FUNGU LA KUMI LIMEBEBA BARAKA NA LAANA KIBIBLIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024
  • Mal 3:10
    Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema BWANA wa majeshi; mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la.
    Maarifa ya Ki-Mungu
    @SIRI ZA BIBLIA
    www.sirizabiblia.com
    +255 758 708 804
    linktr.ee/siri...
    Instagram Account
    / siri_za_biblia
    SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
    M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
    CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

КОМЕНТАРІ • 147

  • @stellakusaga4916
    @stellakusaga4916 11 місяців тому +3

    Aaaamen baba,mtumishi hapa umenigusa mno moyo wqngu,asante sana kutukumbusha na kutufundisha hili somo!!ni somo nyeti sana sana,Roho Mtakatifu anisaidie ili nilitende neno lake nisiwe tuu msikiaji,na likaponye maisha yangu ktk kipengele hiki cha uchumi!!

  • @NannyNanny-fo9yh
    @NannyNanny-fo9yh 2 місяці тому

    Amen 🙏🙏 nimefuatilia mafundisho Yako mtandaoni nimebarikiwa sana kwa mafundisho nainuliwa kwa kweli, Asante

  • @richardkatunka5222
    @richardkatunka5222 4 місяці тому

    Ameni mtumishi kwa somo la sadaka
    Ambalo wachungaji wengi hufundishaa juu juu

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 Місяць тому

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉 Aminaa unasikika unaeleweka vizuri sana ndani yako una Mungu Ubarikiwe tunabarkiwa sana na mafundisho yako

  • @JojujaTraders
    @JojujaTraders 10 місяців тому

    Ubarikiwe sana kwa somo zuri, nimejifunza kumbe kuna majambazi mengine tupo uraiani na tunaendelea kuiba tu mali ya Mungu, Mungu atusamehe sana mtumishi pengine tulitenda kwa kutokujua

  • @marynyanje3904
    @marynyanje3904 11 місяців тому

    Amen mutumishi nmekuelewa vzr kwahili neno nkweli kabisa namungu akubariki ww nasisi wanawako hapa madhabahuni

  • @MassuTesha-e2u
    @MassuTesha-e2u 18 днів тому

    Amina baba

  • @MsuleOscar
    @MsuleOscar 10 місяців тому

    Ahsante sana mtumishi wa Mungu kunifungua akili na moyo wangu, Mungu akubarik

  • @nyakizanyabitanga8112
    @nyakizanyabitanga8112 10 місяців тому

    Tunakufata sana mutumishi wamungu ubalikiwe sana na mungu azidi kukupa ngunvu🙏🙏

  • @MariaKimaro-od1ni
    @MariaKimaro-od1ni 11 місяців тому

    mwenyezi mungu naomba nfutie maden yanay no kosesha raha pia mungu wanag wapate mahitaji me ngu wangu

  • @gabrielmdem4271
    @gabrielmdem4271 6 місяців тому

    Nakusikiliza nikiwa tandare unasikika vyema hongera sana mtumishi wa mungu ila sikobvizuli nina vidonda mdomoni naomba msaada waaombi kwa mungu baba

  • @nabintumiruho5142
    @nabintumiruho5142 10 місяців тому

    Bwana yesuvasifiwe mimi natokeya kampala akika nafuata sana na Mungu akubariki

  • @oman5875
    @oman5875 11 місяців тому +1

    Amen,yaan nimejikuta tu nimekuwa mnyonge Juu hili somo maan limenigusa sana na sijawai kutoa zaka lakini kuanzia sasa nahaidi Mungu anisaidie niweze kutimia hii ahadi ya Mungu kwa kumtolea Mungu 🙏🏿

  • @pharesmadawakombo9084
    @pharesmadawakombo9084 11 місяців тому

    Asante yesu

  • @bmbabaima1506
    @bmbabaima1506 11 місяців тому

    Loud and clear Arusha Ilboru

  • @annakiswaga8805
    @annakiswaga8805 11 місяців тому

    Nakupata Mtumishi vizuri sana tukiwa DODOMA

  • @nicemelles3576
    @nicemelles3576 11 місяців тому

    Nakupata vizuri kabisa nipo kazini kwangu Asubuhi ya leo

  • @abigaelmwadena2262
    @abigaelmwadena2262 11 місяців тому

    Ameen ameen❤

  • @FaidaWilly-du8ts
    @FaidaWilly-du8ts 10 місяців тому

    Amen amen amen.

