CRDB BANK PLC
CRDB BANK PLC
  • 286
  • 16 036 526

Відео

CRDB Bank yashinda Tuzo ya App Bora ya Fedha Tanzania toka Jarida la GlobalFinance
Переглядів 485Місяць тому
Miamala yenye tija 📲 Kila muamala wa SimBanking App unapotiki ujue kuna ndoto ya mtanzania inatimia. Hakika wewe ndio sababu kuu ya sisi kushinda tuzo ya App bora ya fedha Tanzania kutoka jarida la Global Finance la nchini Uingereza. Asante kwa kuichagua SimBanking App, Asante kwa kuichagua benki ya CRDB 🙏 #benkinisimbanking #swahibalangulako #crdbbank #tunakusikiliza
Hapo Golini kwako Kuna Lipa Hapa? Tazama Jinsi ya Kuipata.
Переглядів 3962 місяці тому
Hii ndo dawa ya kuwezesha wateja wako wote kufanya malipo kwa namba moja tu! Kama huna usiwaze, msikilize Swahiba wetu Patrick Dumulinyi akupe madini ya namna ya kujipatia Lipa Hapa yako. Ukishakula somo anza mchakato kupitia link hii: online.crdbbank.co.tz/apply/merchant/form?fbclid=PAZXh0bgNhZW0CMTEAAaaDfOi_OmIHsGseOUUDm5s_z32rdEB1HZDR0RYY5mF02trWRfg7Th4HiV0_aem_If_5-X6IyPS3vTIVX2TR2A #crdbba...
Zogo Mchongo S2EP8 (Sehemu ya 3): Kumbe kuingiza pesa bila jasho inawezekana! Pata somo
Переглядів 4412 місяці тому
Waswahili wanasema kupata pesa sio tatizo,tatizo ni kuifanya pesa izae pesa. Kibelenge sio wa kwanza kupata pesa nyingi, wapo wengi kupitia mishe mbalimbali walipata pesa ambapo wengine zilipotea na wengine pesa zao zikazaa. Kwenye Episode hii ya nane ya Zogo Mchongo tutakuwa na mtaalamu wa mausala ya fedha na uchumi, Ammi Mwamunyi , ambaye atatupa uzoefu wake kinaga ubaga kuhusu namna ambavyo ...
Zogo Mchongo S2EP8 (Sehemu ya 1): Haya yanayosemwa kuhusu pesa nawe yanakukuta pia?
Переглядів 3712 місяці тому

