Allah amsamehe, amhurumie na ampe makazi firdausi sheikh wetu Muhiddin Mkoyogole. Na ampe umri mrefu Sheikh Ali ibn Sheikh Muhiddin Mkoyogole tuweze kustafidi zaid
Allahumma aamiin, nakuombea Dua kila siku allah akupe Pepo wallah sheikh wetu Mzee Nurdin mkoyogole,nakumbuka ulivyokua ukinitania kwani Mie Ni mmakonde,uliniambia unawajua baadhi ya masheikh wa Kule kwetu mtwara,wallahi nikikukumbuka Mzee wangu nahisi machozi kwa wema,utu,unyenyekevu,tabasam Na kuwapenda watu WA Rika zote,may Allah give u jannat firdausi,IN SHAA ALLAH
Wanaolaani Aina ya dua hizi hawajasom allah awasamehe,Enzi za mambo haya ilikua ni neema tupu lkn yalipoanza maajabu ya Mara hichi Haramu hichi bidaa Mara kubishana hovyo masheikh wetu ndio mabalaa ya hovyo yanatokea,hakuna Tena mashekhe wenye maqbuul km Hawa walopita,wengi wa masheikh wetu wa Sasa ni Pesa pesa kugombania misikit basi,,kusoma Zaid hawataki ni shida 2pu,allah awasamehe tu,masheikh wetu waige mfano wa huyu sheikh mkoyogore alikua wa ajabu na kipekee,,wengi masheikh wa Sasa hawamjui masikini
MAWAHABI HAWANA WANACHOJUA ISIPOKUA KURAADDI NA KUTUKANA MATUSI MANENE MANENE HAWA MASHEKHE WETU WA KISUFI WENGI SANA HUFA TUKIWADHUHUDIA WAKITOA SHAHADA NA HILI NDO LINATUFANYA TUKIFATE WANACHOTUFUNDISHA
Hebu wacheni mambo yakijinga sio kutukana tukana watu Tu ww kitu kama hutaki ama hufanyi usitukane watu Bana ni uzushi ww siuache na huo uzushi unatukana watu vp wacheni upuzi bana
Allah amsamehe, amhurumie na ampe makazi firdausi sheikh wetu Muhiddin Mkoyogole.
Na ampe umri mrefu Sheikh Ali ibn Sheikh Muhiddin Mkoyogole tuweze kustafidi zaid
Allahumma aamiin, nakuombea Dua kila siku allah akupe Pepo wallah sheikh wetu Mzee Nurdin mkoyogole,nakumbuka ulivyokua ukinitania kwani Mie Ni mmakonde,uliniambia unawajua baadhi ya masheikh wa Kule kwetu mtwara,wallahi nikikukumbuka Mzee wangu nahisi machozi kwa wema,utu,unyenyekevu,tabasam Na kuwapenda watu WA Rika zote,may Allah give u jannat firdausi,IN SHAA ALLAH
Mash Allah tawaasul heluu Allah bariq inapendeza sana hii kuisikiliza majumbani kwetu Allah barq
Maashaallaah beautiful subhaanallaah ❤❤❤❤ mungu awazidishie inshaallaah tuleteeni zadi nuru hizi😊🙏
Maashallah ponyo ya nafsi
Mashaallah allah akuzidishie kila la kheri kwa kutuletea vitu vzur kama ivi
Mashaallah tawaswil nzuri sana
Mwenyezi Mungu amjalie pepo ya daraja sheikh wetu Ameeeen yaraab Ameeeen
Mash allah
Mashallah Allah awarahamu wazee wetu na atupe radhi zao na barka zao
MashaAllah,Ya Shaykh Blessed Us
Allah Allah Allah Allah Allah Allah 🙏
Allah Allah yaa salaaaam 🔥
Mashaallah
Allah atuoneye huruma kupitiya nuru na hathi ya kisomo hiki
Mungu awalehem waze wetu na awasamehe wanaosema uzushi
Mashallah
Mashaaalah
Maashaallah
Kiswahili
Mashalah Mungu ukupe umri mrefu wenye kheri Na mwisho mwema tunufaike nawewe Na masheik wetu waliotangulia awasamehe wazazi wetu Na ndugu zetu
❤❤❤❤❤
Twarikal kadiria
❤❤Mashaallah
Mzee wetu
❤
MaashAllah ❤❤❤❤
Wanaolaani Aina ya dua hizi hawajasom allah awasamehe,Enzi za mambo haya ilikua ni neema tupu lkn yalipoanza maajabu ya
Mara hichi Haramu hichi bidaa Mara kubishana hovyo masheikh wetu ndio mabalaa ya hovyo yanatokea,hakuna Tena mashekhe wenye maqbuul km Hawa walopita,wengi wa masheikh wetu wa Sasa ni Pesa pesa kugombania misikit basi,,kusoma Zaid hawataki ni shida 2pu,allah awasamehe tu,masheikh wetu waige mfano wa huyu sheikh mkoyogore alikua wa ajabu na kipekee,,wengi masheikh wa Sasa hawamjui masikini
Kama ni ukinga tafsr bc ata neno moja sema sijui
MAWAHABI HAWANA WANACHOJUA ISIPOKUA KURAADDI NA KUTUKANA MATUSI MANENE MANENE
HAWA MASHEKHE WETU WA KISUFI WENGI SANA HUFA TUKIWADHUHUDIA WAKITOA SHAHADA NA HILI NDO LINATUFANYA TUKIFATE WANACHOTUFUNDISHA
Twarika ni wito kama hujaitwa huwezi kujuwa kitu chochote
Swadakta
Waleote naosema bida upofu tu Elim ndogo wakisoma waterless tu
Nitapata wapi kitabu kenye tawasul hiki
Nenda msikitini Mtoro uliza kitabu Jauhar Nnafisu fii Khawaswi Sheikh Uweis
Kumbe huuu uzushi bado upo Allah awasamehe wazee wetu
ht baba ako mzushi
Hebu wacheni mambo yakijinga sio kutukana tukana watu Tu ww kitu kama hutaki ama hufanyi usitukane watu Bana ni uzushi ww siuache na huo uzushi unatukana watu vp wacheni upuzi bana
Wewe unayesema uzushi juakwamba ndoa yanabako na mamako wamefungishwa na hao wazee. Unaowaita wazishi. Sasa wewe jihesabu mwenyewe
Nawe pia mzushi
Msenge wewe mamae
Ujinga😢
Nzuri saaàna
Mashaaalah
Mungu akusamehe zambi zako
Nawe pia mjinga
Mashaallah
❤❤❤
Mashaallah