CHEF GUDLOVE AMWAGA MCHELE/ HII NDIO SIRI YA UTAJIRI WAKE/ USO KWA USO NA MWIJAKU, UTACHEKA😂
Вставка
- Опубліковано 10 вер 2024
- Follow us on Social Media Platforms
Instagram:
Crown FM - / crownfmtz
Crown TV - / crowntvtz
Twitter (X):
CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
Facebook:
CROWN MEDIA: www.facebook.c...
TIKTOK:
- www.tiktok.com...
SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz
DRC 🇨🇩 tunawapata vizuri sana Crown 👑👑👑 media
Ila jamaa angesema kilicho fanya afike hapo hayo mengine ya kusema eti atawapotosha watu ni uongo.
Leo maskini tumesemwa mpaka basi 😅😅😅
😂😂😂😂Lizika na ulicho nacho my mwache atuseme
Dah bc tufanyaje sas
Hahaha yaan acha tu ni huzuni 😅😅😅
@@salomewandya7257 saw bn
😅😅😅😅😅
Tuna wapata vizuri sana kutoka Danmark 🇩🇰🇩🇰🇩🇰🇩🇰🤝❤️
❤❤🇹🇿
Wakat uko mbagala maji matitu
🙄🙄🙄
@@BonnyMwajombe-iu7hb😂😂😂😂
Mwijaku BiG Up sana unajua kuhoji sana ❤❤❤❤❤❤❤ clouds wamepoteza jembe
Anachokisema chief Godlove ni sahihi asilimia kubwa ya sisi wabongo ni mawakala wa watu wenye pesa tunakua na aibu ya kutafuta pesa hapo ndo tatizo tunaogopa maskini wenzetu✌️✌️✌️✌️🌷🌷🌷💯💯💯💯
Anachosema ni kweli,Godlove tangu mdogo anaishi Kama tajiri 😅
😂unemjuaa umeongeq
Acha kujifanya unamjuwa unataka kk 😂😂😂😂😂😂😂watakupaka mwamposaaaaaaaaà
Crown congratulations 😊
Sio Chef ni Chief, sio Gudlove ni Godlove
😂😂😂 wamezingua
Wanatuangusha bhana media bado mpya kabisa kweli😂😂😂😂
Hawajazingua that is our English of 2tay see yuuuu hahahah
This is huge media.......
@daniel_89_89, jina lake kaliandika hivyo kwa sababu siyo mjinga kachagua, kaaamua kubadilisha tu, acha upimbi, mchizi yuko powa wewe una nini na kujua kuandika kwako? Roho ya kimaskini
"Mtu amepata ajali anafia mikononi mwako kisa amekosa hela ya matibabu" Hii sentensi mbn kama haiko sawa ajali n emergency case ulienda hospital yoyote wanajali kwanza kuokoa maisha ya mtu alfu ndo malipo au Mimi ndo sielewi
Sasaivi dungu birapesa akuna uduma
Asee hospital bila pesa wongo lazima uweke pesa mbele ndio vipimo ufanyiwe hivyo huna pesa kufa kwenye kiti nijambo la kawaida
Tema mate chini
Fanya utafiti zaidi ndugu.
😂Aisee!!! Hiyo Mpya kabisa.
Eti na yeye ni tajiri 😂😂😂 hivi matajiri wanawajuwa???
Huyo jamaa ni mjinga sana hakuna mtu aliewah kufanikiwa ndio maana biligate ni tajiri lkn kila cku anatafuta pesa huyo ni mshirikina na pesa za aina hiyo ni shida pia wanajuta sana maisha waliochagua
mimi ni Juma Madala nikiwa south Africa Pretoria na wafatilia sana na peda gisi mwijaku akiwa kazini Klaus ni tofauti akiwa yeye na baba levo anani furaisha sana
Ulienda kwenye kikao bagerspark
😂
@@babamiltonkyando NICHEKEEEEEEE MIE SOUTH
Yaani tujitume tu jamani 🇨🇩🇨🇩☝️
Hongera sana Chief Godlove kwa jitihada zako za utafutaji
Basi kuna watu wanajua jamaa anamzigo kweli 😂
umetixha sana chief nakukubar kiongozi wangu
Mike joseph from Malawi 🇲🇼
Chimakeke umeona Sasa. This is the greater chief Salut kama zote toka hapa na nyanya wako wa kizungu 😂😂😂😂
Chima ni hustler wew afu sio stunt creator km hao wase**" akina chef godlove
Godlove Wewe unajielewa sanaaaa. Namimi ninakuelewa 1).Hata ukitunana nikwa lengo la kumfanya MTU asikie hasira apende kuwa tegemezi kwahiyo ukiona MTU anakuchukia huyo anamaanisha amekuelewa SANA ila TU hapendi kukukubali anaumia kwanini unaweza kitu ambacho yeye hana!!? Kutoweza kwao wanaona kama umekuja kuwahukumu kwamba wao wameshindwa.
