Mzee wa Upako afunguka kuhusu kunywa pombe

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 192

  • @albertremmy3479
    @albertremmy3479 4 роки тому +3

    mchungaji yuko makini sana kwa kukwepa kujibu maswali. nampenda sana mzee wa upako. ila mm najua ule msemo wa kunywa lakini usilewe nisawa na kumwambia mtu iba lakini usikamatwe.

  • @fundiwamoldzapevingblock6378
    @fundiwamoldzapevingblock6378 Рік тому +1

    Uyu mzeee nakubariiiii atariiii

  • @sadikiasmani9231
    @sadikiasmani9231 6 років тому +2

    Sio mzee wa upako,bali mzee wa uongo.😂😂😎

  • @petermasapa498
    @petermasapa498 5 років тому +4

    Mungu atashughulika na wewe kwa wakati wake usipotubu.

  • @lovenessjunior1056
    @lovenessjunior1056 4 роки тому +1

    Me nimekuelewa sana mtumish Umefafanua vzr barikiwa

    • @moureenkirundwa8691
      @moureenkirundwa8691 3 роки тому

      Ww muogope MUNGU. Au ww ni mshirika wake? Ss umemuelew nn kuhus pombe?

  • @hermanstephenntabahungu5310
    @hermanstephenntabahungu5310 4 роки тому +4

    This man is very Clever!!!

  • @mariecharlotte3678
    @mariecharlotte3678 6 років тому +6

    Pombe hairuhusiwi ni dhambi kwa dini zote ukristo na uislamu.

  • @estomihilaizer1446
    @estomihilaizer1446 5 років тому

    Habari za kazi. Msalimie huyo MTU WA MUNGU

  • @alexanderkapinga2245
    @alexanderkapinga2245 6 років тому +4

    Pombe ni dhambi straight!!!

  • @simonndunguru1629
    @simonndunguru1629 Рік тому

    Ajibu kwa Vifungu sio kutamka tu yanayokuja kichwani. Hana Majibu.

  • @mwanakwetu6472
    @mwanakwetu6472 6 років тому +4

    Hahahahaha hapo kwenye POMBE mchungaji weka wazi tu, usikwepe saaaana....

    • @claudmsolla3893
      @claudmsolla3893 6 років тому

      Michael Mgalula kwa kifupi pombe ni dhambi

    • @petermding9000
      @petermding9000 6 років тому

      bibilia inasema walaf nawalevi hawataingia mbingun kwaiy o ukizidsha ni thambi

  • @sifajohn1320
    @sifajohn1320 6 років тому +4

    biblia inasema usinuse, usiguse wala usionje, hiyo habari ya kupitiriza zatokea wapi? Yesu tusaidie. kunywa pombe ni Dhambiiiiiiiii. Tuitetee injili jamani .

  • @frejascompany6094
    @frejascompany6094 4 роки тому +1

    Jamani huyu jamaa anaakili sana ..ukovizuri baba

  • @daudhenry913
    @daudhenry913 6 років тому +2

    Be blessed mzee wa UPAKO

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 2 роки тому

    Pombe siyo dhambi.dhambi ni ulevi

  • @eliaswilson1601
    @eliaswilson1601 4 роки тому +4

    ijueni kweli nayo itawaweka huru yohana 8:32.aliijibu kisiasa syo kama mtumishi wa Mungu alie hai.ambaye yeye asimame kama yesu mbele yetu ndo anajibu kimkato hivi.najua walio kwake wtafakari.na wchukue hatua.pombe hairuhusiwi.

    • @phoebemukhwana3058
      @phoebemukhwana3058 3 роки тому

      Kunywa pombe ni dhambi let's say the truth, only God knows and we need to pray wisdom from God

  • @allysinge952
    @allysinge952 6 років тому +4

    umu hamna mchungaji😁😁😁😁

  • @amaninaupendo.3539
    @amaninaupendo.3539 5 років тому

    Amen Amen. Wakati mwingine siyo mpaka MTU awe na imani .kunawengi tumewamsha kwa nguvu ya Mungu wakiwa maututi wasiyo jitambua. Katika utumishi wangu sitaji imani ya MTU . Bali imani yangu na Mungu inambeba mgonjwa na mwenye itaji.pombe siyo sawa. Mungu awabariki nyote. Amen.