Zogo Mchongo S2EP8 (Sehemu ya 1): Haya Yanayosemwa Kuhusu Pesa nawe Yanakukuta pia?
Переглядів 1762 місяці тому
Waswahili wanasema kupata pesa sio tatizo,tatizo ni kuifanya pesa izae pesa. Kibelenge sio wa kwanza kupata pesa nyingi, wapo wengi kupitia mishe mbalimbali walipata pesa ambapo wengine zilipotea na wengine pesa zao zikazaa. Kwenye Episode hii ya nane ya Zogo Mchongo tutakuwa na mtaalamu wa mausala ya fedha na uchumi, Ammi Mwamunyi , ambaye atatupa uzoefu wake kinaga ubaga kuhusu namna ambavyo ...
Zogo Mchongo S2EP7 (Sehemu ya 2): Kumbe CRDB ina bonge shavu kwa wabunifu na wajasiriamali
Переглядів 42 тис.2 місяці тому
Ubunifu kwenye biashara za kila siku ni jambo linaloongeza thamani kwa wajasiriamali na kuvutia wateja wengi. Ubunifu unapokosekana, uwezekano wa biashara kurudi nyuma. Kwenye Episode hii ya saba ya Zogo Mchongo tutakuwa na alwatan Masoud Kipanya , ambaye ni mtangazaji, mchoraji na mjasiriamali ambaye atatupa uzoefu wake kinaga ubaga kuhusu mada inayosema Ukosefu wa ubunifu watajwa kuua biashar...
Zogo Mchongo S2EP7 (Sehemu ya 2): Kwa Maelezo haya, Je Biashara yako ina Ubunifu?
Переглядів 101 тис.2 місяці тому
Ubunifu kwenye biashara za kila siku ni jambo linaloongeza thamani kwa wajasiriamali na kuvutia wateja wengi. Ubunifu unapokosekana, uwezekano wa biashara kurudi nyuma. Kwenye Episode hii ya saba ya Zogo Mchongo tutakuwa na alwatan Masoud Kipanya , ambaye ni mtangazaji, mchoraji na mjasiriamali ambaye atatupa uzoefu wake kinaga ubaga kuhusu mada inayosema Ukosefu wa ubunifu watajwa kuua biashar...
Zogo Mchongo S2EP8 (Sehemu ya 1): Haya yanayosemwa kuhusu pesa nawe yanakukuta pia?
Переглядів 99 тис.2 місяці тому
Ubunifu kwenye biashara za kila siku ni jambo linaloongeza thamani kwa wajasiriamali na kuvutia wateja wengi. Ubunifu unapokosekana, uwezekano wa biashara kurudi nyuma. Kwenye Episode hii ya saba ya Zogo Mchongo tutakuwa na alwatan Masoud Kipanya , ambaye ni mtangazaji, mchoraji na mjasiriamali ambaye atatupa uzoefu wake kinaga ubaga kuhusu mada inayosema Ukosefu wa ubunifu watajwa kuua biashar...
Zogo Mchongo S2EP6 (Sehemu ya 3): Hivi unajua Al Barakah inawafaa Waislamu na wasiokuwa waislamu?
Переглядів 3943 місяці тому
Kuwa na kampuni ni jambo moja, lakini kuendesha kampuni katika Huduma za kifedha zinatakiwa kumgusa kila mwanajamii, lakini kuna makundi ya kijamii ambayo yana imani fulani ambayo inaweza kuwanyima fursa za huduma za kifedha. Mfano wa makundi haya ni wanajamii wa dini ya kiislamu au hata wasio waislamu lakini wanaamini katika misingi ya Shariah. Kwenye Episode hii ya Sita ya Zogo Mchongo tutaku...
Zogo Mchongo S2EP6 (Sehemu ya 2): Msikilize Sheikh Akiidadavua Riba Kinagaubaga
Переглядів 7723 місяці тому
Huduma za kifedha zinatakiwa kumgusa kila mwanajamii, lakini kuna makundi ya kijamii ambayo yana imani fulani ambayo inaweza kuwanyima fursa za huduma za kifedha. Mfano wa makundi haya ni wanajamii wa dini ya kiislamu au hata wasio waislamu lakini wanaamini katika misingi ya Shariah. Kwenye Episode hii ya sita ya Zogo Mchongo tutakuwa Sheikh Issa Othman Issa , ambaye ni Imam Mkuu wa Masjid Ma’a...
Zogo Mchongo S2EP6 (Sehemu ya 1): Unaambiwa hata dini Inaruhusu kuweka akiba
Переглядів 7173 місяці тому
Zogo Mchongo S2EP6 (Sehemu ya 1): Unaambiwa hata dini Inaruhusu kuweka akiba
Zogo Mchongo S2EP5 (Sehemu ya 3): Kumbe Kukosa Tenda ni Kujitakia tu! Benki ya CRDB ndio Mchongo
