MASANJA JAMANI! Kwenye MSIBA wa MAMA MC PILIPILI Awavunja WATU MBAVU...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 112

  • @benedictmrisho2361
    @benedictmrisho2361 3 роки тому +3

    Masanja hongera kwa kupunguza ukali wa uchungu misibani. Kuwafariji wafiwa ni.pamoja na kuwashirikisha tumaini kubwa. Neno la Mungu kwa njia ya sanaa "mbabe wa kifo ni Yesu" ni faraja pia. Poleni wafiwa Yesu ni faraja yenu Amen.

  • @amanafi1288
    @amanafi1288 3 роки тому +11

    Huyu Jamaa kiukweli ni genius totally duuu... Masanja weee!!

  • @marthaleonard2444
    @marthaleonard2444 3 роки тому +3

    Masanja uko vizuri ktk uwasilishaji wa semi.Mungu akutukuzwe !

  • @auntdorah9141
    @auntdorah9141 3 роки тому +1

    Ameen..
    Asante kwa mafundisho mazuri na ya wakati husika mtumishi Masanja!

  • @goddamwakimi5889
    @goddamwakimi5889 3 роки тому +13

    🤣🤣🤣nacheka lakini naogopa daah masanja hongera kwa kuwafariji wafiwa mungu akubariki kaka

  • @salomemueni100
    @salomemueni100 3 роки тому +4

    Kwetu kenya,,,masanja kakupenda bure kwa miaka mingi zaidi nyimbo za injili kama vile wema wa mungu umeninzunguka....asante

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 3 роки тому +13

    Spoken well, kifo cha mama ni uchungu kuliko kila kitu

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 3 роки тому +16

    Masanja maneno yamenigusa, poleni sana

  • @janecolleter
    @janecolleter 3 роки тому +1

    Hongra kwa speech nzur, Mungu wa mbinguni awatie nguvu wafiwa wote ktk kpndi hiki kigumu.

  • @mitaocamilliusthegreatest9068
    @mitaocamilliusthegreatest9068 3 роки тому +1

    Huyo bro anakipaji kikubwa mno Mwenyez Mungu azidi kumuinua zaidi

  • @mc_mrope
    @mc_mrope 3 роки тому +4

    Mwenyezi MUNGU awape nguvu wafiwa wote katika kipindi hiki kigumu 🙏

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 3 роки тому +5

    Mungu amekupa
    Neema ya Kipawa hiki....Kitumike vema.....

  • @johnsonwilison2997
    @johnsonwilison2997 3 роки тому +6

    barikiwa mtumishi poleni sana Mungu awatie nguvu

  • @mariamayoob8734
    @mariamayoob8734 3 роки тому +1

    Hallelujah Hallelujah Hallelujah Masanja

  • @raphaelkyando1094
    @raphaelkyando1094 3 роки тому +3

    Masanja nakufurahia Sana

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 3 роки тому

    Amen maneno yako mazito kaka masanja shukran kwa ukumbusho mzuli

  • @faridaessa7844
    @faridaessa7844 3 роки тому +2

    Barikiwa Sana mtumishi

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 3 роки тому

    Mungu akubaliki Sana Mchungaji Emmanuel mgaya

  • @katherinasamwel3937
    @katherinasamwel3937 3 роки тому +2

    Poleni wafiwa wote MUNGU amipe uvumilivu

  • @queenpius
    @queenpius 3 роки тому

    Aminaaaa.....
    Amenena maneno ya faraja

  • @tukiokikoti6737
    @tukiokikoti6737 3 роки тому +3

    So talented

  • @victorialuoga6568
    @victorialuoga6568 3 роки тому +1

    Hahahahaaa 😂😂😂 hongera masanja nilikua nalia hadi nimecheka

  • @fridahrugendo6519
    @fridahrugendo6519 3 роки тому +2

    Waoh soo inspiring.

  • @aishaomari2905
    @aishaomari2905 3 роки тому

    Pole sana.