  • @thobiasjosephat7953
    @thobiasjosephat7953 Рік тому

    Mchungaji anajibu sahihi. Lakini Mungu hadhihakiwi. Mambo yasilini yatawekwa hadharani siku ya kiyama.

  • @user-fr4mf5kb2q
    @user-fr4mf5kb2q 6 місяців тому

    Tuweke sawa hapo kwenye swala la pombe

  • @joshuafrank6261
    @joshuafrank6261 4 роки тому

    Mungu akubariki mtumishi wa
    Mungu

  • @julianlukindo6148
    @julianlukindo6148 4 роки тому

    Kweli wanasemaga mnawapigia kelele amina mtumishi

  • @emmanuelkalega1037
    @emmanuelkalega1037 4 роки тому +2

    Lusekelo were in mwanasiasa tu dhambi haiwezi kuwa halali eti kwa sababu inaingiza fedha nyingi inasaidia jamii

  • @mbotwambotwa2186
    @mbotwambotwa2186 Рік тому

    Umejibu vizuri sana maana usihukumu usije ukahukumiwa

  • @hajilubwaza3412
    @hajilubwaza3412 4 роки тому

    Nimeipenda sana hii

  • @karolshirima8935
    @karolshirima8935 4 роки тому +3

    Dhambi ni makubaliano kati ya Mchungaji na waumini wake.....!!
    Upotofu huu....!!!

    • @evaristshirima325
      @evaristshirima325 4 роки тому

      Hii kali

    • @ibrahimchediel4867
      @ibrahimchediel4867 4 роки тому

      hiyo ndo Dar essalaam huku wine huku mafuta na maji na washirika wanajaaa .pombe ni dhambi mwanadamu anajua haina mjadala wanadamu tunapenda kujenga hoja za ujanja ujanja lkn wakati ukifika tutasema yote ni vema waumini tukawa makini na kusoma neno la mungu, uvivu wa kutaka kutafuniwa kila kitu mch ni mwanadam atasimama mbele zs mungu kujibu na sisi tutajibu pombe ni dhambi sio dhambi je utasema mimi nilimsikiliza mch

  • @emmanuelpatrick5259
    @emmanuelpatrick5259 4 роки тому

    Asante kwa majibu mtumishi

  • @jacquilinemahumbi5950
    @jacquilinemahumbi5950 6 років тому +2

    Watu mmebadili maandko na kunywa kidogo usilewe. fanyeni tu

  • @Life10061
    @Life10061 Рік тому

    mzee hapo kama unatetea pombe

  • @tumainikyando8803
    @tumainikyando8803 4 роки тому +2

    MZEE WA UPAKO UNAKUNYWA KONYAGI ! KWANI SIRI?

  • @gabrielisack7786
    @gabrielisack7786 6 років тому +3

    Mungu tusaidie naona watu wako wanaangamia kwa kukosa maarifa,namsaidia Mchungaji kujibu kuwa Biblia haijazungumzia Pombe bali imezungumzia mvinyo wa divai na divai maana yake ni furaha,amani na mafanikio ndio maana Yesu alitengeneza Divai iliyokuwa na ladha tofauti na divai zilizozoeleka kwenye utamaduni wa wayahudi enzi hizo Yohana 2:1-10 na ndio ilikuwa ishara ya utukufu wake kwenye ile arusi aliyoalikwa Yesu.
    Divai iliyotengenezwa na Yesu ndio divai iliyoashiria mwili na damu yake itakayofanyika msamaha kwa watu wote.

    • @epafrasgray5725
      @epafrasgray5725 2 роки тому

      ,Acheni woga pombe au kinywaji chochote sio dhsmbi. Dhsmbi ni kutokuamini kwamba hakuna na huna dhambi kwani zote zimeondoleea na Kriso Yesu. Fullstop!

