Mashallah qaswida mzuri sana iko na ujumbe mkubwa,Allah atuepushe na madhambi atusamehe makosa yetu na wazee na ndugu zetu waliotangulia mbele za haki,ameen yarwab
Yaaaa ayyuhalladhii na aaamanu weee jaman astaghfirullah jaman tafuten mas-haf na miskit mkaswal jaman tumuogopen mola wetu jmn hii sio ibada niupotovu jama Lahaulawalakuwwataillabillah😢😢mola wetu atuongoze waja wake Innalillah wainnailaih Rajiun🙄😓😓😓😓😓😓😓😓
@@bintsalimalbimany5340 mie sijakwambia kama naungana nao ila hata mtume aliambiwa awaendee makafir kwa kauli laini .lakin sie tulobaki kila mmoja tunajioa tumekamilika
الله المستعان haya ni ktk uzushi ambao ameukemea mtume swa swallallahu alyhi wasallam namaswahaba na waliowafuata kwa wema wala hawalipwi kwa chochote Bali mnapata madhabi kwan hakuna sampuli ya ibada km hii na huo aliekoment kua kua kila mtu ashike lake namdhaania kua ni mjinga yaani hajui Allahu amfahamishe maana uzushi ni mbaya zaid kuliko hata maaswia kwan anaefanya zinaa anakiri na kukubali kua anafanya madhambi na anatarajia ipo cku atatubia kwa Allah lkn mzushi km hawa jamaa wa mwembe makumbi Zanzibar na mfano wao wanaona kua wakifanyacho ni ibada tena watalipwa kwa hio ni ngumu kukuelewa ukiwaambia huo ni uzushi na kua haufaii Tumuombe Allah atupe taufiq ya kuisoma dini yake kwa watu waliosalimika ktk itikad sahihi ya ahlus sunnah waljamaa (salafus swaalihi) na kutupa nguvu ya kuibainisha haqqi kutokamana nauzushi km huu amin
Kufikisha ujumbe sio lazima mskitin kuna njia nying za kufikisha sasa ikiwa ww unaona hii Ni mbaya basi wala hayo yanayo zungumzwa ww Fanya kinyume chake ili uone kama wanavo Fanya sivo. Mm nimeipenda kbsaaa
2024 Tujuane hapa weka lake yako ❤
Mashalla
Mashalla mung awajalie
maashaallah allah alete baraka
MashaAllah
Mashaallah dhikri mzuri sana Allah atufanyie wepesi katika mambo yetu
Mashaallh Mungu atujalie tuwe n wenye kukesha Na kuntafuta pepo
Mashallah qaswida mzuri sana iko na ujumbe mkubwa,Allah atuepushe na madhambi atusamehe makosa yetu na wazee na ndugu zetu waliotangulia mbele za haki,ameen yarwab
Kasida mashaallah inafunza mmbo mengi naipenda Sana jamani
mashall
Ma shaallah
Mashaallah tujiepushe na balaa❤❤❤❤❤❤
MashaAllah... Umetisha sana Ustadh. Mungu AKUSIMAMIE UWE NA YAKINI YA KUSIMAMIA PANAPOFAA KWA YA DUNIA NA AKHERIA YETU
MashaAllah number 1 dhikri inastahili tunzo ✨
Napenda dhikr jaman mpk mwil unasisimka allahu yaa allah
Hakika raha sanaa
Masha Allah ya Allah tujaliwe mwisho mwema Isha Allah 🤲🤲🤲
Ameen ameen ameen
Ujumbe mzuri umeeleweka uzuri Allah swt atujaalie mwisho ulio mwema insha allah
Marshall ah mwenzie awape afya njema allahdulih
Nipoa qatar mashaallah 😭😭😭😭😭😭😭
Masha Anllah 🙌💔لا إله إلا الله محمد رسول الله
اللهم صل وسلم وبارك علي سيدنا محمد❤❤
Mashaallah baraka llah 👌👌
Màshaallah Allah awape afya na uzima,,qaswida nzuri Kwa kweli,,inamafunzo,shukran,, Ramadan Mubarak
Mashaallah kwl dhulma na shirki ni dhambi mbaya kwetu waumin Allah tulinde na haya yote amin
My favourite dhikr MashaAllah
