#EXCLUSIVE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 428

  • @jonathanjocksonmushi9518
    @jonathanjocksonmushi9518 3 роки тому +5

    Amina napokea na pia tukutane mbinguni badaye Mungu n mwema

  • @dorothmtenga5934
    @dorothmtenga5934 3 роки тому +11

    Unayoyasema ni ya kweli mtumishi wa mungu sasa baba naamini una imani kubwa mimi nnakuomba unipe basi hata kagari kamoja mimi ni mzee kaweze nipeleka kanisani na hospitali mungu akubariki sana

    • @mariaclaver7721
      @mariaclaver7721 3 роки тому

      Unatumia jina la yesu kupata utajiri na kuwadanganya wagonjwa na dhaifu kwa imani zao ole wao.

    • @rosendanshau2751
      @rosendanshau2751 3 роки тому

      Saidia watu wenye makanisa madogo sapoti mabati hata kiwanja.fanya hiyo uwe na taji.usisifire nagari tu. Saidia baba

    • @saleheinnocent7636
      @saleheinnocent7636 2 роки тому

      😁thubutu

    • @mwamakaassely2260
      @mwamakaassely2260 4 місяці тому

      Mvuta bangi huyu

  • @kingwatabata4230
    @kingwatabata4230 3 роки тому +17

    Wewe ndio mchungaji wetu unatutia moyo sana unatufundisha namna ya kupambana na maisha💪

  • @agaaah6697
    @agaaah6697 3 роки тому +7

    Sasa dimond kanunua juzi Tanzania nzima wanajua wakat mzee wa upako anayo na tulikuwa hatujui 🔥🔥

    • @EREVUKATV
      @EREVUKATV 3 роки тому

      Watu wengine ndg yangu akil hawana ... We acha tu

  • @geofreyfelix86
    @geofreyfelix86 3 роки тому +7

    Mzee wa upako ni miongoni mwa wachungaji ambao nawakubali sana kinywa chako kinanena maneno yenye HEKIMA sana

  • @user-ot2io4cy6w
    @user-ot2io4cy6w 3 роки тому +7

    Huyu Mchungaji bhana anaongeaga point sana af utani mwingi😀😀😀

  • @richardmollely2933
    @richardmollely2933 2 роки тому +1

    hongera sana mzee wa upako hiyo ni sawa kabisa mtumishi wa Mungu pokea upako zaidi

  • @simpleboytz255
    @simpleboytz255 Рік тому +2

    Gwajima anamiliki Hummer, helcopter na nyumba ghorofa apo unamzidi kweli

  • @bevingtonjumaa7028
    @bevingtonjumaa7028 3 роки тому +14

    Wito...Uaminifu na unyenyekevu.
    This very true

  • @georgepalanjo1476
    @georgepalanjo1476 3 роки тому +6

    AMINA mi mwenyewa mzee was upako uliniombea nna michuma mpka mingine nimegawa na nahauna masharti yeyote na mzee wa upako hadai fidia ukifanikiwa

  • @saidmganga3597
    @saidmganga3597 3 роки тому +4

    Safi sana mzee wa upako kwa ujumbe mzuri

  • @nyamogafamily4262
    @nyamogafamily4262 3 роки тому +4

    Ameen

  • @revocatuskakulu1854
    @revocatuskakulu1854 3 роки тому +1

    Pastor ,aiseee ubarikiwe kwa kauli ya kuitwa na Mungu imenigusa kweli,Kama hujaitwa utahangaika hangaika tu na kujipa vyeo ambavyo sio unakuwa tapeli

  • @elibarikichengula1546
    @elibarikichengula1546 3 роки тому +3

    Mzee wa upako umetisha! Tuombeane katika utumishi wa Mungu

  • @kennethngoleka517
    @kennethngoleka517 3 роки тому +5

    Ni kweli kabisa na uzidi kubarikiwa

  • @ramygichero1016
    @ramygichero1016 2 роки тому +3

    Nayapenda maisha yako mzee wa upako

  • @esthermoraa6648
    @esthermoraa6648 3 роки тому +8

    Hizo sote ni pesa za waumini,, sadaka 🙏🙏🙏🙏🙏

    • @tumainsawe6960
      @tumainsawe6960 3 роки тому

      Sisi tunaotoa hatuumi mbona unateseka?

