WEWE UKO JUU - Bernard Mukasa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Umetungwa na Bernard Mukasa na kuimba na familia yake, TRIPLE V (baadaye Quadri V) mwaka 2016.

КОМЕНТАРІ • 136

  • @joycerobert4135
    @joycerobert4135 3 роки тому +5

    Uyu dogo ,mdogo ake victory siku nikimuona macho kwa macho I will be blessed sana Kwa kinanda yuko vizuri nitahisi nimepanda mlima Kilimanjaro siku nikimuona live

  • @anastaciamuema
    @anastaciamuema 3 роки тому +11

    This is my favourite song from today. I love it😍😍🤗🤗🤗

  • @mjkinuthia386
    @mjkinuthia386 3 роки тому +13

    God bless the Mukasas even as they continue to proclaim God's immense love through music. The family that prays together, stays together and even.... sings together 🙏🙏🙏

  • @rweyemamurweyongeza4879
    @rweyemamurweyongeza4879 10 місяців тому

    Jamani hii nyimbo hata irudiwe mara 1000. Siwezi kuichoka, napenda mno. Barikiwa sana waimbaji Mungu awazidishie kwenye mafanikio yenu.

  • @deogratiasfabianbangana3410
    @deogratiasfabianbangana3410 3 роки тому +1

    Naona vipaji katika familia Mr mukasa vinaongezeka every day,,,, mungu awabariki xana,,,,

  • @lilylekulelilylekule5242
    @lilylekulelilylekule5242 Рік тому +1

    Wonderful voice...God bless you and your family 🙏

  • @innocentsylvestre3927
    @innocentsylvestre3927 3 роки тому +6

    Baba ahsante kwa utume wako kwa kutuinjilisha neno la Mungu kupitia sauti nyororo.
    Kazi umeifanya, Tushindwe sisi kuingi Mbinguni

  • @verahojuro734
    @verahojuro734 2 роки тому +2

    l love this song, these angels make my day. B. Mukasa help with the lyrics too. May God bless you.

  • @kwayayamt.mariaconsolatasu4773
    @kwayayamt.mariaconsolatasu4773 3 роки тому +2

    Mukasa Mungu azidi kukupa maisha marefu wewe na familia yako

  • @ivoluhende
    @ivoluhende 3 роки тому +2

    Huyo kijana mfupi ananifurahisha sana anayarudi vizuri sana😄👏🏼👏🏼👏🏼 namtafuta nina zawadi yake

  • @wivinamsebeni8293
    @wivinamsebeni8293 3 роки тому +2

    Ni Mungu tu ndo anajua jinsi gani nimeusubiri huu wimbo humu jamani sifa kwako ee Mungu 👏👏👏

  • @dickson3125
    @dickson3125 3 роки тому +4

    fire!!! hao nwatoto wana sauti tamu sana...lots of love from Kenya

  • @consolatawamatu4549
    @consolatawamatu4549 2 роки тому +1

    Oomy God this is soo sweet God bless these kids and the family 👪 🙏 too

  • @catherinemutethya
    @catherinemutethya Рік тому

    It's the young boy for me,,woow,,my best song

  • @marychristiansen2990
    @marychristiansen2990 2 роки тому

    I wish that ingekuwa easy kumlea Mwanangu awe kama Hawa, hata hivyo nimemkabidhi mikononi mwa mama yetu Maria... BARIKIWENI 🙏

  • @esekoncephas275
    @esekoncephas275 3 роки тому +1

    Mungu azidi kuibariki Kazi ya mikono Yako Mukasa

  • @patrickmkambilwa9932
    @patrickmkambilwa9932 3 роки тому +2

    Utume mwema katika Bwana wetu yesu kristu

  • @MARTINUS_DAVIE
    @MARTINUS_DAVIE 3 роки тому +4

    i really honour you Bernard mukasa for teaching your kids its a tremendous achievement you have done mungu awabariki nyote

  • @annanyaguthii4325
    @annanyaguthii4325 3 роки тому +2

    May the Lord bless these kids and the parents. What a joy for the family that prays and praises together

