RAIS SAMIA ALIVYOTUA NA HELIKOPTA MWANZA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2021
  • Leo sept 8, 2021 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia suluhu amewasili Jijini Mwanza kwenye Tamsha la Mila na Utamaduni linalofanyika Kisesa Wilaya ya Nyamagana.

КОМЕНТАРІ • 135

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf Рік тому +1

    Jamhuri ya muungano wa Tanzania kazi ziendelee. Amir jeshi mkuuu huyu hapa na ndiye Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mama yetu Samia Suluhu Hassan kipenzi cha wa Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿.

  • @masimayala7803
    @masimayala7803 2 роки тому +11

    Hatuna rais hapa

    • @suleimanmohamed4367
      @suleimanmohamed4367 2 роки тому

      Hali imekua Ngumu ya maisha hem jamani tuangalieni wananchi wenu Hali Ni mbaya tushirikiane tuijenge nchi yetu tunakuomba mama Samia

    • @jambo3751
      @jambo3751 2 роки тому +1

      WaTanzania Rais wetu SAMIA labda wewe si mTanzania.

    • @jambo3751
      @jambo3751 2 роки тому

      @@suleimanmohamed4367 Kuna Rais alipokuwa madarakani watu walikuja na msemo wa VYUMA VIMEKAZA kutokana na jinsi maisha yalivyokuwa magumu lakini nimesahau sijui alikuwa Rais gani yule!

    • @sasha-ri7tf
      @sasha-ri7tf Рік тому +1

      Mkataka msitake Mwenyezi Mungu ndio kashamjaalia awe rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan, hapedi zulma mcha mungu, hauwi, habambiki watu kesi za uongo, hapori wafanya biashara pesa zao.

  • @thomasbutingo17
    @thomasbutingo17 2 роки тому +2

    Mama yetu Rais wetu tunakupenda xn

  • @shaddybmc8342
    @shaddybmc8342 2 роки тому +3

    Wa kwanza kukoment. Gonga like.

    • @mohamedishaali6241
      @mohamedishaali6241 2 роки тому

      Amira(amir) jeshi,helkopter la jeshi!!sio mbaya..ila nimeshtuka kidogo why in mwanza?

  • @mufamozmufash166
    @mufamozmufash166 2 роки тому +8

    Professional landing jamaa Yuko sawa

    • @f.a6043
      @f.a6043 2 роки тому

      Absolutely professional landing

    • @dennismutie5680
      @dennismutie5680 2 роки тому

      @@f.a6043 that's for sure... Nice touch down.

    • @dennismutie5680
      @dennismutie5680 2 роки тому

      That bird is awesome too

    • @mwachharo5189
      @mwachharo5189 2 роки тому

      That was a smooth touch down

  • @edquest5764
    @edquest5764 2 роки тому +2

    Hii Marine one ya TZ ni Kali sana Kuliko yetu hapa .

  • @shaddybmc8342
    @shaddybmc8342 2 роки тому +8

    Helcopter kubwa duh. Mm naitaka nikahubilie injili

  • @masimayala7803
    @masimayala7803 2 роки тому +14

    Mwanza amekuja kufanyaje huyuuuu .. Mla bata tumemchoka 2025 out

  • @wizanakitvonline6190
    @wizanakitvonline6190 2 роки тому +5

    Hangaya, karibu jijini mwanza, jiji la miamba na sato kwa wingi, Hangaya karibu aisee

  • @kostajoseph5811
    @kostajoseph5811 2 роки тому +2

    We LOVE U SO MUCH MADAM

  • @vincentcharles4385
    @vincentcharles4385 2 роки тому +21

    Lunchtime china,breakfast serena,dinner Mwanza,kuoga USA,Weekend Canada,Kazi iendelee....

    • @sultansallah4509
      @sultansallah4509 2 роки тому +4

      Enzi za chato mulikua kimya ..chuki binafsi

    • @officialjohanesmkandara4301
      @officialjohanesmkandara4301 2 роки тому +1

      @@sultansallah4509 uyo ulikua unamuona akidhurula bila mpango wowote au

    • @richardnudi8441
      @richardnudi8441 2 роки тому

      Kal kit cape town

    • @RashidAli-mm1uo
      @RashidAli-mm1uo 2 роки тому +1

      Wasenge mtamia sana kudadeki zenu mtakonda sana na chuki zenu za kisenge ! Mamaaa kula nchi .