  • @lisakuingwa7337
    @lisakuingwa7337 11 місяців тому

    MUNGU AKUBARIKI SANAAAAA . YOUR TRULY A MAN OF GOD I WISH TO SEE YOUR FACEE....

  • @feminakidiavai5849
    @feminakidiavai5849 11 місяців тому

    Niko nairobi kenya nakupata vizuri amen

  • @gideonmwaweza8177
    @gideonmwaweza8177 11 місяців тому

    Ahsante yesu nikitoa kwako siumii

  • @NafunaLydia-yr8xh
    @NafunaLydia-yr8xh 10 місяців тому

    Amen 🙏 🙏

  • @celestinakingori9987
    @celestinakingori9987 11 місяців тому

    Nakupata vizuri sana asante Mungu akuzidishe neema

  • @Fridausi-g6k
    @Fridausi-g6k 10 місяців тому

    Amen Amen ubalikiwe sana Mutumishi

  • @NafunaLydia-yr8xh
    @NafunaLydia-yr8xh 10 місяців тому

    Loud and clear kutoka kenya

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 11 місяців тому

    Hatari kumkopesha MUNGU

  • @neemagilbert2880
    @neemagilbert2880 11 місяців тому

    Neem MWENDA nipo mwanza nakupata vizuri😊

  • @باتريشاايملي
    @باتريشاايملي 11 місяців тому

    Yes,servant of God I'm getting u clearly in Saudi.

  • @fidesmushi
    @fidesmushi 10 місяців тому

    Ameni

  • @Joyyyyyjoy-yo3jj
    @Joyyyyyjoy-yo3jj 9 місяців тому

    Amen

  • @BabiStones-xw3xo
    @BabiStones-xw3xo 11 місяців тому

    mchungaji mimi nina kusikiliza vizur sana kutoka bujumbura

  • @MaryJohn-i7y
    @MaryJohn-i7y 11 місяців тому +1

    Amen🙏🙏🙏👏👏Nakupata vizuri nipo dodoma, mungu akubariki mutumishi akupe maisha marefu pamoja na family yako,🙏🙏 tuko pamoja👏👏🤝🌹🌹🌹

  • @carolinekosida1224
    @carolinekosida1224 11 місяців тому

    Amen🙏🙏🙏🙏🇰🇪

  • @AnithaMtatina-zn3cu
    @AnithaMtatina-zn3cu 11 місяців тому

    Amen🙏

  • @georgemtewele582
    @georgemtewele582 11 місяців тому

    Ame mtumishi wa mungu

  • @margaretkitti6339
    @margaretkitti6339 11 місяців тому

    Asante mtumishi wa Mungu nimebarikiwa naomba Mungu aniwezeshe ni tende kuligana na mafundisho ya Leo again thank you man of God

    • @neemaryan9947
      @neemaryan9947 11 місяців тому

      Ubarikiwe Mtumishi nilikua sijui Kama nakosea kutoa zaka nje ya madhabahu naomba pia utufundishe kuhusu malimbuko🙏

  • @AnnyAnitha-dj6uv
    @AnnyAnitha-dj6uv 11 місяців тому

    🇧🇮🇧🇮 umenigusa kbxa asante sana dady🎉

  • @vitaliskazungu5202
    @vitaliskazungu5202 11 місяців тому

    Amen sana Mtumishi wa Mungu

  • @perisriziki1592
    @perisriziki1592 11 місяців тому

    Eee mungu tusaidie tutoe sawa sawa na maandiko yako

  • @This_isTOP.10
    @This_isTOP.10 10 місяців тому

    Nakupata mucungaji mumgu akubariki

  • @NeemJoseph-r7g
    @NeemJoseph-r7g 11 місяців тому

    Amee

  • @AllyKimeshu-cb5qc
    @AllyKimeshu-cb5qc 11 місяців тому

    Ameen mtumishi sema tupone

  • @jeskaniyimumpaye4170
    @jeskaniyimumpaye4170 11 місяців тому

    Kweri mutushi wamungu nikweri mungu atusamehe asate kwamahubiri yareo mungu 🙏🙏🙏🙏🙏🙆‍♂️🙆‍♂️😭😭😭 akubariki mungu akupe guvu mutumishi wamungu