Yes boss
Upo sahihi kabisaa.....
WANAUME TUTAFIUTE HELLA
Pesaaaa ndio kilakitu ndugu
Utawaonaje watu wenyeshida au unapatikana wapi?ili nije ninashida kweli
Crown fm hoyee! I have already subscribed
Hyo nikweli lakin tupe njia mojawapo chief 🎉🎉🎉🎉
Uku kwetu nirifungua duka warivyo hona maendereo yangu wao wao wateja wakaja kufungua karibu na mimi apoapo
😂😂😂😂😂😂
We hata kuandika hujui
@@IkoUwasi-it6qy bona tunasiliyako ulibakwa
Ndo maana walikuzunguka kwasabab huwezi kutofautisha R na L
@@njoroboihastla nawewe tupe istolia yako ya kubakwa
Nakukubali sana chief wanao kuchukia achana nao vijana wengi awataki kufanyaa kazi
Hayo mapete kumanina zenu ndo mauchawi yenyewe tumbafu
Ukiachana na uongo uongo kijana anaongea fact, tuache kujaji mengne fuata point tu 🎉🎉
Mwijaku mwamba unaakili sana kwenye swala la network unatisha sana
17:40 usonji sio vichwa maji (vichwa vikubwa), hayo ni matatizo mawili tofauti ya watoto. Watangazaji/waandishi mjielimishe kabla ya kuongelea jambo lolote.
Toka italy 🇮🇹 nawapata vzr
Nauchukia umasikini sanaa
Nakukubali sana kaka mkubwaa
Ahsante sana jamaa yetu😂 sikuelewi ila umenikosha daaa❤
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 big up sana.
Crown 👑👑👑👑👑 media
towa background music 🎶 mbona mnakuwa washamba nyiye editors
huyu akiwa darasa la sita frash zilikuwepo kweri mmmh🤣🤣🤣🤣
Anamaanisha CD ndiyo zilikuepo kipindi iko
By the way nyingi sana humu 😂
Huyu jamaa mm huwa namuelewa sana chief huna dhambi
Sasa wewe ndo unadhambi sasa acha kuongea ujinga
Ishii Sanaa babaaa maisha nikuamua😮😮😮😮
Mm namkubali godlove tajiri waokwea kweli brooo🎉🎉
Hilo pua la mwijaku😂😂😂
Ukimuangalia Mwijaku amependa godlove kimahaba
😂😂
😂
😂😂kati yao nani ndo bwabwa sasa
Kwani mwijaku niwakikeee epuka makauli hayo bhana ss tunakataaa roho za ushoga na usagaji
We gasho nin....unayajua mahaba
Katika maisha fanya kitu ambacho kipo kwenye ndoto yako sio kuiga utapotea afu badae utaisi yure mtu ni mchawi na utaferi kabisa fanya yako usipende kufatiria maisha ya watu utaferi kabisa
Kwa jinsi uyu jamaa anapenda ujiko keel pesa aina mwenyewe
✍🏾
Umeacha shule darasa la sita lakini umeanza kupanga ukiwa daraza la 7
Mgongano wa maneno hapo hapaeleweki
Waandishi mko busy na camera kuliko kusikiliza mnaemhoji.
Akuacha shule ila alitoka kwao wakati Yuko darasa la sita
Pia alikuwa anasoma
Kaka godlove ww ni noma
Hatari
Uyu Hana ela
Chief Godlove una kipaji cha utangazaji
Hizo beats za background zinapunguza usikivu. Km kuna mahojiano basi zihondoeni ili kuongea usikivu.
Ndiyo uweke vibao kma unapesa
Hatuna budi kupambana
Nikweli kabisa jamaaa alikuwa na ndoto ya kuwa na hela ukiangalia hata fb yake akiwa katoto alikuwa anapenda kujiita god bilionare mwakibete,
Nakuelewa goodluk
Habari zauko nilita nifike dar ku waona
There is no poverty to our cosmology.
💯💯
Mnyakyusa mmoja kama elfmoja 🔥🔥🔥🔥.....🤣🤣🤣🤣
Ivi watanzania mnajua maana ya matajiri kweli....kwaiyo chief godlove nae ni tajiri😂😂😂😂 aya bana
Mbona anazunguka mbuyu huyu si aseme anafanya shughuli gani.
