UTANI WA MASANJA KWA STEVE NYERERE MSIBANI/ATAKUFA KILA MTU!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 бер 2019
  • UTANI WA MASANJA KWA STEVE NYERERE MSIBANI/ATAKUFA KILA MTU!

КОМЕНТАРІ • 97

  • @seifmohamedseif9467
    @seifmohamedseif9467 3 роки тому +2

    Hatukuja kutembea dunian bala kumwabudu Mungu na acha ujinga Mungu alikuabaliana nn na shetani

  • @joakimcosmas3526
    @joakimcosmas3526 4 роки тому +2

    Barikiwa Sana mgaya maana hata neno linasema sikuja kwaajili ya wenye haki Bali waliopotea ili kuwarudisha zizini barikiwa Sana mgaya

  • @mwakamwaka7428
    @mwakamwaka7428 2 роки тому +1

    Mimi mwaka nimeokoka kwakweli masanjamungu akutie nguvu na maisha marefu kama ayubu

  • @emmanuelselesetine6677
    @emmanuelselesetine6677 4 роки тому +2

    Ok

  • @pst.johnmesa1621
    @pst.johnmesa1621 3 роки тому +1

    Glory to God

  • @nkwabitz233
    @nkwabitz233 5 років тому +1

    safiii sana mchungaji

  • @makulamwesa863
    @makulamwesa863 4 роки тому +2

    Stive nyerere wajumbe

  • @yusuphmkapa5302
    @yusuphmkapa5302 4 роки тому +1

    Amen

  • @victormwakipesile849
    @victormwakipesile849 4 роки тому +1

    🔥🔥🔥

  • @michaelmrema5233
    @michaelmrema5233 4 роки тому +1

    Steve uko vizuri tufungue kanisa

  • @benetisrael6201
    @benetisrael6201 4 роки тому

    Dah!

  • @mctidohondoa1652
    @mctidohondoa1652 5 років тому

    Duuuu sawa

  • @magwaza8904
    @magwaza8904 2 роки тому

    Steve Mungu hakumpa Shetani Kazi acha uongo

  • @jacksonmkuye7739
    @jacksonmkuye7739 5 років тому +5

    Mungu hakumuumba Shetani alimuumba malaika lusifeli, moyo wa malaika huyo ndio uliomuumba Shetani baada ya malaika kushindwa kuulinda moyo wake ndo mana hata Leo tunaambiwa tulinde sana moyo mana chemchemi za uzima hutoka humo.

    • @ahmadsalim6198
      @ahmadsalim6198 4 роки тому +1

      Akaaa weyeweeee stive mambwinya na ww umemaliza kabisa kumbwinya hakuna malaika alie mkosea mungu kwnza wao sifa yao 1 hawamuasi mungu hawataman hawali hawanywi ssa kumuuas hko vepe

    • @msuyaothman9591
      @msuyaothman9591 4 роки тому

      Na wewe pia umeingia chaka njooni katika uislam mtafam kuumbwa kwa Sheytwan alolaaniwa na kabla hajalaaniwa

    • @emmakafwenda637
      @emmakafwenda637 2 роки тому

      @@msuyaothman9591 2lia ww
      hujielew ww

  • @sofiachilunzo9268
    @sofiachilunzo9268 4 роки тому +1

    Stivu ata mimi nimeona utumishi ndaniyao

  • @danieliduma6950
    @danieliduma6950 3 роки тому

    Danieli agustino

  • @abdullramadhanii626
    @abdullramadhanii626 4 роки тому +1

    Zaburi ya Kwanza heri anayekwenda kwenye mtanga kuliko kwenye karamu

  • @yusuphbhoke3627
    @yusuphbhoke3627 5 років тому

    masanja mungu azidi kukuinua zaidi sanaa wewe ni mtumishi kweli amini neno jiamini hakuna lakumshinda mungu

  • @bebisheni4380
    @bebisheni4380 4 роки тому +1

    Stiv cheza cheza tokomeza 0

  • @zaidyabdalah3691
    @zaidyabdalah3691 3 роки тому +1

    Hapo ni kanisani au?

  • @s_d_r-lindadad-ministry-Tv
    @s_d_r-lindadad-ministry-Tv 5 років тому

    Fiel é Deus awe pomoja n wewe

  • @dnaofgodtv4873
    @dnaofgodtv4873 4 роки тому +1

    Kuanzia leo, kwa maneno haya, nitakuheshimu Nyerere!

  • @zachariaanthony6310
    @zachariaanthony6310 3 роки тому +1

    Stivu nyerere

  • @jerrywilhelm
    @jerrywilhelm 5 років тому

    Hahaha... Shetani walikubaliana na Mungu hi mpyaa 😁😁😁😁

  • @mariamothman7404
    @mariamothman7404 4 роки тому

    Watumishi wafupi kama nani vile😁😁😁😁😁😁yaan watu wa fupi hatuna bahati duniani masanja we ni fala😁😁😁😁😁😁😁😂

  • @wilsonkimaro6375
    @wilsonkimaro6375 5 років тому

    Mmmmmmmmmhhhhhh????? Mnatuweka katika wakati mgumu sasa hatujui lipi ni lipi nakwawakati gani ila poa tu

  • @emmymkony5396
    @emmymkony5396 5 років тому +1

    Tivu umeongea point barikiwa

  • @saburilucas4493
    @saburilucas4493 5 років тому

    Sritivu mungu na shetani hawana makubariano

  • @johnjulius6986
    @johnjulius6986 5 років тому +3

    -Ole wenu mnaotaka kujipatia umaarufu kwaajili ya neno langu.
    Ole wenu mnaotaka kujipatia pesa kwaajili ya jina langu, kwamaana mlishapatiwa thawabu yenu.
    Vyote tutaviacha....