  • @rukizaseba5741
    @rukizaseba5741 3 роки тому +3

    Mungu akubariki

  • @timboxlee919
    @timboxlee919 3 роки тому +7

    Uko sawa mzee wa upako,uko vzr chifu wewe hela unazo siku nyingi

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 3 роки тому +14

    Mungu ameahidi kumtajilisha mtu yeyote anayetii Biblia inasema mkitii mtakula mema ya nchi

    • @matundumgweno4533
      @matundumgweno4533 3 роки тому +2

      Umenena dada

    • @gracekagoma3231
      @gracekagoma3231 3 роки тому

      Si Kweli

    • @witneskilinda5034
      @witneskilinda5034 3 роки тому +1

      si kila mtu anayetii maagizo ya Biblia anatajirishwa! kuna watu wengi waaminifu lkn maisha hao ni magumu! hvy hatutii neno la Mungu ili tufanikiwe ktk maisha! bali tunatii maagizo ya Mungu kwa sababu ndivyo Mungu anavyotusihi! ukifundisha watu hvy eti kila mtu anayetii Neno la Mungu atatajirishwa huyo mtu akiwa mwaminifu half asitajirishwe atamwona Mungu ni tapeli na mwongo! Maandiko Matakatifu yanatuambia "Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa" Mathayo 6:33

  • @Dr.frankrichard
    @Dr.frankrichard 2 роки тому +1

    Amen Mungu ni Mwema na mwaminifu

  • @Deonfnyoni
    @Deonfnyoni 3 роки тому +6

    Mzee wa upako baba wa kiroho umenifundisha ki2 kizuri sana kwamba ukitaka kuongea na Mungu ingia sehemu 2livu chumbani na omba asante sana baba

  • @angelmwakalonge9564
    @angelmwakalonge9564 3 роки тому +3

    Hongera yake

  • @fediliaulomi4969
    @fediliaulomi4969 3 роки тому +5

    Baba yangu wa imani aliniombea nipate nyumba na nikapata kweli mungu azidi kukuinua baba

    • @andrewkazy3727
      @andrewkazy3727 2 роки тому

      Alikuombea ukapata nyumba bila juhudi zozote?🤣🤣🤣

  • @mbwanamungia9921
    @mbwanamungia9921 3 роки тому +12

    Ujanja unamsaidia mzee wa upako

  • @williamkitigwa-ex8rt
    @williamkitigwa-ex8rt Рік тому +1

    Tuna mtaka mungu na SI magari Yako baba hayo hayatusaidii

  • @Onlyforfun1992tube
    @Onlyforfun1992tube 6 місяців тому +2

    Uyu mchungaji aliwahi kusema anapenda konyagi

  • @cvanoedward3093
    @cvanoedward3093 3 роки тому +12

    Nimeichukua hiyo "ukitembea na waridi utanukia"

  • @danielmpole9508
    @danielmpole9508 3 роки тому +1

    Kazi njema ya Bwana Mungu

  • @odhiaodhia9898
    @odhiaodhia9898 3 роки тому +12

    Umeongea point sana mzee

    • @jaxxwade2873
      @jaxxwade2873 3 роки тому

      I guess it is kind of randomly asking but do anybody know of a good website to watch new tv shows online ?

    • @pedroemmett3509
      @pedroemmett3509 3 роки тому

      @Jaxx Wade Ehh I'd suggest Flixportal. you can find it thru google =) -pedro

    • @jaxxwade2873
      @jaxxwade2873 3 роки тому

      @Pedro Emmett thank you, I went there and it seems like a nice service :D I really appreciate it!!

  • @jaziherminiomorasmoras1715
    @jaziherminiomorasmoras1715 2 роки тому +1

    Wewe ukisema Mimi ni mchungaji wa kwanza kununua benzi na jery ngwamba atakuwa wa ngapi uongo huo

  • @alainebengasaligo7447
    @alainebengasaligo7447 3 роки тому +5

    Ngoja nikuhulize pasta kati y'a kuomba mungu wama babu nakuomba mungu wa isaka nayakobo kati yahawa wa 2 nani anahomba vizuri mbele yamacho y'a bwana

    • @chrismassawe326
      @chrismassawe326 3 роки тому

      Ukitaka kujua na kumjua Mungu wa kweli nitafute nikupe ufaham bure utakusaida

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 роки тому

      @@chrismassawe326 0788327252 naomba unibp nkupgie unipe akili na maarifa

    • @chrismassawe326
      @chrismassawe326 3 роки тому

      @@gosbertmuta5421 0718338222

  • @muniradaudi440
    @muniradaudi440 3 роки тому +10

    Yani gari ina tv 4 jmn M ungu tuonee n sisi hawa Watu ulowaenuwa wapee ujasiri watusaidiyee na sis

  • @martinbruno9071
    @martinbruno9071 3 роки тому +4

    Nimecheka sana,ila good point.