Me too my favourite dhikr
Mashaallah watu wa peponi wanakesha kutafuta pepo..na wa motoni wanashuulika kutafuta moto
Masa Allah tak terasa badan ini ikut bergoyang saya di Samarinda Indonesia
2024 mwez wa 12 nan mwingine kaja kutizama inshaallah
Mashaalah ❤️ mungu atuepushe na moto
😢 Tupe mwisho mwema yarab
Amin inshaallh
Najikuta chozi linantoka fraha tu...naipenda sana qaswida❤❤
Manshallah uislamu akika mnzuri sana raha sanaaa mungu awajaze kheri
A. ALLYKUM. NDUGU ZANGU WA KIISLAM. TUMCHE M. MUNGU. TUNAJISAHAU SANA. ISHALLAH. M.MUNGU ATUJAALIE MWISHO ULIO MWEMA. AMIN
A/alyekum. Tumche mola tujiepushe na dhambi. M. Mungu atukinge na mitihani ya dunia...Inshaallah
أمين ثم أمين
Ammin yarab👐😓
@@ahmedomary4700 amin
Amin
Mashaallah mungu atusamehe ss sote waumini naipenda Sana hii qaswida
Jmn mwenyezimnug hachezew hususan katika Qur-an jaman munaisoma Qur-an mkiipigia makofi na kuisoma kimakosa innalillah wainnailaih rajiun
Kwakweli kuna kazi kubwa ya kusomesha watoto wetu wacshike mambo kama haya
Allah atupe mwisho mwema
mwenyezi mungu awape maisha marefu
2020....still watching from MaLaysia
2022
هاذا ما أنزل الله به من سلطان
mashaallah qaswida yenye mazingatio mungu atu ogoze
yarabi tujalie
Benders Kama hyo Ina maana gani
Ktk dhkri nzur kama hii Kwa kadiria wallah Tena atar
zambi za mwenye kusengenya love it masha Allah
na nikweli zambi kusengenya mashalaa zikri mashalaa abdulkadir jelani
Mashaallah
السلام على اصحاب الكساء
Allhamdulilah from Indonesia
MashaaAllah ❤
Great song.greetings from Romania
Is not a song is Dhiki, sir
@@itsmaganeymohamed not zikr?
it is from Zanzibar
Dhikir nzur San hii mashaallah
Mashallah tabaraka...❤☪️💚☪️❤
Yani lazima niisikilize kila siku walahi ❤️
Allah tujalie mwisho mwema aminiii
Wazee wa qaadiryya
Allah tuongoe wajawako aaamiin
Amiin insha Allah
Mashaallah I love it 😍 ❤️ so much
Haswa wanawake jamani tumejaa jahannam
@@Diblaun127 mloo
Salma Zaid Haji - ???
Kama wapandisha kama nnavopandisha mm nipe lyk yako💪💪👍😙😙😚😚
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
I love this. Much success and felicity to you all.
Maashanllah hakika haishuki sifa yake❤❤❤
Akhera Kuna kz!! Allah atungoze njia sahh
2023 🇩🇪 love it
Mashallah❤️️
Halima Ali
89uvgi0p 71,v
mashaallaah
Safi Sana mungu atupe mwisho mwems
Yaaaa ayyuhalladhii na aaamanu weee jaman astaghfirullah jaman tafuten mas-haf na miskit mkaswal jaman tumuogopen mola wetu jmn hii sio ibada niupotovu jama Lahaulawalakuwwataillabillah😢😢mola wetu atuongoze waja wake Innalillah wainnailaih Rajiun🙄😓😓😓😓😓😓😓😓
acheni kujaj watu kwani umeambiwa ndoilivoandika ktk msahafu
@@wasilaahmad876 Astaghfirullah na wewe umwkubaliana nao hao??wanavoibirua birua qur-an??😢😢😢😢innalillah wainnailaih rajiun Ya Allah tuongoze waja wako😢😢😢👐
@@bintsalimalbimany5340 mie sijakwambia kama naungana nao ila hata mtume aliambiwa awaendee makafir kwa kauli laini .lakin sie tulobaki kila mmoja tunajioa tumekamilika
Unajifanya mjuaji ww
Halichujii naipendaa sana maanshaallah.
