As ante Sana mtumishi wa mungu kwani huu wimbo umenifungua roho yangu,kW an I nilikuwa ninalia sana juu ya mambo mazito yanayonisumbua,lakini vile nimeskiza huu wimbo ulinifungua roho yangu na nikamuomba mume wangu msamaha 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
MUNGU WA REHEMA AKUONEKANIE ,AKUTANE NA MAHITAJI YA MOYO WAKO NA AKUBARIKI WEWE UNASIKIZA NYIMBO HIZI. UISHI UKISHUHUDIA WEMA WA MUNGU KWA MAISHA YAKO. 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤️
Aki nyimbo zak hunifariji moyo wangu ninapokosa tumaini mungu akubariki mtumishi wa mungu hakika sina mwingine ila ni mungu anaweza kila hali ya mwanadamu 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
Be blessed brother. I always Litsen to your 2 Albums, Hukumu and Liko Lango almost every day, they are sermons to me. May the Lord help us to make it to His kingdom ❤❤❤❤❤. ❤
Barikiwe brother ninapoweka hizi ngoma zako nabarikiw saana 😭😭😭😭😭😭😭naziweka mchana na usiku I fee blessed through your praise and worship 🙏🙏🙏🙏🙏may the blood of Jesus cover you throughout
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu hakika ninashukuru sana kwa hizi nyimbo za kutufinyanga mioyo nimesikiliza mara nyingi na bado sinanibariki kila ninapo sikiza asante mwana wefwe
Amen and Amen 🙏🙏🙏🙏 more blessings brother aki sijui niseme nn lakini wimbo zako hunibariki kabisa mungu akulinde kwa kila jambo ❤🎉
Aamen amen Amen ❤❤❤
Nimebaki na wewe bwana wa bwana....vita ni vingi katika maisha yangu, lakini najua yesu mwana wa Nasareti Ako nami. Hallelujah!!!
Amen❤❤❤
Ameeeeeeeeeee😊
Closer to God!!
Sina mwingine ilani wewe jehova amen dungu yangu naomba mungu asikuhuku bali akurekebishe ili uingie mbinguni direct asante ❤❤
Hallelujah. JEHOVA ni wewe hatuna mwingine wa kuabudu.❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Amen❤❤
Yesu ni wewe unaetuwezesha siyo rahisi kufika Mahali niliko amen amen ni wewe tu bwana unayetuwezesha barikiwa sana❤❤❤❤
Amen Amen 🙏❤
As ante Sana mtumishi wa mungu kwani huu wimbo umenifungua roho yangu,kW an I nilikuwa ninalia sana juu ya mambo mazito yanayonisumbua,lakini vile nimeskiza huu wimbo ulinifungua roho yangu na nikamuomba mume wangu msamaha 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Amen Amen brother huwa nyimbo zako zinaniinuwa kiwango moja hadi nyingine barikiwa sana sana
Amen amen❤❤❤
MUNGU WA REHEMA AKUONEKANIE ,AKUTANE NA MAHITAJI YA MOYO WAKO NA AKUBARIKI WEWE UNASIKIZA NYIMBO HIZI.
UISHI UKISHUHUDIA WEMA WA MUNGU KWA MAISHA YAKO.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤️
Amen man of God
@@danielsifuna7377 ameeeen l receive that blessings in Jesus name
@@jenifernzilani5919amen amen❤❤❤
@@danielsifuna7377 Amen Amen Amen
Amen 🙏 ❤🙌
Aki nyimbo zak hunifariji moyo wangu ninapokosa tumaini mungu akubariki mtumishi wa mungu hakika sina mwingine ila ni mungu anaweza kila hali ya mwanadamu 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
Amen amen ❤❤❤❤
Daniel nyasaye yendelee ovanawe... unanibariki sana tuko nyuma yako
Barikiwa sana mtumishi
Asanti ndugu ...kumbuka kutuekea ile wimbo ya musa alimlilia mungu cover ❤
Amen.
Iko hapo number 10.
