misamiati, ndio maana tunapata ugumu huu wakati mwingine.. Wenzetu, Neno moja laweza kuwa na maana nyingi sana, itategemea imetumika ktk Muktadha au Makusudio yapi..
Dada yangu yesu Hana baba yeye ni neno mungu alisema kuwa ikawa kama ilivyo kwa Adam mungu alimuumba kisha akamwambia akampulizia roho akawa adamu mfano wa yesu ni adamu
🤣😂 .. Wakristo ndio wanatakiwa wajibu swali hili.. NAWASAIDIA, Jibu lipo kwenye Yohana 20:17 Yesu akamwambia, “Usinishike; sijaenda bado juu kwa Baba. Lakini nenda kwa ndugu zangu uwaambie: Naenda juu kwa Baba yangu na Baba yenu, Mungu wangu na Mungu wenu.”
Hivyo, Baba wa YESU ni Baba yetu .. Mungu wa YESU ni Mungu wetu .. Na sote ni Wana wa Mungu mbele zake Mungu .. Mwana haina maana ya Kimwili bali Kiroho kwakuwa Mungu hazai wala hazaliwi..
Dr Sule huna Jibu kwenye hilo andiko Yesu kashasema mnataka kumuona Mungu wakati mko nae siku zote mbona unakwepa hapo? Huko kutahiriwa au kuwa na ndevu huo ni mwili alio uvaa akawa mwanadamu lazima Aishi kama mwanadamu.
Sulle kubali tu Jesu ndie bwana mungu , kama anakunali zile vitabu binging ndani ya biblia kubali ata hiyo ndio ukweli, kubishana tu , mungu amesem alitumba kwa mfano yake lakini akachagua kua ndani ya Jesu kama Yesu awe njia ya sisi wote kupitia njia yake. Mohamed ana utume yoyote .
We endelea kua shabiki wa dini ndio nyie watu wa mapokeo kusoma biblia hamtak mnataka msomewe tu na wachungaji yan ungeangalia hii clip mwanzo mwisho kama kweli una akili timamu utatilia shaka dini uliyokuwepo kwa maana apo imetumika kusoma biblia iyo iyo unayoamini. Ila bado unaleta ushabiki shaur yko dunian tunapita ukifa una interview na mungu wako
Quran sio maneno ya Mungu na Quran ya kwanza ilichomwa moto ikaamriwa iandikwe nyingine na nyaraka nyingine zililiwa na mnyama na Muhammad mpaka anakufa hajui kusoma wala kuandika wala hakuacha maandishi yoyote sasa hiyo Quran mnayotumia saizi mmetoa wapi? Maana hii imeandikwa miaka Mia 6 tangu Muhammad afe na nyaraka zimepatikana nchi tofauti tofauti mbona hamuwaambii watu wenu ukweli? Mmekomaa tu Biblia imechakachuliwa yenu hamuoni
Yani mpaka hapo ushamkufuru Mungu kwa maana ushajipa moja sifa yake ya Kujua mwisho wa kiumbe chake ni mda gani na atakufa je na kwa namna gani ila wewe binadamu unamwambia binadamu mwenzio atakufa Vibaya utafikiri wewe Aufii.. Aya tuambie atakufaje ???😮😮 0:08 0:08
Waislamu wana hoja za msingi, Wakristo wana ubishi tu, wanapinga haki ambayo iko wazi, ziwekeni akili zenu huru, achaneni na mazoea mbele ya ukweli, wakati ndani ya nafsi zenu munaiona haki, kuweni Jasri wa kuifuata.
Dr. Sulle unachokifanya hapo unatetea utu wa Yesu. Unashindwa kuelewa upande wa umungu wa Yesu. Ndiyo maana anaitwa Mungu mtu. Na vipengee vya umungu wa Yesu unaviruka. Unalaska tu upande mmoja wa utu basi
Hata mafarisayo walimshutumu Yesu kwanini anajifanya Mungu ? Yesu akawajibu haikuandikwa kwenye torati yenu Mungu akiwaita wayahudi Ndinyi miungu. Mnashangaa nini mimi kujiita Mungu. YOHANA 10:34-36 Hata mimi ni mungu achana na Yesu kwanza.