  • @ezapesambili2130
    @ezapesambili2130 3 роки тому

    Heshima kwako masanja🙌🙌

  • @mimwaninelitha6666
    @mimwaninelitha6666 3 роки тому

    Poleni inauma sana

  • @KevinWakliFitness
    @KevinWakliFitness 3 роки тому +8

    Eternal rest grant unto her oh God, and let the perpetual light shine upon her, may she rest in peace. Amen.

    • @isaacbobby8571
      @isaacbobby8571 3 роки тому

      i realize Im kinda off topic but do anyone know of a good website to stream newly released tv shows online ?

  • @kayiterkayite6300
    @kayiterkayite6300 3 роки тому +2

    You inspire me masanja..

  • @jamesakhabuhaya6194
    @jamesakhabuhaya6194 3 роки тому +1

    Your good masenja

  • @emanuelmwanga4
    @emanuelmwanga4 3 роки тому

    Aya umetisha

  • @lizzybahati9833
    @lizzybahati9833 3 роки тому +9

    Yaan Masanja 😀😀😀unakumbuka tulitoka kijijini 😆😆😆

  • @johnmatiko2596
    @johnmatiko2596 3 роки тому +2

    Pastor masanja

  • @martinaisaay2425
    @martinaisaay2425 3 роки тому +3

    🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼 rest in peace mama yetu mpendwa

  • @paulpeter4130
    @paulpeter4130 3 роки тому

    Nice

  • @mrwesyande7163
    @mrwesyande7163 3 роки тому +2

    Masanja umeongea point

  • @pyuritjuvenal7657
    @pyuritjuvenal7657 3 роки тому

    Poleee wote wafiwa jmn

  • @veronicamnico4773
    @veronicamnico4773 3 роки тому

    Poleni

  • @peninamzumbo7021
    @peninamzumbo7021 3 роки тому

    Jamani masanja

  • @salhamrisho8138
    @salhamrisho8138 3 роки тому +3

    Masanja nimchungaji aswaah

  • @jacklinmbega5565
    @jacklinmbega5565 3 роки тому

    Jaman wamefarijika eh

  • @upendomwalupogo462
    @upendomwalupogo462 3 роки тому

    Anhahahaaa masanjaa nakupenda mmi

  • @marychiriba2975
    @marychiriba2975 3 роки тому +2

    Amen 🙌🙌🙌

  • @ceciliamichael7234
    @ceciliamichael7234 3 роки тому +7

    Daah mm natamani kwenda kanisa la masanja

    • @damonmonyo6418
      @damonmonyo6418 3 роки тому +1

      pole sana ndugu yangu kwa kupenda kwenda kanisa la masanja na siyo kanisa la Mungu,kwahiyo wewe unampenda masanja na siyo Mungu.2Timotheo 4;1-3

    • @godwinkisanga8600
      @godwinkisanga8600 3 роки тому

      @@damonmonyo6418 kun ubaya gan kwenda huko ww, acha watu wamtafte mungu ww

    • @damonmonyo6418
      @damonmonyo6418 3 роки тому

      Tangu nimjue Mungu na ametupatia biblia takatifu ili kwakupitia biblia tumjue Mungu wa kweli@lakini pia biblia hiyo hiyo inatuambia na kutuonya namna ya kuwa makini na watu kama hao,ni waongo tu na hata kweli haimo ndani yao,maana tangu zamani walikuepo na wataendelea kuepo mpaka Yesu arudi@ na muda si mrefu Yesu anakuja ndo maana nakuambia usome maandiko ndipo utanielewa@sijawahi kuwaona wachungaji wa namna hiyo kwenye biblia na wala wale wanaojihita mitume na manabii hawafanani na mitume wa yesu ambao walikuwa 12 na siyo zaidi ya hapo nawala manabii walitabiri yaliyo toka kwa Mungu@soma mathayo 24;1-51,mathayo 25;-46,hosea 4;6.

