Harmonize Alivyomshika mpenzi wake Mzungu Briana Mbele ya wana habari na Ulinzi Mkali ona Full video

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 142

  • @fuadaladawi1255
    @fuadaladawi1255 Рік тому +1

    Harmonize you look good with that type of colour hair

  • @boionemkenyaofficial8822
    @boionemkenyaofficial8822 2 роки тому +9

    Kwa wale hua mnamsema Harmonize kama Hana Chochote 🤔🤔🤔 mbona Sasa hiki kikosi chote Kiko na yeye mshike mshike ivi jamani ebu tuache UNAFIKI na tumuogope MUNGU nyinyi 👌👌👌angekua Hana bas watu wote wangemtoroka wewe muone mwamba Yuko vizuri Sanaa 💯👈

  • @kalangoostrai8t
    @kalangoostrai8t 2 роки тому +3

    High class life,the life of a superstar..

  • @safarijoseph4927
    @safarijoseph4927 2 роки тому +4

    Unyamwezi sana🔥

  • @ednambata9503
    @ednambata9503 2 роки тому +4

    Namkubali sana Haorm

  • @jumaabdala7530
    @jumaabdala7530 2 роки тому +4

    Jeeeeeeeshiiiiiiiiiiiiiiiii 🔥🔥🔥

  • @rashidjuma1969
    @rashidjuma1969 2 роки тому +4

    Big up broo kondee kweli umeamua kutafuta chakoo mungu atakuonesha njia unaona ni nzuri zaidi kwakkoooo

    • @samidosam2001
      @samidosam2001 2 роки тому

      ua-cam.com/video/TUOdgz-OVfA/v-deo.html

  • @amodsakdhd9901
    @amodsakdhd9901 2 роки тому +1

    Jeshiiii🤩🤩🤩

  • @katianalouis7209
    @katianalouis7209 2 роки тому

    Nice couple

  • @kakudjinono8602
    @kakudjinono8602 2 роки тому

    Vipi bro shemeji hajatuzalia bado 💯

  • @DamodeeShow
    @DamodeeShow 2 роки тому

    254 representing here...nipe likes za Wakenya jamani

  • @bongosecret1025
    @bongosecret1025 2 роки тому +1

    Harmonize🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @stelamwakatulile174
    @stelamwakatulile174 2 роки тому

    Maisha Aya da 🚶🏾‍♂️😌🙌🏽 enjoy

  • @cedrickhatungimana8727
    @cedrickhatungimana8727 2 роки тому +1

    Jeshiiii💪🇧🇮🇹🇿

  • @justinenishimwe9077
    @justinenishimwe9077 2 роки тому +3

    Jembe ni jembe amefanana NA Werra son Wa Congo

  • @justerkirigu1758
    @justerkirigu1758 2 роки тому +1

    Mapenzi Moto Moto😍😍

    • @samidosam2001
      @samidosam2001 2 роки тому

      Toto ua-cam.com/video/TUOdgz-OVfA/v-deo.html

  • @eray5446
    @eray5446 2 роки тому

    Kondeboy man of peoples

  • @johnk1807
    @johnk1807 2 роки тому

    Sebastian ndege. Mr. Misifa

  • @gozbertcryspin
    @gozbertcryspin Рік тому

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @furahakenga6619
    @furahakenga6619 Рік тому

    🔥🔥🔥💪

  • @jaksonmjey2714
    @jaksonmjey2714 Рік тому

    Harmonize nankubali kinyama sana

  • @safsanjulius5829
    @safsanjulius5829 2 роки тому +3

    Jeshiiii Kama jeshiiii utapata kua jeshi2💥💥💥🐘💥

  • @musabaraka9134
    @musabaraka9134 2 роки тому

    🔥🔥🔥🔥

  • @mdl6463
    @mdl6463 2 роки тому +3

    Nilisikiza wimbo wa OMOYO uko poa kabisa,,,, Ila Sasa kwa nini uliingia na sigara kanisani au niambie tu unaumwa kikohozi 🤣🤣🤣