Ana shughuli nyingi sana,,,Anauza fulana,,Ana group la whatsapp kujiunga laki 1,,Ana migodi n.k,,, TUTAFUTE HELA BROH.
@@jamesmzaki6041group la WhatsApp laki 1 😅😂 si bora mniue
Ni story ndefu kidogo 😂
Nawapata kutoka Mkoa wa Malunga Kahama tanzania😊
Jamaal anajisahau Mara alisema aliishia la Sita mara lasaba anatuchanganya
Hiinanikumbusha long kidogo nikiwa darasani Kuna zile hesabu za kugawanya kwa kuonyesha mtiririko wa namna ulivyo pata jibu😅
Sasa ole wako mwalimu akute njia ni tofauti na jibu ulilo pata.
Unapata jibu sahihi kwa kikokotoo issue inakuja kuonyesha njia ya hilo jibu sasa.
Ndivyo zilivyo hela za ku download fedha za Masharti.
Huwezi kuonyesha njia yanamna ulivyo zipata kwa sababu ni hela za kulala nakuamka unazo😅
Sishangai sana akiangaika kujieleza amefika fikaje hapo alipo.
Shida Hela za short cut kama hizi mwisho wake huwa mbaya sana.
Vijana Mwaminini Mungu na pia aminini katika kupambana kwa njia ya Haki.
Mungu Yupo akiona bidii na juhudi zako tuu
Hana iyana Kukufungulia milingo yako.
Kama Shetani anaweza akabariki watu wake kwa namna hii basi ujue Mungu alie hai ni Zaidi .
Good comment ndugu katika comment zote hii ndio comment bora halafu jamaa mm simpingi but nisichokipenda kwake nikuita watu masikini takataka ilhali nae alizawaliwa katika umasikini hapo ndio huwa anafeli maana anapoita watu masikini mbwa takataka ina maana hata wazazi wake nao walikuwa hivo? Tufanye vitu lakin tuweke mipaka wazaz wetu wasitupiwe matusi ni moja ya laana but comment yako ni nzuri sana sana ndugu❤❤❤❤❤
Yeah cheif godlove nakufatilia mpaka
Nyie hilo beat katengeneza Nan? Linanipandisha midadi 😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂 mamaeeee
😂😂😂😂😂😂😂
Mbona sisi tunamtafuta hatumpati na tunashida jamani mie ni mama mwenye miaka 57 namuomba anisaidie napitia wakati mgumu mno
Ukweli ni uyo ni freemason akuna tajiri alie pambana kwa jasho aka tangaza
Sisi amba tuna D 6 tumeelewa😅
Hustleling Hustleling
😂😂
Hii redio bado san riyama ndo kabisa hajui kitu
Una Utajiri gani kijana😂😂😂😂
Utajiri unaujua wewe?kuwa na hela sio Utajiri hata wacheza kamari wana hela ila sio matajiri
Neno maskini limetajwa mara132
Hapo studio mbona kama mmebanana
kaongea point huyu mwamba
Wote hamjui hata maana ya kufanikiwa digli za ovyoo
Mzeee wa mbaoooooo
Satan work agenest God mimi sijaona tajiri anae ji anikaa sawa tu na mlevi asie na ela akinywa kidogo kelele amukiwezi lakini tajir yupo kimia tu adi umkanyage mguu ata sema pole lakini awa awana jaribu utakiona ila kwangu mimi mola ndie mwokozi tu..
Baasi atakuwa JAMBAZI wala hakuna wakukuiga hukoooooMixxxx
Sawa kuna ipinda mbili kuna ya barabara kama unaenda kasumuru huvuke kwenda malawi na pia kuna ipinda hii yenye shure ya kafundo mana napajua jua uko nilikaa sana hapo mwalisi busare nkokwa shinyanga karambo itope ndobo hitungi 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Godlove nimekuelewa
👍✌️👊.
Duuuh usimzarau mtu na usimjaji mtu vbaya coz ujui back ground yke 🙏🙏🙏
🎉🎉❤
Yaniii tatzo sio kufanikiwa hakama hamja notice kitu huyu jamaaaa hajawahi kutaja kazi yake(
Mcheza forex Trading huyu
Radio za bongo bwana
Tajiri mdogo mwenyewe mbao nyingi
Chief tajiri
By the way
Chief Godloves doto magari anamuita mfalume 😂😂😂😂
Like zangu
Maskini day😂😂😂
Kuanza hustle mapema ni akili kubwa
Hahahaaaaa kazora mimb
Ila mwijakuungeaza kumuuliza yeye ni mtt wa ngap, amesoma mpka wap ingia ndani kabis mambo kama hayo tunataka kujua