  • @maliatabuerenesti1162
    @maliatabuerenesti1162 3 роки тому +1

    Kweli kweli kitu powa sna

  • @gracekyomo5567
    @gracekyomo5567 3 роки тому +1

    Watoto hongereen saana mumeimba vizuri pia napenda sana kusikilizaa nyimbo za familia hii

  • @fabianbarasa7799
    @fabianbarasa7799 3 роки тому +3

    Heko Bwana Mukasa kwa kazi nzuri

  • @tuliamakombe1623
    @tuliamakombe1623 3 роки тому +1

    Hongeren watoto waziri mbarikiwe sana

  • @leoalex8798
    @leoalex8798 3 роки тому +2

    Maneno mazuri umeyatumia katika wimbo huu.... nimejikuta swahili music kutafuta nota zake.. Hongera

  • @fredricksafarimatau417
    @fredricksafarimatau417 3 роки тому +2

    Mungu awabariki sana.Hakika utukufu wa Mungu unaambatana nanyi.

  • @gracefeldinandi838
    @gracefeldinandi838 2 роки тому

    Benadi endelea kumtumainia mungu hongera kwakukabithi watoto wako kanisani endelea kuwaombea

  • @sebastiansumawe9253
    @sebastiansumawe9253 Рік тому

    Safi sana vijana mmetiafora nimewakuli mno mbarikiwe na wazazi wenu pia.

  • @bernadetteikandi4438
    @bernadetteikandi4438 3 роки тому +3

    Young talents at work

  • @fatnamushi5784
    @fatnamushi5784 2 роки тому

    Mubarikiwe kwa jina la.bwana yesu napenda nyimbo.zenu. Mumgu azidi kuwajalia afya njem mzidi kumtumikia yy siku zote.Amani

  • @ambaisigmasai
    @ambaisigmasai 3 роки тому +3

    Haha this is crazy....have no words my brother Mukasa...just amazing God bless you always with your family

  • @enockkiptanui2548
    @enockkiptanui2548 3 роки тому +1

    Wimbo mtamu wa kumtukuza mungu. Hongera Benard

  • @trifoniambilo2400
    @trifoniambilo2400 2 роки тому

    Mbegu Bora imependwa kwenye ardhi nzuri hongera sana mukasa family

  • @manchestercityfan8715
    @manchestercityfan8715 3 роки тому +4

    Kazi nzuri, so inspiring. God bless you so much.

  • @radiombiu372
    @radiombiu372 3 роки тому

    Hakika umepanda mbuegu iliyobora kwa Watoto hawa, Mungu aibariki karama unayowashirikisha wengine kwa uimbaji. 👏👏👏👏

  • @sr.damarismukua2511
    @sr.damarismukua2511 3 роки тому +1

    I will never get tired of admiring you little angels praising the Lord! U inspire me!

  • @patrickmkambilwa9932
    @patrickmkambilwa9932 3 роки тому +1

    Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina

  • @maliafrancisca1841
    @maliafrancisca1841 2 роки тому +1

    Thank you young ones. May you grow in reverence for God. He never disappoints.

  • @maryritabosire2490
    @maryritabosire2490 3 роки тому +3

    Lovely Angelic voices .

  • @suzannakipapy5951
    @suzannakipapy5951 3 роки тому +1

    Mungu awabariki sanaaa Familia ya Mkasa!! Penda sana ninyi

  • @ernestpilla9179
    @ernestpilla9179 3 роки тому +3

    Barikiwa sana Mwalimu #Mukasa na familia yako

  • @lokutaewoi929
    @lokutaewoi929 3 роки тому +1

    Amen. Umetukuka wewe uliye juu. Mbarikiwe sana.

  • @thobiasmnyasenga7950
    @thobiasmnyasenga7950 2 роки тому

    Mungu na akamilishe yale aliyoyaanzisha katika familia hii.

