PENZI LA HARMONIZE NA KAJALA LAKOLEA NI BEGA KWA BEGA, WAZUNGUMZA “SISI NI FAMILIA”

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 жов 2024
  • Usiku wa kuamkia Leo Harmonize na Kajala waliohudhuria shughuli ya uzinduzi wa application ya simu inayofanya kazi za kibenki, Harmonize akiwa kama balozi.. na wakati wa shughuli hiyo Harmonize hakuacha kuoneshana mahaba yake ya Mpenzi wake Kajala.. Play hapa kutazama ilivyokuwa

КОМЕНТАРІ • 187

  • @matambwekhaalidun1473
    @matambwekhaalidun1473 3 роки тому +74

    Kama una mkubali konde boy gonga like yako tujuane👍

    • @mishiabdul4163
      @mishiabdul4163 3 роки тому

      Waache wale raha zaoo wenye.... Maybe n ya msimu

  • @immeimme2364
    @immeimme2364 3 роки тому +10

    Wow so beautiful and lovely ❤️❤️❤️🇰🇪

  • @aishamwinyi5048
    @aishamwinyi5048 3 роки тому +14

    Mambo kwa awamu injoy kajala mama 💕

  • @kabulamhembe1024
    @kabulamhembe1024 3 роки тому +13

    Konde boy anajitahidi care na amelizika na kajala kabisaa hundred percent

    • @khadijaangore4408
      @khadijaangore4408 3 роки тому

      wamependezana sana. Na mzungu yuko wapi

    • @monicahovda4524
      @monicahovda4524 3 роки тому +1

      Alafu kajara anaonekana analelewa na ameridhika kafurahi kwani amezidi kupendeza

  • @stevemwakisimba5986
    @stevemwakisimba5986 3 роки тому +1

    Aliekuchagulia mavaz kakosea kwenye kiatu hicho kiatu sio cha suti huo ni mtwango ilatakiwa uvae simple shoes ya suti du!!hongera

  • @sophiamfikwa7340
    @sophiamfikwa7340 3 роки тому +3

    Wanapendezana MashaAllh

  • @reginjep5410
    @reginjep5410 3 роки тому +1

    Harmonize Mimi ni shabiki wako hapa Kenya nilitaka tu nikuambie kesho Mimi sitaki story eti we umeachana na kajala coz mnaraim tu sana na vile Mimi naona kajala ni mwanamke nzuri sana gani she is humble to earth I say

  • @samwelsamson4135
    @samwelsamson4135 3 роки тому +19

    Hyu ndie Konde Boy bna

  • @vallerinejesse2299
    @vallerinejesse2299 3 роки тому +11

    Mimi shabiki wako ila sijabikii kubadili mademu kila uchao. Kama umempenda huyu kajala funga nae ndoa muishi mzae watoto. UMRI unakwenda!

    • @zou7470
      @zou7470 3 роки тому +1

      Lkn siyo kawaida yake akishindwa ndo anabadilisha kipindi yupo na sara alitulia but tumuombeye kila la kher tu wadumu kwenye mahusiyano yao

    • @bahatisunga1642
      @bahatisunga1642 3 роки тому +1

      Haswaaaa

  • @tatubadi9010
    @tatubadi9010 3 роки тому +2

    Tatizo hamjui tu wamakonde wanajua Sana kupenda af Wana huruma Sana.. Waache wakolezane tu..

  • @asiamkwama4389
    @asiamkwama4389 3 роки тому +2

    Waooo watoto wangu mama panya nawapenda

  • @frederickkimweri1899
    @frederickkimweri1899 3 роки тому +14

    Kwa nini mnapenda kuzungumzia watu kuachana hivi mna matatizo gani, ombeeni wenzenu mema nanyi mtapata mema.
    Wakiachana ni bahati mbaya tu

    • @bahatisunga1642
      @bahatisunga1642 3 роки тому +1

      Binadamu wa kitanzania ndiyo walivyo hawapendani

    • @CTM.24Updates
      @CTM.24Updates 3 роки тому

      Watahachana 2🤣🤣😂🤣

    • @Ryoof-qo7if
      @Ryoof-qo7if 3 роки тому +1

      @@CTM.24Updates unawanga ukiwa wapi🤣🤣

    • @ashurahatibu5069
      @ashurahatibu5069 3 роки тому

      Hao ndio huchukia mazuri ya wenzao na hawatafanikiwa hata na uzeeni watakuwa wachawi