Переглядів 53 тис.3 місяці тому
Zogo Mchongo S2EP5 (Sehemu ya 3): Kumbe Kukosa Tenda ni Kujitakia tu! Benki ya CRDB ndio Mchongo
Zogo Mchongo S2EP5 (Sehemu ya 2): Mkurugenzi wa GSM Afunguka Chagamoto Zinazokwamisha Makampuni
Переглядів 45 тис.3 місяці тому
Zogo Mchongo S2EP5 (Sehemu ya 2): Mkurugenzi wa GSM Afunguka Chagamoto Zinazokwamisha Makampuni
Zogo Mchongo S2EP5 (Sehemu ya 1): Kumbe GSM na ukubwa wake bado inapambania tenda!
Переглядів 72 тис.3 місяці тому
Zogo Mchongo S2EP5 (Sehemu ya 1): Kumbe GSM na ukubwa wake bado inapambania tenda!
Zogo Mchongo: Kumbe mashabiki wa Simba na Yanga wanaweza kunufaika kiuchumi. Mchongo huu hapa
Переглядів 88 тис.3 місяці тому
Zogo Mchongo: Kumbe mashabiki wa Simba na Yanga wanaweza kunufaika kiuchumi. Mchongo huu hapa
Zogo Mchongo (Sehemu ya 3): Mbona mashabiki wanasema Timu zao haziwanufaishi kiuchumi! Ni furaha tu.
Переглядів 88 тис.3 місяці тому
Zogo Mchongo (Sehemu ya 3): Mbona mashabiki wanasema Timu zao haziwanufaishi kiuchumi! Ni furaha tu.
Zogo Mchongo: Kumbe kazi ya Usemaji sio tu kuongea! Ali Kamwe na Ahmed Ally waelezea ugumu wake.
Переглядів 149 тис.4 місяці тому
Zogo Mchongo: Kumbe kazi ya Usemaji sio tu kuongea! Ali Kamwe na Ahmed Ally waelezea ugumu wake.
Zogo Mchongo S2EP4 (Sehemu ya 1): Eti ni kweli Ali Kamwe na Ahmed Ally haziivi!
Переглядів 86 тис.4 місяці тому
Zogo Mchongo S2EP4 (Sehemu ya 1): Eti ni kweli Ali Kamwe na Ahmed Ally haziivi!
Zogo Mchongo S2EP3 (Sehemu ya 3): Suluhisho la kukamilisha miamala kirahisi ndio hili hapa.
Переглядів 72 тис.4 місяці тому
Zogo Mchongo S2EP3 (Sehemu ya 3): Suluhisho la kukamilisha miamala kirahisi ndio hili hapa.
Zogo Mchongo S2EP3 (Sehemu ya 2): Eliud asimulia alivyohaha kutuma kodi ya mama mwenye nyumba
Переглядів 74 тис.4 місяці тому
Zogo Mchongo S2EP3 (Sehemu ya 2): Eliud asimulia alivyohaha kutuma kodi ya mama mwenye nyumba
Zogo Mchongo S2EP3 (Sehemu ya 1): Utacheka upaliwe ukisikiliza stori ya shule ya Eliud.
Переглядів 84 тис.4 місяці тому
Zogo Mchongo S2EP3 (Sehemu ya 1): Utacheka upaliwe ukisikiliza stori ya shule ya Eliud.
Swahiba OG wa CRDB anatumia LIPA HAPA
Переглядів 8014 місяці тому
Swahiba OG wa CRDB anatumia LIPA HAPA
Kiberenge kapata bodaboda Kidawa Limemshuka
Переглядів 5124 місяці тому
Kiberenge kapata bodaboda Kidawa Limemshuka
Zogo Mchongo S2E2 | Majanga yamkuta Kiberenge
Переглядів 1,1 тис.4 місяці тому
Zogo Mchongo S2E2 | Majanga yamkuta Kiberenge
Tembo, Kivuruge na Swahiba Kipanya ndani ya nyumba
Переглядів 6154 місяці тому
Tembo, Kivuruge na Swahiba Kipanya ndani ya nyumba
Every visionary needs a trusted Swahiba.
Переглядів 1874 місяці тому
Every visionary needs a trusted Swahiba.
Zogo Mchongo S2EP2 (Sehemu ya 3): Dawa ya Majanga ya moto, mafuriko, wizi na mengineyo yapatikana
Переглядів 69 тис.4 місяці тому
Zogo Mchongo S2EP2 (Sehemu ya 3): Dawa ya Majanga ya moto, mafuriko, wizi na mengineyo yapatikana
Zogo Mchongo S2EP2 (Sehemu ya 2): Joe asimulia Mkanda mzima kuhusu the Cask Bar na majanga ya moto
Переглядів 72 тис.4 місяці тому
Zogo Mchongo S2EP2 (Sehemu ya 2): Joe asimulia Mkanda mzima kuhusu the Cask Bar na majanga ya moto
Zogo Mchongo S2EP2 (Sehemu ya 1): Utashangaa wazo la Joe Makanyaga kufungua bar lilipoanzia!
Переглядів 70 тис.4 місяці тому
Zogo Mchongo S2EP2 (Sehemu ya 1): Utashangaa wazo la Joe Makanyaga kufungua bar lilipoanzia!

