Wewe mzee unamkufuru mungu?ataondoa chotee alichokupa,mungu acha binaadamu viumbe wote wslioko duniani,wanyama,ndege,wadudu na walioko baharini wote mungu ndio wanawapa ridhiki yako acha ujinga wako inaonekana uko mbali sana na mungu,huendi msikitini wala kanisani wewe
Mi nimeelewa fanyakazi ndiyo Mungu akuone siyo nilale nikeshe kanisani tu naomba hamna Hela zitakazokujia ulipo tupambane huku tukiomba Mungu abariki kazi za mikono yetu
❤❤huyu mzee kusaga tupo majirani Dubai kwake ni mzee mtu mzur sana ana moyo mzuri❤
Kumbe anakaa dubai
Acha basii😂😂😂
@@innocentmunishi-pr8nfkwani ajab
Ulichokisema boss milad ayo anaheshima Sana kwa kila MTU Wala hajawahi kujikweza
Ni kwel milardy ana display hata ukimuangalia kwa macho ni kijan mzur mungu akulinde na akupiganie katika njia zako❤❤❤
😂😂
Display😂😂
Kama ujui lugha za watu achana nazo sio display ni discipline
Inawezekana ana maanisha utajiri mungu kawapa kila mtu na riziki yake kwa kiwango chake kwa wingi wake.
Allah ametakasika kwa Kila mapungufu. Yeye ndie anaeruzuku humpa amtakae na humnyima amtakae pas na hisabu
Exactly for what you're talking May God suprim
Hapo Mzee unakosea kusema mungu hawezi kuwapa watu wote et sbb ya wingi sio kwel mungu Ni muweza WA kila kitu mzee
Mungu kaumba maskini na matajiri
Hujamuelewa
Umemwelewa vbya .
Pambana kupata sehemu yako..ukibweteka huna kitu
Kakosea acheni kutetea na kujifanya mmemuelewa kwa namna nyingine kisa Amesema BOSS, Kateleza kateleza tu ni binadamu.
Mungu akubariki Mzee wetu Joseph kusaga
Huyu jamaa ni tajiri, Siri ya tajiri ni kutojisifia kuwa anazo.
yuko serious Millard ni bonge la tajiri
Congratulations
Mzee ana maono makubwa sana Mungu azid kubariki maono yako na kuyapa kibari
Boss kaongea point ya maan kabisa
Natamani ck moja nikutane boss anipe madin MILAD NIFIKISHIE hiyo
Big Joe keep opening doors
Safi
Millard master
Innalillaah wainna ilayh rajiuun
Good
Tuna mengi ya kujifunza kupitia huyu mtu, ni hazina.
mpiyane utajir na pepo et
Milad upo vzr huringi hujisifii kbs unsongea vzr sn redion kujawahi msema m2 wameru hoyeeee malez maxuri kwa wazazi
Hongeren kwa kutunza mazingira huko meru asee ni pazur balaa hata ulaya wakasome
Wameruuu wapi wewe we hujui kama kuna wameru wajinga kila mtu ana akili yake sio kabilaa😂😂😂
@@RoseMichael-oz7cykama kawaida yenu kusifia ujinga tu
Wewe mzee unamkufuru mungu?ataondoa chotee alichokupa,mungu acha binaadamu viumbe wote wslioko duniani,wanyama,ndege,wadudu na walioko baharini wote mungu ndio wanawapa ridhiki yako acha ujinga wako inaonekana uko mbali sana na mungu,huendi msikitini wala kanisani wewe
Acha makasiriko tafuta Ela wew 😏 😏😏
Umeelewa vibaya kasema Mungu hawez wapa wote ni juhudi zako anamaanisha ukitaka pesa sio maombi tu ni lazma upambane
Akili ndogo ni ngumu sana kumchallenge Kudaga😂
@@PaulTango-he8qoKabisa.
Mi nimeelewa fanyakazi ndiyo Mungu akuone siyo nilale nikeshe kanisani tu naomba hamna Hela zitakazokujia ulipo tupambane huku tukiomba Mungu abariki kazi za mikono yetu