  • @sixbulldozerkingdom818
    @sixbulldozerkingdom818 6 років тому +4

    Daa hasara jamani interview ovyo kabisa majibu gani hayo

    • @soudhamadsoud8368
      @soudhamadsoud8368 4 роки тому

      Mungu aziakiwi mzee wataumbuka wengi ata kwetu wapo wapigaji

  • @tomantony3588
    @tomantony3588 6 років тому +2

    sema kuhusu pombe

  • @maryoswald6192
    @maryoswald6192 5 років тому +1

    Kachemsha mzee upako naona hajatoa jb

  • @mukeragabilodiana9391
    @mukeragabilodiana9391 4 роки тому +1

    Muogope mungu jamani. 👈

  • @salehlofy4251
    @salehlofy4251 6 років тому +2

    Hahah... hivo anavosema tu utajua kwamba Pombe imeruhusiwa kwa wakristo wenye akili wataelewa

  • @myself4128
    @myself4128 2 роки тому

    Walevi hawatoingia katika ufalme wa Mungu

  • @meremetasafaris_tz
    @meremetasafaris_tz 6 років тому +2

    Mheshimiwa amesahau kama pombe ni dhambi

  • @izackjonas9039
    @izackjonas9039 6 років тому +6

    pumbaaaavuuuuuuu kabisa, Yaan dhambi ni makubaliano???? nawaonea huruma waumini wako

    • @tolasdaniel9288
      @tolasdaniel9288 5 років тому

      Izack Jonas ww ndio mpumbav toa andiko linaloonyesha kunywa ni dhambi

    • @veronicamwalongo6875
      @veronicamwalongo6875 4 роки тому

      @@tolasdaniel9288 balaaa polen

    • @henrymatebe1492
      @henrymatebe1492 4 роки тому

      Waumini wake ni walevi kabisa

    • @Jastus100
      @Jastus100 Рік тому

      @@tolasdaniel9288 soma isaya 5: 22 imekataza pombe

  • @antonymwajombe8536
    @antonymwajombe8536 4 роки тому

    Daaaa kunalawama hadi unashindwa kutafakali kwa kina

  • @salvationsalvatory9097
    @salvationsalvatory9097 6 років тому +1

    huyu ni mwongo. BWANA YESU ALIWAFUATA WATU!

    • @marypaul2178
      @marypaul2178 6 років тому

      Salvation Salvatory ni kilaza achana nae

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 6 років тому +1

    Kwahiyo kutokana namchungaji pombe ni halali....! Tito aachiwe tu jaman

  • @gracemussa9691
    @gracemussa9691 3 роки тому

    Duh

  • @yusuphnjovu9666
    @yusuphnjovu9666 6 років тому

    amina

  • @nicodemshello163
    @nicodemshello163 2 роки тому

    HIVI WATU WANAOZUSHA VIFO WANACHUKULIWA HATUA GANI

  • @nicodemshello163
    @nicodemshello163 2 роки тому

    SAWA KABISA LUSEKELO

  • @jamesassanga9220
    @jamesassanga9220 6 років тому +5

    Kunywa usilewe according to mzee wa upako

  • @ephraimkanyambo4829
    @ephraimkanyambo4829 6 років тому

    Si kweli kwamba asilimia 90 inatoka kwenye ZE POMBE

  • @ngometvarusha4030
    @ngometvarusha4030 7 років тому +3

    nimemwelewa mzee lusekello kwamba dhambi ni mtazomo wa mtu na mtu .

  • @doreenkiwola9848
    @doreenkiwola9848 6 років тому +2

    Dhambi sio makubaliano weka wazi dhambi ni katazo LA mungu tusitende zambi

  • @abunerimjasiriamaliwamwang6171
    @abunerimjasiriamaliwamwang6171 7 років тому +3

    Hawa watumishi kwa kubadili MANENO too much

    • @ibumtumishisangaosward1202
      @ibumtumishisangaosward1202 6 років тому

      Mchungaji hapana kwani bibilia inasema kuwa ,ole wake apae kilevi mwanzake ,alafu wewe kama umechanguliwa kuwa laisi kwani lazima uwe wazili siunaweza kataa tuu

    • @gomisjoseph4794
      @gomisjoseph4794 6 років тому

      duuu nishida jaman hapo jina tu ndo limekubeba kiukwel cjakuelewa

    • @nelsonkessy5074
      @nelsonkessy5074 6 років тому

      Wapendwa, zichunguzeni roho hizo, je, zatoka kwa Mungu? ole wao wachungaji wanaopotosha kondoo wangu, asema BWANA

  • @anetikapami4228
    @anetikapami4228 6 років тому +3

    Ni hivi pombe ni dhambi wala siyo makubaliyano, wewe kama mtumishi wa mungu huwezi kutetea pombe hata siku moja

    • @robertmichael8023
      @robertmichael8023 6 років тому

      Aneti Kapami wapi paliandikwa pombe ni dhambi?