КОМЕНТАРІ

  • @MatridaLinus
    @MatridaLinus 2 дні тому

    😂😂😂 eliudi love you kaka mungu akulinde

  • @OfficialElishamaMulokozi
    @OfficialElishamaMulokozi 3 дні тому

    Habari njema.Salama za pongezi.

  • @MatridaLinus
    @MatridaLinus 4 дні тому

    Mnanipa raha sana nawapenda sana yani❤❤❤

  • @edaivan6421
    @edaivan6421 5 днів тому

    Nimeipenda 🙏🙏

  • @Mussaphanuel-p1q
    @Mussaphanuel-p1q 5 днів тому

    Good

  • @MohamedHeri-x7g
    @MohamedHeri-x7g 9 днів тому

    Ubunifu mahitaji mazingira yenyewe ndio ubunifu utakaa sawa

  • @SHUKURUMGANYIZI
    @SHUKURUMGANYIZI 9 днів тому

    sorry kumbuka kunisubscribe

  • @adrianmatemu567
    @adrianmatemu567 9 днів тому

    Kipanya anahitaji Elimu. Hata maduka ya nguo yawe mia sehemu Moja ubunifu sio kitu kabisa

  • @adrianmatemu567
    @adrianmatemu567 9 днів тому

    UNAWEZA SEMA UNAFANYA UBUNIFU, LAKINI IKAWA NI UJINGA SIO UBUNIFU

  • @adrianmatemu567
    @adrianmatemu567 9 днів тому

    SWALI NI JEE KIKWELI UNAPASWA KUFANYA BIASHARA? KAMA NI NDIO BIASHARA GANI?

  • @adrianmatemu567
    @adrianmatemu567 9 днів тому

    SIO KWAMBA BIASHARA INAHITAJI UBUNIFU, UBUNIFU NI SEHEMU NDOGO SANA, SWALI NI JEE BIASHARA UNAYOFANYA N

  • @Mainatongwe
    @Mainatongwe 10 днів тому

    😂😂😂ila sijapenda mmemkatili nyani ngwengwe nguluman ila ubaya ubwela leo umemuokoa udg wangu alafu wew😅😅

  • @Sr.Daisy.G
    @Sr.Daisy.G 10 днів тому

    G77g gy g yg y😮y gg

  • @BrownGeorge-y2c
    @BrownGeorge-y2c 10 днів тому

    Haaaaaaa❤❤❤❤

  • @fortunatusbernard3788
    @fortunatusbernard3788 11 днів тому

    Great move all the best CRDB

  • @happynesslyanga6856
    @happynesslyanga6856 11 днів тому

    Unajiunga vipi

    • @john.lazaro
      @john.lazaro 9 днів тому

      Open Simbanking > Services > Investments > Samia Bond > Invest now > Provide investment amount > Fill CDS No. > Add details > Get Reference No. and Pay

  • @hidayaiddy-n1q
    @hidayaiddy-n1q 12 днів тому

    Pia biashara inahitaj ubunifu na kaulii pia

  • @hidayaiddy-n1q
    @hidayaiddy-n1q 12 днів тому

    The first

  • @yakoboyohana953
    @yakoboyohana953 14 днів тому

    Nahitaji kupata namba zenu za huduma kwa wateja

    • @crdbbankplc7198
      @crdbbankplc7198 9 днів тому

      @yakoboyohana953, Habari, Asante kwa kuwasiliana nasi, Namba zetu za huduma kwa wateja ni +255 755 197700 / +255 714 197700 / +255 222 197700 / 080 000 8000 kwa msaada zaidi ^Elizabeth

