Wallah Mimi Ostadh hafidhi nakupenda hadi imefika Maharishi nikapata namba yake nikatamani nimpigiee tu nimpe hongera kwa kazi zake zote wallah nawapenda sana kwaajili ya Allah na nawaombea umrii mrefu sana inshallah
Uislamu ni amani na furaha bn 😁 waleee wenye kutaka kufanya uislamu uonekane mbaya washindwe kabisa nani kakwambia kua uislamu ni kununa tu eti hakuna kucheka cheka qaswida tamu sana hii 😀😀huko mlipo mtaumwa Sana acheni watu tufurahi bn 😁
❤❤❤ daaa huyo mkaka hongera yake nazipenda kwer kaswaida zakee mungu akuzidishie😢
Me mpaka mda huu naangalia naipenda sana hii kaswada
Wallah Mimi Ostadh hafidhi nakupenda hadi imefika Maharishi nikapata namba yake nikatamani nimpigiee tu nimpe hongera kwa kazi zake zote wallah nawapenda sana kwaajili ya Allah na nawaombea umrii mrefu sana inshallah
Insh allah awape kila kheri frm Kenya
Ñimependa Sana Mashalla
Upo wapi mwenzangu?
Sheh hafidhi nakukubali ile mbaya kaka piga kazi🎉 kaswida zako hazishi hadhi asanteeeee one love
mungu akupe kila kheir kwa kaswid hii huyu jamaa ni hatar nampenda balaa
hainish hamu hii kitu dah
Kaka mwenye tishet nyekundu anasaut nzur sana na anafuraha sana hili kundi kiujumla nalipenda maisha marefu kwao
Mashala
Ni mm huyo nikupe Namba zangu 😂😂😂😂
Remix uyo so mwenyewe
Hongereni nyote wanakadria kwa vipaji mola alowajalia naushirikiano muzuri munaoshirikiana nawapenda ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mashaallah astadh hafidh huwa sichoki kuisikiliza hii qaswida jaman Allah awape wepes
hem tujuane ambao tunaingalia mpaka leeo hii qasida
tuko apa
Mojawapo mm naipend mpak leo
Kama mimi huwa sichoki kuangalia ni nzuri mno
Tupo sote hata sichoki
Mimi jamani
Maashaallah hii kaswida haichuji
Wapi Asmu lepa km nakuona in shaa Allah tar hyo khery na baraka zote kwako nawe zamu yko imefika y kusomewa
Wallah kaka hafidhu wanikoshaga sana na kaswida zako mungu akujaalie kheri ktkt maisha yako
BC mwambie akuoe akakukoshe vizuri
Una sauti mashaalwaah
me nimo naipenda sana🎉
Sheikh Hafidh na AHLUL MADINA kwa ujuml ALLAAH awape umri mrefu
Yan me ndo qaswida pendwa
tupo vizuri sana aqaz hongera kwenu mungu awadhidishiee katika kazi yenuu
Mashallah qaswida nzuli shekhe hafidh nawapenda kwaajili ya mungu
Khadiga Ppi kweli
Masha allah hadi nywele za simama asee allah awazidishie kila la kheri
nawapend sana Aqaz mko vzur mashaaAllah, we proud ov our Zanzibar big u to uh brooz!!
Manshallah huwa nikiangalia nakumbuka nyumbani
Wallah hii qaswida naipenda sana
Masha Allh mungu akuzidishie umri
Masha Allah Allah awatangulie kwa kila lenye kher nanyi
Assalam alaykum naomba niungen kwwnye group yenu
mashaallah jaman niungen Kwa group Len plz nawapenda sana
Kila ijumaa mm nip Norway naisikiliza ❤
sheikh khafidh upo vzry na mm natka nkipta mume inshaallah
Watu woyooooo wazanzibar tuko juu uislamu raha
Kuruan
ma shaa Allah ...nimeisubiri sana hii video Allah awazidishie kher
Mashaallah ahlul madin Allah awajze kila l kherii pls naombe hap 0658537112
Mashallah nawapend Kwa ajir ya Allah😍
Masha-@llah hiii kaswida nzr alf haifi hazi
mashaallah Allah azidi kuwapa afya njema umri mrefu pamoja namwisho naombeni kama inawezekana wsp
Amyn kwa sote 🙈🙈🙈
Mungu akutie nguvu inshaalaah
Mashaalla shekhe hafidhi Alla akupe umri mrefu
Hongereni sana Allah azidi kuwaongoza katika
Nimeburudika napenda Sana Qaaswida mmeimba vizuri sanaa
Mashaallah kaswid nzuri haiishi ya kuiskiliza💕💔💕
mashaallah Mungu awawekè nawakubalisana jenikiwahitaji nawapataje
hongera
Jamani watu ashennn