    • @francismsemwa8146
      @francismsemwa8146 6 років тому

      Aneti Kapami nikweli hapapo kwenye biblia panapokataza mojakwamoja kuhusu pombe ,zipo sifa zote za pombe kwa hiyo yeye yupo hapo tusimhukumu niuelewa finyu was maandiko

    • @polycarplazaro8482
      @polycarplazaro8482 4 роки тому

      Chakula ni dhambi au...!???? Kama ni dhambi.... iko kwenye Amri ya ngambi ya Mungu ili iitwe dhambi!!!?

  • @Masimba-t7u
    @Masimba-t7u 3 роки тому

    Mbn mzee kwenye pombe anazunguka zunguka tu siaseme kwa imani yake

  • @kwizeraelly9261
    @kwizeraelly9261 6 років тому +1

    Mrudie Mungu rafiki SDA.

    • @polycarplazaro8482
      @polycarplazaro8482 4 роки тому

      What is SDA,,, hujielewi kabisa.... Yesu alikuwa Dini gani!!!

  • @eliamtinda7222
    @eliamtinda7222 4 роки тому

    Hii kali...hakuna aliyemuona Mungu wala Yesu tuheshimiane dini zote..duuu!!!...Hii mpya!!!Dunia imeisha...Hakuna dini yoyote,dhehebu lolote isipokuwa ni Yesu pekee ndio njia na kweli ya kufika kwa Baba!!!!Pastor hapo sijakuelewa unamaanisha hata waislamu wako sahihi???Kanisa kazi ipo!!!!

  • @phoebemukhwana3058
    @phoebemukhwana3058 3 роки тому

    Tafadhali naomba kuelezewa, ni wapi Yesu alisema mke sio talaka

  • @prosperjuma905
    @prosperjuma905 5 років тому +1

    Hamna kitu hapo.

  • @respiciouszaka585
    @respiciouszaka585 6 років тому +1

    sijakuelewa kabsaa

  • @salehlofy4251
    @salehlofy4251 6 років тому +2

    Wakristo wanalewa ni kawaida au mmebadilisha KATIBA!

  • @RAFIKI_TANZANIA
    @RAFIKI_TANZANIA 7 років тому +1

    mzee utanisamehe Sana ila nakuchukia Sana because wewe ni muongo nilijua unamuabudu mungu wa Kweli kumbe huna lolote kiukweli hujanishawishi Duuh mungu tusaidie

    • @oshyceser5975
      @oshyceser5975 6 років тому

      nani mkweli unadhani...tusomeni tu Bibilia wachungaji wetu wana siri kubwa...66-17 Isaya....24-36 Luka pitia hizo kwanza...

    • @Mbakuli
      @Mbakuli 6 років тому

      Nechar Classic Mungu wa kweli unamjua wewe na wewe ni nani uhukumu!?

    • @solomongideon8685
      @solomongideon8685 4 роки тому

      Mathayo 15:7-9

  • @simonkabale3123
    @simonkabale3123 4 роки тому

    Ubarkiwe mze wa upako

  • @petermwanyondo5370
    @petermwanyondo5370 4 роки тому

    Nilijuwa mchungaji nikukemea popote uovu kumbe mnachaguwa seem kusema pombe nidhambi au sidhambi kujbu hadi mazngla mengne

  • @Aidenkuye
    @Aidenkuye 6 років тому +1

    Duuuuh,
    Mzee wa upako katisha!
    ...eti wine haina alcohol😂😂😂

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 2 роки тому

    🤣🤣 wine zipo zenye alcohol na nyengine hazina je wewe unakunywa ipi?