Dr. Sule mimi nakukubali sana wewe sio mnafiki kama Mashehe wengine unatupa siri za maisha bureee kabisa. Ila kwenye kumkosoa Yesu hakuna kitu unajua.😂😂😂
nyie wasikilizaji ombeni siku muende studio mkamuulize dk sule iwe live.....ila hivyo hamtatosheka na inabidi muende na mchungaji anaeijua vzuri biblia
Akili ya darasa la tatu C unashindwa kuitumia bhas tumia ata akili yko ya kuzaliwa. Vdeo imeeleza mengi na sababu za yesu sio mungu lakin uwezo wko wakufikir umeishia kwenye Tarehe sio shida. Yan ata kuona hauni kama biblia imeandikwa kwa mawazo ya watu tofaut ndomana kuna io dosari. Sasa ukitaka kujua Dini ya Haki na Nguvu ya maneno ya Mungu zunguka kote dunia nzima quran ni kitabu kimoja tu kimatumika na waislam wa ulimwengu mzima. Uende china,marekan ufilipino na nchi zingine kitabu ni iko iko kimoja quran na hakuna kitabu kingine kitakachokuja. Ila biblia imekua kitabu cha hadithi watu wanaandika mawazo yao ndio maana mpaka tarehe na maneno yanakizana ila bado aushtukiii. 😢😢
@@msangiridhiwan1969 ukweli mchungu sana, hakuna Mungu ila Allah umesha wahi kujiuliza swali Hilo 😂, Allah n SHETANI kma una bisha , msomee MUISLAMU MWENZAKO kwa jina la Allah uone kma hatoki udenda😂
NAKUJIBU KISOMI; Yesu alizungumza Kiaramu (aramaic) Muhammad alisema kiarabu (arabic) ALLAH - Jina la Mungu kwa ARABIC ELAH - Jina la Mungu kwa ARAMAIC Unaweza ukawa unajisemea ovyo.. Wanaojua wakapima Uwezo wa Akili yako wakati unamtukana Mungu wako.. 🖊
Sule tunakuchek tu 😂😂😂 Quran inasemaje kuhusu allah kusali 😂 Quran 33:56 Hakika Mwenyezi Mungu na Malaika wake wanamsalia Nabii. Enyi mlio amini! Msalieni na mumsalimu kwa salamu. Kazi kwenu waisilamu???😂😂😂😂
Maashallaah Allaah akulipe kwa elimu hii inshallaah
Dr. Sule kajibu vizuri saana Yesu hana uwezo wakuwa kuwa Mungu
MashaAllah sheikh sule wambie ukweli wajuwe
Allah akupe Hannah shekh
Hapo dr sule unajibu kwa akili kuna vitu vya msingi mwnzo1:27
Asante dr Sule umesherehesha vizuri
Mwl, Ungetumia nguvu hiyo kuwafundisha watu sheria ya Mungu na kanuni zake nadhani wanadamu wenyewe wangejua Mungu ni nani bila hata ya kutumia nguvu. Waambie watu waachane na ukristo wala uislam wala upagani, fundisha haki ya kweli, fundisha kweli ya Mungu uongo utajitenga wenyewe bila hata ya kutumia nguvu nyingi. Ukitaka kujua dini si kitu chochote wala si lolote angalia masadukayo,mafarisayo na waalimu walikuwa watu wa dini kama nyie hapo lakini Yesu krist aliwambia wao ni wanafiki hivi hujiulizi tu?. Kinachotakiwa si kung'ang'ana na dini theolojia havikusaidii ndugu. Wafundishe wanadamu kweli ya Mungu si Kubishanabishana hovyo. Hujengi ila unazidi kuchanganya watu.
Yesu katahiriwa govu hawezi kuwa mungu wakiristo mnafeli wp
SWALI LANGU;
Kuna Vitabu 9 hadi 10 katika Bibilia ambapo Waandishi wake Hawajulikani mpaka leo, Jambo hili limekaaje..??!! 🎉 naomba ufafanuzi kidogo Doctor
Dk sule upo vizuri ki ukweli
Maashaallah
Sule elimu Yako ndiyo ndogo hautaelewa Bibilia ukiongozwa na hayo majini maelezo Yako ni dhaifu Kama za mtoto huaelewi na hautaelewa mpaka ukatae majini Yesu katika mwili lakini Yesu kabla kufanyika mwili John 17:5 1john5:20 , Isaiah 9:6-8,john1:1-3, Isaiah 7:14, Tito 2:13,wafilipi 2:6-8
Sule hakubali kushidwa,,ndacha dio umuweza
Wale wa DOGMA ndo hawa sasa .. 🤣 ..
Wazee wa kukariri ..
