Unaijua SukaMahela!?•NI KATIKATI YA TZ•KITOVU CHA MADHABAHU ZA KAFARA•Katekela atinga kufanya maombi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 31 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 280

  • @margywanjala8317
    @margywanjala8317 Місяць тому +28

    Navunja Kila kazi zote za kishaitan umaskini laana talaka kukataliwa Vita uvimbe utasa ufukara mateso aibu magonjwa mauti yapigwe na radi ya nguvu za Mungu maagano ya ndoto mbaya ajilia Moto 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @peninahkariuki4679
    @peninahkariuki4679 Місяць тому +14

    There's power in the name of Jesus.🙌 Be blessed Pastor watching from 🇰🇪

  • @blandinamwai3032
    @blandinamwai3032 Місяць тому +11

    Hakuna Mungu kama wewe YESU Kristo
    Mungu za giza zimeshindwa kwa jina la Yesu Kristo

  • @mabulamasunga7378
    @mabulamasunga7378 Місяць тому +10

    Ubarikiwe sana Katekela na wanafamilia mlioshiriki kuvunja madhabahu ya City la Shetani.

  • @JasmineMilima-e7m
    @JasmineMilima-e7m Місяць тому +1

    Ubarikiwe baba ni kazi ngumu ambayo inahitaj nguvu ya mungu amina

  • @obadiajonas9889
    @obadiajonas9889 Місяць тому +4

    shuhuda yako imeniongezea viwango vikubwa vya imani sana
    Mungu akulinde akuzdishe

    • @issakayogoma7463
      @issakayogoma7463 26 днів тому

      Huyu ndie Alie nitoa kwenye UISLAMU, nikagundua ni dini ya SHETANI

  • @elizabethkivuruga5351
    @elizabethkivuruga5351 20 днів тому +1

    Jamani hii mambo ipo Tanzania kweli😭😭😭😭Ee Yesu okoa ndugu zetu.

  • @gracemutono5023
    @gracemutono5023 Місяць тому +3

    Amen asante sana watumishi wa MUNGU aliye hai barikiweni sana na MUNGU ALIYE HAI awalinde sana damu ya YESU ALIYE HAI iwafunike

  • @GlauryHaule
    @GlauryHaule Місяць тому +18

    Kuzimu inajuta kuchukua chukua tu watu wa yesu nakukaa nao kuzimu sasa wacha waaibike katika jina la yesu

  • @eunicelazaro483
    @eunicelazaro483 Місяць тому

    Amen ahsante Yesu kupitia mtumishi wako Amieli katekela madhabahu zote zinazotesa zimevunjika ktk jina LA Yesu.Amen Mungu yupo nawe Siku zote.

  • @laita8218
    @laita8218 Місяць тому +3

    Mungu akubariki Mchungaji. Ufunikwe na damu ya Yesu. Kikosi kizima na familia zenu na ndugu zenu wote.

  • @CatherineSitati-t6g
    @CatherineSitati-t6g Місяць тому +3

    Moto wa Mungu uteketeze kila madhabahu ya shetani kwa jina kuu la Yesu Kristo

  • @lilymwashumbe4890
    @lilymwashumbe4890 Місяць тому +7

    Madhabahu ya shetani yapigweeeee kwa Jina la Yesu Kristo Mungu akuzidishie nguvu na ujasiri mchungaji Katekela

  • @naikekangele7117
    @naikekangele7117 Місяць тому +4

    Mchungaji katekela MUNGU akutunze sana. Maana uo ndio ukweli kuwa kumtanganza YESU kweli❤

  • @FloraMagawa
    @FloraMagawa 20 днів тому

    Mungu akubariki mtumishi naimani nguvu hii ya Mungu itatembea mpaka muhalala ni kijiji nilichozaliwa ukitoka hapo sukamahela unaenda solya halafu ndo unaenda muhalala kisha manyoni,haleluyaaa Yesu ameshinda

  • @newhopeonline5818
    @newhopeonline5818 Місяць тому +2

    Kwa jina la yesu, Ibilisi wewe ni wa kushindwa siku zote, achia watu wa Mungu hukuwaumba wewe , tuachilie kwa jina la yesu

  • @margywanjala8317
    @margywanjala8317 Місяць тому +6

    Ninahisi nguvu nyingi pastor bomoa Kila madhibahu ya uchawi majini unganga na malango ya kusimu yapigwe na radi ya nguvu za Mungu loose in the name of Jesus 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @jeremiaaugustino7187
    @jeremiaaugustino7187 25 днів тому +2

    Kwa hyo WAKATO......................................................................Akili mtu wangu