    • @damonmonyo6418
      @damonmonyo6418 3 роки тому

      kuanzia nabii Musa yaani mwanzo wa biblia hadi kwa nabii yohana na mwanafunzi wa Yesu wa kitabu cha ufunuo,yaani mwisho wa biblia hakuna mchungaji,mtume,nabii,na wote waliofuata na kushika sheri za Mungu walikuwa makini na kuwaonya watu makosa yao ili damu hisibaki mikononi mwao,soma ezekieli 3;16-21@na sio kuleta mzaa mzaa na neno la Mungu na huku masiara na mbwembwe nyingi mara siasa,mara maigizo,mara mchungaji,kisa kafungua kanisa@haya endeleeni na huku kuna tukio kubwa na litakayo shangaza ulimwegu uko mbele yetu@soma ufunuo 13;1-18 then husipoelewa nitumie namba yako ili tuelekezane mpendwa Mr.ScRaTcH.

    • @nurdinsaleh4786
      @nurdinsaleh4786 3 роки тому

      @@damonmonyo6418 mbona hueleweki Ina maana we huna Iman na pasta masanja...!? Kwan ana kasoro gan

  • @janecolleter
    @janecolleter 3 роки тому

    Kwel kifo kinaogopesha sna jaman

  • @katherinasamwel3937
    @katherinasamwel3937 3 роки тому +8

    😂😂😂😂 naelekeya kwenye upapa

  • @asiambarouk1236
    @asiambarouk1236 3 роки тому

    Mazishi ya she he nurdin kishki

  • @mwasomola9026
    @mwasomola9026 3 роки тому

    Masanja ni funny naturally

  • @jamilamanariyojamila1487
    @jamilamanariyojamila1487 3 роки тому

    Nimepend Manenoyak

  • @mzeewakudownload5166
    @mzeewakudownload5166 3 роки тому +4

    Allah ampe kauli thabiti Marehemu na amuepushe na adhabu ya kabuli ila jmn uyo Yesu ambae cc tunamwita Issa tucmpe nafac kubwa ya Uungu uyo sio Mungu wala Mtt wa Mungu uyo ni Nabii tu kama Manabii wengne atashndwa kututetea uyo cku ya Kiama kwa izo nafac mnazompa Mungu ni mmoja tu hajazaa wala hajazaliwa wala hakua na Mke

    • @pastorpeterfumbi2472
      @pastorpeterfumbi2472 3 роки тому

      Yesu Kristo ndiye Mwokozi na ndiye njia muamini ndugu bado mapema Soma vizuri uielewe Quran 3:55 - Pale Mwenyezi Mungu alipo sema: Ewe Isa! Mimi nitakufisha, na nitakunyanyua kwangu, na nitakutakasa na wale walio kufuru, na nitawaweka wale walio kufuata juu ya wale walio kufuru, mpaka Siku ya Kiyama. Kisha marejeo yenu yatakuwa kwangu, nikuhukumuni katika yale mliyo kuwa mkikhitalifiana.

    • @pastorpeterfumbi2472
      @pastorpeterfumbi2472 3 роки тому +3

      Quran 3:49 - Na ni Mtume kwa Wana wa Israili kuwaambia: Mimi nimekujieni na Ishara kutoka kwa Mola Mlezi wenu, ya kwamba nakuundieni kwa udongo kama sura ya ndege. Kisha nampuliza anakuwa ndege kwa idhini ya Mwenyezi Mungu. Na ninawaponesha vipofu wa tangu kuzaliwa na wakoma, na ninawafufua maiti kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, na ninakwambieni mnacho kila na mnacho weka akiba katika nyumba zenu. Hakika katika haya ipo Ishara kwenu ikiwi nyinyi ni wenye kuamini.

    • @shenjamamzingi7950
      @shenjamamzingi7950 3 роки тому

      @@pastorpeterfumbi2472 Umenena vyema,Soma tena na Uisome hiyo Qur'an kwa kuomba uelewa toka kwa Mungu na kupitia Wajuzi waliokiamini hicho Kitabu,Kama ulivyonukuu hiyo Aya...Allah(Muumba) anamwambia isa (Yesu amani iwe juu yake)kwamba "hakika mimi nitakufisha na kukufufua" Pastor fahamu wakati gani Mungu aliouzungumzia hapo.