  • @daniellaizer79
    @daniellaizer79 6 років тому +2

    Hi ni hatari mchungaji anakwepa kujibu swali la Pombe kakataa kujibu wazi wazi

    • @isaacsengunda3099
      @isaacsengunda3099 4 роки тому

      Daniel Laizer ni miaka miwili ulishindwa kuelewa kuhusu majibu ya Lusekelo,ni pole kwa mtu ambae hawezi kumuelewa.

  • @sadikiasmani9231
    @sadikiasmani9231 6 років тому

    Mzee wa fix

  • @lutamyo
    @lutamyo 7 років тому +2

    Hapana Lusekelo hakuna ulevi halali na haramu, kuhubiri pombe ni dhambi ni maneno ya chumbani? Ni Mch pekee wa pentekoste ninaye msikia anatetea pombe.

    • @luganomasebo6606
      @luganomasebo6606 6 років тому

      Joseph Kingdom hivi pombe ni dhambi au ulevi ndo dhambi!?

  • @phoebemukhwana3058
    @phoebemukhwana3058 3 роки тому

    Mathao kwanza mstari wa ngapi

  • @shikaneno8861
    @shikaneno8861 6 років тому +3

    Ole wake ampaye mwezake kilevi yaani hata Yule muuzaji anayekupa anazambi

    • @polycarplazaro8482
      @polycarplazaro8482 4 роки тому

      Sikumbuki mahali Yesu alisema haya!!! Na Yesu alisemaje kuhusu Kinachoingia kinyani,,, si najisi bali kinachotoka kinywani mwake... HAMUELEWI INJILI... MTAFUTENIBYESU SIO MANABII WA ZAMANI.

  • @PeterNchimbi-n3q
    @PeterNchimbi-n3q 6 годин тому

    Unye kiasi gani ili usipate zambi

  • @mtanzaniamzalendo7001
    @mtanzaniamzalendo7001 6 років тому +1

    Mchingaji simamia unachokiamini,ungesema msimamo wako,hpa kapepesa

  • @roidatadey8656
    @roidatadey8656 5 років тому +1

    Ubalikiwe sana mchungaji

  • @priusjosephat2867
    @priusjosephat2867 5 років тому

    Mungu ndio ajuaye?

  • @samsonkusupa8115
    @samsonkusupa8115 6 років тому

    Hv dhambi ni makubaliano kati ya sheria za kanisani au kwenye mandolin...!? Mbona Mzee ufunguk

  • @wilsonmasaindiammasi2779
    @wilsonmasaindiammasi2779 4 роки тому +1

    Hivi kama ni haramu iweje mfanya biashara hela zinazunguka kuna mzaa pombe anakuja nunua kitu kwa kipato cha pombe na ukapokea mbona wasiseme ni haramu?

  • @johnjoseph1560
    @johnjoseph1560 6 років тому

    Muumini Wa kakobe angeenda kusimamia hili kanisa wangeingia mbinguni

  • @jimmyalfa1462
    @jimmyalfa1462 3 роки тому

    Mchungaji unashindwa kuongea ukweli??!pombe dhambi ama si dhambi..?jibu kwa imani yako achana na wengine maana kuna na imani zimazopotosha...

  • @jd-lo4xx
    @jd-lo4xx 6 років тому +1

    Hatakama ungechukua maji ukaweka alcohol ukanywa tiyali nizambi olewao waamkiao kwenye kilevi na ole zimetajwa mala nyingi kwa mwenda mbinguni tuwemacho mkristo wakweli anapoulizwa kuhusu Yesu hachengichengi nauhakika Yesu ukiweka alcohol kwenye maji asingewezakunywa wengine wanasema ati alitengeneza pombe kule kana alitengeneza Ila hakuweka alcohol wacha Mungu nikua macho

    • @equatorialsafarisdmc5145
      @equatorialsafarisdmc5145 6 років тому

      Kwa wakatoliki hunywa pombe ila Ni kiasi si thambi kunywa pombe, labda madhehebu mengine ya kikristu baadhi yao yanakataza. Tusihukumu Sana Jambo hilo la pombe, wachungaji wengine haswa wakioko nje ya nchi Kama ujerumani wanakunywa wakati hapa Tanzania wamekatazwa??kwa Nini iwe hiivi??