  • @emmanuelndembeka6751
    @emmanuelndembeka6751 3 роки тому +18

    Daah! Hatari MUNGu atatuchoma mzee wa upako amenogewa na raha za dunia mpaka inafika mahali anasema wazungu wanataka ibadili dunia kuwa kama mbinguni huko ni kukufuru

    • @amanimlengwa9202
      @amanimlengwa9202 3 роки тому

      Yaaani wewe, kote huko, katika yote hayo mazuri aliyoyaongea ya kifalme na ya maana sana ulikuwa unatafuta tu mahala utakapo hukumu tu...
      Umashida sana ndugu,
      Nadili mtazamo wako and stop being pessimist man.

  • @cleartzboy
    @cleartzboy Рік тому +1

    Ela za wahumin daah ney aliona mbali

  • @dannyboytz6198
    @dannyboytz6198 3 роки тому +2

    Duh noma

  • @blantonthecrazyart3124
    @blantonthecrazyart3124 3 роки тому +5

    Maneno yako ya na baraka sana

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 роки тому +1

    Sadaka za watu hizo hongera sana

  • @festuschunya7067
    @festuschunya7067 3 роки тому +1

    Ni kweli habari hiyo!!ya maandiko!!

  • @josephsira1584
    @josephsira1584 3 роки тому +1

    Hongera mzee wa upako

  • @JosephSimiyu
    @JosephSimiyu 2 роки тому +1

    Barikiwa mtumishi

  • @ebenezermachange1073
    @ebenezermachange1073 3 роки тому +1

    Amen

  • @ramadhanimtetu3656
    @ramadhanimtetu3656 Рік тому +1

    Mtumishi Mambo Mengi muda mchache 😂😂

  • @user-ot2io4cy6w
    @user-ot2io4cy6w 3 роки тому +6

    Kila mtu anaenda kwa Mchungaji anayemuamini yeye.
    Wewe kama utaona unaibiwa acha kwenda huko hujalazimishwa na mtu.

  • @angeljasson4376
    @angeljasson4376 3 роки тому +1

    Namkubali sana mtumishi

  • @bensoneleutely9506
    @bensoneleutely9506 3 роки тому

    Asante sana Baba

  • @amirikoshuma3039
    @amirikoshuma3039 3 роки тому +2

    Basi sawa

  • @elinajamsuya948
    @elinajamsuya948 2 роки тому +1

    Tapeli ww akunamtumishi apo usimchezee mungu

  • @prophetmlokozi4633
    @prophetmlokozi4633 3 роки тому +2

    😅😅😅 Haleluya

  • @mussamabawa2973
    @mussamabawa2973 2 роки тому +1

    Big up mzee wa Upako

  • @thieryniyonkuru5023
    @thieryniyonkuru5023 2 роки тому +1

    Mzee msimuonee, mbona wengine hawatozi hizo sadaka wakanunuwa magari kama yake? Wivu tuu, wivu tuu. Mzee paaa tuu upo sahihi

  • @nataliakenny5029
    @nataliakenny5029 3 роки тому +2

    Alieskia chai jaba na nungaembee anipe like😂😂😂😂😂

  • @khadijavassardanis3178
    @khadijavassardanis3178 3 роки тому +2

    Safiii mzee

  • @manasemwakilasa5931
    @manasemwakilasa5931 3 роки тому +18

    Mchungaji wa kwanza,kupiga konyagi🤣🤣🤣

  • @monicalaizer7596
    @monicalaizer7596 Рік тому +2

    Sema watu wapone😄😄😄

  • @paulmwakilembe4573
    @paulmwakilembe4573 3 роки тому

    Mungu anakuona amina

  • @nantaembanusurupia5674
    @nantaembanusurupia5674 3 роки тому

    Anamzidi ngwajiboy kwa mbalii sana huyu hakuwahi kuwaza ubunge

  • @joshymalinyo6057
    @joshymalinyo6057 3 роки тому +5

    Mzee anamambo ya muhimu asee

  • @oboteobote1696
    @oboteobote1696 2 роки тому +2

    Si anipatie moja mimi

  • @shanisshow1864
    @shanisshow1864 3 роки тому +4

    Jamani cardilac hata kwa magari luxury haipo ila watz bhana ya marekanin yapo kila kona ni family car wala waru mashuhuru hawalinunui ... jamani shida kweli ... ila mbarikiwe jamani

    • @musasalim7042
      @musasalim7042 3 роки тому +1

      we unalo ?

