KUNA MUNGU MMOJA - Bernard Mukasa || Official Video || VIVIAN MUKASA & VINCE MUKASA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 січ 2023
  • Vivian Mukasa (almaarufu V3 au Baby V), na Vince Mukasa (almaarufu kama V4 au Chito) ni watoto wa Bernard Mukasa na Matilder Sendwa (Bw & Bibi Mukasa). Mpaka mwezi huu Januari 2023 wana umri wa miaka 7 na 4.
    Licha ya kuimba pamoja na familia yao kama QUADRI V, wameanza mtiririko wa nyimbo za pekeyao wawili na baadaye hata mmoja mmoja zenye mahadhi ya watoto kwa ajili ya mafundisho ya katekesi kwao na kwa watoto wenzao. Mpango huu utaendelea kutambulishwa kama KATEKESI KWA WATOTO, na baadaye utakuwa na idhaa (channel) yake maalumu.
    Wimbo huu ni wa kwanza katika mtirirko huo, na unawafundisha watoto kuhusu Utatu Mtakatifu.
    Karibuni kutazama.
    ______________________________________
    Vivian Mukasa (renowned as V3 or Baby V), and Vince Mukasa (renowned as V4 or Chito) are daughter and son to Bernard Mukasa and Matilder Sendwa (Mr & Mrs Mukasa). As of January 2023, they are 7 and 4 years old.
    Apart from participating in singing within their family choir as QUADRI V, they are starting a series of songs sung by two of them independently, and even (in future) sung by each of them solely. The songs will have child test, purposely for child catechesis to them and to fellow children. This program will be branded and CHILD CATECHESIS and will develope into a designated chanel.
    This is the first song in the series, and it teaches children about Holy Trinity.
    Welcome.

КОМЕНТАРІ •