MATOLEO YA WANA WAKO - Bernard Mukasa || MARIA MORAA MAKORI (Triple M) & QUADRI V || Official Video
Вставка
- Опубліковано 7 лют 2025
- Matoleo ya wana wako ni wimbo wa matoleo uliotungwa na Bernard Mukasa mwaka 1997 akiwa likizoni katika parokia ya Ifakara jimbo la Mahenge (sasa jimbo la Ifakara).
Katika video hii wimbo huu umeimbwa kwa ushirikiano kati ya Maria Moraa Makori (Triple M) wa jimbo la Mombasa Kenya na familia ya Bwana na Bibi Bernard Mukasa (Quadri V). Waimbaji wengi walioshiriki ni Maria Makori, Vincent Makori, Rosemary Boniphace, Scholastica Mugabi (hayumo pichani), Vince Mukasa, Vivian Mukasa, Vinny Mukasa, Victoria Mukasa, Matilda Sendwa Mukasa, na Bernard Mukasa.
Kinanda kimepigwa na Vinny Mukasa.
Sauti na picha zimerekodiwa na nadhifiwa na studio za Holy Trinity za DSM - Tanzania.
__________________
This song was composed by Bernard Mukasa in 1997 when he went on leave to Ifakara Parish - Mahenge Diocese (now Ifakara Diocese). In this video the song has been performed by Maria Moraa Makori (Triple M) of Mombasa Diocese - Kenya with the family of Mr & Mrs Bernard Mukasa of DSM - Tanzaia (Quadri V). List of performers include Maria Makori, Vincent Makori, Rosemary Boniphace, Scholastica Mugabi (not in the video), Vince Mukasa, Vivian Mukasa, Vinny Mukasa, Victoria Mukasa, Matilda Sendwa Mukasa, and Bernard Mukasa.
The organ was played by Vinny Mukasa.
Audio & Video production by Holy Trinity studios - DSM.
Yesu aliachia vipawa alipopaa, Tunakushukuru Yesu kwa kupaa kwako ahsante kwa vipawa hivi
Nyimbo tamu na yenye kutulia..,.. helo kwenu Wana familia ya Mukasa Bernard.
Tulikua na wakati wa Fr Kayeta, Stanslaus Mwajwahuki na John Mgandu, Sasa ni wakati wa Bernad Mukasa! Nawakubali sana Quadri V
touching song hii familia idumu na ing'are daima
Sauti tamu
Wimbo mtamu ajabu...
Aaaaah sina la kuongezea
Karibuni Kenya 🇰🇪 tena
Am from Ngong Diocese in Kenya, jumuiya ya mtakatifu Cecilia. I wish siku moja nipatane na hii familia ya Bwana Mukasa.😑😑😑I really love them💞💞💞💞💝💝💝💝
Fact
@@michaelkimario3830 mmhh
i love them too
Nyimbo zenu kweli ni ujumbe kutoka kwa mola
Kwakupanda mbegu ya watoto nijambo jema mungu wetu awazidishie yote mtendayo
Kazi nzuri sana....
Katai ya nyimbo niipendayo wkaati wa matokeo
Mungu aendelee kukubariki BM
Kwakweli Mungu anajua kubariki watu mi niseme kuwa Mungu azidi kuwapa uhai zaidi kwakwel maana nimfano zaidi kwetu wanakwaya kwakweli
Thank you Benard Mukasa
Hiki kidogo kikakupendeze ni matoleo ya wana wako, wimbo mzuri sana barikiwa familia ya Mukasa
Siku moja ntaimba nanyi angalau wimbo mmoja. Hii ni motisha tosha
Mungu akulinde ktk utunzi wa nyimbo nziri
Hongera sana brother Mkasa.
