Zogo Mchongo S2EP2 (Sehemu ya 2): Joe asimulia Mkanda mzima kuhusu the Cask Bar na majanga ya moto

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 гру 2024
  • Mara nyingi majanga mbalimbali kama moto, mafuriko, wizi na mengineyo hayaepukiki na pale yanapotokea huwarudisha watu nyuma kwa kuwapa hasara ya muda mrefu hasa hasa kiuchumi.
    Kwenye Episode hii ya pili ya Zogo Mchongo tutakuwa na mfanyabiashara Joe Makanyag, ambaye ni mmliki wa the Cask Bar ya Mwanza na Dar esa Salaam ambaye atatuelezea stori ya kuunguliwa na moja ya bar zake, lakini pia utajionea njia sahihi na salama kutoka Benki ya CRDB ambayo ni suluhisho la changamoto za majanga.
    Usikose kutazama Zogo Mchongo kila siku ya Jumanne saa 3:00 Usiku kupitia Clouds TV na marudio ni kila Jumatano saa 8:30 mchana na Jumamosi saa 9:00 mchana na hapa hapa kwenye chaneli yetu ya UA-cam.

КОМЕНТАРІ • 4

  • @mssikaadam6909
    @mssikaadam6909 4 місяці тому +10

    Kipindi, kizuri ❤

  • @AnnethAyoub
    @AnnethAyoub 4 місяці тому +11

    Comments jmn mbona wanamulazimixha kuoa mtu hatak duu ndoa hairszimixhwi

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 3 місяці тому

    CRDB nataka kujua habari za Isa inakuaje

    • @crdbbankplc7198
      @crdbbankplc7198  3 місяці тому

      Hisa ni sehemu ya umiliki wa kampuni. Hivyo hisa moja inawakilisha asilimia ndogo ya umiliki katika kampuni. Kama kampuni ina hisa milioni moja na mwekezaji anamiliki hisa 100,000 mwekezaji huyu anamiliki 1% ya kampuni. Mwekezaji anayenunua hisa basi ananunua haki ya kumiliki kampuni. Stahili za mwenye hisa ni pamoja na kushiriki katika kutoa maamuzi ya kampuni katika mkutano mkuu wa wanahisa na kupata gawio litokanalo na faida. Ana haki pia ya kuuza hisa zake kwa faida pale ambapo kuna ongezeko la thamani ya hisa. kwasasa hisa moja ni kiasi cha shilingi 620 na kima cha chini kununua ni hisa 100 ^Glad