Nyimbo tamuu sana,imeimbwa kwa kiwango Cha juu sana,jina lake Yesu kristo litukuzwe sana,mzid kumtukuza Mungu muumbaj wetu,maana yeye anakaa ktk sifa Ameen
Kuna nyimbo tunasubiri kwa hamu sana,tunaomba zije Na ongereni kwa kazi nzuri tunaombea msonge mbele zaidi,pia mwalim wetu tunakupa mauwa🎉 yako umeupiga mwingi
Hii ngoma, wacha kabisa! Huu wimbo ni nondo, ni kitu kizito balaa, ngoma imepikwa kwa ufundi mwingi chini ya uongozi wa Roho Mtakatifu! ....Hii ngoma ukiisikiliza peke yako chumbani, inakutoa machozi, itabadili maisha yetu. Barikiweni kwaya ya viwango.
Amen sana the lighbearers Mungu sana kwa wimbo huu mzuri sana kila siku ninahisi kubarikiwa ninapokuwa ninausikiliza huu wimbo ninatamani sana kulia machozi sana ila Mungu awabariki sana
Endeleeni kuwa mwanga katika roho zetu ili tuwe mifano kwa wasiomwamini Muumba wetu. Tunaye rafiki msikivu wa kweli: MUNGU PEKE YAKE. *Nimefurahi kuwapata nikiwa hapa New York.*
hello my God blessed friends of th lightbearers choir i have notice that there are a few new members in the group well thats very good i love that and i truely enjoy your praises
Ujumbe bora,instrumental iko very brilliant(endeleeni na instrumental za namna hii) ..endeleeni kutubariki kwa nyimbo nyingi za namna hii. Hongera sana
Nmefurahi kumuona binti mwenye kipaji kikubwa cha uimbaji....#JoyceObunde.....katika kwaya hii...Mungu azidi kuwabariki na asanteni kwa wimbo mzuri na wenye kutukumbusha zaidi kuwaambia wengne wema wake Yesu Bwana wetu.
Nice song indeed . I'm personally blessed by the songs that you sing . The songs that you sing will live through the ages touching souls . Be blessed as you continue doing God's ministry🙏
Kwakweli nabarikiwa Sana na huu wimbo endeleeni kuuinua msalaba wa yesu
Nice melody and very encouraging. Asante mwokozi kwa wema wako kwangu.
Now this is music ❤❤❤❤❤
Be blessed! 👏👏👏
Sure
Nyimbo tamuu sana,imeimbwa kwa kiwango Cha juu sana,jina lake Yesu kristo litukuzwe sana,mzid kumtukuza Mungu muumbaj wetu,maana yeye anakaa ktk sifa Ameen
Amina!! Wimbo huu unanikumbusha usalama wangu katika Kristo hasa nyakati za msongo wa mawazo, Yesu kimbilio. Mungu awabariki wapendwa kwa wimbo huu.🙏
Amina na ubarikiwe sana!
@@thelightbearerstz Amina
Nice song,❤❤
Blessings to Mwalimu Kirya ❤❤and greetings to the Light bearers 🥰🥰Lots of love from The Golden Gate Choir Academy
Thanks to you for the greetings and blessings; may the Lord almighty God be with you always. 👏👏🙏🏼😊😊
This choir keeps on getting stronger and stronger indeef God is your pillar
Too nice singing
God bless you all
Amazing,may God bless your ministry
Mungu Mwema, wimbo mzuri
Muna imba vizuri tunawatakiya mibaraka tena musonge katika kazi ya Mungu
Kuna nyimbo tunasubiri kwa hamu sana,tunaomba zije
Na ongereni kwa kazi nzuri tunaombea msonge mbele zaidi,pia mwalim wetu tunakupa mauwa🎉 yako umeupiga mwingi
Barikiwa sana
Ujumbe huu nimeupenda❤❤❤❤❤❤😊
Eee Mungu wangu!!! Mbona munaaca tuna penda saana mbingu??
Amen amen amen! 👏
The song,message,harmony,so rich,to God be the glory
Amen, and be blessed!