    • @yusufuheri6524
      @yusufuheri6524 2 роки тому

      Kusema kweli hili swali hili la nani anajali hatma ya Tanzania? Halita kaa lipate jibu mpaka kiyama

  • @juditebernabe1477
    @juditebernabe1477 2 роки тому +2

    Mambo safi

  • @joehjulius4577
    @joehjulius4577 2 роки тому +3

    Jaman awa watamchoxha maza inabidi wawe na kilanja wasalimie kwa pamoja

  • @YusufSasamalo-uz4ii
    @YusufSasamalo-uz4ii Рік тому

    Amir jeshi

  • @aphizuhusein1040
    @aphizuhusein1040 2 роки тому +1

    Amna ki2

  • @erickmageta504
    @erickmageta504 2 роки тому +3

    Mama yetu nchi ina miaka 60 tangu uhuru mama yetu ina mbuga zakutosha za wanyama madini sasa usiseme madini mengine yapo tz pekee Duniani maziwa makubwa nyasa victoria tanganyika Eyas pamoja na bahari bado wananchi hawana maji,vijana hawana ajira umeme shida.hosptlini dawa hazitoshi.hivi hii ni haki kweli? Mama yawezeka pengine nisijue wenda haujui kuna mfumuko wa bei hatari kila kitu kimepanda wananchi wanalia mama kipande cha sabuni 500 hivi rasmali hizo zote haziwezi kupunguzia wanyonge taabu hii mama Mtuhurumie mtaani kila kitu bei imepanda marambili vilio tupu Mtuhurumieni.

  • @dogodogodogo9973
    @dogodogodogo9973 Рік тому

    Ok aimisi you 💕 mm

  • @idrishemed2219
    @idrishemed2219 2 роки тому +4

    Hatuna rais

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 2 роки тому +1

      Ni wewe siyo sisi mama oyeee

    • @gracejonh4022
      @gracejonh4022 2 роки тому

      @@halimamasai2234 oiiiiiiii

    • @sasha-ri7tf
      @sasha-ri7tf Рік тому

      Chuki zako jitiye madole ya mkundu unuse. Rais ni Mama kutoka Zanzibar.

  • @malahimaduhusitta2614
    @malahimaduhusitta2614 2 роки тому

    Macsonn

  • @wilfredelimeleki4543
    @wilfredelimeleki4543 2 роки тому +4

    Hatuna rais hapa.Tuna waigiza bongo movie na mbuga za wanyama.Drama tupu

  • @alihamad6046
    @alihamad6046 2 роки тому +2

    Kitu cha JW

  • @paschalemmanuel7864
    @paschalemmanuel7864 2 роки тому

    100%

  • @kostajoseph5811
    @kostajoseph5811 2 роки тому +1

    TUMAKUOMBEA RAIS WETU MANMA SAMIA MUNGU AKULINDE NA KUONGOZA

  • @suleimankhamis8298
    @suleimankhamis8298 2 роки тому

    kumbe na sie tunayo kama ya marikani

  • @philemonpaulo2172
    @philemonpaulo2172 2 роки тому

    Always God I Good

    • @sasha-ri7tf
      @sasha-ri7tf Рік тому +1

      Mkataka msitake Rais wenu ni yeye kutoka ktk visiwa vya marashi ya Karafuu sema ZANZIBAR 👍🏽👍🏽👍🏽

  • @evancymassawekenya7521
    @evancymassawekenya7521 2 роки тому

    Pilot mwenye anaendesha hiyo kama Siyo beberu mtajua amjui, America in tz...mnashangilia Kwa hekoo naonako tuu

  • @wizanakitvonline6190
    @wizanakitvonline6190 2 роки тому +3

    Kwanini asiwe kama babaake ? Mzee ruksa

  • @zuhuramuhanga5400
    @zuhuramuhanga5400 2 роки тому +4

    Mama hangaya upo vizuri masha Allah

  • @saidilwavu4583
    @saidilwavu4583 2 роки тому

    Iyo ndege sindoo ile ya Rambo?

