''SITAKI TAARIFA YAKE, WAZIRI HAJUI ANACHOKIONGEA '' - MTUFUANO MKALI! MPINA vs MWIGULU BUNGENI...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 лис 2023
  • ''SITAKI TAARIFA YAKE, WAZIRI HAJUI ANACHOKIONGEA '' - MTUFUANO MKALI! MPINA vs MWIGULU BUNGENI...
    CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
    ========================
    Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PESA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

КОМЕНТАРІ • 63

  • @user-xs3ko8pg2g
    @user-xs3ko8pg2g 15 днів тому +1

    MUNGU ana inua watu wengi kila itwapo leo, mpina MUNGU akulinde utokapo na uingiapo, unatuwazia mema watanganyika, ushauri wangu kwako, njoo ungana na Lisu, madeleka, mwabukuzi, heche, Lema, tupate ukombozi , mnatuwazia mema watanganyika

  • @mabulajohnmachela2230
    @mabulajohnmachela2230 6 місяців тому +1

    Dah mpina uko vizuri kidata hongera

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 8 місяців тому +1

    CCM ni janga la taifa namba moja. Majizi tupu

  • @martineshija2712
    @martineshija2712 7 місяців тому +1

    Mpina Oye yaniwecheza naye2 huyo wazili mpaka aachenakucheza anavochezaga

  • @DicksonJaphet-fq7ov
    @DicksonJaphet-fq7ov 8 годин тому

    Mpina Mimi Ni CCM Ila hiki kinachoendelea Nakuunga mkono kwa Asiimia 99.9 MUNGU akulinde.

  • @fadhilimsafiri216
    @fadhilimsafiri216 8 місяців тому +2

    Sisiem ni kansa kubwa inatafuna wananchi😭

  • @matesosamwel6685
    @matesosamwel6685 8 місяців тому

    Kisesa hongera mna mbunge!!

  • @mathewyoung2159
    @mathewyoung2159 8 місяців тому

    Good 👍👍👍👍👍👍👍👍

  • @alikoboniphace6732
    @alikoboniphace6732 8 місяців тому +1

    Ni wa Kwanza Bana Leo, lkn inchi hii viongozi wachache Sana Ni waelewa lkn wanainchi tunabaki tunaumia

  • @stephenmseti5539
    @stephenmseti5539 8 місяців тому +1

    Kama ni waziri wa kwanza mwizi kiongozi ni huyu anaetudanganya na tai ya bendera ya Taifa

  • @mangulimanguli3974
    @mangulimanguli3974 8 місяців тому +2

    Tanzania atuna viongozi tuna majizi yanayo vaa suti tu

  • @winniefridamutakyawa5943
    @winniefridamutakyawa5943 8 місяців тому

    Mpona uko sawakabisa ila bunge la washabiki .Tz hatuwezi kutoboa.Mungu atussidie tuwe wakweli.

  • @mwaamwetahussain9947
    @mwaamwetahussain9947 12 годин тому

    Muda wake imeisha baadae ya kusema ukwer

  • @saidimkombe9842
    @saidimkombe9842 8 місяців тому

    Dah

  • @yohanaisayasimoni
    @yohanaisayasimoni 2 місяці тому

  • @user-mu1yy5lb5k
    @user-mu1yy5lb5k 8 місяців тому

    Narudia Tena huyo mwigulu mwizi asijitetee mkamateni mshenzi anatumia hela zawatu masikini kwakujinufaisha akamatwe

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 8 місяців тому

    Ni kipindi kigumu sana hii Mawaziri wanageuka kuwa wapinga taarifa bungeni ili kuzima hoja za Wabunge ili hali Wabunge hawa ni wa ccm.
    Km kuna jambo haliko sawa ni vema Bunge lifanye kile kilichofanyika kipindi cha Richmond kwa kina Lowasa, Vinginevyo hii ngonjera haitaisha.

  • @user-we5px7gp2r
    @user-we5px7gp2r 8 місяців тому +1

    Luhaga ni mbuge wa kipekee katika Bunge letu na ndiye mbunge pekee anayenipotezea muda wangu kusikiliza michango yake abarikiwe.

    • @lucaschisamalo2852
      @lucaschisamalo2852 8 місяців тому +1

      Shida wakati alikuwa waziri alikuwa kimya Ila sasahivi yupo sahihi Sana siku inchi hii akichukua rais mzalendo awafilisi wote waliokula hii inchi kwa muda mlefu

  • @ibrahimomari2458
    @ibrahimomari2458 8 місяців тому +1

    Mpina wakat mwingine anaongea mambo ya maana sana

  • @fatimahants1526
    @fatimahants1526 8 місяців тому +1

    Hii inaitwa siasa kali😂

  • @isaacmollel345
    @isaacmollel345 8 місяців тому +1

    Wizi mtupu km ningekuwa.Rais.leo hai.waliotajwa na Mpina nawafilisi mara moja nakifungo juu

  • @mahengedaktari-ek8go
    @mahengedaktari-ek8go 8 місяців тому +1

    Mwiguru mwizi sana

  • @shedrackpiniel6800
    @shedrackpiniel6800 8 місяців тому

    Wasiwasi wangu nikwamba ccm unaweza usirudi kwasababu umekataa kuwa chawa au kupiga makofi au kuwasifia au kuwambia wameupiga mwingi

  • @menancemhombwe2267
    @menancemhombwe2267 8 місяців тому

    Yaani mwiguru bhana si awe ananyamaza tu. Anadhalilisha PhD

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 6 місяців тому

    Kila siku anausishwa na wizi kwanini asichunguzwe au ndo yaleyale

  • @rizikimlela8162
    @rizikimlela8162 7 місяців тому

    Huyu mwinguru muwemunampima virevi anapoingia bungeni manaake hajuiyupowapi

  • @jacksongidione-yo8vg
    @jacksongidione-yo8vg 8 місяців тому

    6

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 8 місяців тому

    Mwigulu. Na genge lao watatuua wemetuibia san

  • @davidmapogo8784
    @davidmapogo8784 8 місяців тому

    Waziri hajui Trat na trab halafu ajue miamala halali

  • @vicentnyanda828
    @vicentnyanda828 8 місяців тому

    Mawaziri wengi wapiga deal😂

  • @conradolomi9580
    @conradolomi9580 8 місяців тому

    Hawa CCM wapo madarakani tangu 1961....kwa kifupi,wote ni wezi.