Acha chuki binafs.
Kwani hapo anachokisoma sio biblia? We ndo kichwa mavi
Aliyekufanya wewe Bibilia nani?Hivi ndiye msomi wenzako hawaelewi,na ni roho nani kakupa roho ikiwa Mwenyewe hujui hata tohara,ipe nafasi akili Yako
Mungu wawenzetu alinyonya akakimbia kifo egypt
Yaani wakristo vitabu vyao wenyewe lkn sijui wanakwama wapi kuvielewa,yaani wamefungwa kabisa na shetani nawaonea huruma sn
SWALI LA 3;
Tunaambiwa, Siku za Mwisho, YESU ataketi mkono kuume wa Mungu.. Kama YESU ndie Mungu, Je.. ataketi uapande wake mwenyewe..??!!
Acha kuambiwa soma umjue Yesu Kristo mtenda miujiza usiwe maamuma mtumwa wa shetani Allah
@@issakayogoma7463 YESU yupi unamkusudia wewe,
Huyu ambae tunaemuamini Sisi kama Mtume, au huyo ambae kauwawa na viumbe wake ..!?? 🤔
@@issakayogoma7463 Nimesoma Bibilia yenu, Sijapata sehemu YESU kafundisha yeye ni MUNGU .. Bali nimeona sehemu nyingi akifundisha kuwa Yeye ni Mtume alietumwa na Mungu .. (Yohana 17:3 n.k)
@@issakayogoma7463 Wewe uliesoma Sasa, JIBU hilo Swali nililouliza .. 🤣😂
@@swafiirbulbul819Sasa hapo Kuna swali 😂😂😂😂 maandiko yanasema nyinyi hamuujui iweza wa Mungu ndomana QUR'AN nzima hakuna muujiza wa yponyonyaji kama upo nipe nirudi kwnye UISLAM DINI ya SHETANI
Masha'allah Masha'allah sheikh
Shehe ana biblia zote yaani yupo makini na ushahidi 😂😂
Unendemunyoosha😂😂 Kenya
Ukoo wa Lusekelo ni wamiungu .Lusekelo ni nani hata ambadili Yesu kua lusekelo.shenzi jikojolee tu na bado
shekhe wetu yani apo awa watu ata uwafahamishe vip naukweli usha wambia elim usha wapa awawezi kukufaham sababu awataki kubadirisha dini ya kislam sababu dini ya kislam imekataza vitu vingi vya haram nadini Yao wao wanakula kila kitu kunywa kila kitu namengine wanao fanya ujinga kuiga maisha ya kizungu kufanya uharam ao waislam wasio taka kufata alio yakataza allah wao ndo kama Hao wengine
😁😁😁 wakristo kazi mnayo mshapigwa na kitu kizoto
Mungu anaweza mambo yote unasemaje Mungu awezi? Dr tafakari mara mbili.
Yesu alipigwa akalia
Mapokeo huwa yana nguvu sana na mbaya zaidi watu hurithi mapokeo kutoka kwa wazazi wao tangu wanapozaliwa hadi wanapokuwa watu wazima. Na ndio maana Yesu na hata manabii wote walikuwa wanawasisitiza watu kumcha Mungu na kufuata sheria na kanuni zake. Shetani kupitia wanadamu akaingiza matabaka ya dini na wanadamu wakaacha kumuabudu Mungu kwa ukweli wakaanza kurithisha mambo ya dini. Sasa hivi mtu anaona dini kwake ndio kilakitu yupo radhi amkasirikie mwenzake hata kumuua kwa sababu ya dini.
Hubirini kweli ya Mungu ili watu WATUBU na kumrudia Mungu muumba mbingu na nchi.
Sio kutangaza dini, dini haikupeleki popote.
Mtu akimwita Yesu ni Mungu mwambie kwamba siyo fuata maandiko haya akikataa mwache usitoe hukumu juu ya hili wewe endelea kuhubiri habari njema itakayomfanya mtu alazimike kufanya toba ya ondoleo la dhambi na kuishi maisha yampendezayo Mungu muumba mbingu na nchi.
Mtamtoa nje sana lakini ndie atakaekuhukumu.mnanatapatapa sana
SWALI LA 2;
Nina Majirani zangu wawili Wakristo, Mmoja anadai YESU ni Mungu, mwengine anadai YESU ni Mwana .. Na wote wanadai kuwa wanae Roho mtakatifu..
