Nimejifunza vizuri sana kwako mtumishi wa MUNGU , huyu MUNGU Alieziumba mbingu na nchi akufanye upya kila itwapo leo na akulejeshee miaka ukawe na maisha marefu uishi miaka elfu kwa maelfu ukimtumaini MUNGU pekee AMEEEEN 🙏🙏🙏📖 YOELI 2:25
tangu nimeanza kumsikiliza Mch Katekela nimejifunza mambo mengi mno mno. namwomba Mungu akupe maisha marefu na hekima zaidi ktk kuwaleta wengi kwa Yesu. Bwana apewe sifa🙏🙏
Bwa na akuongeze nguvu muchungaji.sababu mimi nilikuwa Natowa sadaka ovyo ovyo na sijaonaka hata .Faida ya utowaji kama vile Mungu anasema kwa watu wanaotowa sadaka
Nabarikiwa sana n shuhuda zako mch tangu nimeanza kukufuatilia nimeuona uwepo wa Mungu juu yangu,,tunaomba kwa neema ya Mungu akutie nguvu ufike hadi Bariadi jmn,,🙏🙏
Mch.Katekela anatumika na Mungu kwa kweli.Nilitazama video moja ya kukemea wachawi na majini na usiku huohuo nikaota shangazi yangu akinilaani na mimi vile vile nilimkemea vikali katika Jina la Yesu. Nina imani njia zangu zimefunguka baada ya ndoto hiyo.
Amen. Sn pstr. Lkn ningetaka unifafanulie hapa kwa sadaka ya Nadhiri. Mtu akiweka nadhiri alafu afe gafla ya kutimiza .je kuna madhara kwa mwenye kunenewa kufanyiwa nadhiri.
Mchungaji ubarikiwe baba, Kwamajina naitwa Steven Kamara,Niko Kampala Uganda Nime Anza kukufuatilia toka Mwanzo kwenyi ushuhuda wako, hata pia semina Mara kwamara nakuaga live Na promover TV on line Mungu aku zidishiye mafuta. Nami pia usinisahau kwa maombi Baba.
Mathew 19:21 Jesus answered, “If you want to be perfect, go, sell your possessions and give to the poor, and you will have treasure in heaven. Then come, follow me.”
Luke 12:32 “Do not be afraid, little flock, for your Father has been pleased to give you the kingdom. 33 Sell your possessions and give to the poor. Provide purses for yourselves that will not wear out, a treasure in heaven that will not be exhausted, where no thief comes near and no moth destroys. 34 For where your treasure is, there your heart will be also.
mcunganji AMIEL KATEKELA, mbona sisi kanisani tunafundishwa kama monja yakumi kaziyayo ni kulinda maisha ya mtu nakulinda kazizake zamikono, sasa wewe unasema kama nisaka ya wanjane nayatima na maskini ndiyo inayoleta ulinzi, alafu monja yakumi inafanya kazi gani kwamaisha yetu? Tafazali tueleweshe.
Mchungaji amesema Zaka inaleta ulinzi keenye mali na maisha yako, na haitolewi kwa yatima na wajane bali inatolewa madhabahuni kwa mchungaji. Zaka kwa jina jingine ndio moja ya kumi. Sadaka inayopelekwa kwa yatima na wajane mchungaji amesema inaitwa Dhabihu.
Mchungaji, naomba msaada unielishe hapo, mbona ukijitahidi kumtolea Mungu Kanisani zinainuka SAUTI za kebehi toka kwa watumishi wengine ,hasa wakati wa kuomba anakuwa anaongea kwenye mike kwamba Baba katika Jina la Yesu kuna wengine wanakuja na fedha zao kuwarubuni watumishi wa Mungu, wanaleta zawadi zao, Mungu kama siyo watu sahihi waondoe, waondoe mahali hapa, hakafu baadaye anaanza kusema hao hao wanaondoka, wanaondoka, sasa mimi maneno yake yananikwaza sana moyoni, yameondoa kabisa ari ya kuendelea kuabudu mahali pale, nimekuwa demorolized sana. Nisaidie Mchungaji hiyo ni sauti toka kwa Mungu? Au ni sauti ya adui? Hakafu inatoka madhabahuni.
