UKWELI KUHUSU LAANA ZA KIFAMILIA // MATESO YASIYOISHA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024
  • #biblia #laana #familia
    Maarifa ya Ki-Mungu
    @SIRI ZA BIBLIA
    www.sirizabiblia.com
    +255 758 708 804
    linktr.ee/siri...
    Instagram Account
    / siri_za_biblia
    SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
    M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
    CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

КОМЕНТАРІ • 124

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 8 місяців тому +1

    Amen

  • @lilianeerica3318
    @lilianeerica3318 Рік тому +7

    Ukweli kabisa yesu atufunguwe kupitia damu ya yesu kristo 🙏🙏🙏🙏🙏mtumishi japo kuwa ningumu ila ningeomba haya mafundisho uwe unatupa odio kwa WhatsApp ili ku share na wengine kwasababu ni mazuri😢😢😢😢

  • @johnmwangi4592
    @johnmwangi4592 Рік тому

    Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah

  • @diananaswa4842
    @diananaswa4842 Рік тому

    Asante mtumishi wa MUNGU
    Naomba MUNGU uniongoze napojiandaa kuvunja madhabau ya laana za ukoo....uniezeshe yesu wangu

  • @MichaelKangeta-lt2gh
    @MichaelKangeta-lt2gh Рік тому

    Asante yesu Kwa siku ya leo nzuri sana John9vs4 nawapata kutoka NCHINI ZAMBIA 🙏🙏👍👍

  • @salomembukwa5706
    @salomembukwa5706 Рік тому +1

    Nafuta laana kwenye familia kwa jina la yesu

  • @WAHINDIKWEMBE-er8bj
    @WAHINDIKWEMBE-er8bj Рік тому +2

    Najitakasa na damu ya Yesu mimi na familia yangu juu ya laana na mikosi ya kifamilia.

  • @dayemukalai3427
    @dayemukalai3427 Рік тому

    Mungu atusaidiye tumalizie mfungouhu pamoja na YESU Kristo

  • @elizalililove9193
    @elizalililove9193 Рік тому +1

    Ameeen Ameeen Ameeen Asate kwa neno la Mungu

  • @jumberichardkilopa6465
    @jumberichardkilopa6465 Рік тому +1

    damu wa Yesu inisunguke na familia yangu

  • @christinalivigha-cs1yg
    @christinalivigha-cs1yg Рік тому +1

    Najitakasa Kwa damu ya yesu

  • @janethstephen7869
    @janethstephen7869 Рік тому

    Asante Yesu kwa neno lako lenye nguvu

  • @NaumiBaya-wr7ri
    @NaumiBaya-wr7ri Рік тому +1

    Amen amen 🙌🙏

  • @edithaabel7858
    @edithaabel7858 Рік тому +2

    Ee Yesu wangu naomba nitakase kwa damu yako uniokoe kutoka kwenye laana na maagano yote yaliyowekwa kwaajili yangu wanangu na familia yangu🙏

  • @PatrickMusyoka123
    @PatrickMusyoka123 Рік тому +1

    Amen 🙏 🙏

  • @slyviamariammariam-7262
    @slyviamariammariam-7262 Рік тому

    Ahsante MUNGU kwa siku nyingine nmepata kuuona mkono wako katika maombi ya toba Baba naomba pia Unitie nguvu zaidi kwa kipindi hiki cha kuvunja laana

  • @auleliamngongo2509
    @auleliamngongo2509 Рік тому

    Damu ya Yesu inioshe Mimi na familia yangu dhidi ya laana ya kifamilia,Amina

  • @theresiapiusi2280
    @theresiapiusi2280 Рік тому

    Asante Yesu sifa kwa Yesu.

