Statejiki kk ujui angaNGALIA WALIVYO NAHAKILI MAYAUDI WAMEINGIZA MAKOMANDO UKO URUSI IRI KUIFANYA URUSI KUWA BIZE NAMAMBOYAKE YANDA IRI ISIISAIDIE IRANI CHEZEA WAYAUDI WW
inamaana hilo ulijuwe wewe huku urusi wenyewe wawe hawalijuwi ? urusi ni nchi kubwa na yenye jeshi bora na kubwa na pia urusi inauzoefu sana na vita, kwahiyo hata ukisikia ukren au nato wameingia pale mpakan haiifanyi urusi isifanye mambo mengine ya kijeshi nje ya urusi au kupambana, kusaidia sehemu nyingine, Labda hauijuw urusi vzr wewe. Mbinu zote hizo wanazozifanya urusi anazijua vzr kuliko wewe, sasa ukitaka kuiona sura kamili na uwezo kamili wa urusi subiria uchaguz wa marekan upite alafu Trump akose ushindi, hapo ndipo utakapo iona sura halisi ya urusi, uvumilivu wake wote huu anajua akishinda trump t vita wamagharib wenyew,
Jina langu msomali nip mwanza. Kwanza nakup hongera sana kwa uchambuz wako makin mwalim ila ningeomba uwe unatumia maneno ya kiswahili hassa zaid unapo fafanuwa uchambuz kwan wengine kingereza hatujui asante mwalim
Wew ndio unasikiliza huku ukiwa na akili ya upendo w sehem moja Ila hauko kusikiliza uchambuzi ki uhalisia sikiliza kw Malini Kisha fuatilia na history nyengine utajua ukweli na kujua hila z hao wayahudi co kw ajili ya hao waarabutu watafakari na lengo lao ni lipi katika ulimwengu huu haswa huku kwetu afrika utajua
WAIZRAELI HAWANA UWEZO WAKUPIGANA NA IRANI. YEYE ANATUMWA TU NA AMERICA KUMUINGIZA KWENYE MTEGO ILI WAMFUTE MANA WANAJUA ARABUNIKOTE MWANAUME NI IRANIPEKEE, AMBAE HADISASA WIKIMZIMA WAIZRAELI WANANYEA DEBE MASHIMONI NA NCHI IMESIMSMSKILAKITU. . HEBU WAWAACHE ASISAIDIE MTU TUONE MWANAUME.
Asante sana mchambuzi
Salute
Upo Good bro
Shukrani sana mwalimu
Life from 254🎉
Ya Allah jaaria hao makafiri wauane ili iwe chanzo cha ushindi wa waislaamu
Unachelewa sana kwenye kutuhabarisha
Ina maana mayahudi hawana sera nyingine tofauti na kuua.
Statejiki kk ujui angaNGALIA WALIVYO NAHAKILI MAYAUDI WAMEINGIZA MAKOMANDO UKO URUSI IRI KUIFANYA URUSI KUWA BIZE NAMAMBOYAKE YANDA IRI ISIISAIDIE IRANI CHEZEA WAYAUDI WW
Sio kweli😊
inamaana hilo ulijuwe wewe huku urusi wenyewe wawe hawalijuwi ? urusi ni nchi kubwa na yenye jeshi bora na kubwa na pia urusi inauzoefu sana na vita, kwahiyo hata ukisikia ukren au nato wameingia pale mpakan haiifanyi urusi isifanye mambo mengine ya kijeshi nje ya urusi au kupambana, kusaidia sehemu nyingine, Labda hauijuw urusi vzr wewe. Mbinu zote hizo wanazozifanya urusi anazijua vzr kuliko wewe, sasa ukitaka kuiona sura kamili na uwezo kamili wa urusi subiria uchaguz wa marekan upite alafu Trump akose ushindi, hapo ndipo utakapo iona sura halisi ya urusi, uvumilivu wake wote huu anajua akishinda trump t vita wamagharib wenyew,
Usiongope urusi tayari weshapeleka masiraha Pakistan keshapeleka silahaa wayaudi weshachanganyikiwa
Irani vita atashinda kama watapigana
Saf mchambuzi
Jina langu msomali nip mwanza. Kwanza nakup hongera sana kwa uchambuz wako makin mwalim ila ningeomba uwe unatumia maneno ya kiswahili hassa zaid unapo fafanuwa uchambuz kwan wengine kingereza hatujui asante mwalim
sawa kaka naomba radhi saana.... ila tutajitahidi kuliweka sawa ili kutengeneza ufahamu wa pamoja
Shukraan sana kaka kwa kumuelewa tunakufuatilia sana wengine mpaka huku italy page yako naikubali.@@maulidmnukwa3171
Umeereweka mkuu
Sauti yako iko chini sana boresha
noted
Wew shida ipo uchambuzi wako upo kiudini zaidi Co kiuchambuz kk
Hiyo ni Vita ya kidini
Wew ndio unasikiliza huku ukiwa na akili ya upendo w sehem moja Ila hauko kusikiliza uchambuzi ki uhalisia sikiliza kw Malini Kisha fuatilia na history nyengine utajua ukweli na kujua hila z hao wayahudi co kw ajili ya hao waarabutu watafakari na lengo lao ni lipi katika ulimwengu huu haswa huku kwetu afrika utajua
@@ShekhMufyd-mn9znni vita ya mashia na wayahudi! Mayahudi ndo waasisi wa ushia! Je watapigana kiukweli au kipropaganda? Waislaamu tunasubiri tuone.
WAIZRAELI HAWANA UWEZO WAKUPIGANA NA IRANI. YEYE ANATUMWA TU NA AMERICA KUMUINGIZA KWENYE MTEGO ILI WAMFUTE MANA WANAJUA ARABUNIKOTE MWANAUME NI IRANIPEKEE, AMBAE HADISASA WIKIMZIMA WAIZRAELI WANANYEA DEBE MASHIMONI NA NCHI IMESIMSMSKILAKITU. . HEBU WAWAACHE ASISAIDIE MTU TUONE MWANAUME.
Israel hana uwezo ispokua Marekani na ulaya wanailinda sna wanammpa kiburi Israel saiv tyr washa tuma jeshi kuilinda
Wakijaribu kurusha kombora ata moja uyo muirani atajamba atapgwa sana n waizrael🔥🔥👺
Ww si unasapoti mashoga
Iran anajamba makombola tuu israeli mchumba atapigwa kama ngoma kipigo kipo palepale subirini mashoga nyie
@@salymsuleiman2035
Irani ndiyo mashoga
@@zebedayokatamaduni9676 unachekesha ww
Iran na Israel wote hawafai,acha wapigane wafe wote, maana tumechoka na propaganda zao.
Akuna chochote cunaona wayaudi warivyo nahakili wamegunduw urusi itasaidia Irani wayaudi wameingiza makomando urusi iri kuifanya urusi iwe bize na mamboyake yandani
MUNGU bariki ISRAEL
MUNGU awez kubark wauwaji