    • @CTM.24Updates
      @CTM.24Updates 3 роки тому

      @@Ryoof-qo7if JIJINI ILALA MKOA WA DR🤣🤣😂😂🙄

  • @Portugal309
    @Portugal309 3 роки тому +3

    Kajala enjoy for now pia Sara alipitia hayo labda kizungu kilimshinda kaka labda mtaishi kwa muda ...ghafla picha za ujauzito🤭

  • @lizynyeze7521
    @lizynyeze7521 3 роки тому

    Wako sawa..hight zimeendana

  • @hadija846
    @hadija846 3 роки тому +1

    💞💞💖💖🙏🏼Wakumusi Pamoja sana😍

  • @jamilasaid1764
    @jamilasaid1764 3 роки тому +2

    Kupendwa lah sana hasa umupate Mme anae juwa thamani ya mwanamke utaona ulichelewa

  • @mohammedabdalahmponela6543
    @mohammedabdalahmponela6543 3 роки тому +4

    Atali sana

  • @kelvinprosper6925
    @kelvinprosper6925 3 роки тому +2

    kajala anasura tamu kbs

  • @raphaeledward4125
    @raphaeledward4125 3 роки тому +1

    Jeshiiii nakubali

  • @emmanuelmchomvu2676
    @emmanuelmchomvu2676 3 роки тому +4

    Kutafuta hela ndo suala l msingi, hzo habr wataachna sitak kusikia....

  • @jeyshillyjack4470
    @jeyshillyjack4470 3 роки тому +2

    Wow, Mr and Mrs harmonize

  • @florenceuwayezu265
    @florenceuwayezu265 3 роки тому

    Waouh lovely😘💕

  • @sarahaswan9221
    @sarahaswan9221 3 роки тому +1

    Woow 🔥🔥🥰

  • @neemakaluwa1841
    @neemakaluwa1841 3 роки тому

    Mungu awasimamie na ntafurahi zaid nikiona mmefunga ndoa. Nawaombea sana ili wale vifurutobwe wafedheheke na roho mbaya zao.

  • @magdalena7223
    @magdalena7223 3 роки тому +1

    Pendeza sana kajala &konde boy

  • @ashuramhando5285
    @ashuramhando5285 3 роки тому +3

    Haya sasa paka mko wapi mnaona Panya anavyowatafuna visigino mnauguza vidonda 😄😄🤩🤩🤩😂😂😂😂😂😂😂

    • @mohamedmatogoro4067
      @mohamedmatogoro4067 3 роки тому

      Hata harmorapa alisumbua sana kwa kiki ila mzk zero na ndio yeye mzk zeroo

    • @hadija846
      @hadija846 3 роки тому

      Hahaaaahaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣kabisa👍😍

  • @pascalkana3103
    @pascalkana3103 3 роки тому +1

    Konde boy jeshi nice couple

  • @priscadaniel7
    @priscadaniel7 3 роки тому +2

    Wamependaza

  • @salmaluhombero8466
    @salmaluhombero8466 3 роки тому +3

    Kupendwa raha jamani hasa ukidekezwa kama malkia

    • @ramadhanausy7687
      @ramadhanausy7687 3 роки тому

      Mapenzi bila pesa inawezekana ila pesa ndo inastawisha mapenzi, Mungu anijalie nipate pesa

  • @samwelsamson4135
    @samwelsamson4135 3 роки тому +10

    Kamwe hawezi kupotea watapotea wte Pale Wasaff ila yeye ndo atabak Kuwamfalme

  • @Imanikkk
    @Imanikkk 3 роки тому +2

    Mungu awepe afya njema

  • @claudialupimo7614
    @claudialupimo7614 3 роки тому +3

    Hawana maajabu. Hawanistui kabisaa

  • @gloriamichael3698
    @gloriamichael3698 3 роки тому +2

    aaaaaa Sarah wapi wajamani aaaaa

  • @nubianqueenn830
    @nubianqueenn830 3 роки тому +1

    Saha hajuwi kizungu anaongeya rugayakwao nakizungu kichache tu

  • @neemabatraham1073
    @neemabatraham1073 3 роки тому +2

    WAKATI WENU UKIPATA VIMBAAA TENA MAKWAPA YOTE NICE

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 3 роки тому +2

    Raha iliyoje sikuhizi kajala analindwa

  • @eliamakere3089
    @eliamakere3089 3 роки тому +1

    nyie mnaosoma vyuo n. k jitafakarini mara nyingi kadri iwezekanavyo.. konde hajasoma ila ni brand ambassador wa crdb.. kweli nimeamini maisha hayana bingwa.