Nahitaji kujua, Huyu ROHO MTAKATIFU anafundisha Mafundisho Tofauti..?????🎉
Kwahiyo umeona uje utuseme huku Kwa Dr sule... Tutakutana home asee
@@BILALIMSANGI-kw2ki 😃🤣😂😃
Hizo bibilia umepata wapi?
Wewe shekhe Yesu aliitwa Mungu Yohana 20:28,29 je hapo alikataa kuitwa Mungu? Na sehemu nyingine ufunuo 21:7
Alivyoitwa akaitika? Toa tamko au yeye mwenyewe aliwahi kujiita? Toa hoja Acha kukaza fuvu.
@@muksinimbaruku1233
Na Yesu alivyokuwa akimuita baba Mungu wake alikuaje ikiwa nae Mungu?
Kabla yesu ajaja duniani dunia alikuwa anaiyongoza nan
Jamani Mungu kaumba pepo na moto ss wote mnataka twende peponi basi Mungu atakuwa c mkweli motoni lzm watu wende hata iwe vp
Kwahiyo ww umeshajipanga uwende motoni.
Hata ukiwawekea bunduki kichwani hawawezi kukuelewa.
Wanaojaaliwa wanakubali bro
WAISLAM MNA SHIDA GANI NA YESU, MBONA SS HATUMSEMI MUHAMAD😁😁
Hatuna shida na yesu ila ninyi! Mnampa majukumu si yake!!
We Kwa mawazo yk mungu analala na kufa?
Uku siku ya 15 auku siku ya 25 😂😂
Mandiko yanasema hakuna mwanadamu aliyemuona Mungu akaishi, ndiyo maana Tunasema Yesu ni Mungu maana alishamuona Mungu na Bado yuko hai, .
Sasa mbona mungu wenu kaonwa na watu na ndio maana sisi tunasema yesu siyo mungu kaonekana kw wanafunzi wake
Yesu atafutiwe sifa nyingine lkn si ya Uungu
Mungu Hana ukoo jaman na wala hawezi kutahiriwa
Yaani wew Sule kweli humjui YESU katika Roho ila wamjuwa katika mwili una maneno mengi sana ila huna maandiko .YESU aliuvaa ubinadamu
Alkaatumboni aliuvaa ubinadamu ,alitahiliwa aliuvaa ubinadamu , alilia aliuvaa ubinadamu, alikuwa na ukoo aliuvaa ubinadamu na kadhalika . Hivyo wew Sule na waislamu mnamfahamu YESU katika mwili, ila katika Roho hamumjui kabisa pamoja na huyo unayemtaja lusekelo hamumjui YESU kabisa . Sas ikiwa wew kweli una maandiko pita hapa( Wafilipi 2:5-7) inasema iweni na nia iyo hiyo ndani yenu ambayo ilikuwamo pia ndani ya Kristo YESU ambaye yeye mwanzo alikuwa yuna namna ya MUNGU naye hakuona kule kuwa sawa na MUNGU kuwa ni kitu Cha kushikamana nacho bali alijifanya kuwa Hana utukufu akatwaa namna ya mtumwa akawa ana mfano wa wanadamu (8) tena alipoonekana ana umbo kama mwanadamu alijinyenyekesha akawa mtii hata mauti Naam mauti ya msalaba .pita hapo kama ni msomi kweli wew Sule una maneno mengi na mposhaji na hata huyo lusekelo hamna maandiko. Wew nenda tu ukanyooshwe na ndacha huko akakufundishe Biblia
Halafu kingine Sule Biblia ni union version ,mwanzo mpaka ufunuo hiyo ndiyo iliyo vuviwa na Roho mtakatifu hizo nyingine sijui nakabayo ,Sila hiyo siyo Biblia ya wakristo bali ni Biblia iliyoongezwa vitabu waroman yaani ni Biblia ya waroman ulifahamu hilo kisawa sawa
Mwl, Fundisha watu kweli ya Mungu ili kuokoa nafsi zao. Kusisitiza dini gani ni nzuri gani ni mbaya, Yesu alikuwa di i gani, chakula gani ule au usile hayo hayo hayana faida katika kuokoa roho za watu. Torati na manabii zilitoa muongozo wa jinsi ya watu kuishi, Yesu alikamilisha torati na manabii kwa kuendeleza sheria na kanuni zilezile za torati na manabii. Jukumu lako kama mwalimu waongoze na wafundishe watu kuzifuata na kuishi maisha yampendezayo Mungu. Pia wafundishe mafundisho yapsayo TOBA, Hata Yesu mwenyewe hakufundisha watu habari za dini gani nzuri wala dini gani mbaya na ndo maana aliwaita watu wa dini kuwa ni wanafiki au hukusoma?