Yaallah nabiii yunusuuu eti yunusuu madawa ukatubu
Hakuna ibada ya kupiga makofi kwenye uislaam.
Mashallah love it
Ramadan Mubarok 🤝
Awesome!
Thanks for sharing this!!
Masha Allah nmeipenda sana inatusisitiza tusimsahau Allah
الله المستعان haya ni ktk uzushi ambao ameukemea mtume swa swallallahu alyhi wasallam namaswahaba na waliowafuata kwa wema wala hawalipwi kwa chochote Bali mnapata madhabi kwan hakuna sampuli ya ibada km hii na huo aliekoment kua kua kila mtu ashike lake namdhaania kua ni mjinga yaani hajui Allahu amfahamishe maana uzushi ni mbaya zaid kuliko hata maaswia kwan anaefanya zinaa anakiri na kukubali kua anafanya madhambi na anatarajia ipo cku atatubia kwa Allah lkn mzushi km hawa jamaa wa mwembe makumbi Zanzibar na mfano wao wanaona kua wakifanyacho ni ibada tena watalipwa kwa hio ni ngumu kukuelewa ukiwaambia huo ni uzushi na kua haufaii
Tumuombe Allah atupe taufiq ya kuisoma dini yake kwa watu waliosalimika ktk itikad sahihi ya ahlus sunnah waljamaa (salafus swaalihi) na kutupa nguvu ya kuibainisha haqqi kutokamana nauzushi km huu amin
Salafii ndo kaka hebu naomba unifahamishe na mie
Hawa ni wahuni
Mashaallah madrasa mpo Safi na maneno yenu Safi zambi za mwenyekusengenya haram Allah awajaliyeni kila LA heri
Marhaba jada lhusaid
Subhaanallah allah awaongozee
This is from Zanzibar Tanzania mashaallah
Mashaallah Allah atupe mwisho mwema
🎉🎉 Alhamdulli llaah❤❤❤❤
Al Hajj Madawa😢
Ya Salaam 🙏😭
Maaaashallah
Maashallah, alhamdhulillai.
bado nipo hapa
Mashallah 💕🥰
I am watching 2021 tomorrow Ramadan day one inshaallah
Ngoma gani hii, Allah atuongoze
Moja safi Sana Masha Allah
Nimeipenda xan
wasalaam aleikhum ndugu zangu waislam ninaomba kujua maana ya rangi ya bendera iliyopo mbele ya waimbaji ,wabilah toufiq.
Jazakumullah khaira
MaashaaAllah mungu awape umri merefu
2020, bado qaswida nzuri mashalaah
Napenda iyii
Ujumbe mzuri mashaallah
Subuhannallah
mashallah and insahallah
Mariam Mganga
Ina lillah waina ilah rajuunn tufate suna za mtume tucpotee
Kufikisha ujumbe sio lazima mskitin kuna njia nying za kufikisha sasa ikiwa ww unaona hii Ni mbaya basi wala hayo yanayo zungumzwa ww Fanya kinyume chake ili uone kama wanavo Fanya sivo.
Mm nimeipenda kbsaaa
🕋🕋🕋🕋
Mashaallah aleyk ❤
Ustadhi Saleh Madawa ameuwa sana kwenye hi dhikir
Mashaallah maneno kuntu
Twayyib Twayyib
Nasikia raha san❤❤❤
Allah awabariki.
2024 August.
Manshallah❤
Amazing my daughter Yasmin dances to it!! Mashallah mashallah!!🕋🕋🕋🕋🕌🕌🕌🕌🕋🕋🕌🕌🕌🕋🕋🕌🕌🕌🕋🕋🕌🕌💗💗💗💗💗💗💗
AKI_LY’S FITNESS y
000
nimependa mashallah
Acheni uko kucheza cheza basi na kupiga makofi ni sheria kwa wanawake tu. Ndani ya swala linapomtokea jambo sio kwa wanamme.
Mashaallah Allah karim
Nimeipenda nzuri
Mashaallah mashaallah 🙏🙏🙏
SUBHANALLAH ALHAMDULILLAH SUBHANALLAH
Iam watching now 2021
Me pia
mashalla ❤❤❤❤
Allah humma Amin Yarrab
Mashaallah 🙏
Mdogoangu apenda sana hii qaswida
Amina kwadawa
Asante sana