As a Kenyan based in the states it's nice to have a media house that's interested in a variety of questions about our socities & to have all these discussions in Swahili. So tired of the usual celeb discussions. Nice to afford our present condition the gravitas it deserves and to deepen our grasp of Swahili, even for non-Tanzanians. Such channels help me teach my kids this beautiful language of ours.
Shangazi unajifahamu na unajua...swali la mwanaharakati ni nani wamelikacha kiaina ..coz watu wanadhani kuwa mwanaharakati ni kama uasi flani ivi....ni ufahari sana kuwa mwanaharakati c kuogopa wakati uonevu unapokithiri..big up Mwanasheria wetu wa ukweli...
Asante Salim kwa msukumo na ari ya kushtuashtua mwenendo na hali ya hewa ya nchi na mitazamo yake kwa manufaa yetu sote. Pia nimshukuru bi Fatma hapo kwa mchango wake wa mawazo na kisheria. Asanteni nyote tunathamini michango yenu. 🤝
This is Top Notch, lazima tumwelewe Salim analinda ugali .. akimruhusu anti afunguke sana kituo kinaweza kufungiwa... Muulizeni Tirdo ilikuaje pale TBC. Mmejitahd kdg kwny umahiri wa lugha 👏🏾👏🏾
Asante sana Adv. Fatma Karume, hopefully una mchango mkubwa hapa Tanzania. Adv. Mwabukusi atairejesha TLS kwenye misingi yake na wajibu wake mkuu wa kuwatetea wananchi, kuishauri serikali na kurekebisha sheria kandamizi zinazopoka haki za raia kulinda rasilimali za taifa lao.
Salim kama vile unajifanya mjinga au mwonekano ni kwamba hujafanya homework na research kabla ya kuingia kwenye kipindi. Halafu huo mziki wa disco kwenye background ni ya kazi gani? Inasumbua.
Ukweli na uhakika.SHANGAZI YUPO VIZURI ANATOKA ROYALE FAMILY LAKINI ANAWAFUATA WANYONGE KULE VIJIJINI WATU WA Hali ya chini.wewe Pepo yako keep it up Shangazi
@@erickmmbando1909 una chose ma ni pumba tupu. Anaonglea taaluma ambayo a Sifahamu na kuijua na kuiheshu na kuisimamia fika.Anajitambua na hababaiki na hababaishwi. She is above average understanding , na hiyo inampa nguvu. Smart person who happened to be a woman. Na wengi wanaume wanamwogopa . Hachezi na mtu. Shupavu. She is one of the very few.
Such a great interview. Nadhani inabidi hii interview irudiwe. Salim umeuliza maswali mengi na mazuri ila umemkatisha sana Fatma wakati anajibu na umetukosesha faida nyingi ambazo tungeweza kuzipata. She is so smart and brave lady. Pia ametoa elimu ya jinsi ya kuuliza maswali, kusikiliza na kuelewa majibu 😅 🇹🇿🇹🇿
Kikeke anaogopa kwakua tayari anashutuma za kuikosoa serekali kupitia uandishi from yuko BBC so huwa anajilinda mapema sana hampi mgeni wake uhuru wa kueleza akiona anaelekea kwenye kuikosoa serekali
Background sound Ipo juu sana. Shangazi is very confrontational hataki kabisa maoni tofauti na yake, anaamini yeye anajua kila kitu kwenye law, but she's smart nonetheless.
Salim apunguze kidogo uoga halafu akae na Masoud Kipanya media moja wamualike tena Shangazi. All in all Salim atafanya mapinduzi makubwa Sana kwenye media hapa Tz.