  • @gamgangweesechota3589
    @gamgangweesechota3589 3 роки тому +1

    Mungu awasaidie muoane wapenzi wazuri

  • @jessymalembeka6181
    @jessymalembeka6181 3 роки тому +6

    HAHAHA,MABAUNSA HAWALI MASIKINI HAHAHAHAH

    • @Jameskaguo
      @Jameskaguo 3 роки тому +1

      hahaha si wanalipwa hata mimi kama ananilipa vizuri, kula kitu kidogo

    • @hadija846
      @hadija846 3 роки тому

      Haiwekani kula we vipi? Huo ni ushamba wakitiliwa dawa ya usingizi itakuwaje?

  • @hassanmbarouk2959
    @hassanmbarouk2959 3 роки тому +1

    Nakubali

  • @marygaspar6429
    @marygaspar6429 3 роки тому +3

    Ukipata tumia ukikosa jutia! Ee hivyo!

  • @sofianikita1567
    @sofianikita1567 3 роки тому +3

    wamependeza

  • @wemabin4675
    @wemabin4675 3 роки тому +5

    Anapenda matembo wenzie

  • @jenifambaga1836
    @jenifambaga1836 3 роки тому +4

    Hatarii

  • @mudrikdrick3941
    @mudrikdrick3941 3 роки тому +2

    dahh ilo buti lajeshh

  • @asyakareem2416
    @asyakareem2416 3 роки тому

    Wote ni washamba siku zinaenda badala mtu kufukuzia maisha wanakaz ya kulanda kila kona kujionyesha nan asie jua kupenda

    • @samwelmbai698
      @samwelmbai698 3 роки тому

      Wako kwa tukio plz heshimuni maamuzi yao

  • @tamaraseff.9707
    @tamaraseff.9707 3 роки тому +1

    Tuliongea mchana usku tukalala tuu.do sumu imekolea balaa

  • @nazmaabdullkarim8022
    @nazmaabdullkarim8022 3 роки тому

    Kajala nampenda

  • @denisjr11media21
    @denisjr11media21 3 роки тому

    Noma

  • @jaycee9067
    @jaycee9067 3 роки тому +1

    Konde boy mwee 😂😂😂 lazima wakueleze!

  • @nurathsaidy4379
    @nurathsaidy4379 3 роки тому

    Nawapenda

  • @pennystang6065
    @pennystang6065 3 роки тому

    Kajala Alicia rundisha suruali ya wema?

  • @Kwazulu1
    @Kwazulu1 3 роки тому

    Barakua

  • @evaristjames9845
    @evaristjames9845 3 роки тому +1

    Inawezekana Hawa Wana tatizo la afya ya akili

  • @liegaliega8280
    @liegaliega8280 3 роки тому

    Pamoja sana

  • @mariamabednegoyusuph9499
    @mariamabednegoyusuph9499 3 роки тому

    Hello Millad Isack Muyenjwa👋

  • @yohanazabron7435
    @yohanazabron7435 3 роки тому

    Wechoko siulisema kupatademu nakutangaza niushamba? Weumefanyann aliekwambia tunashida yakujua mamboyako nan achaufala

  • @shaddybmc8342
    @shaddybmc8342 3 роки тому +1

    Yule mzungu ayaon hayaaaa

  • @fatmamshangama9824
    @fatmamshangama9824 3 роки тому +1

    Kupendwa raha jamn uwiiii jamn

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 3 роки тому

    Harmonize poa sana

  • @princearthurjohn8397
    @princearthurjohn8397 3 роки тому +1

    Nimependa mwanzo wenu

  • @shamimuabdallah8801
    @shamimuabdallah8801 3 роки тому +2

    Kwa hiyo hao mabodi gadi hawali chakula wenyewe haiwahusu ama!!