Hii ngoma, wacha kabisa!
Huu wimbo ni nondo, ni kitu kizito balaa, ngoma imepikwa kwa ufundi mwingi chini ya uongozi wa Roho Mtakatifu!
....Hii ngoma ukiisikiliza peke yako chumbani, inakutoa machozi, itabadili maisha yetu.
Barikiweni kwaya ya viwango.
Amen sana the lighbearers Mungu sana kwa wimbo huu mzuri sana kila siku ninahisi kubarikiwa ninapokuwa ninausikiliza huu wimbo ninatamani sana kulia machozi sana ila Mungu awabariki sana
Tunaapenda hapa Rwanda-Kigali Mungu ababaliki🙏
Amina na mzidi kubarikiwa
Natamn kila mwezi muwe mnaachia mnakaa sana kmy daa
Bwana na atutie nguvu👏😊
I think for the next 3 months tutatoa videos kila mwezi
Endelea kutuombea
Mungu awabariki, tuzidi kumtumikia yeye daima
Wimbo mzuri Sana
Liked, it's a good one😊
Thank you for reminding us of a great friend🙏
Tunabarikiwa sana tunaomba mkamilishe wimbo wa UMEWAHI JIULIZA please 🙏
imana ibahe umugisha!!!!!
Urakoze cyane kandi uhabwe umugisha! 🙏😊
Urakoze cyane kandi uhabwe umugisha! 🙏😊
Urakoze cyane kandi uhabwe umugisha! 🙏😊
Another beautiful piece God bless you, Always the gospel shall remain centre of your ministry in Jesus name.
Great choice and rendition. God bless you all individually and the Lightbearers' Ministry.
Ameen
Mr fredy kirya keep serving the Master.. thanks for the team you are the blessing
Amen and Amen 👏
hosanna alléluia amen🙏🏽
Amen 🙏🏼
Happy Sabbath ❤ this is beautiful 🤩🤩
Be blessed 🙏🏼👏😊
Praise God.
🎉thanks for the ministry ❤ God bless your ministry. With love from Uganda 🇺🇬
Mbarikiwe sana watu wa Mungu🙏
Amina na Mungu atukuzwe juu👏🙏🏼🙌🏽
It's the time to worship, be blessed bears🎉❤
Good music... God bless you guys. Nimebarikiwa sana hakika.
I was waiting for the long time
Be blessed now👏🙏🏼😊
Amen😊
We'll ❤ ....Bwana Awabariki
Amina na Mungu atukuzwe juu👏🙏🏼🙌🏽
Mungu awabariki sana watu wangu♥️♥️♥️
Amina sana 👏😊
Wow!,very very incredible voice ,natamani kuoa Binti wa light bearers nitengeneze home choir
You remind me of the song "HOW LONG HAS IT BEEN SINCE YOU TALK TO THE LORD " sang by Family Reunion Choir in USA . ❤
Be blessed👏😊
Mungu Awa bariki kwa iZi nyimbo, nimeguswa sana na nyimbo nzuri ii
Mungu awabariki
Amina na azidi kutukuka👏😊🙏🏼
❤❤❤ God bless you
Amen and Amen! 🙏🏼😇🙏🏼
Mungu awabariki sana kwa wimbo mzuri wenye kumtukuza yeye .
Haleluyah sasa🎉
Ujumbe mzuri kupitia wimbo huu,Barikiweni Saana na myaishi hayo!
Ameen...
Amen amen 🙏🙌
🙏🙏🙏
When the master decides to take the podium 👏👏 i love your consistency in worshipping God. Stay blessed good people
To God be the Glory!
Fabulous piece.. director is super.
Be blessed! 👏🙏😊
The Person responsible for the instrumental part ... apewe 5 kwa bill yangu tafadhali
Amen mbarikiwe
Amina🙏😊
Mungu awabaliki sana mkasonge mbele daima ❤❤
Amina 🙏😊
Amina 🙏👏😊
These sad slow religions songs gives me goosebumps.