    • @shenjamamzingi7950
      @shenjamamzingi7950 3 роки тому

      @@pastorpeterfumbi2472 Kweli Qur'an imesema habari hizi lakini swali ni kwamba je Umeelewa na kuamini?..& Je unaelewa neno Kwa idhini ya Mwenyezi Mungu lina maana gan?

  • @lesusi7872
    @lesusi7872 3 роки тому

    Masanja anafaa kuwa canselar

  • @maidamwaipopo7645
    @maidamwaipopo7645 3 роки тому +1

    Masanja bwana

  • @hadijaabdallah8313
    @hadijaabdallah8313 3 роки тому

    Wapumzike kwa amani 😭

  • @abdallahkawambwa9041
    @abdallahkawambwa9041 3 роки тому +4

    Acha utapeli mtaenda chomwa na mungu achakuwadanganya hao wagalatia ninani aliewaroga

    • @danifordrobert4849
      @danifordrobert4849 3 роки тому +3

      Mm nafkr usi muhukumu mtu, kwasababu ata wewe haujakamilika

    • @selemanjuma1060
      @selemanjuma1060 3 роки тому

      Wewe nani hata umuhukumu MTU panya ww

  • @tumainiezekia5873
    @tumainiezekia5873 3 роки тому

    Masanja nimekuelew xn

  • @kihanda2554
    @kihanda2554 3 роки тому +3

    Hakyanani Nimecheka. Eti unaelekea Upapa😂

  • @magesamajura6904
    @magesamajura6904 3 роки тому +3

    Masanja bwana😄😄😄😄unatembea umebeba unga ....unatisha mbaba

  • @mercyjesus6637
    @mercyjesus6637 3 роки тому +4

    Oo ooh Aleluuuuyaaaa!!!

  • @barakalukosi2251
    @barakalukosi2251 3 роки тому

    Hadi wafiwa wanafarijika japo wanamaumivu

  • @ayshazsalim397
    @ayshazsalim397 3 роки тому +2

    😂😂😂unaelekea wap masanja

  • @Kidpowertz
    @Kidpowertz 3 роки тому

    😅😅masanja ban

  • @bahatisunga1642
    @bahatisunga1642 3 роки тому +2

    Halellujah Masanja 😂😂😂😭😭😭😭

  • @damonmonyo6418
    @damonmonyo6418 3 роки тому +3

    kweli watu tunaangamizwa kwakukosa maarifa@soma Hosea 4;6 kama hatuwezi kusoma Biblia na kumuomba Mungu ili atusaidie,tujiandae kuangamia,Yesu anakuja na kabla hajaja ulimwengu wote ni lazima tulazimishwe kuabudu pamoja, jambo ambalo si mpanga wa Mungu@soma Ufunuo 13;1-18

    • @namsifumihungo86
      @namsifumihungo86 3 роки тому

      Masanja Mungu akupe nguvu,Unaongea ukweli,ukweli tupu vile tunatakiwa kuambiwa..Penda sana kaka wa mie

    • @hanneremily3928
      @hanneremily3928 3 роки тому

      Ki

    • @hanneremily3928
      @hanneremily3928 3 роки тому

      Amina hiyo ni kweli Ndugu

    • @damonmonyo6418
      @damonmonyo6418 3 роки тому

      Ubarikiwe kama umeona ni kweli maana wewe unamacho na unaona@ndugu yangu Hanner Emily tujiandae kumpokea YESU@ulimwengu huu unafika mwisho wake na shetani na malaika wake wote kuteketezwa pamoja na wote wanaomuacha Mungu na kuwa busy na mambo ya dunia huku wakimuacha MUNGU@

  • @edisonmaliva1719
    @edisonmaliva1719 3 роки тому

    Ila braza IMA.noma sana hahahaaa

  • @AliMohamed-kd1uc
    @AliMohamed-kd1uc 3 роки тому

    Angalau wamecheka hahaaaaaa upapa huo

  • @mohamedassey7071
    @mohamedassey7071 3 роки тому

    Like

  • @badenbensoni7516
    @badenbensoni7516 3 роки тому

    Tuache kiki kwenye huzuni kubwa kama hii.