  • @safarijoseph4927
    @safarijoseph4927 2 роки тому +2

    Ulinzi mkali sana

  • @CalvinsOuma-wc7wj
    @CalvinsOuma-wc7wj Рік тому

    Jeshi

  • @joleal7941
    @joleal7941 2 роки тому

    Jeshiiiii

  • @demaxbravemld2110
    @demaxbravemld2110 2 роки тому

    Jeshi💪👊

  • @hassanichangalawa649
    @hassanichangalawa649 2 роки тому +1

    Njaambaya jamani

  • @Godfreyofficial12
    @Godfreyofficial12 2 роки тому

    Jeshi 💪💪

  • @jumambaraka988
    @jumambaraka988 2 роки тому

    Lete

  • @mboga7
    @mboga7 2 роки тому

    Jamaa anakojaa pazuri

  • @josehaulee1508
    @josehaulee1508 2 роки тому

    Safiiii

  • @katianalouis7209
    @katianalouis7209 2 роки тому

    Kondegang fire fire

  • @niyomugaboinnocent4628
    @niyomugaboinnocent4628 2 роки тому

    Ukisha chuka gari usingangane kurudisha mulango wa gali sii uko nawatu wakufanya hilo kazii bana usinihaibishe bro man

  • @twaibutwabibu8809
    @twaibutwabibu8809 2 роки тому +2

    Unyama mwingi Dogo

  • @khamisikahindi5173
    @khamisikahindi5173 2 роки тому

    Jeeeeeeshiiiiiii

  • @edwinmayabi9650
    @edwinmayabi9650 2 роки тому +1

    Hii Tanzania na security yaani hamna hatari ila mtu Ana masecurity nikaa kuna hali ya hatari ila hamna.

  • @amuzasalimo4391
    @amuzasalimo4391 Рік тому

    Anyamwez💪💪💋

  • @Okwash1
    @Okwash1 2 роки тому

    What is the security for?

  • @abdulsalamiissa9503
    @abdulsalamiissa9503 Рік тому

    Kama unakubali ela haisemi uwogo naomba like yako

  • @e.jack.47
    @e.jack.47 2 роки тому +1

    V8 looks more government.

  • @user-nh2em1om4g
    @user-nh2em1om4g 9 місяців тому

    safi

  • @tachosomo2695
    @tachosomo2695 2 роки тому

    💥💥💥💥💯

  • @CHITUS
    @CHITUS 2 роки тому

    Harmonize

  • @ufugajiwetu7782
    @ufugajiwetu7782 2 роки тому +2

    Sasa mlitakaje
    ashike gari Au

  • @sethgoldsgym8039
    @sethgoldsgym8039 2 роки тому +1

    Wapi likes za jeshi

  • @jasminlyall1243
    @jasminlyall1243 2 роки тому +1

    The POWER Couple 💑

  • @denicegaspar6902
    @denicegaspar6902 2 роки тому

    Kondegang4rev 🙏

  • @stanleywaweru6729
    @stanleywaweru6729 2 роки тому

    huyo nguna ni mrembo sana jamani

  • @LITERATURETV150
    @LITERATURETV150 2 роки тому

    Huyu ni bingwa kabisa mwenye baraka na vitendo vikali.Konde Boy !

  • @edwinkarani5593
    @edwinkarani5593 2 роки тому +4

    Ulinzi watoka kwa Mungu sio binadamu.

    • @kevintumbo6643
      @kevintumbo6643 2 роки тому

      tafta pesa na uwache wivu wewe

    • @edwinkarani5593
      @edwinkarani5593 2 роки тому

      @@kevintumbo6643 naishi, nala,nanywa wivu wa nini?

    • @kevintumbo6643
      @kevintumbo6643 2 роки тому

      @@edwinkarani5593 pardon my french but can't speak your lingo

    • @edwinkarani5593
      @edwinkarani5593 2 роки тому

      @@kevintumbo6643 me too.

    • @kevintumbo6643
      @kevintumbo6643 2 роки тому

      @@edwinkarani5593, if you do not understand, QUIT!!!