Sikiliza kwanz kwa makin maan hatoi kichwan mwake
Dr Sule unatishaa
Neno la Mungu niufunuo na nimafumbo na neno la Mungu nisiri iliyojificha , ili ulijue neno la Mungu,kanuni ya Kwanza ,mtu atubu na kubatizwa kwajila la Yesu,ili upewe Roho mtakatifu,au kipawa Cha roho mtakatifu, bila kuyafanya Huwezi kuwa mwalimu wa neno la Mungu sanasana utamsaidia shetani kuupotosha ulimwengu,
😊
Ndio mdanganye watu yesu ni Mungu😀
Siyo kweli kuwa neno la Mungu ni Siri, mitume na manabii wote walihubiri na kulingania dini kwa uwazi ili watu waelewe na kufuata dini. Huwezi kubatizwa au kusilimu alafu ujifunze, unatakiwa kwanza ufundishwe uelewe ndipo ufuate dini.
Maandiko yapo wazi yesu mwenyewe amejikata yeye siyo mungu
Inalah wamalaika twayuswalunah alanabii , naomba tafsiri ya hiyoo Aya hapo
Isaya 9:6
Soma hiyoo
Umeulizwa maana ya neno Emmanuel umeng'ata maneno na hujatoa Jibu usilazimishe kumjua Yesu kimwili hata siku Moja hakuna Muislam akamtaja Yesu katika ulimwengu wa Kiroho kwasababu lazima muumbuke
Kwa lugha ya kiswahili au ya wapi?
Pia kama alikuja kimwili unajuaje kiroho ? Pia kama mungu alikuwa ndan yake
Alisema anaenda kwa baba yake wapi mwilini mwake au Mungu alikuwa wap?
Mtapata shinda watu wanao msikiliza sule juu yakufundishwa nae, elimu ya mambo ya Mungu sio elimu ya 2+2 hiyo, hiyo ni roho pekeee anaeweza kukufundisha, kwani wewe sule na mzee wa upako mnatofauti gani, huna roho huna elimu yoyote ya MUNGU.
Ukweli utaupate hapo tutakaposimama mbele ya yesu kwa hukumu.mbona hamumjadili muhamadi jamani nimeamini kua kila ulimi utalitaja jina la yesu.ndimi zenu hazitulii hadi mumtaje yesu hata iwe ni kwaunafiki mtataja tu
Sule wewe ni kiboko haswaa
Tatizo la wakristo wengi wanakalili vifungu vya ju ju! Sasa si rahisi kumwelewa dor, sule! Yesu sio mungu! Kivyovyote vile, endelea kusoma biblia mtaelewa. yesu mwenyewe mwishoni kabisa anakata roho yake alisema baba mikononi mwako naiweka roho yangu! Hata baada ya kufufuka kwake! Alisema kazi nimeimaliza naenda mbinguni kwa baba yangu! Hi inatosha kuelewa!
Baba yake yesu sisi ni nani wetu?
Yesu apewe sifa zingine lkn sio za Uungu
Wakiristo munatakiwa musome Bibilia yenu na muielewe ili mujue ukweli , saivi kila mchungaji ana kuja na jambo lake jipya kwahiyo munatakiwa muijue Bibilia yenu na mueke hoja , sio kusikiliza anacho sema mchungaji tu na nyinyi munatakiwa mujue kuisoma Bibilia lia yenu tena kwa ukamilifu
Alha nineno la kiarabu kiswahili ni mungu nakushaur sana ndugu yangu chukua vitabu kaa chini usome kuhusu kujua dini yako apo sule anaongea anasoma kitabu naww chukua kitabu upate faida
Tafsiri neno ALLAH umeitolea wapi.
Uyu baba ni mbishi jamani tatizo upo kimwili haupo
kiroho, iyo ni mbaya sana ni sawa na kuukimbiza upepo bule na uisilam wako, omba sana roho mtakatifu akuongoze, kwani MUNGU hawezi kufanya lolote atakalo? MUNGU ni roho anaweza kugawanyika anaweza kuwepo mbinguni ata duniani pote. umtake sana YESU, sio udini ili ukue kiroho usiwe na moyo mgumu kama wa farao utaangamia vibaya na YESU ndie njia ya kwenda mbinguni tulia wewe.
uwelewi wewe.