I REAL LIKE HER THE WAY SHE STAND IN HER LAW STUDIES AS A FAITHFUL LAWYER ALWAYS SHE TALK THE TRUTH WITHOUT TO SURPORTS THOSE WHO EVER WANTS HER TO BE ON THEIR BESIDE OF WRONGS"! N NOT WRIGHTS"! JUST BY THE WAY THEY WANT"! BUT BEC. SHE IS A FAITHFUL N HONEST TRUE LAWYER!" SHE ALWAYS FOLLOWS THE LAW N REGULATIONS OF IN LAW OF LAWYERS THE WAY NEED TO BE WITH👍👌"! KEEP IT ON MY DEAR FAITHFUL LAWYER YOU ARE👍 SUPER GREAT👌
Nimependa sana interview hii. Natamani ningepata contact ya Hon. Fatma ili anisaidie ushauri wa kisheria kwani strong people kama hawa ndio nawahitaji ktk kipindi kigumu ninachopitia. Nakupenda sana Advocate Fatma❤
Kikeke you did a very good job! She failed really bad answer simple questions! She very incorrectly about US legal system! All federal judges including US Supreme court judges appointed by president but they go through Congress and Senate houses for vigorous scrutiny questions before approval! Now, depending with president at times when this judge retires or quit the job! Currently 6 justices are appointed by Republican presidents! During scrutiny they ask several questions to see where they lean to either Democrat or Republican policies! Republican has tendency to pick moderate conservative or conservative! While democrat tends to pick liberal judges! Now, States have their own way to choose their judges! So, States has their own rules and laws but most of them are similar to Federal laws! A lawyer doesn’t act like that bragging I got barrister from UK! No wonder why she can’t answer simple questions and be very rude, she might don’t know UK laws and TZ laws are 2 different things! 🫳🏽🤦🏻♂️😢🤣😂
Salim kaonyesha he's too shallow when it comes to interviewing learned folks. Alafu no preparation whatsoever. And then kumjibia swali Rukii wakati Rukii ndio kauliza that just screams shallowness on their part. FATMA wiped the floor with them. Also, Fatma has a bit of an ego problem and an elitism attitude. I guess being the presidents daughter and a lawyer comes with that chip on the shoulder. Either way, informative interview. Crown media; either mfanye interview nyepesi nyepesi kwa wasanii wasio na akili au mkifanya such interviews like these, then MJIANDAE VIZURI!
Maoni yangu kuwe na siku maalum ya kuadhimisha uhuru wa mawakili kitaifa iendane na Ile ya kidunia kama ipo, iheshimiwe kama ilivyo kwa siku ya uhuru wa vyombo vya habari
Hatari kubwa sana muhimili wa sheria kwa maana ya mahakama kutokuwa huru! Ili TLS iweze kutimiza malengo yake mahakama inapaswa kuwa huru..kufikia huko mabadiliko ya Katiba hayakwepeki!
tena nisaidie,kuna mwenyekiti ananitishia ,wakati yeye ameuweka mtaa kwenye utata,kwa kutumia vibaya pesa za ulasimishaji makazi,nilimweleza ukweli ,sasa ananitolea vitisho vikali.
🤣🤣🤣🤣Hapa ndiyo ninapompendeaga Shangazi no Cape🧢🧢🧢Education 🎓Education 🎓huwezi pata hii confidence y Shangazi🤣🤣Kikekee anaogopa Radio kufungiwa that's why anajaribu ku m_bana Shangazi asijiachie saana Na shangazi akubaliiii🧢🎓
Lkn bahati mbaya siku hizi baadhi ya wanasheria wamekua matapeli.wanachukua rushwa upande mlalamikiwa na kuivuruga kesi na unapolalamika ktk mbele ya kamati yenu ya maadili wanasheria mnalindana. Ninao ushahidi ktk hili mama Fatma nipo tayari kukuona na kuanika mbele yako.
