Harmonize na Kajala Nyuma ya Milango maandalizi ya Harusi yao yanukia Penzi Zitoo..! 😍😍😍
Вставка
- Опубліковано 16 лип 2022
- #harmonize #kajala #mapenzi #jrawwtz
▶ Don't Click This Link: bit.ly/2Pg2zRU
▶ Ahsante kwa kuwa mwana familia, wa Jraww Tz kwa habari murua utazipata hapa, Ungana nasi kwa kila update zitakazo jitokeza..Subscribe Channel yetu ili usipitwe na habari zetu.
▶ Follow on Instagram: / jrawwtz
▶ Follow us on Facebook: / jraww255
▶ Note:👇
Jraww Tz, ni Channel ya habari za siasa zinazohusu Tanzania. Tunajitahidi kutoa habari zetu kwa uwazi bila kupendelea wala kwa lengo la kuchafua upande wowote kisiasa.
Tunaipenda sana Tanzania, hatutahama Tanzania kwa shida ama kwa raha
Kama huja subscribe bado, tafadhali fanya hivyo na mshauri na mwenzako pia Tufuatilie kwenye social media na application zetu hapa 👇
👉Download Game Letu Pendwa hapa: play.google.com/store/apps/de...
👉Application Bomba ya Muziki na KUdownload hii hapa:
bit.ly/3mGumqb
👉PITIA TOVUTI YETU: jrawwmusic.com/
👉VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/jrawwphoto...
👉GET YOUR VIDEO VIEWS: sprizzy.com/?ref=jrawwtz
👉TAFADHALI USISAHAU KUSUBSCRIBE KUPATA HABARI ZETU KILA MUDA/DO NOT FORGET TO SUBSCRIBE TO GET MORE VIDEOS
#JrawwTz - Розваги
Nyie mnaosema kajara mzee, hebu subirini muwe na umli kama wake kama mtakuwa nauzuri aliyoanao kajala, aminini maneno yangu mtakuwa nyang'anyang'a yaani choka mbaya. Namsifu kwa umri wake bado anavutia sana, tena sana tu.
Yaani anavutia pamoja na umri alonao, nadhani kuwa na mtoto mmoja tu imepelekea kuonekana hivo na mazoezi pia
Mbona aonekana Mzee Sana
kajala ni mzur tuu💞💞💞 hata bila makeup
Kajala mzuri jmn 🥰🥰🥰
She looks so beautiful
Huyu conde akiniona mimi haki ya mungu hatomtaka huyu mama tena
😂😂😂😂 kbsa
Kajala na Harmonize walipendana sana sijui ni shetani gani aliingilia penzi lao
Sasa hapa ndio naona kajala mkubwa sana
Kazeekaje kumbe mzee
😄nilijuwa nimimi tu ndo niliye muona
Pendaneni mpaka waumwe akina mwijaku ,hawana KAZI muda wao wanatumia kuvuruga maisha ya watu
Nani hatawai zeeka ....ukiamka Kila siku ujue hauko vile ulikua Jana kwa hivo muache kusema kazeeka... Amependwa na Harmonize.....
Wew na kazeeka kazeeka...enhe ndo kapendwa na harmo...wewe na ubinti wako kila siku kuumizwaa...ata upati bwana wa kueleweka wabongo achen wivu
Yan kama wachawi wamekazana kazeeka kazeeka wala hata hajazeeka bhn ni wivu tu unawasumbua 😏
@@Iamnia871 🤣🤣🤣aaah jaman watu wasiseme ukweli Kwan uzee ni kitu cha ajabu jaman ndiyo kazeeka na asipopaka hayo madawa kichwan ana mvi kabisa na watu hawasemi kwa ubaya ila wanashangaa kumbe bila makeup ndiyo yupo hivi
Kbsa😂
Mmmmmmmmm hizo ndio sura zao halisi🤣🤣🤣🤣
kwaiyo wanapendana
@@rynemac99 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 me mwenyewe mgeni kwakweli
Mmependeza bwana
Wow amazing 😍😍😍
Mbibi huyo kakomaaa
Kajala wee mzuri sana Kwa umri wake
hamo twakupenda broo,toa kipuli cha pua nawe kakaa,please,msalimie wifii
safi sanaa
Looking awesome
Heeeeeee kumbe ukiwa hujapaka mekapu unamsura mbaya ivyo Yani mzeeee kabisa
Broo iyo pini ya pua umetoboa au umekibandika .... kama mebandia au umetoboa bc achana nacho broo akikupenzi kabisa ya dah ayo mambo tuwachie wenzetu tuuu nakukubali sanaaaaa broooo
Mzee usoo chaa
Wo Safi nami nd ndot yangu musician nitakuwa
Ila Kajala kazeeka😭😭😭
Wamefanana
Mekup Zina inua watu🤣🤣🤣
Kumbe ndo sula mbaya Ivo😁
I represent konde boi in kenya
Kwn wpo pamoja hwa
Sura ngumu kama uchumi ya kenya.......mashavu yametokomea kumbe ehh..jamani make up....🤔🤔
🤣🤣🤣🤣
She got man look
Amezeeka sana kaokota zoba lake
kajala mbaya bila mekap mweee
Kumbe kizee kabisa hiki
Kajala ana shape lakini suraaa mmmmgh
Sura kama mwalimu nyerere
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😁😁😁
🥰🥺💗
Sura ngumu kama harmonize
Kicheko tu endelea
Mmh mbona bibi?
mtoto wa KIUME vipini vya pua vya nini mbona unatangaza ushoga
Kajala mtu mzima ad sura inaonyesha
Mikono pia
🥰🥰🥰
Kajala kadhuri bhana
Uyo bibi kumbe kazeeka mikono ya kizee kabsa🗣🗣😂
🤣🤣🤣🤣
Jamani kwaniniivo
Make hap nichek kwanz
Mhh Ila jaman uyo c mwanao unamzaa kabisa Yani khaa unabaka
Oya broo unaowa mkweo au vp
Asa una sura la kizee mzee wewe
Naona kama kajala amezeeka vile
Umri namba kumpenda hivyo hivyo
Huo hata mamvi kichwani
@@missangela6720 mvi gani ni bandit zile khaa ‼️ kajala yye kuoaka rangi nywele n kawaida kwake, nawapenda bure harmokajala
@@Ummu-Nauthar98 😳😳😳😳
Bibi kajara huyo
Wote sura ngum
Sasa hii ndio ya manisani au msikitini
mi nilijua ni macho yangu🤔
Kumbe mzee flt zambeb san
Mvi kama zote
Hizo sio mvi ww
Sura kama ling'ombe
Na utakufa maskini mchawi ww
Kipini cha pua 4 me hamo hupendezi
Anamaana yake hajaeka bure wacha watusaidie mahalipengine
@@nurafedrick378 mzee
Duuuuh. Kibibi icho