Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Acha nivimbe vile Mungu amenitendea hata kufika 2024 ni Mungu.
Wale tunaovimba kwa ajili ya Mungu like zenu hapa
😂😂❤kweli kabisa kaka🤸🤸🤸Amina🤣🤣🤣
🙏🙏🙏👏👏👏🙌
Tupoooo
🎉🎉🎉❤
4:21 tuko hapa@@juliethashija4617
God Brees yuo❤❤
Mungu mimi pia naomba usininyamazie unintendee na hili ndilo ombi langu usiku wa Leo amen
Acha nivimbe!!!!!!!!! Najua alikonitoa mpaka kuniokoa mim, navimbaaaaaaaa
Acha nivimbe!!!!!!! Najua alikonitoa na kuniokoa, navimbaaaaaaaaa!!!!!
Jinsi Mungu alivyoniponya pale nilipokuwa naona nimefika mwisho na sikuwa naona nikipona kamwe, ,,Acha tu NIVIMBE💃💃💃❤
Vimba 😅😅😅😅😅😅🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Amina Acha nivimbe pale alipo waponya wanangu wakati wanaumwa vidonda vya kichwani
Amina baba mi navimba
Acha nivimbee jaman kwa Aya mungu ambayo amenitendea❤
Heri tu nibaki kuvimba na yesu...nice song 🎉🎉❤
Nyimbo nzr saana my brother GOD BLESS YOU 🙌 🙏
Napenda sana acha nivimba
Achanivimbee yesu niwaajabu sana
Barkiwa kwa wimbo mzur
Acha ninone,, nirefuke,kifua mbele,Mungu ametendea
Naupenda sana huu wimbo. Mungu azidi kukuinua mtumishi uzidi kutoa nyimbo za kutubariki.
Amen mtumishi ubarikiwe
Amiina barikiwa Acha nivimbe kuishi kwangu ni mungu
Kaka anajuwa sana tunakuombeasana kwamungu navimbasana
Hooo unajuwa
Sisi watuwazima tunajuwa nyimbo achanivimbe
Acha nivimbe na Mimi kama roboti kwenye movie kwa ajili ya Mungu!
Barikiwa kazi nzuri
quality camera used here am telling you, i dont understand the language but i like the songs keep up the good work Enock Jonas
Jamaa anarudi sasa nawaapia
Navimba jamani,wapo hawapendi mafanikio ya watu , asante MUNGU acha nivimbe barikiwa sana
Nyimbo nzuri sana mtumishi wa mungu❤❤❤❤❤❤
Mimi navimba maana alie ndani yangu ni mkuu❤❤
Acha nivimbe nampenda yesu
Amen God bless you and your family nice song
more grace much love from Uganda🇺🇬
Wacha nivimbe mungu amefanya
Acha nivimbe yesu amenikoa na ajali😊
Acha nivimbe nikikumbuka MUNGU aliponitoa.❤❤❤❤
Acha nivimbe aki huyu yesu ndiyo jibu langu🙏🙏be blessed much love from kenya ❤
Amen acheni nivimbe jamani ni mungu kanitendea
Kwa aliyonitendea mungu nastahili kuvimba Kwa kweli, zidi kuhubiri mtumishi.❤❤
Mungu akubariki sana Brother Enock Naipenda sana kazi zako Zimenifanya kufika mbali sana Ishimiaka mingi sana tunakupenda sana
Kaz mzuri sana ❤
Huo wimbo wa mtuumishi yìlima unabamba sana tèna mafudisho laini kabisa
Kaka hongera hii inaitwa new 2024 tuta vimba sana Kwa kibabe ahsante mungu akubariki sana kwa ujumbe mzuri ahsante
WIMBO mzuri sana kaka J ila imefifia kidogo lakini kanzi nzuri sana Barikiwe sana mtumishi wa Mungu...
Vimba baba upo kwa yesu
Tupo mungu akutunze Sana nimeipen huu wimbo unani bariki sanaaa❤
Hongera Kwa kazi nzuri
Iyo wimbo inanifanya nipate nguvu juu ya maadui wangu
Ubarikiwe sana ni nyimbo nzuri san❤❤❤❤❤
I'm proud of God because he has done me well, wacha tu nivimbe kwa Mungu.
Ndo ni vizuri Mungu kwa kusaidia watu my friend
Wacha nivimbe mungu amenitendea kunitoa theatre na kunipa nguvu mpya nashukuru mungu
Wacha Nivimbe Niko hai 🙏
Mungu akusimamie sana na akupe neema sana kutupa maneno yakubariki amina
Mungu akubariki Sana Mtumishi
Acha nivimbe kwenye maisha yangu sifa kwa Mungu
Kweli kabisa acha na Mimi nivimbe🎉🎉
Kaka anafanya vzur mung amuinue zaid
Actha ni vimbe Mungu amenitendea makubwa
Jeuri yangu nikwa yesu tu.
