HUYU MWAMBA NAMPENDA KWASABABU HAIGIZI MAISHA HATA CHEMBE ANAONGEA HALI HALISI YA MAISHA ANAYOYAISHI SAFI SANA HEBU GONGA LIKE HAPA KAMA UNAKUBALIANA NA MIMI @djfire_tz😂
Ni kweli swala la Uraia si kitu cha kusumbua.mimi mwenyewe mkenya nimemuoa mpare kutoka same miaka 6 sasa mwanangu kazaliwa nairobi na sasa nko marekani na nina imani nitaongeza mwingine hapa. Ayo TV na Salim kudos
Karibu home karibu saana....wako akina ntetena na under same jua..wapo akina star ...nakumbuka pia ti mhand wote walirejea na mambo yaka mema nawe pia naamin saa utakuwa Likeke maana ulikwenda kama kakeke (kadogo kadogo) na umerudi ukiwa umesonga vyema. International exposures umepata ..umejifinza mengi siamin kwamba ulituliaaa tu bila kusoma ? Ntacheka saana ikiwa hukujiendeleza 😂 Karibu nyumbani Mh Salim ..karibu sana
Salamaa alleyko kaka saalm Mimi natamani. Munipe hiyoo nafasi ya kulea mtoto. Mimi ni mama. Wa mtoto mmoja. Wa kike natamani kuja wingereza lakini sina muongozoo na ninatokea tanga mjini makorora na kazi za nyumbani na kutazama watoto. Nipo makini kwa sasa hivi nipo mascat naomba kaka upokee salamu zangu huwaa nakufuatiliaga sana sasa Leo nimeona unafanya intavyoo. Nakuomba. Kaka Saalm munikubaliee maombi yangu. Mungu ni bariki maobi yangu ya sikilizwe asante ukinijibu nitashukuruu. Sana sana
Hujambo bi Khadija mi mtanga mwenzio natokea sahare makorora nakujaga kununua miguu ya kuku na vipaja.. so my kama hutojal naomba nitumie namba zako mi naweza kukuungisha kwa mtu akakusaidia safari ya London kwaajili ya uangalizi wa watoto.. karibu suwaq Oman
@@maryammaram2612 oooooo asanteee kwa upende wako mariamu mbona nimeshapata muongozoo asantee kwa kuliona hilo namba ya simu sina tunatumiaga chombo kwa hewaa
Hongera sana ,kaka..nakukubali sana ,utqngaazaji wako unanikumbusha mbali sana,hakika umo ktk watangazi bora sana ,kama vile akina Oumiyl kheiyr wa D.W,Aisha Yahya wa BBC ,Chama Omar Matata no,kwa hakika hawa siwakumbuki ujana wao ktk kazi ila uzee wao unaonesha kweli ni watangazaji na si wasomaji habari.Viva Kikeke.
My Role Model,yaani nampenda Kikeke buuree jamani. Sauti yake nzuri sana. Ni mmoja kati ya wanaume wazuri.sana japo anaishi nchi ya ughaibuni hana mashauzi hata kidogo. Upo vzr handsome kipaji unacho hongeta sana sana.
Swali nzuri sn nilisubiri mt zaji akijiongeza aulize kuchukua mschana tz mana wa tz hata elfu robaini wanafanya kz ukimwambia wingreza hata ela hataki tn bure anaenda kukufanyia
Nimependa sana uliposema raiya wa ulimwengu na hakika Allah amekupa upeo wa kuona mbali,maana kuna binadamu huwa na fikra za kuishi milele dunian,huona ardhi ni milik za daima kwao.
Kumbe ndo maisha Magumu hivyo?sasa hata nyumba huko utajenga kweli? Sie tukajuaga kua huko mnakula raha tu kumbe Hamna..mie nikajuaga Salim kikeke anamke Zanzibar ..kumbe no....ni mwendo wa kukopa tu nyumba..Asante sana
Hujasikia au?kasema njia rahisi ya kupata nyumba London ni unakopa kutoka kwenye bank inayoitwa MOGAJ.Nayeye kasema kakopa sasa akimaliza kulipa si kajenga?au ulitaka apate kiwanja aanze na msingi ndo ujue kajenga?Harafu kwanini ulifikiri kama ana mke Zanzibar ulimuona au yani kwanini ulihisi hvyo kwani hukuhisi kuwa anamke mtwara?
@@MtuSafi usijari kaka hayo yalikua ni mawazo yangu tu kwa kua sikua najua chochote juu yake zaid ya kua mtangazaji BBC..ila baada ya kiweka sawa mambo ndo nimejua...then hata khs nyumba kwa kweli hata sikuelewa alipotaja kumbe ni kampuni?wewe ndo umenielewesha.asante sana
Salim pia, kwa mfn huku Canada, wameweka kiwango cha mshahala kwa kila mfanyakazi wakipato cha chini lazima alipwe. Kwahiyo mwisho wa siku mfanyakazi huu hatakubali kulipwa pesa kidogo na wakati anaweza kupata mshahala sawa na wengine .