    • @zedymoris8576
      @zedymoris8576 3 роки тому

      Kwenu Tz ziko ngapi?

    • @thehunter5920
      @thehunter5920 3 роки тому

      Kwani umeambiwa ni Marekani hapa?

    • @emariusrush3285
      @emariusrush3285 3 роки тому

      Wewe ni mkundu (Benz,range,buggati, Lamborghini Cadillac Escalade CTS, Ferrari, McLaren, Hummer, Tesla na Aston Martin one ndio magari ya kifahari duniani (, Google bei ya Cadillac Escalade CTS toleo la 2021 uone bei yake)

    • @iamstivin.
      @iamstivin. 3 роки тому

      haipo Cadillac...hauko serious ww

  • @ntakirutimanapierre2345
    @ntakirutimanapierre2345 3 роки тому +6

    Sasa uyu anamzidi rwanjima?

  • @shayopaterini8678
    @shayopaterini8678 3 роки тому +1

    Umenifurahisha saana kwa mamiss hapo

  • @matukutajuma156
    @matukutajuma156 3 роки тому +1

    LUKUSEKELO NAKUEKEWA SANA KAKA

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 3 роки тому +5

    Wazungu Hawawezi kumfikia Mungu, na kamwe Hawawezi kufanya hii Dunia Iwe mbinguni. Hapo unakosea

    • @gloriatoo22
      @gloriatoo22 3 роки тому +1

      Amekosea wapi..wewe ndio haujamuelewa ndugu...

    • @tumainsawe6960
      @tumainsawe6960 3 роки тому

      @@gloriatoo22 good

  • @mrematvbabakoku8336
    @mrematvbabakoku8336 3 роки тому

    Safi sana baba yake na nabii shila mwanao nabii shila atasubiri hapa na mbagala

  • @evelinelema3395
    @evelinelema3395 3 роки тому +1

    Watu wa Mungu mnatakiwa kumfollow Imani mcimbwa UA-cam harakka kabla hamjachelewa

  • @maximusfrancois5004
    @maximusfrancois5004 3 роки тому +5

    Mzee wa upako ww jembe kweli SASA umesomesha watoto wangapi yatima? Hio ndio sifa. Maendereo pia ni mema Sana. Bado ndege Mzee wetu.

  • @Zaikadena
    @Zaikadena 3 роки тому

    Kwel ni neema kwa mungu hakuna kinacho shindikana

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 2 роки тому +1

    Chanzo chako cha mapato ni nn?

  • @mustaphamkawa5052
    @mustaphamkawa5052 3 роки тому +11

    Piga ela za maboya then katambe.....hahahaa kwel kila mtu ana njia zake za kujipatia kipato

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 3 роки тому +3

      Mustapha sana usemavyo wajinga ndiyo waliwao

    • @highvoltages4169
      @highvoltages4169 3 роки тому +3

      Hela za maboya kama wale maboya wa misikitiini waliopigwa hela na Dr.Sule

    • @saimonijonas4356
      @saimonijonas4356 3 роки тому

      Maisha ni imani.Ishi vile unavyo amini,ndipo utakapo fanikiwa.Mtu anaamini kupitia mchungaji nitakutana namatokeo mema ya maisha yake wacha aamini.Wapo wanaoamini bila kwenda kwa waganga hawawezi kufanikiwa.Naukiangalia mganga hata kiatu kizuri hana anakuambia utapata gorofa wakati yeye yupo nyumba ya nyasi.Maisha ni imani.

    • @Onlyforfun1992tube
      @Onlyforfun1992tube 6 місяців тому

      ​@@highvoltages4169we umejuaje dokta sule au we muislamu ??

  • @mpetafrank7195
    @mpetafrank7195 3 роки тому +2

    Mzeee wa upako umetisha mzee Ila Napendaga sana ukianza ku unguruma vyenye vipindi vyako

  • @justineisacki8740
    @justineisacki8740 3 роки тому +2

    Dah jamni mh

  • @sylvesterjose3286
    @sylvesterjose3286 3 роки тому +9

    Majigambo na mbwembwe za magari ya kifahari.... Huo msururu wa magari yaliyopaki kwenye garage inakusaidia nini?