Ahahahahahahahahahahahahahahahhahahhahah! I lobe Fatma Karume Hili neno harakati linapotoshwa Aliwahi kusema ni to be active Activism Kuwa mwanaharakati inabidi uwe active Kasoma Degree Ulaya huyu Kikeke lazima miwe makini Mmjeitahidi kumuhoji Kipendi kizuri sana Hongereni sana kwa kazi nzuri
As a Kenyan based in the states it's nice to have a media house that's interested in a variety of questions about our socities & to have all these discussions in Swahili. So tired of the usual celeb discussions. Nice to afford our present condition the gravitas it deserves and to deepen our grasp of Swahili, even for non-Tanzanians. Such channels help me teach my kids this beautiful language of ours.
Sio kaz nyepesi kumfanyia mahijiano Shangazi Fatma..amenyooka kama rula....
Mdundo wa studio uko juu sana..punguzeni
shangazi i love the fact ur very smart and straight
Shangazi unajifahamu na unajua...swali la mwanaharakati ni nani wamelikacha kiaina ..coz watu wanadhani kuwa mwanaharakati ni kama uasi flani ivi....ni ufahari sana kuwa mwanaharakati c kuogopa wakati uonevu unapokithiri..big up Mwanasheria wetu wa ukweli...
She's brighter & honest than Salim... Bravo🔥
Asante Salim kwa msukumo na ari ya kushtuashtua mwenendo na hali ya hewa ya nchi na mitazamo yake kwa manufaa yetu sote. Pia nimshukuru bi Fatma hapo kwa mchango wake wa mawazo na kisheria. Asanteni nyote tunathamini michango yenu. 🤝
Great interview
Love mummy Fatma
Damn!!!! She is hard core
Nimeipenda hii Interview... Ni interview ambayo nimeenjoy kuliko zote nilishawahi kuzisikia duniani..
Una akili sana ww🔥🔥🔥🔥
😅😅
Nimerudiya kuangalia mara mbili.very interest
Na fatma hizo nywele mpaka uziweke hivo na ww jaji mzima
This is Top Notch, lazima tumwelewe Salim analinda ugali .. akimruhusu anti afunguke sana kituo kinaweza kufungiwa... Muulizeni Tirdo ilikuaje pale TBC. Mmejitahd kdg kwny umahiri wa lugha 👏🏾👏🏾
Hapa ni nyumbani, thank you so much Salimu kwa hz interview nzur sana
Many people in this country do not even know that activism is a synonym for advocacy!
I'm not an easy person to interview. Nimeipenda
You can't beat me Salim,I'm a lawyer,I've been practicing for 25 years,don't even try 😅😅😂
Ve been playing with words for 25 years
Asante sana Adv. Fatma Karume, hopefully una mchango mkubwa hapa Tanzania. Adv. Mwabukusi atairejesha TLS kwenye misingi yake na wajibu wake mkuu wa kuwatetea wananchi, kuishauri serikali na kurekebisha sheria kandamizi zinazopoka haki za raia kulinda rasilimali za taifa lao.
Salim kama vile unajifanya mjinga au mwonekano ni kwamba hujafanya homework na research kabla ya kuingia kwenye kipindi.
Halafu huo mziki wa disco kwenye background ni ya kazi gani? Inasumbua.
Relevant and vibrant TLS on the offing
Bonge moja la interview big up Bro Salim big up Sis Karume i loved this 🎉
Ukweli na uhakika.SHANGAZI YUPO VIZURI ANATOKA ROYALE FAMILY LAKINI ANAWAFUATA WANYONGE KULE VIJIJINI WATU WA Hali ya chini.wewe Pepo yako keep it up Shangazi
Hii interview nimeirudia mara mbili kuisikiliza,hope nimejifunza mengi sana,all in all big up shangazi uko vizuri
Crown hii interview is very impressive 🔥
Asante kwa kwa ufafanuzi Dr. Fatma, wewe ni super hero women's be blessed 🙏
Salim kikeke sio mcezo kwa maswali we need more people like king kikeke in East africa crown media in Burundi 🇧🇮
Shangazi Yupo straight mbaka kikeke kaingia Ubaridi... 😂😂😂
Women like her will always remain single. She is over the top with her analysis..