  • @RoseKalimanzila
    @RoseKalimanzila 11 місяців тому

    Amen mpendwa

  • @liddydeSalt4773
    @liddydeSalt4773 11 місяців тому +3

    Hallelujah Amen 🙏 🙌 👏

  • @JanetMihayo
    @JanetMihayo 11 місяців тому

    Ameen

  • @julietwambua9890
    @julietwambua9890 11 місяців тому

    Amen nimebarikiwa sana niko kenya nbi

  • @GraceLukindo
    @GraceLukindo 10 місяців тому

    Nakupata vizuri mtumishi

  • @MueniJudy-n9c
    @MueniJudy-n9c 11 місяців тому

    Amen Mimi shirika niombe nimepotesa pesa nimeimbiwa

  • @kvoca8248
    @kvoca8248 10 місяців тому

    Nakupat vyema toka Tabora, ubarikiw san paster mana tunabadilika kupitia siri za biblia

  • @ErastusMatata
    @ErastusMatata 11 місяців тому

    Loud en clear ,Erastus matata mombasa

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 11 місяців тому

    Sionagi shida Wala uzito wa kumtolea MUNGU sadaka

  • @georgemtewele582
    @georgemtewele582 11 місяців тому

    Ame

  • @malaikalihuda2831
    @malaikalihuda2831 11 місяців тому

    Nakusikiliza nikiwa tabora unasikika vizuri sana mtumishi na ninabarikiwa na mafundisho yako yesu akutunze

  • @everlinenafula
    @everlinenafula 11 місяців тому

    Mtumishi wa MUNGU barikiwa sana,umenifundisha sana mimi

  • @faithmwailunga6954
    @faithmwailunga6954 11 місяців тому

    Nakusikiliza vizuri sana baba

  • @caroloundo4727
    @caroloundo4727 9 місяців тому

    Nakupata vizuri

  • @WarulyaSimeon
    @WarulyaSimeon 11 місяців тому

    Asante kwa kutuweka wazi. Tumepoteza sana kwa kutozingatia ukweli

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 11 місяців тому

    MUNGU nisaidie nizidi kukutolea kwa moyo wa kupenda na furaha

  • @julietmunyazi
    @julietmunyazi 11 місяців тому

    Ameeeeeeeni❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @ChikuHimali-y3r
    @ChikuHimali-y3r Місяць тому

    Nakusiliza vizuri

  • @jafetstanlaus1324
    @jafetstanlaus1324 11 місяців тому

    Nimekupata vzuri ubarikiwe

  • @IsabelMazik-r4t
    @IsabelMazik-r4t 11 місяців тому

    MUNGU nisaidie nikutolee kwa MOYO WA kupenda

  • @salimamataluma1384
    @salimamataluma1384 11 місяців тому

    Nakusikiliza vizuri Mtumishi

  • @omegajoshua561
    @omegajoshua561 11 місяців тому

    Ameen nakupata vizuri

  • @NitunzeKilawah
    @NitunzeKilawah 11 місяців тому

    Amen mtumishi wa MUNGU unasikika vzur sana kutoka musoma-mara

  • @priscaadongo1922
    @priscaadongo1922 11 місяців тому

    Wasio okoka wanafikiri wakitoa fungu they will make heaven remember we pay tithes we don't give tithe and what we pay is taxes

  • @sulemaan8798
    @sulemaan8798 11 місяців тому

    Ninakupata.
    Nakusikia. Vizuri.
    Nikiwa. Qatar

  • @SalmaAs-wl5bn
    @SalmaAs-wl5bn 11 місяців тому

    Kweli mtumishi

  • @JOSPHATODERO-up1pk
    @JOSPHATODERO-up1pk 11 місяців тому

    Nakuskia vizuri

  • @CharlesPhilipomdimu
    @CharlesPhilipomdimu 11 місяців тому

    Amen ubalikiwe mtumishi wa Mungu' kwa somo hili!!