Ndani ya Oman🏯 ila kiukweli Zanzibar tamu love you💞💯
Uislam raha jaman napenda sana dini yangu hii hii hata hujara huuskii njaa wallah
MashaAllah jmn Roho yngu Ustadhi HAFIDHI.Dah nawapenda sana Ahlalu madina 😍😍😍😍
Mashaallah mashaallah
Shehe hadidh ww noma hiki kitu noma👋
Kwangu mimi hii ndio kaswida namba 1
Kama huchoki kuizikiza hii qaswaida gonga like 👇Hafidh on top..from Qatar🇶🇦
Mashaaaalh jomonii nimeipenda sanaaaa dah roo yangu mm
Inshaallah wanaqadiria mungu awajaze rehma
mashaaalllah.sherkh.hafidhiii.uko.juuuu
wallah sichokagi kuisikiliza hi kaswida inshaaAllah akinijaalia mme nitawatafta.🙏
Ustadhi naomba hiii kaswida whatsapp plizi namba yangu hiyo 0658469073 naomba
naitwa ABUU Qulthum
Mashaallah Mungu nashukuru kuwa muislamu
♌
Assalamualaikum allahuakbar ,,,,
maashaallah nawapenda sana nyote Allah awazidishie
Mashaallah
Mashaalah ❤❤❤ nawapenda kwa ajili ya allah
Honger hafdh
So sweet huwa schok kuiangalia till now
Mashaallah jamn miye naipenda wallah naipataje
Yani hii qaswida Ni Mashallah mashallah mashallah 😘😘
Mashallah kwa hawo watu haaaaa mtaniuwaa
Mashaaallah nawapenda ahlulmadina
Mashaallah ikichuo ukiitaji wakipataje kwa bongo
Nawakubali sana ndugu zangu awape muenderezo mwema
Naskia rahaa...sana kuiskiliza jamaniii niungeni ktk grp lenu
Ma Sha Allah.... attractive voice.
.
Mashallah
Mashaallah
Hadi raha jamani unatamani usikilize mda wote tu🙏🙏
Mashaalah akaz mpo vizur
Yaan naipenda hii kuliko zote..mashaallah
Mashaallah jamani nawapenda mi mdau wenu sanaaaa!!! Niko dar Allah awalipe
ustdh hongera tunaomba uradi wa juma faky
Wanja
2024
mungu tujalie na ss tufunge ndoa zetu kwa furaha na wazazi wetu
Amiin Inshaallah 😢😗😗😗😗
Jaman nami ningeomba chance yakuimba na nyinyi
Aamiin kwa, sote
Nice voice for de rock boy big up bluda wish de best endeavour ( in red T-shirt)
Kazi kwko Fakky mbarouk kumtunza wako mke hongera sn
Kaka mnajua hakika
Mashallh mashallh mashallh mashallh mashallh mashallh mashallh to❤❤❤
Mashallah jamani mpo vzuri kwkwel
Uislam raha sana wallah najivunia kuwa muislam
@Mwajuma Kilobwa kweli dada yakeee!! yaan burdaaa
Uislamu ni amani na furaha bn 😁 waleee wenye kutaka kufanya uislamu uonekane mbaya washindwe kabisa nani kakwambia kua uislamu ni kununa tu eti hakuna kucheka cheka qaswida tamu sana hii 😀😀huko mlipo mtaumwa Sana acheni watu tufurahi bn 😁
Haitham Abdallah haipiti siku bila kuangalia kaswida hii mashaallah
kabisa
Haitham Abdallah
Qaswida Ma'sha Allah
Dah nzur sana
Yani nzuri sana
Shehe hafith 🎉🎉🎉🎉
mashaallh mungu amizidishie mmependeza sana
daaaaah mko vizur
Yaan nawapenda sana mungu awabariki
Mabrouk faki
Mashallah kaswida nzuri sana
Naependa sana hii kaswida
Ma shaa Allah😘😘
Mashaallah tupo adi leo twaitazam
Waallah rah saaana
Dah Qaswid zenu nazipend San ila hii naipend San tu mnafanya vzr San tu
Mashaallah mashaallah
Yaan sichoki kuiangalia mashaallah
Mashaallah ❤🥰
❤❤❤jamani kasida pambe
Nakupenda 🙏🙏🙏🙏
Hafidh hunaga mbaya mashaallah
Kuna qaswida mmeimba kwenye cd ya harusi ya ustadh faki wakitoka Holi na mkewe,,,"maisha yalo mema muishi kwa salama",,hii qaswida yaitwaje???
hiyo qaswida imefaana sana naiombeni whaAp
Mashallah ♥️♥️♥️🥰
mashaallah mpo vzr qadiriya
safi
Yani cjui niseme nn juu ya ust hafidh lkn hongeren sanaaa kwa kua pmoja
Bahat suleyman
Insha allah mungu awatie ngu zaid
Ila mm ninaombi langu jaman
Masha Allah,penda sana mie
9:36 ALLAH akupe. Mema
Masha alla h
Mashallah mashallah tabalakarahman
mashallah
mashallah
Mimi mmojawapo naipenda sana
Fundi wangu wa siku zoteee
Mpo vzr sana