Always
Yani hataki kurekebishwa..Ana matatizo kwelikweli
@@erickmmbando1909 yani anaongea yeye Mimi naona aibu
Kivipi kaka unaona aibu?@@starlily07
@@erickmmbando1909 una chose ma ni pumba tupu. Anaonglea taaluma ambayo a Sifahamu na kuijua na kuiheshu na kuisimamia fika.Anajitambua na hababaiki na hababaishwi. She is above average understanding , na hiyo inampa nguvu. Smart person who happened to be a woman. Na wengi wanaume wanamwogopa . Hachezi na mtu. Shupavu. She is one of the very few.
Such a great interview. Nadhani inabidi hii interview irudiwe. Salim umeuliza maswali mengi na mazuri ila umemkatisha sana Fatma wakati anajibu na umetukosesha faida nyingi ambazo tungeweza kuzipata. She is so smart and brave lady.
Pia ametoa elimu ya jinsi ya kuuliza maswali, kusikiliza na kuelewa majibu 😅
🇹🇿🇹🇿
Kikeke anaogopa kwakua tayari anashutuma za kuikosoa serekali kupitia uandishi from yuko BBC so huwa anajilinda mapema sana hampi mgeni wake uhuru wa kueleza akiona anaelekea kwenye kuikosoa serekali
KIKEKE MWENYEWE TU WEWE HAPO UKO UPANDE WA SERIKALI UNAOGOPA HAKO KAREDIO KAKO KUMINYWA . KWA HIYO WENZIO WASIOGOPE .
MY Dear SISTER THANKS (INSHAA ALLA MWENYEENZI MUNGU SUBHANNA WATTAALLA ATUFANYIE WEPESI)AMEEN
Kikeke kura chuma hicho 🎉🎉 tukipata watu100 wenye misimamo kama ya fatma karume bac tz tutakuwa tumepona %100
She is brilliant and confident - well done Fatma 🎉
Exactly wasikuchanganyie habari Dr. Fatma big up uko makini sana for your talking 😁 I love you
Hongera Fatma karume you are smart.
Duh huyu Fatma🔥🔥😂😂🫡
Nimejofunza mambo mengi sana toka kwa Madam Fatuma Karume.
Hongera Fatma
kikeke interview zako ni nzuri sana Big up to you bro
Asante fatma kalume, weji toka makambako Town hapa
We need to have media like this to learn basic things and not gossip all the time
Wonderful Presentation shangazi. Kikeke ujipange 😂
Background sound Ipo juu sana.
Shangazi is very confrontational hataki kabisa maoni tofauti na yake, anaamini yeye anajua kila kitu kwenye law, but she's smart nonetheless.
Salim apunguze kidogo uoga halafu akae na Masoud Kipanya media moja wamualike tena Shangazi. All in all Salim atafanya mapinduzi makubwa Sana kwenye media hapa Tz.
I REAL LIKE HER THE WAY SHE STAND IN HER LAW STUDIES AS A FAITHFUL LAWYER ALWAYS SHE TALK THE TRUTH WITHOUT TO SURPORTS THOSE WHO EVER WANTS HER TO BE ON THEIR BESIDE OF WRONGS"! N NOT WRIGHTS"! JUST BY THE WAY THEY WANT"! BUT BEC. SHE IS A FAITHFUL N HONEST TRUE LAWYER!" SHE ALWAYS FOLLOWS THE LAW N REGULATIONS OF IN LAW OF LAWYERS THE WAY NEED TO BE WITH👍👌"! KEEP IT ON MY DEAR FAITHFUL LAWYER YOU ARE👍 SUPER GREAT👌
HIZI NDIO STUDIO ZA KUJIFUNZA KITU THANKS FOR GOOD WORK
Sio studio za kina fulani wanachoongea utapishi mtupu mie nimeacha kuwasikiliza unaweza kupata presha bure
Shangaz km shangaz Napenda Confidence ya Fatma Karume🎉🎉
Nimependa sana interview hii. Natamani ningepata contact ya Hon. Fatma ili anisaidie ushauri wa kisheria kwani strong people kama hawa ndio nawahitaji ktk kipindi kigumu ninachopitia. Nakupenda sana Advocate Fatma❤
Kikeke kakutana na Kikokotoo😂😂😂
Splendid🔥🔥🔥
She is brilliant and brave advocate. Big up Fatma.