But naiweka ikiwa pekee yake pia
@@danielsifuna7377 asanti sana
Waooooooo ubarikiwee sana Napenda sana nyimbo zako
well blessed, keep it up, yani siwezi pata usingizi km cjazikiza worship zako, u really bless me haki, God bless you too
@@ChristineNkirote-yf3pi wow amen amen amen 🙏🙏♥️
Amen amen nyimbo zako zinanioea nguvu ubarikiwe sana na uendelee kuimba
Amen❤❤❤❤❤❤
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu kwa injili hii ❤
Amen amen Mtu WA Mungu❤❤❤❤
Amen amen wacha hakika mungu wetu akainuliwe siku zote❤❤
Amen amen❤❤
Asifiwe yesu kiristo nabarikiwa na nyimbo sako pst GOD BLESS YOU AND YOUR FAMILY ❤
Mungu ndiye jibu mwokozi na msahidizi maisha yetu anatujua vizuri tangu mwanzo 🙏🙏🙏🙏 touching song
Be blessed brother. I always Litsen to your 2 Albums, Hukumu and Liko Lango almost every day, they are sermons to me. May the Lord help us to make it to His kingdom ❤❤❤❤❤. ❤
Aaaaaaamen amen❤❤❤❤❤
Sina mwingine wa kuniokoa kutoka katika majaribu yangu ila ni wewe,ni wewe Bwana zaburi 121:1_8
Nikumbuke Mungu wangu wewe ndiye uliyeniumba 😢
Hallelujah 🙌 tu yesu sina mwingine maishani mwangu wewe ni wa milele huinuliwe jehova
Aaamen 🙏❤️❤
ameeeeen napenda nyimbo zako ndungu❤❤❤❤
Huwa nabarikiwa Na nyimbo zako saana I like listening to Them nikiomba God bless you pastor
AMEN AMEN ❤❤❤❤
nyimbo zako zinanibariki sana Mr Daniel na ubarikiwe na mungu azidi kukuinua kiwango ya juu sana katika uimbaji.
Amen❤❤❤❤
Mungu azidi kukupa kibali cha uimbaji asante kwa nyimbo nzuri hakika naomba Mungu atende jambo kupitia kwa hizi nyimbo
Aaaamen 🙏🙏❤
Sana
Barikiwe brother ninapoweka hizi ngoma zako nabarikiw saana 😭😭😭😭😭😭😭naziweka mchana na usiku I fee blessed through your praise and worship 🙏🙏🙏🙏🙏may the blood of Jesus cover you throughout
Amen Amen ubarikiwe sana my brother nyimbo zako ni nguvu zangu wacha mungu aitwe Mungu God bless you 😭😭😭😭
Barikiwa ndugu 🙌🏽 nyimbo ina gusa moyo ✋🏼
Amen❤❤❤
Thanks so much brother kwa wimbo zako zinanibariki sana 🙏🙏🙏🙏
Amen amen Amen ❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤mungu akutie ngufu kakangu una nyembo suri sana🎉🎉🎉❤❤❤
Amen ❤❤❤
yan hiz nyimbo zinaupako mazima,,,yan hata niwe namagum gan nikiskiliza tu hiz nyimb hua nahis nishashinda😭😭barikiwa san mchungajiii
Amen kaka,Mungu aishie azidi kukutia nguvu,sichoki kusikiza nyimbo zako zanitia nguvu 🙏
Amen amen ❤❤
Deep worship songs indeed. Barikiwa sana kwa kubariki wengine kupitia kwa nyimbo
😢😢🙏🙏🙏🙏 ameeeen 🙏🙏🙏 barikiwa sana my brother your are a blessing to me 🙏🙏
AMEN AMEN MY SISTER 🙏🙏🙏❤️
@@danielsifuna7377 amen 🙏🙏🙌🙌
@@ElizabethAmukulo-zr3mk Me too my sister. His Albums are my preachings, I repent every time I listen to them.
Hallelujah 🙌 Amen sema.kubarikiwa
Amen nyimbo zako zinabariki sana,my God bless your work in Jesus name.am blessed through your worship.
Amen amen 🙏❤❤❤
Mungu azidi kukulida na akuzidishie neema nyimbo zako Zina leta uponyanji barikiwa zaidi muchugaji
Amen Amen, barikiwa sana mchungaji ❤
Amen amen Amen ❤❤❤❤
Amen🙏be blessed man of God
Amen Amen 🙏❤❤
Mungu akubariki sana na akuinuwe saidi unaubiria watu wake kupitia nyimbo hisi nyimbo sinanipea nguvu ninabo lemewa na mawaso uinuke nakuanga mtumishi
Amen Amen brother may God bless you in Jesus name 🙏🙏
May God bless u more kwa nyimbo nzuri ambazo zinatutia nguvu
Nyimbo zako zina upako.may God bless you dear ❤❤❤❤
Amen amen amen ❤️❤️❤️🙏
You're really blessed,,keep the fire burning🙏🙏🙏🙏
Amen amen amen 🙏❤️
Your songs they are incuraging me kiroho Amen Amen man of God
Amen amen 🙏❤
❤❤❤❤❤I feel blessed through your song man of God be blessed 🎉🎉🎉🎉
Amen amen❤❤
Umbarikiwe sana pst nyimbo zako ni tamu sana
Amen❤❤❤❤
Amen my bro continue touching our hrts through your songs 🎉🎉🎉be blessed 🙏🙏🙏🙏
Aaaaaamen ❤❤❤❤❤
Thanks be to God 🙏🙏🙌🙌 barikiwa San mtumishi wa Mungu ila nisaidie niambie venye nitadownload hii worship
Ubarikiwe sana mtumishi kwa nyimbo zuri za kutubariki🎉
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu hakika ninashukuru sana kwa hizi nyimbo za kutufinyanga mioyo nimesikiliza mara nyingi na bado sinanibariki kila ninapo sikiza asante mwana wefwe
Barikiwa sana na mungu akufunguli milango ya wimbaji
Aaamen❤❤❤❤
Asante mtumishi.nyimbo zako zina bariki sana moyo wangu AMEN 🙏🙏❤
Amen,may God bless and uplift you higher through this songs I get courage to continue despite of challenges.