Nimejifunza vizuri sana kwako mtumishi wa MUNGU , huyu MUNGU Alieziumba mbingu na nchi akufanye upya kila itwapo leo na akulejeshee miaka ukawe na maisha marefu uishi miaka elfu kwa maelfu ukimtumaini MUNGU pekee AMEEEEN 🙏🙏🙏📖 YOELI 2:25
tangu nimeanza kumsikiliza Mch Katekela nimejifunza mambo mengi mno mno. namwomba Mungu akupe maisha marefu na hekima zaidi ktk kuwaleta wengi kwa Yesu. Bwana apewe sifa🙏🙏
Bwa na akuongeze nguvu muchungaji.sababu mimi nilikuwa Natowa sadaka ovyo ovyo na sijaonaka hata .Faida ya utowaji kama vile Mungu anasema kwa watu wanaotowa sadaka
@@FezaNoella9
Amina mtumishi umenisaidia kufahamu maana na umuhimu wa sadaka
God bless you mchungaji. Injili ya kweli hii inatutoa mahali😊
Ubarikiwe mtumishi kwakunifahamisha kuhusu utoaji wa Sadaka
Nimejifunza sana ubarikiwe mchungaji mungu kutunze
Ubatikiwe sana mtumishi wa mungu umenitia moyo sana
Amen 🙏🏾
Mungu akubariki sana Mtumishi imetusaidia sana.Nimejifunza mengi Mungu anisaidie kuwa mtekelezaji mzuri sana wa haya.Karibu Sinai Kigoma
Nabarikiwa sana n shuhuda zako mch tangu nimeanza kukufuatilia nimeuona uwepo wa Mungu juu yangu,,tunaomba kwa neema ya Mungu akutie nguvu ufike hadi Bariadi jmn,,🙏🙏
Ameen,Mungu akubariki sana .,Siku moja ufike Babati Manyara.
Mtumishi wa Mungu mimi nime Barikiwa na ujumbe huu
Ubarikiwe sana, Baba MCHUNGAJI,Hakika huduma yako ni njema.
Hakika umenifundisha nashukuru sana Bwana Yesu anipe neema ya kuyatenda
Amina, ushuhuda unabariki japounasikitisha.
Amen Amen glory be 2 God bless you man of God
Nabarikiwa sana na shuhuda zako mtumishi Bwana Yesu akubariki na uzidi kuwaleta watu Kwa Yesu
Mch.Katekela anatumika na Mungu kwa kweli.Nilitazama video moja ya kukemea wachawi na majini na usiku huohuo nikaota shangazi yangu akinilaani na mimi vile vile nilimkemea vikali katika Jina la Yesu. Nina imani njia zangu zimefunguka baada ya ndoto hiyo.
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
Amen ubarikiwe san mtumishi
Amen. Sn pstr. Lkn ningetaka unifafanulie hapa kwa sadaka ya Nadhiri. Mtu akiweka nadhiri alafu afe gafla ya kutimiza .je kuna madhara kwa mwenye kunenewa kufanyiwa nadhiri.
Ukiweka nadhiri ufi mbaka utakapo itangua unaijua hiyo😂
Yani vile ni mesikia kumbe niko na deni sana yakumpea Bwana
Wao it's is so educative message from GOD, I LOVE IT SO MUCH
Ume change mindset yangu kwenye sadaka ukweli sikujua sadaka kwa kina. Ubarikiwe na Yesu Mungu mkuu
Mungu akupee Neema ya upekee akutie nguvu umalize kazi yke salamaa vvyo hvy na promover tv mbarikiwee na Bwanaa na awazdishie zaid
Amen nakuku bari sana nampenda Yesu natamani namimi siku moja niokoke japo mazi ngira haya niruhusu duuuh eeeyesu nisaidie
Hakuna mazingira yasiyoruhusu usiokoke ni uamuzi tu
Amina veronica na ndivyo ilivyo
Mungu anatengeneza njia pasipo na njia,ukiwa na nia utaokoka ,usiogope,hakuna jambo la kumshinda Mungu.
Jaribu kutafuta Yesu kama Bado una mda Kwa sababu mda wetu haijulikani.
Ukija USA ufike Colorado Springs karibuni sana promoter TV
Nimejengwa sana juu ya sadaka katika utoaji
Amen amen amen ubarikiwe
Yap ipo miaka ya nyuma nilikua sina pakutoa sadaka Mungu mwaminifu alinikutanisha na madhabahu sahii namtolea huko
Hongera mtumishi
Mungu akutangulie mtmish
Mchungaji ubarikiwe baba,
Kwamajina naitwa Steven Kamara,Niko Kampala Uganda
Nime Anza kukufuatilia toka
Mwanzo kwenyi ushuhuda wako, hata pia semina
Mara kwamara nakuaga live
Na promover TV on line
Mungu aku zidishiye mafuta.
Nami pia usinisahau kwa maombi Baba.
Saka is very important to us please let us improve kwa kutoa
🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Aminaa kweli kbx pst
Promover please put English subtle some we get to understand
Big up Promover Tv🔥🔥💪💪
Amen samahani
Hili somo la sadaka mbona ni pana kweli ziko aina 10 haya kuna kanuni 5 hebu Amiel litafutie siku utufundishe
Amen mtumishi Kuna sadaka wanaziita sacrifice (kafara) na seed ( mbegu) hizi nazo kazi yake nini? Makanisa mengi ya kinabii watu wanazitoa.