Mungu awabariki Sana na kuwakinga na hila za yule mwovu Katika jina La Yesu Kristo Amina
nice one moraa,good work daughter to Dr Makori. consolata likoni tumekumis with ur broo
Hongera mukasa
TYK...Aisee nyinyi ni hazina kubwa Sana katika kanisa letu katoliki...Mungu awatimizie haja zote za nyoyo zenu na azidi kuwaepusha na kila baya Hongera Sana Mwl Mukasa na Quadri v nzima..nawapenda mnooooooo 🔥🔥🔥🔥
Mungu awatie nguvu wimbo mzuri mnoooooooo
Wimbo huu no mzuri sana
nu
@@nanekapeter8224huoooo
CP9 go chi upo😊
Hongereni sana, kazi nzuri mnoo
This is my favorite song ❤ by Benerd Mukasa's Family
Hongera Sana mkuu hakika kazi zako zmebarikiwa
Huu wimbo huwa unanibariki sana
Hongera Sana familia Mwenyezi Mungu azidi kuwabariki na kuwakuzia kupaji chenu mzidi kumtangaza kote ulimwenguni. Omukama abongele muno,mukole ebishagileo.
Barikiweni sana na Mungu wa mbinguni
Familia
MUNGU awabariki kila saa. Mmefantika kuwa Sadaka ya Wakrisro
Ben napenda sana njimbo zako toka mwazo mungu akubariki
Hongereni sana kwa kazi nzuri kaka
Hongereni Kwa kuinjilisha mwenyezi awaimarishe zaidi na zaidi muwe faraja kwetuu Kwa nyimbo nzuri
Hongereni sana kwa utume na kazi nzuri
It's the kid that sings at the beginning that made me love this song!
May dha Almighty always shine on ur family Bernard mukasa❤❤❤mch love,,,,,,,
HONGERENI SANA KWA WIMBO MZURI ,HUYO DOGO AMETISHA KA SAUTI KAKE.M
ungu awabariki sana .big up org
anist
Familia takatifu ni ile familia inayodumu katika neno la Mungu, Hongereni kwa utume
Blessed family blessed song
Jamani mungu aendelee kuwa Linda na kuwapa afya njema nimetamani sana
Good job mkuuuu wangu
Wimbo mzuri sana wa kupeleka sadaka ....
Favourite Thanksgiving song,,may God bless you ❤
Really love the song
Hongeren sana Baba Mukasa Mama Mukasa Na familia nzima kwakweli Mnafanya kitu kikubwa sana katika familia. Hakika nifamiliya ya Mfano ktk Manisa Mungu awabariki sana.
A masterpiece for offertory. Kazi njema @Benard Mukasa. God bless your vocation.
Mungu atukuzwe
Blessed Family Asante sana
Kazi nzuri sana ,mnanitia nguvu ya kujivunia kuwa mkatoliki, hongera sana familia ya Mukasa
Kazi nzuri sana ya kumsifu na kumtukuza Bwana. Melody imepangiliwa vizuri sana, tempo imeongeza ladha
Hongereni sana familia
Awesome bw. Bernard
Be blessed kwa kazi zuri yenye munafanya 🙏🙏🙏🙏 Amen 🙏🙏 and amen 🇺🇬🇺🇬🇺🇬02|05|2024 time 06:55am mungu sikia maombi yetu
Mungu azidi kuwabari
Jamani Jamani hongera sana
Very nice song and very good performance in audio and video format. HONGERENI SANA MWL WANGU MR. MUKASA NA VINNY KWA UPIGAJI KINANDA MZURI SALAMU ZAKE
Hongereeni sana.
Moraa 👏💐👏 wonderful start
Mungu. Atupe ,ee kima
Tupatekutowa🤲🔐kweli. Kabisa🙏amina
Hongereni Sana
Kanisa ni moja tu. Takatifu katoliki la mitume
Familia ya mfano such an inspirational
Mungu aibariki hii familia kazi nzuri sana mbarikiwe sana
Hongereni sana kaka Mukasa na familia kwa kazi nzuri iliyotukuka. Hakika mnatuinjilisha vyema sana. Mbarikiwe nyote. 👏👏👏
Kazi nzuri sana kaka BM, QD na Moraa
Hongera sanaaa ndugu yangu Benard Mukasa,,,Kazi safi 👏👏🎹,,God will reward this.
