Nyinyi watanzania mko nyuma kweli. Yaani kambuni mzima yenye managers na marketing managers mnampa mtu ubrand ambassondor mtu mzee. ama miaka ya kufikia menopause imeongezeka uko kwenu.
@@onyangomary15 Wapo wanawake wengi young popular TZ kuliko huyo mama yenu. Popularity gani. Zuchu, wema, lulu wapo. Ama popularity ni kulala na vijana
Niko Kenya na najua kinachoendelea,Kajala alimshukuru wema Hadi akamchora tattoo na hivi karibuni alisema atafuta zote ataacha ya wema,Kuna shukrani zaidi ya hio?
Umekonda sio mazoezi
Kajala u mrembo dea
kajala amepewa renge hakuiba ilo jina la kurenge nani ka andika. siyo uyo hamo kamzawadiya mwenyewe
Umepungua kweli
🎉
Kajala asaidiki anashindwa kumkumbuka wema sepetu atamkumbuka wema wa nani
Wema kamkumbuk n kasem hawez kufuta tatoo yake 😊
Unashindana na mtoto jamani
Bongo. Mambo ya kwenda na upepo 😅
Nyinyi watanzania mko nyuma kweli. Yaani kambuni mzima yenye managers na marketing managers mnampa mtu ubrand ambassondor mtu mzee. ama miaka ya kufikia menopause imeongezeka uko kwenu.
Hakuna kitu kibaya kama mshamba kufikiria wengine washamba🤣, brand ambassador jobs are popularity driven age does not matter Acha ushamba😂
@@onyangomary15 Wapo wanawake wengi young popular TZ kuliko huyo mama yenu. Popularity gani. Zuchu, wema, lulu wapo. Ama popularity ni kulala na vijana
Wewe kijana nenda kasafirie nyota yake si mmezoea tabia Chafu ,umri is a number
Wewe kijana nenda hapo tuione sura yako 😅😅Yaani mlozoea kula kupitia migongo ya watu mtakoma ,mtu na rizki yake huyu
Kajala amezeeka hasaidiki wala Hana shukurani, Wema alimsaidia hakushukuru sembuse Harmonize?
Niko Kenya na najua kinachoendelea,Kajala alimshukuru wema Hadi akamchora tattoo na hivi karibuni alisema atafuta zote ataacha ya wema,Kuna shukrani zaidi ya hio?