  • @FortunataGodfrey-q9v
    @FortunataGodfrey-q9v Рік тому

    Amen mtumishi mungu akubariki sana 🙏🙏🙏🙏

  • @marthaviana433
    @marthaviana433 Рік тому

    Yani am from Kenya n today in our church we had a very powerful sermon about generational curses inherited curses only by repentance n repentance only we can get out of this chain

  • @shukurusyriack3504
    @shukurusyriack3504 Рік тому

    Mungu aendelee kukutunza mtumishi wa Mungu

  • @TheresiaMoses-g7w
    @TheresiaMoses-g7w Рік тому +1

    Najitakasa Mimi na familia yangu Kwa damu ya yesu

  • @FaithDoha
    @FaithDoha Рік тому

    Asante Mungu wangu kwa kunipa uzima niko kwako Baba futa kila haina ya laana inayotuandama ndani ya jamii ytu na family yangu itokayo kwa mababu na wazazi waliyotangulia in Jesus name 🙏

  • @WAHINDIKWEMBE-er8bj
    @WAHINDIKWEMBE-er8bj Рік тому +1

    Nafuta laana na mikosi kutoka kwenye ukoo, familia, mababu, na mabibi kwa jina la Yesu.

  • @tumainimatanda8214
    @tumainimatanda8214 Рік тому

    Mungu aendelee kukutunza Mtumishi wa Mungu

  • @JoyceWilsonrute
    @JoyceWilsonrute Рік тому

    Mungu naomba uturehemu Mimi na watoto wangu na wadogo zangu

  • @JumanneShingsha-ks4vb
    @JumanneShingsha-ks4vb Рік тому

    Mungu nilinde Kwa ulinzi wako 🙏🙏🙏

  • @evansmahate
    @evansmahate Рік тому +1

    mungu awe nasi

  • @adolphinemuswamba1059
    @adolphinemuswamba1059 Рік тому

    Nafuta laana zote juu ya watoto yangu wote Kwa damu ya yesu

  • @maernov4257
    @maernov4257 Рік тому

    Asante YESU kwajili ya mafundisho naomba roho mtakatifu anisaidie kuelewa neno la MUNGU ♥️

  • @agnesminde4081
    @agnesminde4081 Рік тому

    Asante Bwana Yesu kwa maana unaenda kufungua familia yangu

  • @marykisiangani2470
    @marykisiangani2470 Рік тому

    Amen amen barikiwa sana mtumishibwa mungu, nashukuru sana mungu kwa nguvu mpya amabayo unaendelea kuachilia katika maombi ninayo kuomba pokea sifa na utukufu ni zako uinuliwe maana wewe ni mungu uliye mwaminifu,mungu utendae zaidi tuombavyo

  • @AminaAmina-ov9cu
    @AminaAmina-ov9cu Рік тому

    Amen kwel mungu ananipenda roho wa mungu azidi kutufunulia

  • @leonardobulalu
    @leonardobulalu Рік тому +1

    Mungu nirehemu Mimi na nyumba yangu na mke wangu pamoja na Watoto wangu ,uzao watumbo la mama angu tusamehe maisha tuliyoishi tusamehe ili tuende na Roho mtakatifu ili akakutane na haja ya mioyo wetu.

  • @sendiandrew3698
    @sendiandrew3698 5 місяців тому

    Amen Mutu Wamungu Mimi Past Andrew Sendi Kigali

  • @oreosmundi1967
    @oreosmundi1967 Рік тому

    Mungu Baba endelea kufungua fahamu watu wako, maana umesema katika mithali mtafute ufahamu kama unavyotafuta fedha, maana yake ufahamu ni kitu cha thamani sana, tukipata ufahamu tutakujua Mungu wetu tutakujua Baba yetu!