    • @souvenirweber7169
      @souvenirweber7169 5 років тому +3

      Mmm makubwa! Hapa sioni tatizo zaidi yakuona roho zakuhukumiana tu. Tuache Mungu ahukuhumu roho za viumbe wake huna uhakika wa nani anatafuta umaarufu kwa neno la mungu yawezekana hata wewe unalijua neno la Mungu kinywani na mistari mingi ya neno la Mungu ila matendo ni zero na ndio walio wengi mistari imejaa kichwani ila matendo utakimbia.

    • @Feelfreechurch
      @Feelfreechurch  5 років тому +9

      Ndugu yangu hata ww ni shahidi tulikuwa maarufu kabla na kunachofanyika hapa kama umekereka basi unsubscribe ili uwe na amani🙏🏾

    • @lilyrose4066
      @lilyrose4066 5 років тому +3

      @@Feelfreechurch Bwana eeh,achana nao binadam hawana jema.Endelea kupiga injili Mtumishi wa Mungu.Be blessed!

    • @aggy_cakeandbites
      @aggy_cakeandbites 5 років тому

      piga kazi masanja, injili ni popote hasa huko misibani maana ni mahali ambako watu wengi wanakusanyika ambao huwezi wapata mahali pengine

  • @simonmsola3423
    @simonmsola3423 4 роки тому

    Steve bhana wee niwaajabu

  • @fridamapundasafi1862
    @fridamapundasafi1862 4 роки тому +1

    Huumsiba ninani alifaliki

  • @rehemakazumba4423
    @rehemakazumba4423 5 років тому

    😂😂😂

  • @pelusiemanueli6926
    @pelusiemanueli6926 4 роки тому

    🤣❤

  • @shabansaid316
    @shabansaid316 5 років тому

    idiha

  • @helmankafuka6507
    @helmankafuka6507 5 років тому

    Kana kashfa za kula hela za rambi rambi An majanga haya mh

  • @aguerotz.3949
    @aguerotz.3949 5 років тому

    Hahahahahahha

  • @siliviamushi4119
    @siliviamushi4119 4 роки тому +1

    🤣🤣🤣

  • @myself4128
    @myself4128 5 років тому +4

    Steve Nyerere ndio nani?
    Media za Bongo zinafosi sana...

  • @abdulbogoyo1243
    @abdulbogoyo1243 4 роки тому +1

    Ungesoma maandiko usingesema huo upuuzi:. Kweli ni makubalino ya Mungu na shetani kwa kazi anayoifanya shetani ?

  • @umikram6755
    @umikram6755 5 років тому +1

    MME VURUGWA

  • @lailahasan2200
    @lailahasan2200 4 роки тому

    Mtihan mkubwa

  • @yusuphbhoke3627
    @yusuphbhoke3627 5 років тому +1

    watumishi wamungu nawapendeni sana

  • @robertnsambila7354
    @robertnsambila7354 4 роки тому +2

    HV wewe Steve ni mhehe? Mana naona kidogo Kiswahili tatizo

  • @evvajohn9209
    @evvajohn9209 5 років тому

    sipendagi uo msemo wako wa kusema wangine.

  • @robertjunior9916
    @robertjunior9916 5 років тому

    Masanja kawa mchungaji

  • @suleymanally4729
    @suleymanally4729 4 роки тому +1

    Yani hii dini wallah vituk vitupu yan sijui hawajielew. Yan majanga tu. 😂😂😂😂😂😂

  • @stellagaudence9804
    @stellagaudence9804 5 років тому

    mbele endelea kaka Imma ...

  • @paulinapaulina911
    @paulinapaulina911 5 років тому +1

    Kifupi sikuelewagi masanya

  • @mchricharderickmtoni438
    @mchricharderickmtoni438 5 років тому +3

    Masanja acha kuigiza mpaka mambo ya MUNGU huyu jamaa sio mtumishi kwasababu bado hajaokoka........

    • @Feelfreechurch
      @Feelfreechurch  5 років тому +5

      Richard Erick Ndugu hujui hapa tunaumba jambo!!

    • @mchricharderickmtoni438
      @mchricharderickmtoni438 5 років тому +1

      Uko sahihi lkn umeshamuhubiria injiri hata Mara moja maana unamuumbia sawa lkn lazima awe amehubiria hata Mara moja ili unapomwita hilo jina lilete maana tutatoa hesabu ya maneno yote.......

    • @Feelfreechurch
      @Feelfreechurch  5 років тому +5

      Soma Tena Rply yangu ya kwanza ndo jibu langu,

    • @kangujosephkangungu26
      @kangujosephkangungu26 5 років тому +2

      umeingia rohoni kwa masanja?Ili kuijua kweli si kweli ni lazima uingie rohoni mwake,usihukumu wacha watu watangaze neno

    • @shabanilupogo7283
      @shabanilupogo7283 5 років тому

      Duuf

  • @magrethndola6988
    @magrethndola6988 3 роки тому

    Amen

  • @rehemakazumba4423
    @rehemakazumba4423 5 років тому

    😂😂😂

  • @guccij3549
    @guccij3549 5 років тому +1

    😂

  • @s_d_r-lindadad-ministry-Tv
    @s_d_r-lindadad-ministry-Tv 5 років тому

    Fiel é Deus awe pomoja n wewe