ASKOFU DR MOSES KULOLA MACHO YA MUNGU YAPO KWENYE FUNGU LA KUMI, WEWE NI CHUKIZO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 37

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f Рік тому +1

    Yaani ww huwa nakusikiliza hadi nalia machozi. Upendo nilionao kwako ni mkubwa sana!! Haupo ulimwenguni lkn hakika unaishi. Kwasababu neno la uzima bac ulikaa ndani mwako siku zote. Hujafa hakika mzee Moses!! Yohana8:51. Amen. Nami naishi katika Yesu Kristo!! Nashukuru sana, Yesu Kristo asifiwe sana!!

  • @sylbenard-y24
    @sylbenard-y24 Рік тому +3

    Nabarikiwa sana na mahubiri yake.

  • @CHRISMACHOMBE
    @CHRISMACHOMBE Рік тому +1

    Nabarikiwa Sana na mafundisho ya Moses kulola,maana nineno lakuaminiwa

  • @MariaMdemu-xt5cv
    @MariaMdemu-xt5cv Рік тому

    Baba ulituachia Neno lililouzima ,pumzika Kwa amani ...Neno lako limeku uzima katika maisha yetu Mungu akukumbuke katika ufalme wake.

  • @frankjohn8706
    @frankjohn8706 Рік тому +1

    Huyu kweli mwendo ameumaliza. Mwendo ni kuwa na YESU sasa sio maisha ya dini na vinyago au jua na mwezi na nyota

  • @bokimmwamba2322
    @bokimmwamba2322 7 місяців тому +1

    Vilaka vilaka vilaka Kila uchwao ni kutubu na kuanguka Tena. Eee Yesu turehemu

  • @MargaretKaranja-yu6hr
    @MargaretKaranja-yu6hr Місяць тому

    Amen amen hallelujah 🎉🎉🎉🎉

  • @elizadmwaisabila5922
    @elizadmwaisabila5922 Рік тому

    BARIKIWA BABA UMZURI- HUKO ULIKO ULIKO PATA MEMA YAKO BABA UMEACHA ALAMA KUBWA. TUNAFUATA NYAYO ZAKO EE! MUNGU TUJALIE

  • @jovithajovinary9305
    @jovithajovinary9305 3 роки тому +2

    Asante saana kwa maubili Aya mazuri

  • @paskaliamaganga9399
    @paskaliamaganga9399 Рік тому

    Mungu. akubali. Ki. Askofu.

  • @JanethEmmanuelEmmanuel-qo9fq

    Amina ibarikiwe sana injili hiii🙏🙏🙏

  • @angelitapaulo
    @angelitapaulo Рік тому +1

    Hakika baba yangu umetuachia injili isiyoisha utamu

  • @dawhiteschola8847
    @dawhiteschola8847 2 роки тому +1

    Ameni 👏👏👏

  • @olenkukuu1666
    @olenkukuu1666 2 роки тому

    Great preaches God bless you abundantly

  • @restphillipo1796
    @restphillipo1796 2 роки тому

    Baraka iwe juu yako

  • @angelalaizer3895
    @angelalaizer3895 2 роки тому +1

    AMEN

  • @amandaangie4806
    @amandaangie4806 Рік тому

    Amen 🙏 AMEN 🙏

  • @monickmahebe7974
    @monickmahebe7974 2 роки тому

    Napenda mahubiri yako.

  • @anethpatroba3401
    @anethpatroba3401 Рік тому

    😂😂😂😂ooh YESU tusaidie vijana

  • @aminaally4163
    @aminaally4163 2 роки тому

    AMEEN AMEEN

  • @JanethEmmanuelEmmanuel-qo9fq
    @JanethEmmanuelEmmanuel-qo9fq Місяць тому

    Alivosema Michael Mathew,kwa mjibu wa injili ya Yohana 8:51,kweri bado unaishi

  • @marthaseme2811
    @marthaseme2811 9 місяців тому

    🙏🙏🙏

  • @gracewilson6903
    @gracewilson6903 2 роки тому

    Amen

  • @TheGospelMelodies
    @TheGospelMelodies 3 роки тому

    Wow

  • @sarahmaro215
    @sarahmaro215 2 роки тому +4

    Baba yangu MOSES nakumbuka sana, Kama MUNGU angekuwa anarudisha watu duniani Tena ningemwomba amrudishe baba yangu huyu, hivi wachungaji wa Leo Kuna kitu mnajifunza kwa huyu? Au mnatupeleka kulingana na mapenzi yenu? Ole wenu maana MUNGU hana upendeleo nsnyi hukumun mtasisima tu.

    • @elishaelia9669
      @elishaelia9669 Рік тому

      Balikiwa mzee mozes kulola mahali ulipo

    • @NizerMgombele-xn5hb
      @NizerMgombele-xn5hb 9 місяців тому

      Ni kweli mzee alifanya kazi kubwa na nzuri ya mungu, lakini hata leo wako watumishi waaminifu kwa mungu na wanafanya kazi nzuri ya mungu na matapeli wa imani wataawpata wenzao kuwa kuwa making kuombea watumishi wazidi kuwa waaminifu

  • @MosesNtongolo-bq4cy
    @MosesNtongolo-bq4cy Рік тому

    Mungu akutie nguvu

  • @glorygod6081
    @glorygod6081 2 роки тому +2

    Huyu baba jamani napokea neema aliyokuwa nayo

  • @shalomuezra5972
    @shalomuezra5972 2 роки тому

    Huyu mtumishi WA MUNGU aliye hai hakika amepigana Vita mwendo ameumaliza mahubiri yake yanatia nguvu sana

  • @anthonyyalanda11
    @anthonyyalanda11 Рік тому

    Mahubiri haya yamekuwa Adimu TANZANIA,MUNGU TUSAIDIE

    • @geitandelwa299
      @geitandelwa299 8 місяців тому

      Umeona kwa sasa people la making ndo chakula chetu

  • @AdelaidaStephano-yj8wu
    @AdelaidaStephano-yj8wu 10 місяців тому

    Ninapo sikiliza maubiri Aya ninatetemeka na kulia Kwa uchungu Sana sijawai kuona mchungaji kama uyu Dunia nzima ayupo na atakuepo

    • @NizerMgombele-xn5hb
      @NizerMgombele-xn5hb 9 місяців тому

      Unasemaje hayupo mchungaji kama hyo hii ni roho ya kuzarau watumishi wote wa sasa usiseme hvyo nabii elia alisema nimebaki pekeyangu lakini mungu anamwambia ELIA mtumishi wake kuwa nimejisazia watu 7000 ambao hawajapiga goti kwa manabii wa bahali mzee alifanya kazi mpaka naogopa ila tusipitilize kusema watu wa mungu roho ya kuwachosha watumishi waaminifu au mpaka wafe ndo tuwasifu sema huyu alipewa injili ya machozi

    • @NizerMgombele-xn5hb
      @NizerMgombele-xn5hb 9 місяців тому

      Nawatumishi wanasema waumini wazamani sijaona kabisa hakuna hii ndani yake shetani anapishanisha tuwe makini

  • @davidmembedalamethepsalmis2885

    Tumpate wapi tena MTU kama huyuuuuu