Pole sana dada pokeeni somo Kisha someni vitabu vyenu mvielewe
ukiacha ushabik na kusoma maandiko hata uwe mkristo utatambua bwana yesu hakuwa Mungu bali ni nabii kwa wana wa israel
Mnaosema shehe muwongo nyinyi bado elimu yenu ndogo
Hapo mwanzo palikuwapo neno nae neno alikuta kwa Mungu nae neno akafanyika mwili akawa mwanadamu. Mbona hayo maandiko unakwepa? Umekomaa kumuelezea Yesu kimwili mbona ukiambiwa kuhusu roho mtakatifu hamtaki? Kama Yesu alisema amini Mimi nilikuwepo kabla ya ulimwengu kuwepo alikua Nani? Alisema yeye ni Mzee kuliko Ibrahim wakati Ibrahim alikua Mzee kuliko Yesu alikua na maana gani? Huyo Lusekelo anatafuta viewers nakutafuta Kiki baada yakupotea kwenye ramani
Kwani sule ndo ameandika hivyo vitabu?
Dr sule
Sule tunakuchek tu 😂😂😂
Quran inasemaje kuhusu allah kusali 😂
Quran 33:56
Hakika Mwenyezi Mungu na Malaika wake wanamsalia Nabii. Enyi mlio amini! Msalieni na mumsalimu kwa salamu.
Kazi kwenu waisilamu???😂😂😂😂
Una hoja ya kitoto, soma ufafanuz wa hiyo Aya ulotuandikia
Neno Kuswali au Swala tumelitohoa kwenye Lugha ya Kiarabu .. 😃 . We Msukuma mwenzangu unataka utafsiri kwa Lugha ya nyumbani..!
Wenye Elimu hawajawahi kuuliza Swali hili ... ! 🖊
Maana ya Neno SWALA;
1) Dua/Maombi
2) Rahma/Rehema
3) Kiunganishi/Mawasiliano
Lugha zetu sisi ni Masikini sana wa Misamiati, ndio maana tunapata ugumu huu wakati mwingine.. Wenzetu, Neno moja laweza kuwa na maana nyingi sana, itategemea imetumika ktk Muktadha au Makusudio yapi..
Hzo zote ngonjera zmetungwa tu yesu sio mungi Wala hakuna mtu anaitwa yesu vitabu vyawazungu nauongo wawo
Jamani eee baba yake yesu sisi ni nani yetu. ?
Dada yangu yesu Hana baba yeye ni neno mungu alisema kuwa ikawa kama ilivyo kwa Adam mungu alimuumba kisha akamwambia akampulizia roho akawa adamu mfano wa yesu ni adamu
🤣😂 .. Wakristo ndio wanatakiwa wajibu swali hili..
NAWASAIDIA, Jibu lipo kwenye Yohana 20:17
Yesu akamwambia, “Usinishike; sijaenda bado juu kwa Baba. Lakini nenda kwa ndugu zangu uwaambie: Naenda juu kwa Baba yangu na Baba yenu, Mungu wangu na Mungu wenu.”
Hivyo, Baba wa YESU ni Baba yetu .. Mungu wa YESU ni Mungu wetu .. Na sote ni Wana wa Mungu mbele zake Mungu ..
Mwana haina maana ya Kimwili bali Kiroho kwakuwa Mungu hazai wala hazaliwi..
@@swafiirbulbul819 OK. Thanks
@@Catherine-mh8sw 🤝
Kipindi bana mbona kimya ivo
Dr Sule huna Jibu kwenye hilo andiko Yesu kashasema mnataka kumuona Mungu wakati mko nae siku zote mbona unakwepa hapo? Huko kutahiriwa au kuwa na ndevu huo ni mwili alio uvaa akawa mwanadamu lazima Aishi kama mwanadamu.
Wewe dada uyu sheikh kajibu vyema saana sababu mwili uvaliwi Mungu hawezi akazaliwa na mwanaadam
Sulle kubali tu Jesu ndie bwana mungu , kama anakunali zile vitabu binging ndani ya biblia kubali ata hiyo ndio ukweli, kubishana tu , mungu amesem alitumba kwa mfano yake lakini akachagua kua ndani ya Jesu kama Yesu awe njia ya sisi wote kupitia njia yake. Mohamed ana utume yoyote .