Ili somo Lina part Ngapi?ii ndio ya mwisho?please kama sio ya mwisho mwenye amepata mwendelezo wake naomba please
kwakwel ntakunisikilize yaan nimepona bila atakuomba kukusikiliza tuu nimefunguka mtumishi Bendela chuma mlingoti chumaa.
❤❤❤❤
Ukitaka kutuma sadaka naomba namba
Niko kenya kisumu
Hiyonikweli
Ahaa kumbe hutakiwi kuyoa toa sadaka hovyo, bila sababu, hapo nimepata kitu, natakiwa kuwa wa kiasi kwenye utoaji.
No hujaelewa, usitoe sadaka bila kuinenea iende ifanye nni? Usitoe sadaka kimya kimya bila kuinenea
Naomba no ya simu
Mathew 19:21 Jesus answered, “If you want to be perfect, go, sell your possessions and give to the poor, and you will have treasure in heaven. Then come, follow me.”
Naomba mtumishi wa mungu tuelezee kuzimu wanasema nini kuhusu misa kwa katoliki inawa affect kwa njia yeyote?
Fungu la kumi ni sadaka ya Nini hujaiongelea mtumishi
Nafikiri hiyo ndio zaka.
Zaka ni moja ya kumi ya mapato yako, kwa hiyo Zaka na fungu la kumi ni kitu kimoja.
Luke 12:32 “Do not be afraid, little flock, for your Father has been pleased to give you the kingdom. 33 Sell your possessions and give to the poor. Provide purses for yourselves that will not wear out, a treasure in heaven that will not be exhausted, where no thief comes near and no moth destroys. 34 For where your treasure is, there your heart will be also.
Hapo kwa mwezi wa 6🇺🇸 mtumishi State gani?
mcunganji AMIEL KATEKELA, mbona sisi kanisani tunafundishwa kama monja yakumi kaziyayo ni kulinda maisha ya mtu nakulinda kazizake zamikono, sasa wewe unasema kama nisaka ya wanjane nayatima na maskini ndiyo inayoleta ulinzi, alafu monja yakumi inafanya kazi gani kwamaisha yetu? Tafazali tueleweshe.
Mchungaji amesema Zaka inaleta ulinzi keenye mali na maisha yako, na haitolewi kwa yatima na wajane bali inatolewa madhabahuni kwa mchungaji. Zaka kwa jina jingine ndio moja ya kumi.
Sadaka inayopelekwa kwa yatima na wajane mchungaji amesema inaitwa Dhabihu.
Amen amen
I have one question:"najuwa kupunguza ZAKA(CAKUMI) sio vizuri but sijaelewa kuhusu kulipa yenye ambao inazidi"
Mbarikiwe na Mungu🙏
Ukizidisha amnashida nivizuri sana
Naomba namba ya kutoa sadaka
+255766294335 M-Pesa Tanzania
Mchungaji, naomba msaada unielishe hapo, mbona ukijitahidi kumtolea Mungu Kanisani zinainuka SAUTI za kebehi toka kwa watumishi wengine ,hasa wakati wa kuomba anakuwa anaongea kwenye mike kwamba Baba katika Jina la Yesu kuna wengine wanakuja na fedha zao kuwarubuni watumishi wa Mungu, wanaleta zawadi zao, Mungu kama siyo watu sahihi waondoe, waondoe mahali hapa, hakafu baadaye anaanza kusema hao hao wanaondoka, wanaondoka, sasa mimi maneno yake yananikwaza sana moyoni, yameondoa kabisa ari ya kuendelea kuabudu mahali pale, nimekuwa demorolized sana. Nisaidie Mchungaji hiyo ni sauti toka kwa Mungu? Au ni sauti ya adui? Hakafu inatoka madhabahuni.
Omba ufunuo kutoka kwa Mungu akupatie jibu la hapo kanisani ama la huyo mchungaji. Mungu ni mwaminifu atakufunulia ata kwa kumtolea.
Usitoe kwa kujitangaza. Toa pale tu inapobidi tena kwa siri ukiwa umeinenea jambo.
Ngombe zimekufa nanaziri bado iko pale na mtoto amekufa waa chezea nadhiri we
Mtumishi hukutaja fungu la kumi ina maana gani ama inafanya kazi gani
Ndio hio zaka hebu fatilia
@@rerisamba oooo saw mm nilikua naona zaka ni my engine na fungi la kumi ni nyengine xx mimeelewa
P
Amrn