    • @Mbakuli
      @Mbakuli 6 років тому

      Justin Digadiga mithali31:6-7

  • @salehlofy4251
    @salehlofy4251 6 років тому +1

    Lakn wakristo kulewa ni kawaida inafahamika, imezoeleka siku nyng

  • @prospermruma1825
    @prospermruma1825 4 роки тому

    Muzee wa upako akubali video video zilimuonyesha akinywa pombo

  • @jumakalinga6715
    @jumakalinga6715 3 роки тому

    Kuhusu pombe muchungaji haponichenga

  • @mchungajiemmanuelmtui494
    @mchungajiemmanuelmtui494 4 роки тому

    Kileo au kulewa hakuruhusiwi kwenye Biblia na ulevi maana yake ni kupitiliza sasa huyu amesema sawa kabisa kwani wapo wanasema pombe ni dhambi tuu

  • @phoebemukhwana3058
    @phoebemukhwana3058 3 роки тому

    Mathao mlango wa mpka wapi mchungaji

  • @samlutubija1229
    @samlutubija1229 4 роки тому

    Makanisa ya Babel haya n shida mwovu anawatumia vibaya hata kama 90% ya mapato n pombe wee n kiongoz wa dini mbona wajibu kipombepombe. Ufunuo 14:8, 1petro 5:13, Mathayo 15:9, nilikua nakuamin kumbe bureee

  • @Pihansmo1129
    @Pihansmo1129 4 роки тому

    Fix

  • @josephmkavu2240
    @josephmkavu2240 6 років тому

    nataka kukuona
    ni mombasa

  • @tanunewstz
    @tanunewstz 6 років тому

    Vizuri sana pastor mm nakuelewa vema

    • @mst1studio270
      @mst1studio270 6 років тому +1

      EMANUEL SIMON huyo ni mlevi 2

    • @tanunewstz
      @tanunewstz 6 років тому

      MS1 STUDIO ulevi co alcohol elewa

  • @barrysulty1756
    @barrysulty1756 6 років тому

    Duuh

  • @muhammedsuleiman2137
    @muhammedsuleiman2137 2 роки тому

    Huna lolote muongo mkubwa wewe .unawaongopea wsio jielewa .nakama unaewza ombea wafe ,nakwambia zee la upako huna lolote .

  • @godfreyamen1135
    @godfreyamen1135 6 років тому

    kwa mtu mwenye akili timamu swali hili pombe ni dhambi au sidhambi lazima ujue dhambi ni nini,

    • @lilianjosephat9151
      @lilianjosephat9151 5 років тому

      Pombe ni dhambi

    • @henryelias7322
      @henryelias7322 4 роки тому

      Tens Biblia inasema msilewe Kwa mvinyo ambamo ndani yake kuna ufisadi, Bali mjazwe na Roho, huku mkimwimbia Bwana Kwa Tenzi na Zaburi. Starehe ni pale unapokuwa na Mungu ( Roho Mtakatifu ) hutahitaji uende bichi kupungwa upepo, wala kirabuni n.k isipokuwa, utabaki ukimtukuza Bwana mahali popote, ukiwa kwenye gari, unapika, unafanya kazi zako zote. Barikiweni wapendwa.

  • @henrymatebe1492
    @henrymatebe1492 4 роки тому

    9 Usinywe divai wala kileo cho chote, wewe, wala wanao pamoja nawe, hapo mwingiapo ndani ya hema ya kukutania, ili kwamba msife; amri hii itakuwa ni amri ya milele katika vizazi vyenu;
    Mambo ya walawi 10:9

    • @paschalmarusu1761
      @paschalmarusu1761 4 роки тому

      Kwa hiyo wasipoingia ndani ya hema wanaruhusiwa kunywa?

  • @karolshirima8935
    @karolshirima8935 6 років тому +2

    ua-cam.com/video/y7cDtCWtJ3Y/v-deo.html
    Pata kujua kama kunywa pombe ni dhambi au laa....dhambi si maamuzi ya dini fulani...mchungaji unapata kigugumizi kuongea kuhusu pombe ni dhambi au laa!!!