  • @patrickmkambilwa9932
    @patrickmkambilwa9932 3 роки тому +1

    Mubarikiwe watumishi wa Bwana kwa kazi njema ya utume

  • @annemoney9996
    @annemoney9996 3 роки тому +1

    Muonekano wa zamani wa camera wimbo ni mzuri sana

  • @grasoncareersearchnakuruke6490
    @grasoncareersearchnakuruke6490 3 роки тому

    Mungu awabariki sana hizi ni talanta za kesho tukizeeka wanaendeleshea very sweet song

  • @ClaudeJoseph_ke
    @ClaudeJoseph_ke 3 роки тому +2

    Kazi njema,Wimbo mtamu wenyeatumaini.

  • @joycerobert4135
    @joycerobert4135 3 роки тому +1

    Victory ananikosha anacheza vizuri sana ...God bless Mukasa's Family

  • @kawikyamazingira6106
    @kawikyamazingira6106 2 роки тому

    Wow!! This must be an older song because the two children are not grown up😍😍😍. Wow!!!.
    Tunakwimbia Mungu wetu!
    It's the girl's moves for me💥💥💥

  • @GAYOTV2023
    @GAYOTV2023 3 роки тому +1

    KAZI NZURI Sana ndugu ubarikiwe Sana .....ila kama ya kitambo umechelewa kuitoa maana victory sasa amekuwa mdada hapo anaonekana bado mtoto

  • @rosenyabokee2209
    @rosenyabokee2209 3 роки тому +2

    Barikiwa sana kwa kazi nzuri

  • @davidicjunior1528
    @davidicjunior1528 3 роки тому

    Hakika furaha kusikia family moja ikiwa na upendo kutoka kwa wazazi wao mpka kwa watoto mbarikiwe sanaaa🙏🙏👏👏👏👏

  • @joycegesare1571
    @joycegesare1571 3 роки тому +1

    Mungu awabariki sama

  • @collinswere5344
    @collinswere5344 Рік тому +1

    Nice songs

  • @sue846
    @sue846 3 роки тому +1

    Wow , very beautiful blended voices. Young family choir

  • @linnetshiku1515
    @linnetshiku1515 3 роки тому +1

    Wimbo mzuri huo

  • @Ellybeny
    @Ellybeny 3 роки тому +3

    🙏

  • @fredricksafarimatau417
    @fredricksafarimatau417 3 роки тому +2

    Mbarikiwe mno.

    • @michaellupala552
      @michaellupala552 3 роки тому

      This is favorite song from the first to here this song until now god protect mukasa family🤝

  • @renatusmayasa2777
    @renatusmayasa2777 3 роки тому +1

    Kazi nzuri barikiweni

  • @bikostevestephen4833
    @bikostevestephen4833 3 роки тому

    Watoto kuvaa vizuri,kuimba vizuri!!!.hii ni Baraka Tele. Pongezi mwlm Mukasa

  • @anacarlos6838
    @anacarlos6838 3 роки тому

    mbsrikiwe sana watoto

  • @frankmwacha8118
    @frankmwacha8118 3 роки тому +1

    ❤️❤️

  • @gloriabebi3645
    @gloriabebi3645 2 роки тому

    Wow this kids are really amazing

  • @governorwetu5383
    @governorwetu5383 3 роки тому +1

    Sauti tamu aiseh!

  • @beatusmtui507
    @beatusmtui507 3 роки тому

    Asante mukasa faraja na burudani kupitia nyimbo

  • @briankiprotich915
    @briankiprotich915 3 роки тому

    nashukuru sana najifunza kutoka kwako

  • @justinkimeu1575
    @justinkimeu1575 3 роки тому

    This is truly God's doing, shetani asiingilie familia yako bora

  • @mwariwanyingi5720
    @mwariwanyingi5720 Рік тому

    Wow...
    The best family I know so far.
    May God keep blessing you as a family and individually.

  • @mutisyajohnmutuku2590
    @mutisyajohnmutuku2590 3 роки тому

    Kongole Bw. Mukasa. Mungu awazidishie Neema Tele. Wewe uko juu

  • @atanasmarko4233
    @atanasmarko4233 3 роки тому +2

    inspiring family

  • @wairimumwaniki5963
    @wairimumwaniki5963 3 роки тому +1

    Nice and soft melodies,you going far keep up good job bwana mukasa

  • @charlesnyamboki3557
    @charlesnyamboki3557 3 роки тому

    Haaaa nimebarikiwa true singers keep on keeping on blessings

  • @KamandaBee
    @KamandaBee 3 роки тому +2

    Amazing one🔥🔥🔥🔥🔥💯

  • @onesmusmuia3416
    @onesmusmuia3416 3 роки тому +2

    Wooh, this is very lovely.

