Kupitia ushuhuda huu naomb ukambadirishe mdog wangu saimon aache njia yyte mbaya kwa jina la Yesu naamin atatenda Kam alivyombadirish Mtumshi huyu Ameeen 🙏🙏
Kwa kuwaza kwako unadhani Baba alikulaani Bali sauti ya Mungu ilipitia kwenye mdomo wa Baba. Kwamba utafundishwa uwokovu na Shetani na ndivyo ilivyokuwa.
Unaifutajecjaman na mm nilimtamkia mtoto wa kaka angu maneno yakamshka kwali baada ya kuwa ananidhihaki, kwa dharau kejeli n. K hadi sasa majuta nakosa namna ya kumkomboe. Niombe maombi ya namna gani?
Kupitia ushuhuda huu naomb ukambadirishe mdog wangu saimon aache njia yyte mbaya kwa jina la Yesu naamin atatenda Kam alivyombadirish Mtumshi huyu Ameeen 🙏🙏
Pastor Katekela Mungu akupe miaka mingi ya kutupa ushuhuda. Uzidi sana kulihubiri neno la Mungu wetu.
Ubariwe mtumishi wa Mungu kwa ushuhuda unazidi kufungua ufahamu wa wengi
Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU
Aminaa Yesu awabariki sana amen 🙏🙏
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
Wokovu!!! Wokovu!!!!! Wokovu!!!! Nitafia hapo. Maana hapo ndipo palipo na uzima.
Ubarikiwe
Kwa kuwaza kwako unadhani Baba alikulaani Bali sauti ya Mungu ilipitia kwenye mdomo wa Baba. Kwamba utafundishwa uwokovu na Shetani na ndivyo ilivyokuwa.
Niombee mtoto wangu ametekwa na roho ya ulevi ,migukaa,na kadhalika niombee Mtumishi wa Mungu namini Yale Maombi namuombea yatamfungua
Amin amin
Amina
Ameen and ameen be blessed more and more pastor kwa kutuombea pia mm nakuombea sana mungu akuinue viwango vya juu sana
Amen hallelujah ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu 🙏🙏
God is
Nitajitahidi kuuwambia watu waje wamsikilize huyu mchungaji,kupitia huyu tutapata watumishi wengi na washirika
Ubarikiwe sn mtu wa Mungu
Yes you will teach me
AMEEEEEEENI,
Mungu akubariki Kaka
Ahsante Mtumishi Katekela na Promover TV. Naendelea kusaidika. Kweli nilikuwa nimefungwa.
Amen
Uishi milele mtu wa mungu
ubarikiwe mtumishi
Asante mutumishi WA Bwana nakupenda nakufata kutoka Kigali naomba number
Mch Katekela naomba namba yako natamani ufike Songea Elshadai Church
Nimejefunzamengi. Sana. Mimi mungu. Akubreke. Sana
Mungu akuimalishe chombo
Yani mchungaji amekuleta Mungu nijifunze mengi kupitiya kwako.
Nmejifunza kuishi maisha matakatifu
Natamani niishi maisha matakatifu cjui nifanyaje nisadien
Anza maombi ya siku mbili kila wiki Mungu atasimama na wewe
Mchungaji katekela hata mm nina shida kwa watoto sana watoto hawasikii wanavuta bangi na hata wananitusii
Mungu akupe maisha marefu ukaifunue kweli, lakini kaniki nyeupe ni ipi?
Amina! Kupitia ushuhuda wako , nimejifunza mengi Dana, Yesu akubariki.
Nimepata mabadiliko sana kupitia wewe.nathubutu kukiri bila wew kutoa sir nilikuwa katikati ya giza nene mno
Unaifutajecjaman na mm nilimtamkia mtoto wa kaka angu maneno yakamshka kwali baada ya kuwa ananidhihaki, kwa dharau kejeli n. K hadi sasa majuta nakosa namna ya kumkomboe. Niombe maombi ya namna gani?
Natafuta namba ya mtumishi katelela
Amen