VERY TRUE DEAR👌 LAWYER👍
Fatma Ana Akili na Ni Mathubuti Kuliko Wengi Wanavyofikiria na Ni Mnyenyekevu sana
VERY TRUE👌!
I love this woman she knows her game very well.
Kama umemwona kikeke kamgwaya karume gonga like hapa!
Kamgwaya ndo nn
Nampenda sana Fatma Karume. Dada ni mstaarabu sana huyu.
Moja kati ya interview bora kabisa kuwahi kutokea kwenye kasri la kikeke..hongereni
Tukipata watu kam fatma karume watatu tu nchi inanyooka hii😂😂😂😂😂
Pia kumbuka ushoga ndo utakuwa ndo habar ya mjini
@@athumaniamani9905umri huo unaogopa ushoga?
Shule nzuri mana mtu unajielewa
Kikeke you did a very good job! She failed really bad answer simple questions! She very incorrectly about US legal system! All federal judges including US Supreme court judges appointed by president but they go through Congress and Senate houses for vigorous scrutiny questions before approval! Now, depending with president at times when this judge retires or quit the job! Currently 6 justices are appointed by Republican presidents! During scrutiny they ask several questions to see where they lean to either Democrat or Republican policies! Republican has tendency to pick moderate conservative or conservative! While democrat tends to pick liberal judges! Now, States have their own way to choose their judges! So, States has their own rules and laws but most of them are similar to Federal laws! A lawyer doesn’t act like that bragging I got barrister from UK! No wonder why she can’t answer simple questions and be very rude, she might don’t know UK laws and TZ laws are 2 different things! 🫳🏽🤦🏻♂️😢🤣😂
Dada ujui kuuliza maswali kaa kimya😂😂 fatma shangazi
Nice interviews
Moja ya vitu vinakera ni mwandishi wa habari anaeogopa serikali, kiasi cha kuitetea wazi wazi kwenye inter muhimu kama hii 😢
Shukran kwa kusema kweli shangazi
uko vizuri Fatma Karume
Sheria tamu sana, Naenda kusomea
😢Plies huo mziki unasikika kwambali sio mzuri umaharibu umakini wakipindi hatujsupenda ( back grauund music ).
Hapa kekeke alijichanganya. 19:10 Salim aliteseka sana. Hii interview ilikua nzuri sana.
Kikeke leo umepatikana Fatma ni level nyingine
The First Daughter
Salim kaonyesha he's too shallow when it comes to interviewing learned folks. Alafu no preparation whatsoever. And then kumjibia swali Rukii wakati Rukii ndio kauliza that just screams shallowness on their part. FATMA wiped the floor with them. Also, Fatma has a bit of an ego problem and an elitism attitude. I guess being the presidents daughter and a lawyer comes with that chip on the shoulder. Either way, informative interview. Crown media; either mfanye interview nyepesi nyepesi kwa wasanii wasio na akili au mkifanya such interviews like these, then MJIANDAE VIZURI!
Shangazi uko juu
Fatma is 🔥🔥🔥🔥
Shangazi ni hazina
Sijuitii kusoma sheria Mwakani naenda kusomea masters Kabisa kuzidisha confidence
Heri uanze kutetea wananchi kwa kuwaelimisha juu ya haki za sheria zao kuliko hiyo Masters.