  • @michaellupala552
    @michaellupala552 3 роки тому

    God over everything mungu bariki kizazi ichi hadi milele

  • @glorymichaeltemba4589
    @glorymichaeltemba4589 Рік тому

    Nyimbo nzuri sana

  • @munlaglory5304
    @munlaglory5304 3 роки тому

    Wow nice song keep it on my kids more grace

  • @celestinekambua4217
    @celestinekambua4217 2 роки тому

    Soo lit God bless you all

  • @blandinakimbe4019
    @blandinakimbe4019 3 роки тому +1

    Ndivyo inatakiwa kuishi mbarikiwe nawapenda

  • @mutukud6014
    @mutukud6014 3 роки тому

    Hongereni B. Mukasa na familia. Kila la heri

  • @patrickkaranja4060
    @patrickkaranja4060 3 роки тому

    Wow nice song talented kids may God upIift them

  • @imanhaonga6687
    @imanhaonga6687 3 роки тому

    good watoto wetu,Mungu awabariki kwa kuimba vizuri

  • @samuelmundia320
    @samuelmundia320 3 роки тому +1

    Nice job guys..

  • @marywanjiru6931
    @marywanjiru6931 3 роки тому

    Hongera familia ya Bernard Mungu azidi kuwabariki

  • @mariawangari2670
    @mariawangari2670 2 роки тому

    This is beautiful so nice, blessed family kweli kweli

  • @jacklinemutonyi4739
    @jacklinemutonyi4739 3 роки тому +1

    God bless the mukasa’s family abundantly

  • @christophermuteti8329
    @christophermuteti8329 3 роки тому +1

    Good work👏👏

  • @judithmagere3389
    @judithmagere3389 3 роки тому

    Hongereni sanaaa kwa vipaji saafi sanaaa

  • @agripinaathanasio1752
    @agripinaathanasio1752 2 роки тому

    Mko vizuri

  • @jenipherkavusha1661
    @jenipherkavusha1661 3 роки тому

    Hongera sana watoto wazuri

  • @simon9428
    @simon9428 3 роки тому +1

    The original version was done by Meru University choir but its a good remix though

    • @reginawamuyu3036
      @reginawamuyu3036 3 роки тому

      Actually it's vice versa.... The original is Mukasa's song.

    • @simon9428
      @simon9428 3 роки тому +1

      @@reginawamuyu3036 Sure? I stand corrected then.

    • @reginawamuyu3036
      @reginawamuyu3036 3 роки тому

      @@simon9428 yes. 100%

  • @adiverahchelestine8699
    @adiverahchelestine8699 3 роки тому

    Jamani mungu awajari yaliyo mema

  • @rosetreffert6727
    @rosetreffert6727 2 роки тому

    Safi sana

  • @collinswere5344
    @collinswere5344 Рік тому

    talent

  • @elishamhoro1962
    @elishamhoro1962 3 роки тому

    Ha ha ha ha namuona ndugu yangu alivyozubaaaa kwa kweli ni kumbukumbu nzuri Sana hiiii

  • @enriqueonsakia
    @enriqueonsakia 3 роки тому +1

    Be blessed

  • @consolataantony7365
    @consolataantony7365 3 роки тому +1

    🥰

  • @sebastiansumawe9253
    @sebastiansumawe9253 Рік тому

    Wow oooo!

  • @marttechbuilder3341
    @marttechbuilder3341 Рік тому

    Powerful

  • @josephgerald656
    @josephgerald656 3 роки тому

    Hongera Sana mwalimu

  • @mixadymathiasjr6605
    @mixadymathiasjr6605 3 роки тому

    Aseeee mkasa nakupnda na familia yko izid kubalikiwa mnatupa vitu vilivonona