  • @winnysyombuandambuki5475
    @winnysyombuandambuki5475 3 роки тому +1

    Tulilieni ufalme wa mungu kuliko ufalme wa duniani

  • @gipsonsteven6449
    @gipsonsteven6449 3 роки тому +3

    Mmmmh ni noumaaaaaaa

  • @lameckmichaelmagazi6345
    @lameckmichaelmagazi6345 3 роки тому +2

    Sasa diamond ajilinganishe na wachungaj? Hawawatu wanapesa

  • @reginaosward6170
    @reginaosward6170 3 роки тому

    Hubiri neno ,mwenye upako ni Yesu siyo maji

  • @yasinamiri7649
    @yasinamiri7649 3 роки тому +1

    Kwa mjibu wa bibilia juu ya wachungaji 50 6 yeremia watuwangu wamekua kondoo walio potea wachungaji wao wamewapoteza

  • @emma96tv55
    @emma96tv55 3 роки тому +17

    huyu jamaa ana siri moja na diamond

  • @dullahoroond5241
    @dullahoroond5241 3 роки тому +1

    Nataman ungekuwa muislamu siku moja kabla haujaondoka Duniani

    • @geofreyfelix86
      @geofreyfelix86 3 роки тому

      Kwani uislam na UKRISTO zote ni IMANI yako ndo kawa MKRISTO

  • @geraldlyimo2859
    @geraldlyimo2859 3 роки тому +4

    Japo sio muumini wake nimemwelewa ila wenye wivu hawatamsikiliza barikiwa

  • @davianofficial6972
    @davianofficial6972 3 роки тому +2

    Tutkula mema ya nchi Neno lishasema

  • @christophersikaonga8714
    @christophersikaonga8714 3 роки тому

    Morning sasa mtumishi hujui gari lako

  • @nyamangaking6608
    @nyamangaking6608 3 роки тому

    Hamna kitu hapo, sio mtumishi wa Mungu wewe ni wa shetani, ninyi walokole hanna macho ya rohoni ya kutambua nani wa Mungu nani wa shetani,poleni sana

  • @cherishmlambo2813
    @cherishmlambo2813 3 роки тому

    Kweli kabisa baba

  • @bernardmasangula9358
    @bernardmasangula9358 3 роки тому +1

    Kwa mara ya kwanza hamjanidanganya nyie ptv waongo ongo.

  • @jaziherminiomorasmoras1715
    @jaziherminiomorasmoras1715 2 роки тому +1

    Subiria moto tu mtu wangu

  • @kataninyido401
    @kataninyido401 2 роки тому +1

    Hatar Sana

  • @muniradaudi440
    @muniradaudi440 3 роки тому +4

    Wew baba mazali n tajiri tusaidiye na sisi n maskini jmn😭😭😭😭

  • @kanyeewastee2976
    @kanyeewastee2976 3 роки тому

    huu mchungaji haeleweki kabixa anaonekana hamuombie Mungu tunaemjuwa

  • @mwendelebenitho5008
    @mwendelebenitho5008 3 роки тому

    Namashaka sana nahuyu mchungaji kwann anamchukia sana daimond🤔🤔🤔

  • @calimahad9274
    @calimahad9274 3 роки тому

    Sioni mtu wa Mungu hapa, ninachokiona hapa ni mtu mmoja anatumia jukwaa la dini kutajirika. Wapo wengi wa aina hii. Hata kwenye Uislaam sasa kidogo kidogo kumeanza mtindo wa masheikh kujitajirisha.

  • @livingmunisi5963
    @livingmunisi5963 3 роки тому

    Mmesahau akina joedev

  • @stephanopatrick1226
    @stephanopatrick1226 3 роки тому +2

    Halaf hii TV niyakipuuz saanaa

  • @mussaameir5230
    @mussaameir5230 3 роки тому +2

    Hivi watumishi wa Mungu kwa nini mnakosa Hekima? hivi kweli mtumishi wa mungu atajitokeza katika mitandoa na kuzumgumza mambo ya anasa tu " mtumishi unahojiwa na mada ya gari kweli!! "

  • @efraimjohn4956
    @efraimjohn4956 3 роки тому

    Katika watu wabinafsi Duniani wengi ni watumishi wa Mungu, maana hupokea sadaka nk lakin wao hawawez kusaidia watu wenye uhitaji.

  • @leganmichael6148
    @leganmichael6148 3 роки тому +1

    Huwa namuielewa sana Mzee wa upako, huwa anazungumza uhalisia wa mambo

  • @yonathanimachinga3435
    @yonathanimachinga3435 Рік тому +1

    Kujitapa si tabia ya kiungu , naona kila siku kujitapa na mali tu tutaziacha Dunian tengeneza njia ya mbinguni

  • @amishmuu2104
    @amishmuu2104 3 роки тому +2

    Mpe mzee upako nagari sio utajiri.ila kwa lumbukeni ndio utatangaza👏👏👏