  • @GlauryHaule
    @GlauryHaule Місяць тому +7

    Sijui Mi nicheke tu mana kuzimu imekwisha kwa damu ya yesu

  • @princessprecious6995
    @princessprecious6995 Місяць тому +1

    Tunavunja madhabau zao nguvu zao tunatuma mabomu ya nyukilya ya kimungu yakavunje kwa jina la yesu na nyundo ya moto kutoka mbinguni ikavunje kwa jina la yesu moto wa Mungu ukasambae kila eneo ukateketeze kila nguvu za giza kwa mamulaka tuliyopewa tunatamka ukombozi juuu ya eneo hili Amina

  • @princessprecious6995
    @princessprecious6995 Місяць тому +1

    Katakela Mungu akutunze tunajivunia wewe umepika sana kiroho Mungu akutunze mtumishi wa Mungu

  • @FelicianAndrea
    @FelicianAndrea Місяць тому +1

    Navunja Kila Aina ya madhabahu ya nguvu za Giza katika jina la yesu amen

  • @JestinaMoraa-os4nl
    @JestinaMoraa-os4nl Місяць тому +3

    Mungu azidi kuwapa ulinzi na kuwapa ujaairi kutangaxa jina la Yesu na kuaibisha kazi za kishetani

  • @GodfreyLazaro-bu8cy
    @GodfreyLazaro-bu8cy 7 днів тому

    Katekela ni mmoja TU mungu akufunike Kwa damu ya yesu

  • @siwajaliashaaminata5834
    @siwajaliashaaminata5834 Місяць тому +2

    Mungu ni mwaminifu,hakika Damu ya Yesu kristo iwafunike nyote na Familia menu zote

  • @margywanjala8317
    @margywanjala8317 Місяць тому +6

    May God protect you pastor by the blood of Jesus Christ

  • @johnmayeka8957
    @johnmayeka8957 Місяць тому +1

    Pastor katekela mie na kufuatilia sana ktk huduma,mwenyezi Mungu akubariki,nina tatizo moja naomba nisaidie kuishinda, kuishinda,nilipatwa na msiba wa mjomba wng dar tukasafirisha hadi chato maiti,na mm nikiwa mzima kabisa lkn siku ya kurudi dar nilipata shida nikawa napigwa na shoti kichwani nimeenda muhimbili hospitali naambiwa nina uvimbe kwenye ubongo natakiwa kufanyiwa upasuaji wa kichwa naomba nisaidie kwa maombi na ushauri Amen!

    • @studio..07
      @studio..07 Місяць тому

      Nenda arusha mbingu duniani utapoona burger bila pesa

  • @lizdedanigmn1532
    @lizdedanigmn1532 Місяць тому +1

    Yesu awatunze na damu yake iwafunike, hongereni kwa kazi kubwa

  • @PeterJonathan-c8k
    @PeterJonathan-c8k Місяць тому +5

    Mchungaji katekela MUNGU akubariki sana, singida ni nyumbani kwetu, kuna tatizo umeniongezea ujasiri , hakika nimeona thamani ya kuwa na YESU KRISTO

  • @sophiakilango5286
    @sophiakilango5286 Місяць тому

    Mungu akutunze Mtumishi Katekela, kuzimu unapata shida🔥🔥🔥🔥

  • @FelicianAndrea
    @FelicianAndrea Місяць тому +2

    Ubalikiwe mtumishi wa mungu katekela

  • @rhodalissu6953
    @rhodalissu6953 25 днів тому +1

    Katekela ubarikiwe na Yesu aliekuokoa

  • @ADELADamus
    @ADELADamus Місяць тому +2

    Tumepewa mamlaka yakukanyaga nyoka na nnge kwanyina la yesu Kristo Amina tunakujiya wewe shetani kwa jina la YESU KRISTO nakwanam ya yesu tuna kushinda na kwa neno la ushuuda auna mamlaka nawanawa mungu baba anaweza amin asate bwana yesu Kristo Amina

  • @ItembeMatiko-nj2uq
    @ItembeMatiko-nj2uq Місяць тому +1

    Yesu Kristo uliye hai wafunike watumishi wako kwa damu ya Yesu Kristo wape nguvu za ufalme wako 🙏 🙏 🙏

  • @maikojohn-xr5cg
    @maikojohn-xr5cg Місяць тому +5

    Hakika kazi yako mchungaji Katekela ni udhihilisho kuwa ulikuwepo huko kweli ni Yesu amekuokoa kweli