Umesema Neno Kikeke hilo ni andiko la mafundisho ya dini ya Kibaha'i - Dunia ni nchi moja na binadamu ni raia wake - ( The Earth is but one country and mankind its citizens - Baha'u'llah)
Kama unamkubali Mr kikeke gonga like twende sawa
🙄🙄🙄
Uko vizur kikeke ww na zuhura yunus mko juu sana Nawapenda sana
Huyu brother kikeke bhana nampenda wallah dah sauti yake tu mimi ndoinanikoshaga ameenda nje lakn kiswahili kipo vzr hakija haribikiwa na rugha ngeni 💪💪💪💪💪🙏🙏🙏💕💕💕💕
Sas ukute mtu ameend cku 3 tu yaan amesahau had kiswahil
Saut nzuri,,,,
Epifania mponda wewe upo ndani lakini unaandika "rugha" badala ya "lugha" ukisafiri si ndio itakua taabu!?
HUYU MWAMBA NAMPENDA KWASABABU HAIGIZI MAISHA HATA CHEMBE ANAONGEA HALI HALISI YA MAISHA ANAYOYAISHI SAFI SANA HEBU GONGA LIKE HAPA KAMA UNAKUBALIANA NA MIMI @djfire_tz😂
MBONA amekwepa suali LA uraiya.
Safi. Kwa maelezo hayo
Burundi tunampenda saana salim kikeke ❤🇧🇮
Asanteni Sana kwa kunipenda
Ndio tuko pamoja
Wanaojua kiingeraza hawajisemi, ingekuwa waswahili wenzangu na Mimi ingekuwa yes, no, uknowoo mbwembwe nyingiiiiii pumbavi zenu
Frank Mandaya 😂😂😂
Umeona ee
kwel kbsa
mara as you know ,may be ,oh this is impossible upumbavu mtupu ,lkn hawa wanaojua kiingereza hawazungumz wala hawajionesh
wandali mko wapi gonga like hapa
Kikeke napenda utangazaji wako upo vizuri kwa kweli
Nimejifunza mengi sana kuhusu Ndugu Kikeke. Asante sana Milad Ayo, Asante sana Salim Kikeke.
Love you Brother *KIKEKE* napenda kazi yako, uko vizur sana.
Nic
Hongera sana kaka salim kike kwa kweli kazi yako ya utangazaji unaifanya vema sanaa.Lakini Tanzania ndio nchi yako hapo uwe wazi.
9
Ukimsikiliza Kama anatangaza kumbe yeye ndiye anahojiwa...GOT
Ni kweli swala la Uraia si kitu cha kusumbua.mimi mwenyewe mkenya nimemuoa mpare kutoka same miaka 6 sasa mwanangu kazaliwa nairobi na sasa nko marekani na nina imani nitaongeza mwingine hapa. Ayo TV na Salim kudos
Umetufunza mengi kwenye interview yako unaitangaza Lugha ya Kiswahili vizuri
Bro kikeke unaishi maisha ya kiualisia,safi Sana kaka nmefurahi
Karibu home karibu saana....wako akina ntetena na under same jua..wapo akina star ...nakumbuka pia ti mhand wote walirejea na mambo yaka mema nawe pia naamin saa utakuwa Likeke maana ulikwenda kama kakeke (kadogo kadogo) na umerudi ukiwa umesonga vyema. International exposures umepata ..umejifinza mengi siamin kwamba ulituliaaa tu bila kusoma ? Ntacheka saana ikiwa hukujiendeleza 😂
Karibu nyumbani Mh Salim ..karibu sana
Yaan BBC akitangaza yey napenda sana..love this guy so Munch
Kiswahili pure
Hakuna kujifanyisha KiswaEnglish kama wenzetu walivo
❤❤❤❤kaka safari njema
Salim kuhusu urai umetukwepa...hapo sema ukweli nikikutazama uingereza pameshakumeza sana
Hilo linaeleweka kabisa mana ukitumia passport ya uingereza una opportunites za kuzunguka takriban dunia nzima bila visat
Masha Allah hongera sana yaani nimeipenda story yako 💪 💪 💪
Ukhty, asalam alaykum!