  • @vvplau7500
    @vvplau7500 2 роки тому

    Inchi, ya amani na Democraticia,kweri,Rwanda isije ikawafundisha,ubaya, na mawuaji na bwiz, i

  • @jacksonombati8317
    @jacksonombati8317 2 роки тому

    Tz bado mpo chini sana

    • @Beauthoms
      @Beauthoms Місяць тому

      Mpo chini nyie kwa kipi mnaweza kulingia mfano acheni kujikuta wasenge nyie hamna lolote mngekuwa juu msingekuwa bado mnateseka na njaa mpaka leo

  • @lloveyoutanzania5315
    @lloveyoutanzania5315 2 роки тому

    Hayo matambara kwa mdomo vipi kunuka lakini

  • @draliceallen2103
    @draliceallen2103 2 роки тому +2

    Yana mwisho na mbowe mungu atamtoa jera tu

  • @kulwampela3890
    @kulwampela3890 2 роки тому

    Hakuna kipya chini ya jua

  • @mrrams3y337
    @mrrams3y337 2 роки тому +4

    hako kadada kazungu ni kanani mbona kila tour ya mama kapo?

    • @malopemaliyamungu5243
      @malopemaliyamungu5243 2 роки тому +2

      Ni mtanzania aliezaliwa Lushoto Tanga na ni Daktari wa Rais taangu alipokuwa Makamu. Wakati akiwa Makamu mbona hamkuhoji? Au mbegu ya ubaguzi na chuki imeanza kumea?

    • @habarikalizatown9052
      @habarikalizatown9052 2 роки тому

      Dada wa kazi

    • @johnsonbagambi1908
      @johnsonbagambi1908 2 роки тому

      Mkibagua wenzenu mwisho mtajibagua wenyewe tusubili 2025

    • @kenslogistics4377
      @kenslogistics4377 2 роки тому

      Huyo dada mzungu ni PA wa mama...yaani personal assistant.

  • @daynmengjamloo9719
    @daynmengjamloo9719 2 роки тому +2

    Mama anapenda batahuy

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 2 роки тому +2

    Awe makini

  • @fadhilmohamoud
    @fadhilmohamoud 2 роки тому +1

    Mmmh mbona kama ya jeshi

    • @dhakomodherooherokoko6037
      @dhakomodherooherokoko6037 2 роки тому +1

      Kwasababu rais ni mkuu wa jeshi

    • @sasha-ri7tf
      @sasha-ri7tf Рік тому +1

      Yeye ni Amiri jeshi mkuu kila kitu kipo chini yake. 👍🏽👍🏽👍🏽❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿.

  • @HansBwoi
    @HansBwoi 2 роки тому +3

    R.I.P Magufuli

  • @taitatimotheo3075
    @taitatimotheo3075 2 роки тому

    Me sisemi kitu yangu macho to na masikio

  • @mariamarry6763
    @mariamarry6763 2 роки тому +3

    Bata batani

  • @mariajason3547
    @mariajason3547 2 роки тому

    What a Mess
    Hivi Projects zinaendelea za Maendeleo ya jamii au watu wanaruka ruka tu kila mahala.....maana heee hizo trip si za kawaida.....

    • @allymadunda7931
      @allymadunda7931 2 роки тому

      Vaamiwani kama huoni mbona huulizi wasiojulikana wapo wapi.hongera raisi piga kazi

  • @jayboy9552
    @jayboy9552 2 роки тому +4

    Mama huu ni muda wake wa kula bata

  • @evancymassawekenya7521
    @evancymassawekenya7521 2 роки тому

    Eeh yaawaah kwani Ni tramp amekuja tz eeh siyo yeyee,siku hizi tz mmefanya Maisha ya juu kiasi mnaenda Na helicopter ya gharama hivyo Mama anakula pesa Tamu, Mimi nawaangalia Na yangu macho mmepanda cheo magufuli alishapandanga hii Mara ngapi kongole Mama president...

  • @kimchunchocktavian4574
    @kimchunchocktavian4574 2 роки тому +1

    Kaz iendele mam

  • @festohaule4400
    @festohaule4400 2 роки тому

    Tubani ni beberu bhana!!!