Nyimbo zako unipa moyo sana wakati nashindwa na dunia
GREAT SONGS....... LETS US WORSHIP THE LIVING GOD
Amen amen ❤❤❤
Barikiwa sana na mungu akupe nguvu zaidi
Amen Amen 🙏❤
Halleluya utukufu Kwa mungu ❤
Nyimbo zko zanibariki hakika mungu atatuliza mawimbi kwa yale ninapitia
Amen Amen ❤❤❤
Be blessed pastor 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Amen Amen ❤❤
Hallelujah 🙏, keep it up,u bless my soul with ur worship be blessed and keep blessings many.
Aaaamen❤❤❤
Brother be blessed always umenifanya nimrudie mungu kupitia hizi nyimbo mungu wa binguni azidi kukubariki❤❤❤
For sure ubarikiwe sana nyimbo zako is healong and lifting my soul
Wimbo tamu sana mtu w mumgu ❤ mtoto wa kwetu afuma yesu🎉
Umbarikiwe sana
Cjui niseme nini lakin mungu akupariki sana. I hope siku mojo kijana wangu atakua kama wewe. You mean alot🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Always when I'm working i use this songs very interesting they give me good mood at work
Aaaamen ❤❤❤
Sina mwingine wa kuabuduu ila n wew yesu wangu🙏🙏🙏😭😭
Sina mwingine,lord receive all the Glory,thankiu for u nice songs encouraging spiritual God bless
Mungu akubariki sana ndugu kwa hizo nyimbo Amen 🙏
Bwana asifiwe sana😊
Aaamen❤❤❤❤
Hongera bro
Amen❤❤
Mungu akubariki 🙏🙏
Amen amen
Be blessed alot man of God 🙏🙏
Aminaa hapo ninapozisikiliza na tiwa nguvu nakufunguliwa
Be blessed dia brother
Aaaamen ❤❤
Amen amen
Thanks brother for the song I have received blessings and healing in Jesus name God bless you
Amen amen God bless you 🙏🙏🙏🙏
Aamen ❤️❤️
Ni Mungu tu anaweza thank you pastor for the good news May God strainthen your soul
Amen🙏mtumishi nyimbo zako zimenibariki sana🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾barikiwa
Hakika nibariki uniguse Bwana. Hallelujah
Amen amen 🙏❤❤❤❤❤
Nabarikiwa sana na nyimbo zako
🙏🙏🙏Amen mtumishi ningetamani sana kuwajoin shida niko Saudi...ipo siku🙏🙏
One day utarudi Kenya tuimbe
Mungu akulinde huko uliko🙏🙏🙏🙏❤️❤️
@@danielsifuna7377 Amina🙏 Amina🙏 kukutafta is among my top programs nikirudi kenya🙏♥️🙏Mungu mbele🙏🙏🙏🙏
Wokovu ya standard nayo. that is good. This men are needed in the church.
Hizi nyimbo za nifariji sana ubarikiwe ndugu
Amen ndugu ubarikiwe
nyimbo zako ni za kiroho... inuliwa na ubarikiwe milele ndugu yangu
Nimebarikiwa sana ninakualika kwa ibada jlm kilimambogo MAKUTANO branch
I feel blessed servant of GOD with Ur gospel long life
Ameeeeen mungu akubarki sana mtumishi wa mungu
Amen 🙏🙏🙏🙏
Amen amen
Asanti kunirejesha kwa wokvu na maombi mungu akubariki usiki kumutumikia
Lord its only you,my trust is in You.
Barikiwa kwa nyimbo nzuri🎉
barikiwa sana kwa kufanya kazi ya mungu
Be blessed bro Dan
Ahsante Sana...inatia Moyo.
Sana....
Amen,and,amen🙏🙏🙏🙏
Amen❤❤❤❤
Amen glory to the Lord
Mtumishi ubarikiwe sana nakipenda popote ulipo niombee pia mm
Asante kwa nyimbo nzuri