  • @ramadhanifakikombo4010
    @ramadhanifakikombo4010 15 днів тому

    ua-cam.com/video/V1_8Fcpv40s/v-deo.htmlsi=-kE4dKehmDhMleiY

  • @CeciliaMbena
    @CeciliaMbena 15 днів тому

    L

  • @PendoMarco-x3u
    @PendoMarco-x3u 16 днів тому

    Crdb ni benk pendwa kwangu lazima nitaanza kimiliki pesa na kutunza

    • @crdbbankplc7198
      @crdbbankplc7198 16 днів тому

      @PendoMarco-x3u asante sana kwa pongezi hakika unachostahili ni huduma bora, ikiwa kama benki inayomsikiliza na kumjali mteja sana, ni fahari kwetu kukupatia huduma bora na hakika. Hakika CRDB Bank ni mahali salama na suluhisho la masuala yako ya kifedha #SwahibaLanguLako #CrdbBank #Tunakusikiliza^^Irene M

  • @Siege-of2ok
    @Siege-of2ok 16 днів тому

    nampenda lulu

  • @justcallmebanya
    @justcallmebanya 17 днів тому

    Great work from the marketing team🔥

  • @AbedAbdulferoz
    @AbedAbdulferoz 18 днів тому

    🎉

  • @HalimaJuma-b7w
    @HalimaJuma-b7w 19 днів тому

    Plan B

  • @vairethmondest8481
    @vairethmondest8481 20 днів тому

    Video,India

  • @JoyceNdauka-x5v
    @JoyceNdauka-x5v 20 днів тому

    O🎉

  • @HassaniKyongongo-yf6ds
    @HassaniKyongongo-yf6ds 20 днів тому

    Y 😮

  • @PaasaPaul
    @PaasaPaul 22 дні тому

    😢😮 😂😂

  • @TwinaweEnterprises
    @TwinaweEnterprises 23 дні тому

    Mko vizuri shida iko kwenye TIS mnachelewa, TCB kwa hapo wamewapiga chini

  • @FatumaLusangu-l2j
    @FatumaLusangu-l2j 26 днів тому

    y

  • @MekitilidaOnesimo
    @MekitilidaOnesimo 26 днів тому

    E

  • @GloryYuda
    @GloryYuda 26 днів тому

    You tube

  • @OfficialElishamaMulokozi
    @OfficialElishamaMulokozi 28 днів тому

    Good morning 🌞.

  • @OfficialElishamaMulokozi
    @OfficialElishamaMulokozi 28 днів тому

    Good morning 🌞.

    • @crdbbankplc7198
      @crdbbankplc7198 28 днів тому

      Hello@OfficialElishamaMulokozi, thank you for contacting CRDB Bank. How may we assist you? #CrdbBank #tunakusikiliza ^Amani

  • @OfficialElishamaMulokozi
    @OfficialElishamaMulokozi 28 днів тому

    😂😂😂😂😂😂Zogo Mchongo.CRDB BANK PLC.

  • @ZakariaMoll
    @ZakariaMoll 28 днів тому

    Misemoyahaya

  • @Sadikiibrahim-n9n
    @Sadikiibrahim-n9n 28 днів тому

    Nimeeipenda kazi yenu vipi naipataje

  • @SailaShaha
    @SailaShaha 28 днів тому

    Move chin

  • @jostam-p4y
    @jostam-p4y 29 днів тому

    Good

  • @kulway4669
    @kulway4669 29 днів тому

    Huyu ni lulu

  • @MaryMkoma
    @MaryMkoma 29 днів тому

    Lulu tuletee mimi bna acha hizo nan amemic mimi kama mm

  • @AliceFrederick-n3r
    @AliceFrederick-n3r 29 днів тому

    Ni saw gud

  • @NextKaoneka-dm7dp
    @NextKaoneka-dm7dp Місяць тому

    Okay

  • @ShabaniSefu-o4f
    @ShabaniSefu-o4f Місяць тому

    Yany

  • @QyogaOmali
    @QyogaOmali Місяць тому

    Watsp

  • @AbdulNashd
    @AbdulNashd Місяць тому

    Vipi unaweza kulipa ada ya chuo kupitia simbanking app

    • @crdbbankplc7198
      @crdbbankplc7198 Місяць тому

      Habari@ @AbdulNashd. Tunapenda kukufahamisha kwamba ndio unaweza kufanya malipo kupitia huduma ya Simbanking App. ^Lucy

  • @LeonardMuhoja
    @LeonardMuhoja Місяць тому

    Ipo vizuri

  • @daudbalele
    @daudbalele Місяць тому

    ?