Nimekukubali mtumishi wa Mungu, kwa iyo staili ya mahubiri yako, andaa project nzuri ya kuwahubiria watu wenye kukosa matumaini km mateja, utasaidia sana jamii , thanks bro
Unaweza ukasema Mchungaji/mtumishi Emmanuel analeta mzaha ila wewe ni mtumishi wa Mungu,mimi nakuelewa jinsi unavyo husanisha Mazingira Tunayoishi n Biblia Takatifu.Mungu akubariki sana.hiyo sio akili ya darasani
ahsante sana mch masanja kwa maana hujawai Kumuacha mtu salama unawapa makavu live ubarikiwe sana
Nimekukubali mtumishi wa Mungu, kwa iyo staili ya mahubiri yako, andaa project nzuri ya kuwahubiria watu wenye kukosa matumaini km mateja, utasaidia sana jamii , thanks bro
dah masanja mungu alikupa kipaji kikubwa sana na unakitumia ipasavyo
nakupendaga bulee masanja
MTUMISHI MUNGU Akupiganie daima
Tuna kusikiliza kabisa from 514.ubarikiwe saaana
be blessed mchungaji kilijobaki ni tuseme kweli ya Yesu tu.
Kipozeo
Unacho ubiri ndugu ni kweli, Mungu akubariki sana, Amina
Asante mchungaji masanja ongea baba tupone
Amen ubalikiwe sana masanja
Nakuelewaga sana
We love you so much,May Almighty God bless you
Much balikiwa sana
mtumishi nimebarikiwa
Barikiwa mtumishi masanja
Barikiwa mtumishi wa Bwana kwa injiri nzuri.
amenii masanja
Ahsante sana we noma
Amina mtumishi
powerful GOSPEL dearly i john 1:12
Hàpo sawa mtumishi wamungu ubarikiwe.
Asante niko nje ya nchi nakupata mungu atuzidishie nakukbali sana uko vizuri
Umeulizwa na nani mr
Safi mtumishi
MrAbdulrahmank07 no
hiyo nimeikubali mtumishi kweli we ni mtumishi
NIMEPENDA UKWELI WA MASANJA
Ameni
Unaweza ukasema Mchungaji/mtumishi Emmanuel analeta mzaha ila wewe ni mtumishi wa Mungu,mimi nakuelewa jinsi unavyo husanisha Mazingira Tunayoishi n Biblia Takatifu.Mungu akubariki sana.hiyo sio akili ya darasani
Kabisa nimeisikia nikiwa usa asanti kwa injiri nzuri
Mungu anavyombo kwa kweli
Ameni nimekwelewa mtumishi
Asante sana nimekusoma
Be blessed mch emmanuel,u knw how to tell peope about bible
Da!!! Upo vzur saaana bro.
That's why nakupenda Masanja
Amen mtumishi.
Anajitaid sana
Pastor Masanja nakukubali sana
R.I.P mama yetu mbele yako nyuma yetu sisi.
Masanja unakipajiiii
POWER.
😁😁😁😁😁😁😁😁😁 Masanja kweli UKOMEDI NDIO TALENT yako uliyojaliwa
Much Appreciation to you my Bro R.I.P our mum
simply talented!
Amen masanja
Mahubiri mazuri...
Yaan mahubiri yako hayajawahi kunipita , nashukuru Mungu
Asante mungu kwa Aya ni matunda yako
Amen mchungaji
mungu akubalik mch
Ubarikiwe
Pole sanaaa bro Elick shingongo
bwana yesu asifiwe sana
Amen
Broo unaweza kuhubiri
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
ameenii
Amina kwa mahuburi mshungaji
Uko vizuri
Aaamen
Masanja nakupenda huwa unasema kwer
Nimecheka adi mbavu
Amein Mtumishi
Kwakweli tunaishi duniani ambapo cio kwetu,
Comedy pastor...hahaaa
Nakukubali..ukiwa juu utolewe ngazi utashukaje..hahahahaa
Kweli kabisa mchungaji wanaletwaga tabani
Injili moto
😂😂😂😂👏👏👏🙏❤
Kweli unawahubiri hapohapo malizana nao kabisaa maana kanisani wengine hawaji
Haya bhana
mchungaji
Marehemu alizaliwa akazurura akafa
Yani umenichekesha na unachekesha wewe broo
Nimekusikia mchungaji sasa nikubadilika na kufuata njia sahihi
hahahahaha yaaan masanja unavituko sijapata kuona ...eti eeefuuu buhffhhxjvu hiyo ndo bwana Yesu asifiwe
yaan masanja hadi mfiwa anacheka
😂😂😂 G.K
unamakeke
hapo hamna ki2 kaka waumini wako wengi wanamuonekano wa ulevi,yaani wanywa pombe
Ndiomaan wanahubiriwa ili wajue mambo meema sio watu ambao tayari wanajua na kwa uerewa wangu Mungu anatafuta kilichopotea ili kiwe chema
Yani umepiga neno mpaka shehe kakubali
Mimi nakuelewa baba
Yani unajisahau km uko msibani
Ukovizuri mtumiashi wamungu. Jamani watanzania naombeni msaada wenu ninashida na mch masanja nitampataje? Namba yangu 0713 779887
Wote ao wafuasi wako wakomedi2 wamefuata kurefusha maisha yao kwasababu ya kucheka2
Anajitaid sana
Nakuelewaga sana
Daaaaaaaa mshua tena!
Huyu jamaaa yupo vizur isipo kuwa anahubir kihuni 😂😂😂 et mm ni mchungaji wa kisasa.... Mshua ndonn kwenye mambo ya rohoni hamna huo uhuni