  • @veronicamangala2980
    @veronicamangala2980 2 роки тому

    Carimo

  • @fatmasaid9074
    @fatmasaid9074 2 роки тому

    jeshiiiiiiiiiiiiiiiiiii tichaaaaa

  • @ednambata9503
    @ednambata9503 2 роки тому

    Jeshiiiiiioliii

  • @kondwanimwangobora6441
    @kondwanimwangobora6441 2 роки тому +1

    🔥🔥🔥😍💯

  • @accoladesabe.b3329
    @accoladesabe.b3329 2 роки тому

    Wa Zantanyia’s wanakua extra sana for no reason

  • @daudimasano5326
    @daudimasano5326 2 роки тому

    Hv analindwa hv kwa nn? Nan ana shda naye? Sion zaid ya uharbf wa pesa

  • @sheilacruz6458
    @sheilacruz6458 2 роки тому

    Sahizi yupo kajala

  • @richlymo
    @richlymo 2 роки тому +1

    Konde boy

  • @asiamohd5516
    @asiamohd5516 2 роки тому

    Blugadi sasa😀😀😀😀😀😂

  • @dariusirakoze4518
    @dariusirakoze4518 2 роки тому +2

    Kazi nikubadilisha mademu Kama nguo 🤔🤔

    • @eritreamumz7343
      @eritreamumz7343 2 роки тому

      Yanakuhusu Huna pesa wewe ambaye hubadilishi

  • @jameskisemei5164
    @jameskisemei5164 2 роки тому

    Jeshi kondeboy

  • @hadjiassalam4525
    @hadjiassalam4525 2 роки тому

    Safi ka ma kawa uuda

  • @cesiliamwapinga9291
    @cesiliamwapinga9291 2 роки тому +1

    Chiiiiiiiiu

  • @fadilalialiabibo3640
    @fadilalialiabibo3640 2 роки тому

    Mbele ya wana habaru

  • @princebenson4641
    @princebenson4641 2 роки тому

    Harmonize anajifungia mlango wa gari

  • @hamadabdullahkhamis977
    @hamadabdullahkhamis977 2 роки тому

    😀😀😀

  • @tonnymasizi3331
    @tonnymasizi3331 2 роки тому

    🐘🐘🐘🐘🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @benjohnson1763
    @benjohnson1763 2 роки тому

    Jambo la kawaida lakini mwalifanya kuuubwa.Hebu na tujaribu kuficha ushamba wetu jameni

  • @ummimohammed9359
    @ummimohammed9359 2 роки тому

    me namuombea uyo bimzuri amuoe tu。

  • @hamadisuleyman1795
    @hamadisuleyman1795 2 роки тому

    Hv anawalipaga kiac gn hawa walinz wake

  • @johnjinasa5540
    @johnjinasa5540 2 роки тому +1

    Tutafute hela asee🤣🤣🤣🤣😀😀😀😀

    • @johnk1807
      @johnk1807 2 роки тому

      Hela ya nini kashiriki bongo star search tukuone

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 2 роки тому

    🐘🐘👈

  • @alizo7
    @alizo7 2 роки тому +1

    Enyewe Sarah alikuwa replaced fully

    • @sylviah9666
      @sylviah9666 2 роки тому +2

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @tumainimwakyaka2775
    @tumainimwakyaka2775 2 роки тому

    Wanasifa kwenye ulinz hiv atakae waua nan?hiv nyie n akina nan had mlindwe

  • @brianotieno510
    @brianotieno510 2 роки тому

    Gari tu yachukua masaa mawili kushuka sikuizi nakosa kuelewa wanadamu

  • @suwilanjigibson6361
    @suwilanjigibson6361 2 роки тому

    🇿🇲🇿🇲🇹🇿🇹🇿🙏🙏

  • @kibarisimon3255
    @kibarisimon3255 2 роки тому

    Bure kabisa my car is better than his why so many security guards 💂‍♂️ 😳 and its not the time for war my bro wazugu na Tanzania girls are so beautiful I sound resist but Hawa watu na Pesa it's a matter of time my friend

  • @galaxyboyepemadubu3286
    @galaxyboyepemadubu3286 2 роки тому

    Mabaunsa wako siriaz

  • @allyjzayumbajuma1405
    @allyjzayumbajuma1405 2 роки тому +1

    Huyu dada ni pini hatari 😘😘😘

    • @samidosam2001
      @samidosam2001 2 роки тому

      ua-cam.com/video/TUOdgz-OVfA/v-deo.html

  • @adamdaudi6191
    @adamdaudi6191 2 роки тому +1

    😊, sasa walinzi wa kazi gani?, kuna mtu ana muda na msanii kweli kumdhuru?, kwa lipi hasa?.

    • @edwinmayabi9650
      @edwinmayabi9650 2 роки тому

      Wana upuzi hawa wasani wa Tanzania waje kenya waone

  • @cosmasabukuse
    @cosmasabukuse 2 роки тому +2

    Mbona sifa nyingi?