    • @EdwardJohn-xz5oi
      @EdwardJohn-xz5oi Місяць тому

      Mm sjaona chochote camera Man nisaidie

    • @bahatikarume3203
      @bahatikarume3203 Місяць тому +1

      Mambo ya rohoni ni ngumu kuyaona km hujasimama kwa Mungu kwelikweli

  • @BeniJohn-xd3cn
    @BeniJohn-xd3cn Місяць тому

    Bwana Yesu asifiwe Sana Mungu ni moto ulao akuna tena moto wa kigeni kwa Jina la Yesu Kristo wa Nazareth ❤❤❤ Lovely

  • @SophiaThomas-s8
    @SophiaThomas-s8 Місяць тому +6

    Barikiwa mtumishi

  • @GladysVyagusa
    @GladysVyagusa Місяць тому +1

    Amina.Damu ya YESU ivunje utawala wa shetani na madhabahu zake katika jina la YESU.Damu ya Yesu iwafunike watumishi wote.

  • @margywanjala8317
    @margywanjala8317 Місяць тому +2

    Nakemea Kila silaha za uchawi mauti ikamatwe madhibahu ya uchawi ivunjwe mikosi na ajali yapigwe na radi ya damu ya yesu looooose in the name of Jesus 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @isayatv4932
    @isayatv4932 Місяць тому +1

    Ubarikiwe Daima ✝️♥️
    Mchungaji Katekela ✝️♥️

  • @lilymwashumbe4890
    @lilymwashumbe4890 Місяць тому +5

    Mungu awabariki nyote kwa kurudi salama

  • @nakshandaniel
    @nakshandaniel Місяць тому +1

    Damu ya Yesu iwafunike, Mbarikiwe

  • @mariamswedi1140
    @mariamswedi1140 Місяць тому +9

    Mtumishi hapo Kilimatinde n kweli kabisa uchawi upo wa kutosha kidogo imekuwa nafuu baada ya makanisa ya kiroho kufunguliwa

  • @calvinceogara2088
    @calvinceogara2088 Місяць тому +2

    Mungu awalinde na kuwatumia kwa kiwango cha juu watumishi wa Mungu

  • @ERICAHMWAKILUNGU
    @ERICAHMWAKILUNGU Місяць тому +3

    God of fire the name of your word lord Jesus king of king we rebuke and cast every demon by his or her name in Jesus name ...monster spirit we cast you in Jesus almighty name
    Joka kuu majemedari 6 wa kuzimu tunavunja nguvu zenu Kila mtandao wa kichawi tunaufuta Kwa damu ya Yesu hakuna Tena uchawi na ushetani kufanyika mahali hapa Kwa jina la Yesu Kila damu iliyomwagwa mahali hapa tumebadilisha Kila agano na kafara Kila kafara tumeifuta damu iliyomwagwa mahali hapa tunaituma damu ya Yesu ikaikomboe Sasa na hata milele.asante Yesu Kwa ukombozi bwana akukemeee Sasa na milele moto wa Roho Mtakatifu na Kwa jina la Yesu ameeeen

  • @kizandume3015
    @kizandume3015 Місяць тому +1

    Amen mungu awabariki sana kwahuduma hii ya mungu

  • @BetlidaConstantine
    @BetlidaConstantine Місяць тому

    Ubarikiwe mtumishi wa BW Yesu kuharibu ufalme wa Giza kwa nchi yetu tz Mungu akutunxe

  • @Mary-z8r7e
    @Mary-z8r7e Місяць тому +2

    I am blessed 🙌 In jesus name

  • @teresiawaceera3046
    @teresiawaceera3046 Місяць тому +2

    Natangaza nguvu za Mungu aliye hai ivunje na iteketeze kazi za shetani in Jesus name.zote zibomoke. moto ya Roho mtakatifu ilambe zote.Amen

  • @margywanjala8317
    @margywanjala8317 Місяць тому +2

    Madhibahu ya uchawi ya mababu na manyanya ivunjwe Kwa Moto wa damu ya yesu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @saramss7262
    @saramss7262 Місяць тому +9

    Yaani katekela barikiwa sana

  • @utawalarecordstudiosnairob5929
    @utawalarecordstudiosnairob5929 Місяць тому +1

    Kwakweli nimependezwa sana sana mungu wa mbinguni awatie nguvu kwa jina la yesu

  • @lidamudy2842
    @lidamudy2842 28 днів тому +1

    Navunja kila madhababu ya nguvu za giza kwa Damu ya Yesu kristo

  • @dokasa9176
    @dokasa9176 Місяць тому +1

    Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu aliye hai,Hizo sanamu ziko hapo ni mawe ama ndiyo hizo rada za kichawi

  • @margywanjala8317
    @margywanjala8317 Місяць тому +23

    Kila utawala wa kimapepo ufalme wote wa Giza yapigwe na radi ya damu ya yesu looooose in the name of Jesus 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @CherieDeDieu
      @CherieDeDieu Місяць тому +2

      Aminaa!!