    • @hassancharles4395
      @hassancharles4395 3 роки тому +1

      Unakulaje boss wako anakula naww unakaa kula usha ona wap hyoo

    • @annahaule7428
      @annahaule7428 3 роки тому

      Hahaaaa watakula baadae,had boss ashibe kwanza

  • @azashaban5846
    @azashaban5846 3 роки тому

    mmh atar na kilo mbili hongera yao ila angalia asikubemende mamanaaaa haya👭👭

  • @halimafazeli52
    @halimafazeli52 3 роки тому +1

    Mina penda Sana kuona mwana ume anamjali mpezi wake najisikia Amani najiuriza wanaume kama awa wapo

    • @mirishonasari3972
      @mirishonasari3972 3 роки тому

      Walishakufa na Vita ya pili ya dunia amebaki tyu hamo

  • @muddyabdallah8920
    @muddyabdallah8920 3 роки тому

    💓💓💓💞💞💞🌹

  • @lydiaanabel1087
    @lydiaanabel1087 3 роки тому

    love not yet have board no have ages men is men

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 3 роки тому

    kode boy keep going bro

  • @rajabumapunda416
    @rajabumapunda416 3 роки тому +1

    Atamakaburu walisema uyu ndie mfarume mpya haaahaa

  • @joymsupagladysijeya8384
    @joymsupagladysijeya8384 3 роки тому

    Waaa najua kuna watu wanaumia kufeni 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👊👊👊👊🙀🙀

  • @joymsupagladysijeya8384
    @joymsupagladysijeya8384 3 роки тому

    Lakini hamo suka ywele u look young kajala anakaa mkubwa but mko poa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @paulkisatulusana1142
    @paulkisatulusana1142 3 роки тому +1

    Kutesa kwa zamu kula kitu kama roho inapenda

  • @uthaylahqueen7181
    @uthaylahqueen7181 3 роки тому +2

    wamepndza

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 3 роки тому

    Ila harmonize mmmmm a mavituko vya kwenye paa

  • @ab3ab313
    @ab3ab313 3 роки тому

    ❤🤝

  • @majutovizurimwakibibi8758
    @majutovizurimwakibibi8758 3 роки тому

    Dogo dem mzuri

  • @salehmasoud5104
    @salehmasoud5104 3 роки тому +1

    Yule mzungu amefikia wap ?

    • @mrjagenmuuz5704
      @mrjagenmuuz5704 3 роки тому

      Tuliambiwa walıowana akasıfıwa hapendı kuzalilisha wanawake

  • @manajaboy9233
    @manajaboy9233 3 роки тому

    Hyo mlinzi vip jaman mbona sijamuona na chochot mkononi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @yohanazabron7435
    @yohanazabron7435 3 роки тому

    Harmonize kua naadabu huyosimamayako? yaani wejamaa hunautofauti nafisi

  • @hashimhamis2380
    @hashimhamis2380 3 роки тому

    Dah suti na mabuti duh

  • @carolnjeri6876
    @carolnjeri6876 3 роки тому

    mapenzi ya bongo.leo huyu kesho yule.balaa.

  • @bahatisunga1642
    @bahatisunga1642 3 роки тому +1

    Wacha weeeeeee ndeza sana nyie Haimo umependeza na izo nywele

  • @adamumuki1242
    @adamumuki1242 3 роки тому

    Kajara msela wa zamani na mtoto wauswazz chinga cinema patamuuu apo

  • @aminaalli2287
    @aminaalli2287 3 роки тому

    HAMONAIZ NAOMBA MSAADA WAKO NAUMWA SIKIO SILALI..HALISIKII VIZUR NA LILIKUA ZIMA LIMEANZA MUDA SI MREFU NAOMBENI MNIOMBEE

  • @magnificententertainment9328
    @magnificententertainment9328 3 роки тому +2

    Mbona km amevaa buti la jeje....😂😂😂

    • @emmamtembei4890
      @emmamtembei4890 3 роки тому

      Inatakiwa huyo Kajala amfundishe kuvaa huyo kijana wake.Mana hajui namna yakupangilia mavazi na viatu