We endelea kua shabiki wa dini ndio nyie watu wa mapokeo kusoma biblia hamtak mnataka msomewe tu na wachungaji yan ungeangalia hii clip mwanzo mwisho kama kweli una akili timamu utatilia shaka dini uliyokuwepo kwa maana apo imetumika kusoma biblia iyo iyo unayoamini. Ila bado unaleta ushabiki shaur yko dunian tunapita ukifa una interview na mungu wako
Elimu yte hujaelewa kwakuwa hukuwa tayar kuelewa, pole sana mkristo
Punda ww yesu sio mungu
Mwana bairojia huyo ndio doctor sule mwarimu wa wawarimu ukbsha kunywa maji urale
RUSIFA IBIRISI NDANI YA SULE HAWEZI KUONGEA UKWELI.NA MWISHO SULE UTAKUFA VIBAYA UWE FUNDISHO KWA. WAPOTOSHAJI
utakufa ww na ukafir wako, badilika ucje kwnda moton
Dogo ipo siku inakusubiria ndipo utakapojua na kuelewa kwamba mababu zako kwel walikupoteza, asaiv we kuwa mbishi tuu
Wewe shekhe ninani mwingine aliyesama aliniona Mimi kamuona Mungu katika mitume wenu laki Moja na halobahini ?
Maana yake ukimkubali mtume yeye ndio umemkubali mungu. Ata waislam wasio mkubali mtume Muhammad huwez kumuona mungu.
👆
Naye Neno alifanyika mwili aka kaa kwetu. Sema shekh una muongelea YESU wakati alipo fanyika mwili 🤔
"Neno Alifanyika ....." (lugha ya kiswahili ni muhimu sana)
SWALI .. 🖊 .. Aliemfanya Neno kuwa Mwili ni Nani ..??
manenoo yamebadilishwa Mungu abadiliki kuwa mwanadamu Soma Yakobo 1;17
Baba yake yesu wa mbinguni sisi nani wetu
Quran sio maneno ya Mungu na Quran ya kwanza ilichomwa moto ikaamriwa iandikwe nyingine na nyaraka nyingine zililiwa na mnyama na Muhammad mpaka anakufa hajui kusoma wala kuandika wala hakuacha maandishi yoyote sasa hiyo Quran mnayotumia saizi mmetoa wapi? Maana hii imeandikwa miaka Mia 6 tangu Muhammad afe na nyaraka zimepatikana nchi tofauti tofauti mbona hamuwaambii watu wenu ukweli? Mmekomaa tu Biblia imechakachuliwa yenu hamuoni
Ww ulikuwepo wakati inachomwq
UTAKUFA VIBAYA SULE.
Kwanini
Yani mpaka hapo ushamkufuru Mungu kwa maana ushajipa moja sifa yake ya Kujua mwisho wa kiumbe chake ni mda gani na atakufa je na kwa namna gani ila wewe binadamu unamwambia binadamu mwenzio atakufa Vibaya utafikiri wewe Aufii.. Aya tuambie atakufaje ???😮😮 0:08 0:08
Na wew ipo siku utalia na kujutia huku ukiwalaumu mababu zako waliokupoteza
Story ya NILIMSOMESHA MCHUMBA WANGU AKANIACHA, Imeishia wapi
SULE ATAKUFA VIBAYA,SUBIRINI MWISHO WAKE MTAONA.NENO LA MUNGU SIO LA KUPOTOSHA.
Hakika yatakiwa usome na ufahamu kweli ni ipi na sio kukaririshwa
Maneno ya Mwisho unapokosa Hoja ya kutetea kile unachokiamini.. 😃
Kwan Kayatoa Kichwani Hapo? C Yametoka Kwenye Kitabu Chenu Wazee
Tafuta hoja baba ,hakuna atakaye baki hata issa or yesu mungu atamrejesha duniani aje afe pia
Sote tutakufa baba atakaebaki ni mungu mmoja tuu
Wakristo tupende kusoma Biblia na tuelewe vinginevyo tutapotea kabisa
Comment nzuri sana hii..
Mimi ni Muislamu, lakini nimekukubali .. Ujumbe mzuri kwa ndugu zako Wakristo.. Mungu atuongoze sote ..
Aamiyn
Mimi pia hii comment nimeipenda sana lkn ndugu zako wamekalia ubishi tu biblia yenyew hawaisomi
Waislamu wana hoja za msingi, Wakristo wana ubishi tu, wanapinga haki ambayo iko wazi, ziwekeni akili zenu huru, achaneni na mazoea mbele ya ukweli, wakati ndani ya nafsi zenu munaiona haki, kuweni Jasri wa kuifuata.