    • @marympochela7903
      @marympochela7903 Місяць тому +7

      Sifa heshima na utukufu apewe BWANA YESU KRISTO aliye hai

    • @Smseseauctionmartcotz
      @Smseseauctionmartcotz Місяць тому +4

      kwajina la mtenda miujiza tunavuja mazabahu hizi tunasambalatisha umoja wa kichawi ,mapepo, majini, tunasambalatisha lana zote giza lote lishindwe

    • @YefthaKornelio
      @YefthaKornelio Місяць тому +2

      ❤❤❤ amen

    • @lizzynkifu4179
      @lizzynkifu4179 Місяць тому +1

      Tena RADI YA MOTO

  • @GaudenceMwaipopo
    @GaudenceMwaipopo Місяць тому

    Ubarikiwe Sana mtumishi wa Mungu akubaliki sana

  • @Bénigne-k4x
    @Bénigne-k4x Місяць тому +1

    Tunateketeza kila nguvu za shetani katika jina la YESU KRISTO

  • @nsaovicentmkumbo2173
    @nsaovicentmkumbo2173 Місяць тому +2

    Mch Katekela wewe ni ZAWADI iliyotoka Kwa Mungu Kwa watu wake Bwana Yesu akubariki mnoo

  • @evansimsagaatkog1953
    @evansimsagaatkog1953 Місяць тому +6

    MADHABAU YA YESU NDIO ITATAWALA MADHABAU ZILIZO TESA WATOTO WA MUNGU KWA MDA MREFU SASA ZIME SHINDWA AHSANTE YESU KUIKOMBOA SINGIDA NA TANZANIA 🙏🏻🙏🙏🏻

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 Місяць тому +6

    Damu ya Yesu iwalinde

  • @CatherineSitati-t6g
    @CatherineSitati-t6g Місяць тому +1

    Damu ya Yesu iwanenee mema mtumishi wa Mungu na kundi lako

  • @RosinaEmmanuel-jb3jc
    @RosinaEmmanuel-jb3jc Місяць тому

    Mungu awahifadhi sawasawa na zaburi 121.AMEN

  • @DonaldJohn-s3g
    @DonaldJohn-s3g Місяць тому +1

    YESU KRISTO AWALINDE KATIKA JINA LAKE LA NGUVU NA UWEZO AMEEEEEN

  • @joyceshoo9822
    @joyceshoo9822 Місяць тому +1

    Kwa jina la Yesu Kila ngome za shetani na madhabau za Giza ziharibike na kuchomeka Kwa moto wa Roho mtakatifu

  • @margywanjala8317
    @margywanjala8317 Місяць тому

    Katika jina la yesu vunja kila madhibahu yanajiinua Kwa biashara yangu ya Majini ya kutuangaisha Moto 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 looooose in the name of Jesus

  • @margywanjala8317
    @margywanjala8317 Місяць тому +1

    Katika jina la yesu ivunjwe ingolewe na mizizi yake 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 Місяць тому +1

    Aminaa sanaa. Asante Mungu.

  • @marymasanja5576
    @marymasanja5576 2 дні тому

    Yesu alidhihilishwa kuzivunja kazii za kuzimu

  • @GlauryHaule
    @GlauryHaule Місяць тому +1

    Waooooh amina kwa damu ya yesu

  • @BenjaNetanyahu
    @BenjaNetanyahu Місяць тому +1

    ubarikiwe sana mtumishi wa BWANA

  • @ZawadiDaudi-js7wl
    @ZawadiDaudi-js7wl Місяць тому

    Mungu wa mbinguni akutie nguvu mtumishi wa Mungu aliye hai

  • @jesusfirstchurch4162
    @jesusfirstchurch4162 Місяць тому +3

    KUANZIA SASA WATAKUNYWA DAMU YA YESU..KWA JINA LA YESU

  • @johnbosco9763
    @johnbosco9763 Місяць тому

    Muchungaji munguakupe nguvu zaidi kwamaana umejitowa kutowa sili zakishetani

  • @josephmutemi7494
    @josephmutemi7494 Місяць тому +3

    Mchungaji BWANA akulinde sana, Mimi kwetu ni kitui na uombee apo kitui akujawai tokea maafa tena