  • @newahomwashiuya8858
    @newahomwashiuya8858 2 роки тому

    Anachekesha huyu jamaa🤣🤣🤣🤣

  • @ufugajiwetu7782
    @ufugajiwetu7782 2 роки тому

    Huo ulinzi mbwembwe tu wabeba vyuma hawa

  • @musaseleman9530
    @musaseleman9530 2 роки тому

    Hahhaha

  • @age_90s92
    @age_90s92 2 роки тому

    waasafiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @irabarutanakir4232
    @irabarutanakir4232 2 роки тому +1

    Hawapendezani kabisa

    • @fistonkyuing9888
      @fistonkyuing9888 2 роки тому

      Kawapendezeshe kaka

    • @eritreamumz7343
      @eritreamumz7343 2 роки тому +1

      Wewe ndo wapendezana naye

    • @vampire9464
      @vampire9464 2 роки тому

      Sasa unataka akupende wewe watoto wa nje ndio wakali hakuna feki hapo bichwa kama tako la nyani

  • @cassimoa9217
    @cassimoa9217 2 роки тому

    Dah!! Mambo yameingiliana, wasanii wetu ushamba nao umewazidi, yote hiyo ni sifa na waonekane

  • @abdallahsuleimani7416
    @abdallahsuleimani7416 2 роки тому

    Wauza madawa tu!!!

  • @mwanajumamohammed6327
    @mwanajumamohammed6327 2 роки тому

    Mzungu ama muhindi

  • @rodgersmakaza
    @rodgersmakaza 2 роки тому

    Ndio sababu wanawake wakifikia kutumia dawa za kupunguza rangi. African men don't value their own african women. Pindi wanapofanikiwa kimaisha wanawatafuta wazungu. Maskini wee!! Hii inatia aibu.

    • @henryking6070
      @henryking6070 2 роки тому +1

      Mnacheat sana, wazungu awacheat wakipenda wanapenda kweli

    • @deinernst8483
      @deinernst8483 2 роки тому

      Aibu mkubwa katika Jami ya Ki Afrika, hawapendi rangi Yao ya kiafrika Kabisa, kulamba lamba wazungu, kukosa masomo za utamaduni ndio inaleta hizi upambavu, kila nchi duanini wamependa rangi Yao na utamaduni, isipokua wanaume rangi nyeusi, waki pata tu pesa kidogo wanatafuta wanawake rangi nyeupe.
      Nini imefanyika na wanawake wenye wako na rangi kama Yao.

    • @vampire9464
      @vampire9464 2 роки тому

      Acheni riho mbaya pumbaffff mademu hapa wetu kila kitu feki nywele feki rangi feki wenzetu ni original lazima apende hapo halafu midemu ya kibongo tamaa sana kudanga ovyo uroho wa pesa tu haijui mapenzi ya ukwlei pumbafffffffff

    • @vampire9464
      @vampire9464 2 роки тому

      @@deinernst8483 wacha roho mbaya wewe pumbafffff wazungu ndio wakwlei wa mapenzi sio nyie mibongo kudanga ovyoo waroho wa pesa tu nenda kajambe huko pumbaffffff

    • @deinernst8483
      @deinernst8483 2 роки тому

      @@vampire9464 haya endelea kulamba mate, thirsty?
      Kama mama yako hapendi babayako tatizo lenu, kama hujapata mapenzi bongo, tatizo kwako, labda tafuta mamilioni labda utapata mzungu atakukusaidia kuikula.

  • @davidmsigwa6438
    @davidmsigwa6438 2 роки тому +1

    Old v8

  • @flavourjellmaxofficiel3822
    @flavourjellmaxofficiel3822 2 роки тому +1

    😭😭👀 Harmonize ka lia sana leo! Ume wahi ku muona aki lia ? Ebu jionee kilicho mliza konde boy 😭🙄
    👇👇👇👇👇👇👇
    ua-cam.com/video/XTUsVzD7xKY/v-deo.html

  • @mandelakilimanjaro1189
    @mandelakilimanjaro1189 2 роки тому

    Harmonize

  • @LITERATURETV150
    @LITERATURETV150 2 роки тому

    Huyu ni bingwa kabisa mwenye baraka na vitendo vikali.Konde Boy !

  • @hadjiassalam4525
    @hadjiassalam4525 2 роки тому

    Safi ka ma kawa uuda