  • @godlistenmlanga1521
    @godlistenmlanga1521 6 років тому +1

    kunywa pombe si dhambi,kulewa ndio dhambi,hakuna andiko kwenye biblia unaosema kunywa pombe ni dhambi,

    • @solomongideon8685
      @solomongideon8685 4 роки тому

      we mzee umechanganyikiwa, unahitaji uokoke maana shetani amekuteka . acha kudanganya watu wa Mungu. umejaa porojo tu Injili haipo hapo.

  • @Hassan_Mengi
    @Hassan_Mengi 7 років тому +6

    Waumini wako nawapa pole

  • @kibajadaniel9887
    @kibajadaniel9887 6 років тому

    halafu mifano yako haina mashiko Sana poster

  • @godfreyamen1135
    @godfreyamen1135 6 років тому

    dhambi nikukosa lengo la Mungu,ni kukosa muelekeo nikwenda kinyume na amri za Mungu,pombe km pombe haiwezi kufanyika dhambi,dhambi ni uasi,km creti za bia zimewekwa hapo,hakuna anayezitumia utawezaje kusema dhambi ileeee,huo ni uwendawazimu wakifikra,mzee wa upako aweke wazi asikwepe kwepe

  • @gaspermassawe7397
    @gaspermassawe7397 7 років тому +4

    kwa kweli wewe ni JIPU KTK WACHANGAJI TANZANIA,YAANI UONGO WAKO HATA SHETANI AKALALE,WEWE NI MLEVI TU,PUMBAVU SANA

    • @beatusilonganya187
      @beatusilonganya187 6 років тому

      Gasper jaman pombe so zambi mbn uzinzi nidhambi na kwann mungu anachukia zambi ya uzinzi kuliko zambi zote achen Iman potof

    • @adamzakaria2463
      @adamzakaria2463 6 років тому

      Gasper Massawe sana

    • @hannahsanga1040
      @hannahsanga1040 6 років тому

      dhambi yauzinzi unaifanya ndani yako

  • @ligimilosanga2126
    @ligimilosanga2126 7 років тому +5

    wapi wameandika pombe ni dhambi??!!ulevi ndio dhambi ukristooo sio mzigoo kiasi hichoo.tatizo letu ni mojaa,hatusomi biblia kikamilifu na kufuatilia mafundishoo haswaa

    • @mwananyamalalaboratory3554
      @mwananyamalalaboratory3554 6 років тому

      ligimililo sanga acha ujinga kwani mzee waupako anakamatwa na polisi alikamatwa kwa sababu ya ulevi au kukutwa na chupa za bia pia imeandikwa ole wao watafutao kileo maana pombe

    • @hannahsanga1040
      @hannahsanga1040 6 років тому

      ligimilo sanga mh ww Sanga

    • @francismsemwa8146
      @francismsemwa8146 6 років тому

      ligimilo sanga uko sahihi ligimilo

    • @stanleymakonya4718
      @stanleymakonya4718 5 років тому

      Kweli mkuu

    • @bebyglove5864
      @bebyglove5864 4 роки тому

      Soma methali vixur pombe imekatazwa

  • @upendokimaro1661
    @upendokimaro1661 6 років тому +1

    Pastor lusekelo weka mambo vizuri huo ni uongo Mimi nilishaitwa kuendesha gari breweries nikakataa! Kwa sababu nimeokoka!So wewe ni Mchungaji unashindwaje kusema kunywa pombe ni dhambi!

    • @oshyceser5975
      @oshyceser5975 6 років тому

      Kuendesha gari la Bia na kula nguruwe mbona sawa...kama umeokoka kabla ya kifo soma...21-31 Mathayo na 66-17 Isaya

    • @davidawet3214
      @davidawet3214 5 років тому

      Nimesikitika sana na majibu ya huyu mchungaji.

    • @polycarplazaro8482
      @polycarplazaro8482 4 роки тому

      Hujielewi,,, hiyo pombe kuwa dhambi... Iko kwenye amri ya ngapi!!!?

  • @Jastus100
    @Jastus100 Рік тому

    Mchungaji kwahiyo mi nikifungua kanisa langu tukakubaliana kuwa uzinzi isiwe dhambi kwenye dini yetu je ni Sawa ? Kama dhambi ni makubaliano?
    Kwa mawazo yangu dhambi sio makubaliano dhambi ni sheria ya Mungu kutoka katika biblia lazima tuifuate