  • @sauud2some471
    @sauud2some471 Рік тому

    Ameen mutumishi wa Mungu ni kweli kabisa Mungu atusaidie

  • @witnesskitime
    @witnesskitime Рік тому +1

    Amina Amina

  • @agnesminde4081
    @agnesminde4081 Рік тому

    Naomba usinipite Bwana,

  • @abigaelmwadena2262
    @abigaelmwadena2262 Рік тому

    Ameen Abigael Mwadena naomba kujunganisha n madhabahu hii y Siri za bibilia

  • @adolphinemuswamba1059
    @adolphinemuswamba1059 Рік тому

    Amen mtumishi ubarikiwe sana ,nakusikia Toka mombassa /kenya

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 8 місяців тому

    Asante YESU

  • @agnesminde4081
    @agnesminde4081 Рік тому +1

    Preciosas sangre de Cristo salva y protégeme a mi y a mi familia,gracias Señor

  • @adolphinemuswamba1059
    @adolphinemuswamba1059 Рік тому

    Amina Amina mtumishi

  • @NaumiBaya-wr7ri
    @NaumiBaya-wr7ri Рік тому

    Mtumishi umbarikiwe namafundisho yako

  • @emilywamalwa5938
    @emilywamalwa5938 Рік тому

    E Mungu damu yko ionyeshe familia yangu watoto wngu na jamii yangu yote,nakataa kila aina ya laaana zote za babu za mababu zetu nazifuta zote kwa jina la Yesu kristo,🙏🙏🙏🙏 mbarikiwe sana washirika wenzangu AMEN.

  • @johnkipalile9679
    @johnkipalile9679 Рік тому

    Amen! MTUMISHI 🙏🙏

  • @anneochare4028
    @anneochare4028 Рік тому

    Amen Amen

  • @beautymwaseba200
    @beautymwaseba200 Рік тому

    Asante MUNGU Kwa somo hili maana linanihusu sana

  • @alicemwaka3762
    @alicemwaka3762 Рік тому

    Emeeen tuko pamoja

  • @IsabelMazik-r4t
    @IsabelMazik-r4t Рік тому

    YESU unatosha Bwana wangu wa Uzima , Asante Bwana naomba Roho wako MTAKATIFU anisaidie 🙏🙏🙏

  • @hadihadi9167
    @hadihadi9167 Рік тому

    Waaah asante kwa kunifundisha takuwa nikikufwatilia MUNGU anisaidie ,,,barikiwa ❤❤

  • @JoyceWilsonrute
    @JoyceWilsonrute Рік тому

    Damu ya yesu ituondolee laana za familiar

  • @ameria2332
    @ameria2332 Рік тому

    Asante ubarikiwe mno, Mungu awe nawe daima.

  • @JosephineChondo
    @JosephineChondo Рік тому

    Amen mtumishi

  • @annefidelis6931
    @annefidelis6931 Рік тому

    Nafuta laana zote kutoka vizazi 10 vilivyotangulia minyororo yote ivunjwe ktk jina la Yesu

  • @BrendaMwanisa-je4wc
    @BrendaMwanisa-je4wc Рік тому

    Amen🙏🙏🙏🙏

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 8 місяців тому

    Thank you Jesus

  • @FaidaWilly-du8ts
    @FaidaWilly-du8ts Рік тому

    Amen amen.

  • @gracekunambi7438
    @gracekunambi7438 Рік тому

    Amen Ameeeen

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 Рік тому

    Ameen

  • @Diana-lf3nr
    @Diana-lf3nr Рік тому

    Mungu nitakase kwa damu ya yesu kristo wa Nazareth pamoja na familia yangu Amen

  • @julietmunyazi
    @julietmunyazi Рік тому

    Ameein🎉🎉🎉

  • @marymaria6544
    @marymaria6544 Рік тому

    Sylvia amen amen amen.

  • @johnmwangi4592
    @johnmwangi4592 Рік тому

    Thank you jesus

  • @furaha9719
    @furaha9719 Рік тому

    Amina mtumishi , 🙏🙏🙏 yaan ubarikiwe mpaka ushangae kwa mafundisho yako na nakuombea roho mtakatifu aendelee kukuongoza kutupa neno AMINA AMINA AMINA AMINA

  • @carenchelimo9695
    @carenchelimo9695 Рік тому

    Amen 🙏🙏🙏🙏😢

  • @FortunataGodfrey-q9v
    @FortunataGodfrey-q9v Рік тому

    Nafuta laana zote kutoka kwenye familia yangu na ukooo wangu kwa jina la yesu 🙏

  • @omanss268
    @omanss268 Рік тому

    Amina

  • @SalmaAs-wl5bn
    @SalmaAs-wl5bn Рік тому

    Ameen mtunishi

  • @HawaJimack-ci6qr
    @HawaJimack-ci6qr Рік тому

    Najitakasa Kwa Dam ya Yesu kristo,naomba Mungu niondolee laana,mikosi na vifungo Katika maisha yangu 🙏