  • @bakarmakam3105
    @bakarmakam3105 2 роки тому +1

    Bado hajatumia mama anajenga nchi 2 musielewe vibaya akitumia gari haipendezi

  • @jacksonombati8317
    @jacksonombati8317 2 роки тому

    Very poor security

    • @backsa6214
      @backsa6214 2 роки тому

      You reason like a Kenyan in Tz people are not like that

    • @sasha-ri7tf
      @sasha-ri7tf Рік тому +1

      Hana tatizo anajiamini 🙏🏽👍🏽🙏🏽🇹🇿❤👌

  • @johanesmvula4390
    @johanesmvula4390 2 роки тому

    They land on a helicopter while the children cross the water with a canoe to go to school Tz nyoso

  • @nicholausjoseph6773
    @nicholausjoseph6773 2 роки тому +1

    Matumizi mabaya ya fedha

  • @henryking6070
    @henryking6070 2 роки тому

    Mwanamke ni mwanamke tu, kutawaliwa na mwanamke sijuwi Tz tumekwama wapi

  • @sophiaabeid6024
    @sophiaabeid6024 2 роки тому

    Mama waikuhadae hao.vaa nguo zako kama Amani

  • @matukutajuma156
    @matukutajuma156 2 роки тому

    KAMA DODOMA HUO UWANJA!

    • @madirishasimon9692
      @madirishasimon9692 2 роки тому

      Mzuri Sana na bado unajengwa

    • @malopemaliyamungu5243
      @malopemaliyamungu5243 2 роки тому

      @@madirishasimon9692 Mzuri kivipi? Hadhi ya Mwanza Ni kubwa, Jengo la Airport Kama la mtu Binafsi? Hamna parking, Hamna sehemu ya kusubiri wageni, Maduka yako nje ukishapita board hamna duka, mkiwa abiria 50 hata hewa hamna.. Uwe mkweli.

    • @malopemaliyamungu5243
      @malopemaliyamungu5243 2 роки тому

      @@madirishasimon9692 Tena hayo Maduka ya nje Ni vigrosary vya bia, maji, juisi na Karanga baasi

    • @madirishasimon9692
      @madirishasimon9692 2 роки тому

      @@malopemaliyamungu5243 kabisa mwanza inatakiwa iwe na airport kubwa Sana bro

    • @georgemassebu2083
      @georgemassebu2083 2 роки тому

      @@malopemaliyamungu5243 hata hewa hamna? Uliwahi kuzimia hapo kwa kukosa hewa inayotoka ziwani hapo chini tu kidogo! Wabongo bhana

  • @yanayojirimitaaniTV
    @yanayojirimitaaniTV 2 роки тому

    pombe baraka magufuli ua-cam.com/video/SHhvVmylpzA/v-deo.html

  • @husseinhaji8459
    @husseinhaji8459 2 роки тому

    Mama Akiwa mzurulaji Na watoto je wanakuwaje

  • @janeulo4388
    @janeulo4388 2 роки тому +2

    Hizi helicopter za tanzania ni za hali ya juu sio kama zile za kenya

  • @ndikumanarodrigue5657
    @ndikumanarodrigue5657 2 роки тому

    R.I.P Jembe le2 Magufuli 2takikumbka daima milele!! Huyu Samia ac2choshe na upuuz wake

  • @jumbeojaso5767
    @jumbeojaso5767 2 роки тому +2

    Kutumia helicopters kwa hizi safari fupini sawa kuliko boeing kwani ni gharama kubwa sana

  • @ben.breaker
    @ben.breaker 2 роки тому +1

    ua-cam.com/video/cTi4vOt4Wys/v-deo.html
    FAHYVANNY vs PAULA KAJALA 🔥🔥🐉🐉🐉

  • @simonnick1242
    @simonnick1242 2 роки тому

    Umetosha kula bata tukumbuke maskini bwana mbona unazidi kuzingua wakati wewe hutaki kuzinguliwa

  • @nurdinibakari2283
    @nurdinibakari2283 2 роки тому

    Wanaosema hawana RAIS wakamfufue Magu wao ili awatawale.

    • @mosimba467
      @mosimba467 2 роки тому +1

      Pumbavu

    • @whatisthetruth.8793
      @whatisthetruth.8793 2 роки тому

      Kilaza yule elimu hana

    • @loycesinko9621
      @loycesinko9621 2 роки тому +1

      Hatuna rain hapa kabisa

    • @ramakazina170
      @ramakazina170 2 роки тому

      Tatizo wengi wanaosema hatuna Rais ni wanawake sishangai kwani wanaongoza kwa kuto pendana, wivu ndio unawasumbua.

    • @whatisthetruth.8793
      @whatisthetruth.8793 2 роки тому +1

      Ukiwa pumba pia utampenda pumba mwenzio