Ayo tv juuu sana Salim kikeke juuu zaidi
Salamaa alleyko kaka saalm Mimi natamani. Munipe hiyoo nafasi ya kulea mtoto. Mimi ni mama. Wa mtoto mmoja. Wa kike natamani kuja wingereza lakini sina muongozoo na ninatokea tanga mjini makorora na kazi za nyumbani na kutazama watoto. Nipo makini kwa sasa hivi nipo mascat naomba kaka upokee salamu zangu huwaa nakufuatiliaga sana sasa Leo nimeona unafanya intavyoo. Nakuomba. Kaka Saalm munikubaliee maombi yangu. Mungu ni bariki maobi yangu ya sikilizwe asante ukinijibu nitashukuruu. Sana sana
@likoni tv salaama alleyko daaa asanteee nashkuru sijui atanisikilza nakuomba mungu anisikilize anatumia jina hilihili.
Asantee tayari nimesha mtumia ujumbe asantee nashkuru sana
Hujambo bi Khadija mi mtanga mwenzio natokea sahare makorora nakujaga kununua miguu ya kuku na vipaja.. so my kama hutojal naomba nitumie namba zako mi naweza kukuungisha kwa mtu akakusaidia safari ya London kwaajili ya uangalizi wa watoto.. karibu suwaq Oman
@@maryammaram2612 oooooo asanteee kwa upende wako mariamu mbona nimeshapata muongozoo asantee kwa kuliona hilo namba ya simu sina tunatumiaga chombo kwa hewaa
Mwanao utamuachaje?
KIKEKE ANA SAUTI NZURI SANA! Dope voice
Tapeli tuu uyo uku UK
Maneno mengi bila vitendo
Sijasikia kizungu hapa ila angekuwa mtu anayeishi tz shida kwa kweli ze is kibao kwenye maelezo
Do you have something against the English language?
Heheee duu kwel the, is, OK kibaaao du
Atar
One day ntafanya nae kazi inshaallah
Ameen
Kikeke you are a star
Hongera sana ,kaka..nakukubali sana ,utqngaazaji wako unanikumbusha mbali sana,hakika umo ktk watangazi bora sana ,kama vile akina Oumiyl kheiyr wa D.W,Aisha Yahya wa BBC ,Chama Omar Matata no,kwa hakika hawa siwakumbuki ujana wao ktk kazi ila uzee wao unaonesha kweli ni watangazaji na si wasomaji habari.Viva Kikeke.
Hongera Sana Salim kikeke kwa utangazaji mzur wa shirika la habar bbc
Nakupenda sana kikeke nisipo kuona unatangaza bbc dahhh, kazi yako naipenda.
Wauuuu salim
Hongera sana, kwa kazi zako bwana Millard Ayo. Ninaïtwa Madiba niko DRC kama muandishi wa habari.
Aah kumbe ni mnyakyusa wa mbeya big up Kaka mkubwa
Kamanda kikeke.one love bro
My Role Model,yaani nampenda Kikeke buuree jamani. Sauti yake nzuri sana. Ni mmoja kati ya wanaume wazuri.sana japo anaishi nchi ya ughaibuni hana mashauzi hata kidogo. Upo vzr handsome kipaji unacho hongeta sana sana.
safi kikeke mashaaallh
Namkubali brother salim kikeke
Angekua mhaya huyu jamaa,,basi chamoto tungekiona hapa😄😄
Kikeke uko vizuri hongera bro
Sana
Ni mtangazaji mzuri pia sauti yake inavutia kuendelea kusikiliza BBC in Swahili big up bro
We love you bro, unatuwakilisha vyema
Salimu Yuko vizuri
Kikeke saut inakubeba xaana hongela saana bg
Kwel
Yes Maischa ya uku ukizaaa mtoto mnalea wenyewe
Uko poa brother salim nakukubali kabisa ndagha mwalyafyale ila kaa sawa na mkeo mtunze watoto vizuri
Bora tukalee watoto England,, paundi 15 kwa SAA😁😁😁
huyu jamaa yuko vzr sana sio mtu wa kujikweza wala hana majivuno ww ndo mzalendo
Inshaallah A dream a coming to be a true my brother from another mother
Talented one 🤩
Nihoji mimi niwape hakiya salimu kikeke kuacha kazi nitashirukiana na prophesied 11 katega kuwafunua ufahamu tunampa hongera
Uko vizuri sn
Hongera sana Mungu akulinde
Namkubali sana kikeke❤
Unatakiwa nawewe uwe connected, nimeipenda sana hii kauli, lazima ujue KUJIONGEZA
Kiukwel salim kikeke nakupenda sana big up
Kumbe sauti yake ya utangazaji kazaliwa nayo huyo ni Salim kikeke
"Wakupe muda ambao unarandana na kazi yko" dah!! Big up kiswahili hicho yani yupo sawa huyu kaka
Maswali yamezidi kuwa personal sana duu. Huyu
Naipenda BBC na hawa Watangazaji Zuhura,Salim,Sam Awami,Zawad, Esther kahumbi na wengine wote wa BBC Nawpenda sana
Ndo maana wazungu hawazaani, maana kwa jinsi alivohadithia malezi ni changamoto.
