CHADEMA WAANDIKIWA BARUA NZITO ya WAZI - "LISSU NA MBOWE WOTE HAWANA SIFA"....

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 63

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  День тому

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

  • @franklukumay1727
    @franklukumay1727 18 годин тому +3

    Kweli ccn mna shida sana hamjiamini hata kidogo mambo ya chadema inawahusu nn

  • @vicentnyanda828
    @vicentnyanda828 18 годин тому +3

    Vijana kama hawa ni hasara kwa Taifa😂

  • @kiembemahuba3106
    @kiembemahuba3106 19 годин тому +1

    Big up

  • @AnnastaziaKitilima
    @AnnastaziaKitilima 13 годин тому +1

    Ukishavaa Kijani na Akili zinapotea kabisaa

  • @DaudiJosephati
    @DaudiJosephati 10 годин тому

    Nyinyi ndio mlio tufikisha hapa ipo siku dhambi zenu zitawatafuna nyinyi mkila Bata sisi tunawaza tutakulaje mwenyez mungu shusha adhabu zako

  • @JohnDaniel-q2h
    @JohnDaniel-q2h 18 годин тому

    Mkereketwa mav

  • @WazaeliStefano
    @WazaeliStefano День тому +2

    Kwelii hii ni shida hata nyinyi mngali mnatesekaa

  • @shinanikabourou6459
    @shinanikabourou6459 День тому +2

    Ni muhimu kuangalia taswira bora kwa manufaa ya chama.

  • @SeverinMagwaya
    @SeverinMagwaya День тому

    daaaaah sanaaa kama sanaaaa!!

  • @JosephSadala-c7w
    @JosephSadala-c7w 18 годин тому +1

    Wewe kenge kweli chadema inakuhusu nini peleka kalio uko ccm ukawashaur

  • @AlfredMatemu
    @AlfredMatemu 13 годин тому

    Vijana wa hovyo sana nchi uchawa tu

  • @NicolasScania
    @NicolasScania День тому +2

    Ww syo mwanachadema atakayepita tuachie wenye chama

  • @gilbertshirima2684
    @gilbertshirima2684 22 години тому +1

    Kasongo kafikiwa.
    Anye mwenzako ukachambe wewe😂😂😂

  • @MicahGhloloj-bs4cy
    @MicahGhloloj-bs4cy 20 годин тому

    Leo tumemjua Abduli live tulikuwa tunamsikia tu😂😂😂😂

  • @JuhudiNzowa
    @JuhudiNzowa 13 годин тому

    Zungimzia ccm chadema haikuhusu

  • @JeradiMaulidi
    @JeradiMaulidi 22 години тому +1

    Nyani anamshauli mwenye shambaawekemliziga

  • @ZaidAKissinza
    @ZaidAKissinza 18 хвилин тому

    Mimi nilijuwa tu kwenye comments utatukanwa sana, lakini mimi ninashaka kuwa wewe ni wa Chadema timu Mbowe. Kama nimekosea naomba nisamehewe

  • @ednakapitu7037
    @ednakapitu7037 4 години тому

    Hawafai kabisa

  • @Lundege_Hips
    @Lundege_Hips 13 годин тому

    Pili pili ale Chadema munawashwa ccm hahahaha

  • @naturelifeonearth-ek1wd
    @naturelifeonearth-ek1wd 20 годин тому

    Kama nipo sahihi ni mtoto wa Amani Kaboru katibu mkuu wa zamani wa Chadema na mmoja wa wabunge wa mwanzo wa Chadema kutokea Kigoma. Hakumaljzana vizuri na Mbowe hivyo bado ana hasira....

  • @mbarakahaji4302
    @mbarakahaji4302 День тому +1

    Propaganda unamfanyia lisu ,kwa taarifa lisu hafai kuwa kiongozi wa aina yoyote kwa taifa la Tz,na ni mtu hatari kwa taifa la Tz.

  • @deusdeditkakwesigabo1401
    @deusdeditkakwesigabo1401 20 годин тому +1

    We uko chadema au unataka kuhamia ?

  • @mfwimiekayuki8692
    @mfwimiekayuki8692 День тому

    Achana na CHADEMA endelea na kwenu CCM.

  • @GasperKapungu
    @GasperKapungu День тому +2

    Braza wewe si CCM?Chama chetu kinakuhusu nn?si mna mikutano yenu inaendelea uko dodoma?na mmebebelea wasanii kibao mbona hamtupi ripoti zenu uko?

  • @JosefuSwai
    @JosefuSwai 21 годину тому

    Hata nyie ccm mnaukiritimba mkubwa kuliko ccm acha ujinga

  • @KaburaNimrod
    @KaburaNimrod День тому

    Huyu alienda shule gani? Uliona wapi mtu anasoma barua aliyoiandika mwenyewe? Ingekuwa sahihi barua hiyo ingesomwa na John Mnyika. Sasa aliyeandikiwa barua kaiweka jalalani aliyeiandika anaisoma hadharani!!! Kweli chama hicho kina wendawazimu.