Wewe wakristo tupo sawa uongo wenu atuwezi kukubaliana na nyie waislamu ndungu za majini
Wewe wakristo tupo sawa uongo wenu atuwezi kukubaliana na nyie waislamu ndungu za majini
Pindi utakapojua ni ukweli utakuwa ushachelewa
Nawakumbusha tu Muhamad alipewa Quran na adui wa Gibril (malaika Gabriel) sasa akili kumkichwa maana naona mafuvu yenu hayafanyi kazi
Dr. Sulle unachokifanya hapo unatetea utu wa Yesu. Unashindwa kuelewa upande wa umungu wa Yesu. Ndiyo maana anaitwa Mungu mtu. Na vipengee vya umungu wa Yesu unaviruka. Unalaska tu upande mmoja wa utu basi
Hata mafarisayo walimshutumu Yesu kwanini anajifanya Mungu ?
Yesu akawajibu haikuandikwa kwenye torati yenu Mungu akiwaita wayahudi Ndinyi miungu.
Mnashangaa nini mimi kujiita Mungu. YOHANA 10:34-36
Hata mimi ni mungu achana na Yesu kwanza.
Kumbe kuna Mungu mtu
@@Annalisejg2ur 😃😀🤣😂 .. Kaka wewe Mgomvi sana
Mimi napita tu hapa, sitaki kutia neno
@@swafiirbulbul819 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Usimsahahu na yule mungu wa tongolani
Huyo Mzee WA upako kasema Yesu ni mwokozi WA ulimwengu na ni mwana WA Mungu kwako sulle Allah ana mwana Kwa mjibu wa Quran yenu?
Yaani we ndio boksi kabisa
Dr. Sule mimi nakukubali sana wewe sio mnafiki kama Mashehe wengine unatupa siri za maisha bureee kabisa.
Ila kwenye kumkosoa Yesu hakuna kitu unajua.😂😂😂
ndacha ni balaa jichangsanye tu
nyie wasikilizaji ombeni siku muende studio mkamuulize dk sule iwe live.....ila hivyo hamtatosheka na inabidi muende na mchungaji anaeijua vzuri biblia
Tarehe sishida na hiyo haibadilishi yesu si mungu,
Akili ya darasa la tatu C unashindwa kuitumia bhas tumia ata akili yko ya kuzaliwa. Vdeo imeeleza mengi na sababu za yesu sio mungu lakin uwezo wko wakufikir umeishia kwenye Tarehe sio shida. Yan ata kuona hauni kama biblia imeandikwa kwa mawazo ya watu tofaut ndomana kuna io dosari. Sasa ukitaka kujua Dini ya Haki na Nguvu ya maneno ya Mungu zunguka kote dunia nzima quran ni kitabu kimoja tu kimatumika na waislam wa ulimwengu mzima. Uende china,marekan ufilipino na nchi zingine kitabu ni iko iko kimoja quran na hakuna kitabu kingine kitakachokuja. Ila biblia imekua kitabu cha hadithi watu wanaandika mawazo yao ndio maana mpaka tarehe na maneno yanakizana ila bado aushtukiii. 😢😢
Hiyo bibla ukuraza 66 hiyo dio bibla sahii
Kimeumana 😃🤣😂
NAWAKUMBUSHA TYU ALLAH NI SHETANI
Endelea kuamini hivyo hivyo maana hivyo ndivyo unavyoamini.
@@msangiridhiwan1969 ukweli mchungu sana, hakuna Mungu ila Allah umesha wahi kujiuliza swali Hilo 😂, Allah n SHETANI kma una bisha , msomee MUISLAMU MWENZAKO kwa jina la Allah uone kma hatoki udenda😂
NAKUJIBU KISOMI;
Yesu alizungumza Kiaramu (aramaic)
Muhammad alisema kiarabu (arabic)
ALLAH - Jina la Mungu kwa ARABIC
ELAH - Jina la Mungu kwa ARAMAIC
Unaweza ukawa unajisemea ovyo.. Wanaojua wakapima Uwezo wa Akili yako wakati unamtukana Mungu wako.. 🖊
Allah akusame ujui ulitendalo
Alo wewe mbna unafka mbali?
We utachoka tu kuwafundisha hawafahamu