  • @joycecharlesrajabu4835
    @joycecharlesrajabu4835 Місяць тому +1

    Damu ya Yesu iwafunike

  • @graceshayo5763
    @graceshayo5763 Місяць тому

    Ameen na Mungu awabaliki sana

  • @lovenesswalter6650
    @lovenesswalter6650 Місяць тому +1

    Barikiwa Sana promover na katekela

  • @HappinessMwambapa
    @HappinessMwambapa Місяць тому +3

    Ametuweka juu ya falme na ya mataifa ili kuvunja na kubomoa, MUNGU azidi kuwatia nguvu Sana watumishi wa MUNGU

  • @upendomhagama3236
    @upendomhagama3236 Місяць тому +1

    Ubarikiwe mtumishi

  • @prayerwomen3444
    @prayerwomen3444 Місяць тому +2

    Mungu awatie Nguvu na kuwalinda ninyi na familia zenu😢

  • @SabinaEzekiel-b4c
    @SabinaEzekiel-b4c Місяць тому

    Asante Yesu, m'barikiwe sana.

  • @zachariamakoba8368
    @zachariamakoba8368 Місяць тому +6

    Jiwe hili katekera tanzania msilizarau mlitunze xn

  • @annambembela6661
    @annambembela6661 Місяць тому +4

    Daah mungu ni mwema sana ,hongeren sna kwa ushujaa jaman yan mpka sasa nashangaaa mungu alive mkuu

  • @eldkibeh
    @eldkibeh Місяць тому

    Salamu,kwa ile kanda ya ACD part 17,mchungaji Amieli aliweza kutaja maeneo ambayo walifanyaga kazi za kichawi,basi naomba muzunguke maeneo hayo mukituonyesha ili tupate mtazamo mzuri,wengine wetu tuko nje ya nchi ya Tanzania,haya basi anzisheni series.Barikiwa

  • @AgnessMloka
    @AgnessMloka Місяць тому +4

    Watumishi wa bwana yesu naomba niunge kwenye group la taarifa kuhusu maombi haya yanapo pangwa tena ,tuungane
    kwenye maombi kwa jina la yesu

  • @margywanjala8317
    @margywanjala8317 Місяць тому +1

    Tufunguliwe Kwa damu ya yesu Amen

  • @antonyndinga8890
    @antonyndinga8890 Місяць тому +1

    Wakatoliki big up sana

  • @princessprecious6995
    @princessprecious6995 Місяць тому +4

    Hakuna aliyewai kumtegemea Mungu akashindwa Mungu ndiye mwenye nguvu hongera sana mtumishi Mungu akutunze sana

  • @EzekielNgira-c5o
    @EzekielNgira-c5o Місяць тому +1

    Hakuna madhabahu ya kichawi tena kwa jina la YESU.madhabahu ya MUNGU ndio itawale

  • @MteuleMabuku
    @MteuleMabuku 28 днів тому +1

    Video hii itapata views nyingi kuliko kawaida......
    Ikawe hivyo..
    Kwa kadri itakavyo ishi ...itaishi na ukali wa maombi yake.
    Amen.

  • @acci6516
    @acci6516 Місяць тому +1

    Bwana atusaidie sana

  • @YefthaKornelio
    @YefthaKornelio Місяць тому +6

    Yesu yuwaja ndiye kirakitu oolewake 😭😭😭😭mtu asiye na yesu olewake mwenye dhambi oooolewake 😭😭😭 mwenye dhambi oooolewake

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f Місяць тому +2

    Natamka Damu ya Yesu juu ya madhabahu ya kichawi. Kwa jina la Yesu Kristo. Navunja kila makafara zao kwa jina la Yesu Kristo, na kwa damu na moto. Amen!!!

  • @ElishaGarimoshi
    @ElishaGarimoshi 18 днів тому

    Damu Ya YESU iharibu kabisa Nguvu zote za Giza

  • @MchungajiNzelani
    @MchungajiNzelani Місяць тому +1

    Kanyaga kwa jina la Yesu

  • @joycecharlesrajabu4835
    @joycecharlesrajabu4835 Місяць тому +1

    Vunjika kwa jina la Yesu

  • @margywanjala8317
    @margywanjala8317 Місяць тому

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥natuma moto kila mahali angar hii ijae Moto silaha zote za kishaitan zivunjwe 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 looooose in the name of Jesus

  • @margywanjala8317
    @margywanjala8317 Місяць тому +2

    Utawala wote na ufalme wote wa Giza mamlaka ya sheitani magonjwa sugu uharibivu wa biashara looooose in the name of Jesus 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @maikojohn-xr5cg
    @maikojohn-xr5cg Місяць тому +1

    Nimeipenda sana hii

  • @eliethmwanguya7118
    @eliethmwanguya7118 Місяць тому +1

    Mungu anaweza yote