Sheria sio Masters.....You know You Know😅😅😅😅
Bravoo👏🏼👏🏼👏🏼shangazi
Fatuma uko vizur sna sheria
Maoni yangu kuwe na siku maalum ya kuadhimisha uhuru wa mawakili kitaifa iendane na Ile ya kidunia kama ipo, iheshimiwe kama ilivyo kwa siku ya uhuru wa vyombo vya habari
Shangazi yuko vizuri sana madini ya leo makubwa sana.
Wakili msomi mahiri mwenye msimamo!
Naye arudishiwe leseni yake kama bado..aingie mahakamani..asaidie watu..alisaidie taifa!
Hatari kubwa sana muhimili wa sheria kwa maana ya mahakama kutokuwa huru!
Ili TLS iweze kutimiza malengo yake mahakama inapaswa kuwa huru..kufikia huko mabadiliko ya Katiba hayakwepeki!
tena nisaidie,kuna mwenyekiti ananitishia ,wakati yeye ameuweka mtaa kwenye utata,kwa kutumia vibaya pesa za ulasimishaji makazi,nilimweleza ukweli ,sasa ananitolea vitisho vikali.
Shangazi anapendeka sana nchi hii
U CONGER THE WORLD MY DEAR U"
🤣🤣🤣🤣Hapa ndiyo ninapompendeaga Shangazi no Cape🧢🧢🧢Education 🎓Education 🎓huwezi pata hii confidence y Shangazi🤣🤣Kikekee anaogopa Radio kufungiwa that's why anajaribu ku m_bana Shangazi asijiachie saana Na shangazi akubaliiii🧢🎓
Salim has authority interesting that why …..
Lkn bahati mbaya siku hizi baadhi ya wanasheria wamekua matapeli.wanachukua rushwa upande mlalamikiwa na kuivuruga kesi na unapolalamika ktk mbele ya kamati yenu ya maadili wanasheria mnalindana. Ninao ushahidi ktk hili mama Fatma nipo tayari kukuona na kuanika mbele yako.
DO Not Ever tell a Woman to Calm down
....Kikeke😅😂
😂😂
Ningependa kipindi,ningependa mualikwaa
Salim
Ana uwoga sana na serikali
Majibu ya fatuma yanamuogopesha
Aisee Fatma Karume, ni Mwanaharakati. Tetea maslahi ya wananchi mama.
Shangazi is so beautiful
Our Media
Mafundi mmekutana❤❤
Kikeke acha kuwa upande wa pili unaogopa kiredio chako kuminywa.
Salimu uelewa wake wa mambo una mapungufu sana. Hata akielezwa haelewi.
Shangazi ❤
Ahahahahahahahahahahahahahahahhahahhahah!
I lobe Fatma Karume
Hili neno harakati linapotoshwa
Aliwahi kusema ni to be active
Activism
Kuwa mwanaharakati inabidi uwe active
Kasoma Degree Ulaya huyu
Kikeke lazima miwe makini
Mmjeitahidi kumuhoji
Kipendi kizuri sana
Hongereni sana kwa kazi nzuri
Shida ya Fatuma hajui kiswahili😅😅😢😢
😂😂😂😂😂
"I'm not an easy person to interview "
Napenda mazungumzo kihakika yanajenga
Mb zangu nimezitumia vizuri nimechoshwa na story za p didy zisizo na faida kwangu
👊👍✌️.
Nimecheka sana Kikeke alivyoambiwa dont tell woman to calm down!!! 😂😂😂😂
you can not play me with word... 😀😀😀😀😂
HUYI AUITE FATMA KARUME IGEKUA RAIS UNGUJA INGEENYOKA SHE FANTASTIC
Aaagh wapi, haha Ruth manzoni alikuwa poa sana laminitis alipokuwa raising tu amebadilika, huyu angekuwa raisi ndio ingekuwa hovyo kabisa.
Kuna siku atakuwa, ni jambo na subira?
Dankie madam