Top notch
Big up
Hujawahi feli baba nipo naburudika❣️❣️❣️❣️
Mungu azidi kuwabariki, nawapenda sanaa🤍🤍🤍
hii itakuja kuwa Tenor voice nzuri mnoooooooo
Hongera
❣️♥️
Aminaaaaa Namungu wa mbinguni Awabariki sana😍😍😍🙏🙏🙏🙏
The voice of the young ones adds more flavor alafu kuongeza ya waliobobea ,,,ni tamu jamani
❤❤❤
Heko kwa kazi nzuri. Pongezi kwa hatua Moraa💯.. Mungu azidi kuwabariki🙏
I like the song....
More so how the little son sings❤
Lovely,Mungu azidi kuwabariki na kuwaongoza katika safari hii ya kueneza injili kupitia nyimbo.🙏
Woooh!hongereni sana wapendwa,kazi nzuri sana..❤❤❤🔥🔥🔥
Kazi Iko poa sana, mbarikiwe sana.
Mary Makori Moraa I see you. Good job to all of you.
Hakika Mukasa na familia yako ni zawadi kutoka kwa Mungu katika uinjilishaji wa neno la Mungu. Mbarikiwe sana, kila wimbo wenu ni mzuri tu. Nawezaje kupata flash ya nyimbo zenu.
Utunzi mzuri. Audio recording yenye viwango. Videography game is good. In a nutshell mmeipa sala hii oxygen ya kutosha. More power to the Mukasa's, Makori's and everyone else who had a share in having this work see the light of day. May the labour of your hearts, minds and souls find favor in the eyes of the God you are so gracefully worshipping.
Ongela sn mkasa kwakweli unaupiga mwingi sn
Mungu awazidishie Kwa kazi nzuri.Amina
Kazi nzuri..hongereni sana..Mungu awatunze.
Am very very happy for you Moraa na hongereni kwa hii familia ya Mukasa.
B. Mukasa naomba either your family au Mt.Kizito mtoe video ya Wimbo wako ule unaitwa, "Nimtazame "
Yeye aimbaye vizuri, husali mara mbili (St Augustine of Hippo). Hongera sana BM
I love it...mbarikiwe sana Mukasa na familia yako
THE FAMILY OF MUKASA THANKS FOR AN OVERTORY SONG BEUTIFUL ONE ALWAYS GOD BLESS YOU AND YOUR FAMILY 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏. FROM QATAR BUT KENYAN
The Mukasa's in collaboration with Triple M❤❤❤
Mungu awabariki sana na kuwalinda daima🙏🥂
Mbarikiwe sana
Naaam Na Sasa Tumeona, Kumbe Tuseme Nini!!? Zaidi Ya Kumshukuru Mungu Kwa Uwepo Wa Familia Hii, Na Atukuzwe Daima Kwaajili Yenu. Wimbo Mtamu Sana Kwa Kweli
Halooo nimeona, nimebarikiwa sana na toleo hili. Familia ya Ben Mukasa. hakika ina fungu lake mbinguni. Mbarikiwe sana.
From Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪am really proud of your songs you always strengthen me.. may God bless you alot
kazi safi kabisa...nyimbo zenu ni nzuri sana...wakatoliki tunaendelea vyema
Ongereno sana kwa kutuinjilisha kupitia sauti zenu tunabarikiwa mno na kutuhamasisha,Mungu awabariki na kuwakirimia kwa kadiri ya mapenzi yake🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Wimbo mzuri wa mapaji
Triple M❤️...kazi nzuri
Mungu na abariki kazi yenu
Inampendeza Mungu na sisi watazamaji kwa utume wenu wa Uimbaji,
Mbarikiwe sana na hongera kwa ujumbe wa wimbo wenye kuhamasisha
Mungu awabariki sana hii familia na ndg zangu
Mungu awabariki sana .nyinyi hazina kubwa kwetu wanakatoriki