    • @kasigehamisi7802
      @kasigehamisi7802 3 роки тому

      @@emmamtembei4890 maisha jamani hatar.tusake hela tu

    • @emmamtembei4890
      @emmamtembei4890 3 роки тому

      @@kasigehamisi7802 Umeonaeee

  • @ggtt8145
    @ggtt8145 3 роки тому

    Waliachana na sarah ama?mtu anicomb aki

  • @janetnadauson2988
    @janetnadauson2988 3 роки тому

    Msiachane bas ba

  • @joelmbughi428
    @joelmbughi428 3 роки тому

    Akiwa shabiki wa Simba ...ataliwa

  • @gmosha1
    @gmosha1 3 роки тому

    Mbona hiyo suti aliyovaa inaomba poo!!! Sababu ilivyobana?? Duh🤣🤣

  • @pauljuma5713
    @pauljuma5713 3 роки тому +4

    Mwanaume kubeba chakula huku mwanamke akitembea akijimwambafai bure bure huo ni umama

  • @Fgldesigns
    @Fgldesigns 3 роки тому

    Naombeni support yenu kusubscribe kwenye channel yetu.
    @Fgldesigns Studio
    Na utizame video za design za nyumba

  • @dintazdintaz7311
    @dintazdintaz7311 3 роки тому

    Leo chuma hakijavaaa ile chain yake

  • @mwanahamis5487
    @mwanahamis5487 3 роки тому +2

    Masikini walinzi hawali

    • @careemissa2502
      @careemissa2502 3 роки тому

      Hahahaha yn nyinyi binadam hamkosi lkusema unakulaje wakat unatakiwa umlinde boss

    • @mwasitirashid7185
      @mwasitirashid7185 3 роки тому

      Ahahahahah

    • @doreensamwely8740
      @doreensamwely8740 3 роки тому

      Kumbe hata we umeona eee Mimi rohoo inauma duuu siwez

  • @aminaalli2287
    @aminaalli2287 3 роки тому

    HAMONAIZ NAOMBA MSAADA WAKO NAUMWA SIKIO HALISIKII VIZUR NIJITIBIE LINANITESA SANA

  • @kulthumrashid1478
    @kulthumrashid1478 3 роки тому

    Baba kubeba sahani za chakula mama anafata nyuma uyo ni ushambaa uwo ni ushamba uwo ni ushamba

    • @jescajulius8023
      @jescajulius8023 3 роки тому

      Ago ni mapenzi,upo!!!!,hakuna ubabe kweny mapenzi

    • @brightluvanda2795
      @brightluvanda2795 3 роки тому

      Kwahiyo ulitaka mama ndio abebelee misahani??,,huo ni ubaguzi wa kijinsia????mbona wazungu wanatumikia wanawake wao!!?

  • @zuwenaabrahman9913
    @zuwenaabrahman9913 3 роки тому

    dada jiandae kufunuliwa na kuachwa musisome maisha kwa tamaa ya pesa

    • @noofal-zeidi2770
      @noofal-zeidi2770 3 роки тому

      Hujui kama wana tatoo

    • @seifjuma3471
      @seifjuma3471 3 роки тому

      Wewe usha funuliwa na wangapi dada au kwasababu aufahamiki? tujifunze kuwaombea wenzetu mema, waingie kwenyendoa nasi kuziniana

    • @Portugal309
      @Portugal309 3 роки тому

      @@noofal-zeidi2770 😂😂😂 Kwa hio tattoo zinapromoti mapenzi?

    • @noofal-zeidi2770
      @noofal-zeidi2770 3 роки тому

      @@Portugal309 ndio neon

  • @dicksonnoel3216
    @dicksonnoel3216 3 роки тому

    😀😃😃😄😆😅🤣❤❤❤❤❤

  • @rosegodwin6376
    @rosegodwin6376 3 роки тому

    Simba

  • @sharkysharky2717
    @sharkysharky2717 3 роки тому +1

    Mkongo yuko wapi Leo au hawaoni🤣🤣🤣🤣

  • @annajoseph9955
    @annajoseph9955 3 роки тому +1

    Mbona mabodgad hawachukui msosi

  • @zurfambogo6519
    @zurfambogo6519 3 роки тому

    Mh