  • @oreosmundi1967
    @oreosmundi1967 Рік тому

    Orester Mwalongo

  • @OrestaLuambano-bh8gp
    @OrestaLuambano-bh8gp Рік тому

    Ktka jina la YESU nakata nyororo ya saratani kwenye familia yangu

  • @jackilinelucas3666
    @jackilinelucas3666 Рік тому

    Ameeen🙏🙏

  • @bintiwayesu2226
    @bintiwayesu2226 Рік тому

    Amen imekua katika jina la Yesu

  • @sarahfeni1866
    @sarahfeni1866 Рік тому

    🙌🙌🙌

  • @liddydeSalt4773
    @liddydeSalt4773 Рік тому +2

    Hallelujah Amen 🙏 🙌 👏

  • @FortunataGodfrey-q9v
    @FortunataGodfrey-q9v Рік тому

    🙏🙏🙏

  • @JosephineChondo
    @JosephineChondo Рік тому

    🙏🙏🙏🙏amina nimebarikiwa mtumishi

  • @salamam8721
    @salamam8721 Рік тому

    Kweli wiki iliopita ilikua ya bakaka Sana kwangu ❤❤

  • @FortunataGodfrey-q9v
    @FortunataGodfrey-q9v Рік тому

    🙏

  • @jenithandyetabula3805
    @jenithandyetabula3805 Рік тому

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @gideonwambua9498
    @gideonwambua9498 Рік тому

    Amen and Amen and thanks to Jesus connected from Kenya Nairobi

  • @NaumiBaya-wr7ri
    @NaumiBaya-wr7ri Рік тому

    Amen. Amen 🙏🙌🙏

  • @benedictchanika2378
    @benedictchanika2378 Рік тому

    Wakwanza amen🙏🏻

  • @bintiwayesu2226
    @bintiwayesu2226 Рік тому

    Mtumishi Mungu akupe maisha marefu zaidi yaani akupe na bonus ya miaka ili wengi wapone kupitia mafundisho yako, nabarikiwa sana sana

    • @fff6513
      @fff6513 Рік тому

      Amen 🙏🙏 and amen 🙏🙏

  • @annbrendanalech4050
    @annbrendanalech4050 Рік тому

    🙌🙌🙏🙏🙏🙏🙏

  • @estherkeba24
    @estherkeba24 3 місяці тому

    🙌una group la telegram au Whatsapp? Ili kua karibu na lupata update za mfungo na mengineyo?

  • @ImeldaAmlima
    @ImeldaAmlima Рік тому

    Mm nahitaji maombi haya Kwa ujumla mengi uliyoyataja yamenikamata

  • @gladysmnyazi
    @gladysmnyazi Рік тому

    Naamini laana za kifamilia za stagnation na kutoolewa zitaondoka Kama jinsi nilivyo kombolewa Hadi Sasa najua kuomba.

  • @maernov4257
    @maernov4257 Рік тому

    Roho mtakatifu naomba unisaidie nibadilike tabiayangu ili nikufanane

  • @irenemichael
    @irenemichael Рік тому

    Amen

  • @eduardozacariasgabrieledua9981

    Amen 🙏🙏

  • @BonfasJanuary-vr5tm
    @BonfasJanuary-vr5tm Рік тому

    Ameen

  • @rosemaryedward7468
    @rosemaryedward7468 Рік тому

    Amina

  • @esthakilicho
    @esthakilicho Рік тому

    🙏🙏🙏

  • @omamomanhelena9433
    @omamomanhelena9433 Рік тому

  • @dayemukalai3427
    @dayemukalai3427 Рік тому

    Amen Amen Amen 🙏🙏🙏

  • @janekogo329
    @janekogo329 Рік тому +1

    AMEN🙌🙌🙏

  • @NaumiBaya-wr7ri
    @NaumiBaya-wr7ri Рік тому

    Amen amen 🙏