  • @makejamaduhu7618
    @makejamaduhu7618 8 місяців тому +1

    Izo ni fujo😂😂😂😂😂😂 nimekataa taarifa

  • @frankmugomba3484
    @frankmugomba3484 8 місяців тому

    Samia kwanini uwa unamlea Mwiguru hivyo uwa umwoni kuwa Sio Mzalendo Plz tulee ili jamaaaa

  • @user-dr2lk7im7r
    @user-dr2lk7im7r 8 місяців тому

    Wakati mbunge makini Luhaga anachangia hoja, ma-mbumbumbu hata hawajui wanachoongea.

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 8 місяців тому

    Hakuna nidhamu ndani Bunge la Tanzania

  • @user-xb6mb1by5l
    @user-xb6mb1by5l 8 місяців тому

    Naona mawaziri hawajui hata wanachokizungumza

  • @sarahmwakipembe5033
    @sarahmwakipembe5033 7 місяців тому

    Waziri wa fedha ni kelooooo hapa nchini waizi hao na bunge mtu anapotia mchango wa kutetea nchi msikatishe acheni amalize

  • @simonndunguru1629
    @simonndunguru1629 8 місяців тому

    Duu Aibu yataishia hewani hakuna Sheria itachukuliwa wanasema Yatapita

  • @user-hp2ix5wp6i
    @user-hp2ix5wp6i 8 місяців тому

    Kipindi cha kuoneana haya kimepitwa na wakati

  • @andrewmaramoko5073
    @andrewmaramoko5073 8 місяців тому

    Mwiguli mchumi hajui miamala halali na miamala hatarishi!?

  • @yapukahassan
    @yapukahassan 8 місяців тому

    Halafu mwigulu anamaneno ya kejeli

  • @elijahalexze5
    @elijahalexze5 7 місяців тому

    Mpina anajitahidi,ila achunge sana kwa CCM kwani CCM ni kama mama wa kambo,huwenda wakamtapika bila ya kumjali kubwa ni mwanachama halali.

  • @yapukahassan
    @yapukahassan 8 місяців тому

    Kumama ake alie mchagua huyu ni mjinga mwenzie

  • @GEOPHINELUGWISHACHARLES-fs5gn
    @GEOPHINELUGWISHACHARLES-fs5gn 8 місяців тому

    Hali ya uchumi naomba muangalie

  • @ramadhanchenga4606
    @ramadhanchenga4606 8 місяців тому

    Ww ndo mbunge wangine story

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 8 місяців тому

    Mwiguruachana na.moina huoninlm.amakutia aibu

  • @user-mu1yy5lb5k
    @user-mu1yy5lb5k 8 місяців тому

    Huyo jamaaa ni mwizi asijitetee

  • @user-hp2ix5wp6i
    @user-hp2ix5wp6i 8 місяців тому +1

    Mpina uko vizuri sana huyo mwigulu ni mwizi

  • @mtumplole2155
    @mtumplole2155 8 місяців тому

    Mpina leo umeamua

  • @joyceAdam-xn2yw
    @joyceAdam-xn2yw 8 місяців тому

    Wabunge sindano hiyo, hawapigi makofi

  • @2003hintay
    @2003hintay 8 місяців тому

    Hata Kama sijui mahesabu akili ya kawaida haikubaliani nae mpina ni muongo Ana hasira na kukosa uwaziri. Alichemsha uwaziri leo anatengeneza mahesabu ya kitapeli

    • @yohanamnema4496
      @yohanamnema4496 8 місяців тому

      Akili unazo lakini huna utambuzi

    • @stephenmseti5539
      @stephenmseti5539 8 місяців тому

      Hesabu. Mwigulu ni Mwizi tu

    • @2003hintay
      @2003hintay 8 місяців тому

      @@stephenmseti5539 wewe ndio walewale tu hela anakaa nazo wizara yote Yuko Yeye tu, Kuna hela ya serkali inatumika bila maandishi

    • @stephenmseti5539
      @stephenmseti5539 8 місяців тому

      @@2003hintay wewe nawe umelamba asali. Mwigulu ni mwizi tena jizi ambalo lina kiburi. Kama mawaziri wamepiga hela kwenye awamu ya huyu mama ni huyo unaemtetea. JPM aliwagundua mapena yeye na Makamba akawaweka pembeni. Ile tai ya bendera ya Taifa ni ulaghai tu

    • @2003hintay
      @2003hintay 8 місяців тому

      Mbona Mbowe anapiga Sana hamsemi? Mmerogwa Nini mkiti wa kudumu hamsemi na ukisema tu yatakukuta ya saanane

  • @user-ie2sr4fi4k
    @user-ie2sr4fi4k 8 місяців тому +1

    Mpina una lolote

  • @mwakapalamwakapala8317
    @mwakapalamwakapala8317 Місяць тому

    Kwanini hawa waliotajwa hawajakamatwa mpaka leo