  • @RaphaelZabron
    @RaphaelZabron День тому +2

    Uchafu

  • @JeradiMaulidi
    @JeradiMaulidi 22 години тому

    Wewe unajuwa Madudu yachadematu chawaumetisha

  • @KassimHanga-xr7rb
    @KassimHanga-xr7rb День тому

    Mambo ya Chadema waachie wanachadema wewe pambana na hali yako mmeshawaumiza sana waachieni mambo yao

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 20 годин тому

    Unasoma nini jamani mbona sielewi hoja za lisu ni tume huru nyie mafisiem mmezoea kuiba kura

  • @bernardshabanshija924
    @bernardshabanshija924 13 годин тому

    Huyu fara katoka wapi utashindwa wewe, Huna hadhi ya kuhoji ya chadema.

  • @SaruniKutandawa
    @SaruniKutandawa День тому

    Wwninani? Tokaapo nenda ukaushauri ccm

  • @FumaoFumao-d8w
    @FumaoFumao-d8w День тому

    Ungeanza kulaani uchaguzi wa maigizo uliofanyika hivi karibuni wa serikali za mitaa

  • @HellenLemilya
    @HellenLemilya 21 годину тому

    Huyu jamaa wa chadema au ccm ? mbona nguo ya ccm ila anachoongea ni vya chadema? kuna nini?

  • @UswegeKapesa
    @UswegeKapesa День тому

    Kuna kitu anatengeneza huyo,ili ionekane lisu anasapotiwa na ccm,hatudanganyiki,shetani ni shetani hata angekuwa na sura nzuri,umetumwa na timu ya mbowe wewe,lengo ni kuchonganisha wanachadema

  • @JohnTendwa-gn1nl
    @JohnTendwa-gn1nl 19 годин тому

    Mbona huwashauri ccm kufanya chaguzi ambazo hazijengi democrasia? Yote yanayoendelea chadema yanatokana na ccm na serikali yake kuviumiza na kuvitweza vyama vya upinzani, chaguzi mbovu za mitaa nk, toka hapa kenge wewe.

  • @binbuhakhamis4336
    @binbuhakhamis4336 21 годину тому

    Nyungu usio ipika unakuhusu nn kuipakua!

  • @StephanoChales
    @StephanoChales День тому

    Hata mm nitavaa shati yakijen

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 20 годин тому

    Mafisiemu bana watanganyika tunataka tume huru uchaguzi uwe huru na haki tumpate.rais wa mioyo ya watu

  • @JuliasMsongole-c5k
    @JuliasMsongole-c5k День тому

    Hunasifa wewe hana sifa alifanya miaka ishilini bila mafanikio yo yoyote

  • @gasperpanga4422
    @gasperpanga4422 20 годин тому

    Wewe ni nani unayeongea kuhusu Chadema? Uchaguzi wa Chadema haukuhusu

  • @JeradiMaulidi
    @JeradiMaulidi 22 години тому

    Mtuwakehuyu nimbowe

  • @HongeraCharles
    @HongeraCharles 22 години тому

    PIMBI LA CCM

  • @MahanjiSanga
    @MahanjiSanga 20 годин тому

    Nenda huko na ujinga wako

  • @allymaimuna8688
    @allymaimuna8688 День тому

    Ina kuhusu nn?

  • @jumamagoma1743
    @jumamagoma1743 День тому

    Huyu.mjinga.anajua.ccm.majizi.mali.za.watanzania.na.uchaguzi?

  • @HajiKlein-so1rk
    @HajiKlein-so1rk День тому

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿💕

  • @HellenLemilya
    @HellenLemilya 21 годину тому

    Duuu yangu macho

  • @HongeraCharles
    @HongeraCharles 22 години тому

    HUYU KILAZA ANONGEA KITU GANI

  • @GasperKapungu
    @GasperKapungu День тому

    Wewe umetumwa na TUNDU LISU

    • @ulimbagakipole3971
      @ulimbagakipole3971 День тому

      Kwa nini katumwa na Lisu, hujui kama ni namna ya kuwachukiza wajumbe kwamba Lisu anashirikiana na CCM? Hizi Propaganda zinakushinda wapi? Wanamchafua kwa namna wanayodhani inafaa. Kwa kuwa Mbowe amesemwa sana kwamba anashirikiana na CCM ,wameamua kumwingiza Lisu ili naye aonekane anashirikiana na CCM. Huoni hata maswali ni ya kijinga.

    • @PoliteJustine-s9z
      @PoliteJustine-s9z 19 годин тому

      Bora brother, umemjibu huyo kima ​@@ulimbagakipole3971

  • @SaruniKutandawa
    @SaruniKutandawa День тому

    Kwani ww unakija kutuchunguza?

  • @NethrinePaul
    @NethrinePaul 20 годин тому

    Sasa wewe ni nani? au umetumwa?

  • @Gilbertnyanda
    @Gilbertnyanda День тому

    Pumbavu sana wewe

  • @PoliteJustine-s9z
    @PoliteJustine-s9z 19 годин тому

    Hicho kitoto nikinani??