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 11 місяців тому

    Ubarikiwe Sana mtumishi wa MUNGU

  • @sophianelson7986
    @sophianelson7986 11 місяців тому

    Sophia ❤

  • @emilywamalwa5938
    @emilywamalwa5938 11 місяців тому

    Nakupata vizuri mtumishi wa Mungu barikiwa na wwe🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @AnnyAnitha-dj6uv
    @AnnyAnitha-dj6uv 11 місяців тому

    🇧🇮🇧🇮 umenigusa kbxa

  • @carolynemaulidi6834
    @carolynemaulidi6834 11 місяців тому

    Mimi na barikiwa nikiwa kenya

  • @gideonmwaweza8177
    @gideonmwaweza8177 11 місяців тому

    Mungu wetu ni wa utukufu milele

  • @stellakusaga4916
    @stellakusaga4916 11 місяців тому

    Nakusikia vizuri sana baba mtumishi kutoka Tanga Lushoto hapa,blessed much na Kristo azidi kukupandisha viwango vya juu zaidi.

  • @esthermasikha
    @esthermasikha 11 місяців тому

    Amen God forgive me for eating tithe 🙏🙏 I will be faithful from now

  • @DorothyChilembo
    @DorothyChilembo 11 місяців тому

    Asnte Kwa neno zuri nimelewa vya kutosha ubarikiwe Sana mtumishi 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @greacembwnwilibati8197
    @greacembwnwilibati8197 11 місяців тому

    Amen amen mungu ni mwema wakati wote Niko pamoja na ww mtumishi wa mungu naomba mungu unipe Neema yakulijua neno lako 🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 11 місяців тому

    Tuache ubahili jamani mbele za MUNGU,,,,

  • @berthabuseleke598
    @berthabuseleke598 11 місяців тому

    AMEN niko pamoja na wewe mtumishi from kahama

  • @amisakiza1538
    @amisakiza1538 11 місяців тому

    Utuzwe na Mungu mtumishi. Asante Bwana wamajeshi kwaneno lamaarifa 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @alicemwaka3762
    @alicemwaka3762 11 місяців тому

    Tuko pamoja

  • @tunuhaji
    @tunuhaji 11 місяців тому

    Hakika baba mungu apokee sadaka yangu kwa Jina la Yesu ameen 🙏

  • @auleliamngongo2509
    @auleliamngongo2509 11 місяців тому

    unasikika mtumishi

  • @marymaria6544
    @marymaria6544 11 місяців тому

    Amen amen amen ❤❤❤ ubarikiwe sana mtumishi.

  • @asesemsango3600
    @asesemsango3600 11 місяців тому

    Amen nakufuata vizuri nikiwa Malawi

  • @JumaNussura
    @JumaNussura 11 місяців тому

    Amenh

  • @lilianleonard8106
    @lilianleonard8106 11 місяців тому

    Amen Amen

  • @LailaMwinyi
    @LailaMwinyi 11 місяців тому

    Ameen 🙏

  • @rolandrekwel6088
    @rolandrekwel6088 11 місяців тому

    Amen Mtumishi wa Bwana 🙏 sana

  • @jescakerubo3953
    @jescakerubo3953 11 місяців тому

    Amen mtumishi wa mungu barikiwa sana

  • @SummerTime-v1s
    @SummerTime-v1s 11 місяців тому

    Ameen mtumishi ubarikiwe sana

  • @jacklinegatwiri635
    @jacklinegatwiri635 11 місяців тому

    Amen Amen mtumishi wa Mungu 🙏🙏🙏

  • @SilviaNshale
    @SilviaNshale 11 місяців тому

    Nakuskiliza vzr nipo dar es salaam mbezi beach

  • @jacklinekemunto7930
    @jacklinekemunto7930 11 місяців тому +1

    Amen🙏🙏🙏🙏👍

  • @elizagachie5946
    @elizagachie5946 11 місяців тому

    Nakupata vizuri hapa thika kenya