    • @lamerckjesus5404
      @lamerckjesus5404 3 роки тому

      uelewa mdogo bro

    • @mitaocamilliusthegreatest9068
      @mitaocamilliusthegreatest9068 3 роки тому

      Kiki ukweli au hupendi ukweli! Kwa hiyo Masanja anaweza hitaji kiki zipi jamani mtu maarufu dunia nzima na pesa anayo! Tuwe na kiasi jamani

  • @ihanomadili
    @ihanomadili 3 роки тому +1

    Ng'wangalukah

  • @sylviaqatarqatar8361
    @sylviaqatarqatar8361 3 роки тому +2

    Masanja 😁😁huna copy😁😁

  • @gwakisanoah2538
    @gwakisanoah2538 3 роки тому +1

    Kweli hizi ni siku za mwisho,,, wafariji mnapata na muda wa kuchekeshana hadharani wakati wenzenu wanalia.

    • @svt3
      @svt3 3 роки тому +1

      Gwakisa: ni hivyo inaitajika sio unaenda jifariji watu halafu ianze kulia kuliko wafiwa ni lazima uongee mambo ya kuchekesha kupunguza uchungu wa wafiwa be civilized please

    • @gwakisanoah2538
      @gwakisanoah2538 3 роки тому

      @@svt3 sidhani,,, kazi yake ilikuwa moja, yeye kama mch, alitakiwa kuhubiri wala sio alichokifanya. Ndugu watu wanamhitaji Mungu kuliko hizo komedi. Injili inaponya komedi haiponyi.
      Mwanadamu asiyemcha Mungu hana tofauti na mnyama yoyote unayemjua. Badilikeni.

    • @svt3
      @svt3 3 роки тому +2

      @@gwakisanoah2538 usisahau pia ni mchekeshaji na kuwa mchungaji haimaanishi usichekeshe , halafu ni msiba sio lazima kulala kwenye viragu tu lazima watu wacheke pia, wewe unaishi dunia gani ?

    • @veronicafabian8418
      @veronicafabian8418 3 роки тому

      Kifo ni ibada .kifo ni elimu ya utambuzi wa kuwa hata mimi nitalala mauti siku moja ...sio huzuni iliyopitiliza ...tutamuingilia MUNGU hata lini ...asema furahini katika Bwana tena furahini ...hata wakati wa kulia lia huku ukiwa na imani na kuamua kuyatengeneza yakwako katika siku zilizobaki ...ukilia .ukihuzunika. ukikunja sura .ukiacha kula. .bado haibadilishi ukuu wa MUNGU. ..inamaana hukutaka MUNGU achukue chake alichokiumba mwenyewe ....lia huku ukishukuru na kufurahi ...mwanajeshi akifa vitani hawalii bali hufurahi kamanda kafa vitani ....nenda mama sisi tupo nyuma ..

    • @gwakisanoah2538
      @gwakisanoah2538 3 роки тому

      @@svt3 Uko sawa,,, nilichomaanisha ni hitaji la watu kwa sasa. Angetumia nafasi hiyo kuokoa roho za watu hatuna muda wa kupoteza.

  • @naamohamed9964
    @naamohamed9964 3 роки тому +1

    Masanja bwn

  • @kidjhdf7568
    @kidjhdf7568 3 роки тому +1

    Duuu mbeba wakifo

  • @sebastiankulaya2432
    @sebastiankulaya2432 3 роки тому +1

    Duuuuuuuuuu😀😃😆😆😅🤣🤣😄

  • @kipigapasilisungu2581
    @kipigapasilisungu2581 3 роки тому

    .

  • @niachiemahehee2523
    @niachiemahehee2523 3 роки тому +2

    Masanja wewe ngumu kumeza

  • @maidamwaipopo7645
    @maidamwaipopo7645 3 роки тому +1

    😂😂😂😂

  • @mercyjesus6637
    @mercyjesus6637 3 роки тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @naamohamed9964
    @naamohamed9964 3 роки тому +1

    Masanja bwn

  • @mercyjesus6637
    @mercyjesus6637 3 роки тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