❤❤❤🎉Ameni wacha nivimbe na muniache nivimbe wapi wale wakuvimba kwa ajili ya neema ya mungu
Acha nivimbe kwa uhai.nilionao 🙏🙏🙏🙏🙏
Wimbo mzuri sana acha tuvimbe na Yesu wetu wai wapasuke😂😂
Tuvimbe sisi sote kwa ajili ya neema ya Mungu..
Ubarikiwe sana hii ni ya moto sana imeenda
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu. Wimbo huu unatufanya tuvimbe tunapouanza mwaka. Safi sanaaa
Mungu Akutumie Duniani kote my Brother Nakukumbali sana Niko nyuma yako napenda huduma unayofanya naenjoy sana Naomba ujeututembelea Mbezi bich
Umetisha sana
Ninavimba na wanune tu yesu ndani yangu
Acha nivimbe kwa Raha zangu, kwani Mungu amenibatiki
Umetishaa sana boss
Wacha ni vimbe barikiwa kaka
Wacha nivimbe nayesu wangu
🎉🎉🎉🎉 Brother Yesu akutunze sana
Acha. Nivimbe. Mungu. Amenilinda. Mpaka. 2025.nashukuru
Neno la mungu ni tamu..wacha nivimbe!
Wacha nivimbe kwa jina la Yesu, 🙏🙏
Mungu akubariki kwa Wimbo mzuri
huu wimbo ni the best song 2024
Weeeeeh! Acha nivimbeeeee na ninavimbaaaaasaa
Acha nivimbe na huyu Yesu wangu hakika amenitoa mbali
🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂😂😂Yani umenikoshaaaaaaaaa from now navimba kwa kwendambele
Ukweli tuseme jamani wimbo huu umeweza Sanaa thanks
Barikiwa sanaaa brother ngoma kaliiiii sanaaaa 🫶
Acha ni vimbe maajabu alionifanyia mungu wang wimbo huu unanibariki najivunia ni mungu katenda
What the Lord has done in my life and my family it is a miracle,,ACHA nivimbe.....
A beautiful song, it has blessed my heart. If we must boast then we boast of Christ. 1 Corinthians 1:31.GOD bless you man of GOD for honouring your wife, always by your side. That's the way man of GOD. May the LORD continue to use you for His glory.
Am deeply blessed with this song.Jona May God bless you
Wimbo uko sawa kabisa. Congrats from Kenya.
Mungu amenifanya Nivimbe ❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Waoo Nice song
Mwana kumeli songela sana kwakuguliyaaa❤❤❤
2024 nataka kuvimba kabisa kwa jina Yesu...
Hongera shemela
Huku Kenya Kilifi county Mungu mwema pia pia😊
God bless you man of God🥰🙏🙏🤲
Navimba kwa ajili ya mungu amina
Acha nivimbe vile mungu amenitendea hata nimemaliza contract leo sio rahisi
Acha nivimbe ndani ya Jehovah
Huu wimbo ni mkubwa utafika mbaliCoz amegusa maisha ya watu
Much Love from Kenya🙏🙏🙏🙏
God bless you my brother may God expand your ministry ❤❤❤❤❤
Shukrani sana kaka kwawimbo wako muzuri san nawupenda san kabis mwenyenz mungu akubariki usonge mbele kwakazi nzuri yauimbaji ❤️❤️❤️❤️❤️❤️
nakukubali upo kwenye vizuri
Amen barikiwa Sana achanivimbe imenibariki Sana
Good performance keep it up.
Enock never disappoint...twakupeda sana humu Kenya ..... awesome song ❤

🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂😂😂
Yani umenikoshaaaaaaaaa from now navimba kwa kwendambele
Ukweli tuseme jamani wimbo huu umeweza Sanaa thanks
Barikiwa sanaaa brother ngoma kaliiiii sanaaaa 🫶
Acha ni vimbe maajabu alionifanyia mungu wang wimbo huu unanibariki najivunia ni mungu katenda
What the Lord has done in my life and my family it is a miracle,,ACHA nivimbe.....
A beautiful song, it has blessed my heart. If we must boast then we boast of Christ. 1 Corinthians 1:31.GOD bless you man of GOD for honouring your wife, always by your side. That's the way man of GOD. May the LORD continue to use you for His glory.
Am deeply blessed with this song.Jona May God bless you
Wimbo uko sawa kabisa. Congrats from Kenya.
Mungu amenifanya Nivimbe ❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Waoo Nice song
Mwana kumeli songela sana kwakuguliyaaa❤❤❤
2024 nataka kuvimba kabisa kwa jina Yesu...
Hongera shemela
Huku Kenya Kilifi county Mungu mwema pia pia😊
God bless you man of God🥰🙏🙏🤲
Navimba kwa ajili ya mungu amina
Acha nivimbe vile mungu amenitendea hata nimemaliza contract leo sio rahisi
Acha nivimbe ndani ya Jehovah
Huu wimbo ni mkubwa utafika mbali
Coz amegusa maisha ya watu