🙏🙏🙏
Salam kike nakuomba njoo msadie mama kuendesha Tbc pls
Salim wwe ni mzalendo mpka ukona jezi hongera
Realistic
Huyu jamaa nampenda sana kwakweli ni mtangazaji mzuri sana. Siku hizi mtu unaishi popote kikubwa ni pesa na uhai
Nakukubali mno kikeke
Safi sana Brother.
Karibu nyumbani kikeke
Yaani Wewe nakukubali nimtangazaji moja wapo wa mfano ubarikiwe
Màisha ni mapambano kaka hongera
Tatizo lako kikeke unatumika sana na mabeberu kuitangaza vibaya tanzania.
Upo vzr sanaaa
Swali nzuri sn nilisubiri mt zaji akijiongeza aulize kuchukua mschana tz mana wa tz hata elfu robaini wanafanya kz ukimwambia wingreza hata ela hataki tn bure anaenda kukufanyia
Ukimsikiliza ni sawa na kuwepo ktk tukio halisi ,yani ana kipaji sna
Napenda sana kikeke hasa wakati akiwa kwenye dira ya dunia
Jamaa achanganyi maneno ya kingereza na kiswahili.
Nimependa sana uliposema raiya wa ulimwengu na hakika Allah amekupa upeo wa kuona mbali,maana kuna binadamu huwa na fikra za kuishi milele dunian,huona ardhi ni milik za daima kwao.
Heshima yako kaka S.Kikeke
Salim sauti safi sana unafaa sana kutangaza.
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 duuuu! Atariiii unaeleza vzr sana meipenda iyoo
Hongera kikeke
Mtangazaji muulize salimu.amefunga ndoa
Mimi naipenda sana sauti yako sauti inahamashisha sana
NMpenda uyu aisee mpk naumwa aaaa
Kikeke napenda utangazaji wako babaangu hongera sana aiseeh
Nzur sana lakin fupi
Nataman niendeleee kusikiliza
Mimi na taka kazi na toka kenya
Presenter,are u from Forest Kongowe Kibaha??
Huyu bro akitangaza gem za epl ni balaa anajua na sauti yake amazing sanga nampenda 😍
Kumbe ndo maisha Magumu hivyo?sasa hata nyumba huko utajenga kweli? Sie tukajuaga kua huko mnakula raha tu kumbe Hamna..mie nikajuaga Salim kikeke anamke Zanzibar ..kumbe no....ni mwendo wa kukopa tu nyumba..Asante sana
Hujasikia au?kasema njia rahisi ya kupata nyumba London ni unakopa kutoka kwenye bank inayoitwa MOGAJ.Nayeye kasema kakopa sasa akimaliza kulipa si kajenga?au ulitaka apate kiwanja aanze na msingi ndo ujue kajenga?Harafu kwanini ulifikiri kama ana mke Zanzibar ulimuona au yani kwanini ulihisi hvyo kwani hukuhisi kuwa anamke mtwara?
@@MtuSafi usijari kaka hayo yalikua ni mawazo yangu tu kwa kua sikua najua chochote juu yake zaid ya kua mtangazaji BBC..ila baada ya kiweka sawa mambo ndo nimejua...then hata khs nyumba kwa kweli hata sikuelewa alipotaja kumbe ni kampuni?wewe ndo umenielewesha.asante sana
@@deboramatpapaztv basi vizuri
Salim hongera,ila kuhusu mwanao uraia Mmh!
Salim pia, kwa mfn huku Canada, wameweka kiwango cha mshahala kwa kila mfanyakazi wakipato cha chini lazima alipwe. Kwahiyo mwisho wa siku mfanyakazi huu hatakubali kulipwa pesa kidogo na wakati anaweza kupata mshahala sawa na wengine .
Kumbe from Mbeya!!! Oooh good
Mimi Binafsi ananivutia sana KIKEKE awapo hewani BBC! SAWA na alipokuwepo Zuhura junus!
Umesema Neno Kikeke hilo ni andiko la mafundisho ya dini ya Kibaha'i - Dunia ni nchi moja na binadamu ni raia wake - ( The Earth is but one country and mankind its citizens - Baha'u'llah)
Aisee, siku zote nilijua Salim Kikeke ni Mkenya, kumbe!!!
Wanajua siku zote Hayanaga mbwembwe, sjasikia English hata kidogo mkuuu, vzr Sana 😂
Kikeke wewe nikijana unaenipa hamasa ya kuwa na bidii katika kutafuta I will appreciate this
Njoo uchukue tnz
Safii kaka
Unaweza kk
Dahhhh hapana, mimi siwezi kwenda kuishi kule, dahhh, maisha ni magumu mno...
Good
Duuh asnte bro salim kikeke