To God be the Glory! 🙌🙌🙌
Wimbo mtamu sana hongereni sana, mwl wangu ufike mbali
Amina na Mungu atukuzwe juu👏🙏🏼🙌🏽
Kama kawaida 🔥
Barikiwa 🔥🙏🏼😊
Unajua kati ya kwaya the best hapa tz nyny ni the most, merod nzr. Wmb unaujumbe .. yah mko vzr sana mbalikiwe bearers
Blessings 🙏
🙏🔥🔥
Mungu azidi kuwabariki!!!
Amina
Amina barikiwa
Amazing..I love how it speaks to my heart
Wimbo unanigusa ❤ hazipiti siku 3 sijausikiliza
Blessings a nice song and good rendition above all nimependa vile Prof Kirya Ameimba a very humble man
Am praying for this ministry
Be blessed for this review👏😊🙏
Blessed😊
Amen👏😊
Asante Sana, mbarikiwe
Waiting ...waiting💥💥
🔥👏🔥
Naam mmeutendea haki wimbo huu. Barikiweni pia mnapowabariki na sisi wengine.
Amina 🙏🏼
God bless you all Light bearers Tz. Am always blessed with your 🎵 🥰😍
❤❤❤❤❤🙌 Mbarikiwe Sana the lightbearers tz
Nice song,may Lord bless you
Amen and Amen!
Bwana awabariki Sana kwa wimbo mzuri wenye kumtukuza aliye juu
Woooooooh so amazing song✨
Be blessed Light Bearer's Tz
Amen, be blessed more! 👏😊
Endeleeni kuwa mwanga katika roho zetu ili tuwe mifano kwa wasiomwamini Muumba wetu. Tunaye rafiki msikivu wa kweli: MUNGU PEKE YAKE.
*Nimefurahi kuwapata nikiwa hapa New York.*
Amina na ubarikiwe sana🙏👏😊
hello my God blessed friends of th lightbearers choir i have notice that there are a few new members in the group well thats very good i love that and i truely enjoy your praises
Be blessed! 🙏😊👏
Ujumbe bora,instrumental iko very brilliant(endeleeni na instrumental za namna hii)
..endeleeni kutubariki kwa nyimbo nyingi za namna hii.
Hongera sana
Amina na ubarikiwe 🙏👏
Amina sana...
Very glorious...
Congratulations kwa mwalimu wa walimu...
Amina sana 🙏😊
Nimeupenda huu wimbo mwalimu F Kirya
👏👏👏 Barikiwa
Ameenii stay blessed sanaa Mungu Aendelee kuwatumia katika kaz yake
Amina sana👏🙏
Mungu azidi kuwatumia katika huduma hii ya pekee
Amina 👏👏🙏🏼
Mbarikiwe kazi nzuri sana Mnatubariki sana Mungu aendelee kuwapigania muendelee kutubariki kwa Nyimbo kwani hii kazi si raising
Amina sana na Mungu atukuke daima👏😊🔥
Aminaaaaaaaa kiukwer mna juwa mbaka mna juwa tena nawa penda Sana MUNGU awa bariki kwaya ihi mfike mbar sana asant Kwa ujumbe mzuli
Amina na Mungu atukuzwe juu👏🙏🏼🙌🏽
Nmefurahi kumuona binti mwenye kipaji kikubwa cha uimbaji....#JoyceObunde.....katika kwaya hii...Mungu azidi kuwabariki na asanteni kwa wimbo mzuri na wenye kutukumbusha zaidi kuwaambia wengne wema wake Yesu Bwana wetu.
Barikiwa sana👏👏😊
Amina sana Mr Joseph Obadiah Bukori endelea kubarikiwaa.
@@joyceobunde8091 Barikiwa
Wow
Mungu awabariki 🙏
Amina Sana!
This is beautiful ❤️
Amen and Amen🙏
This is great wow!!! Back to the melody. Mbarikiwe
be blessed amazing song
Amen 😊
Wooow finally. Mbarikiwe sana
Amen 🙏👏😊
Amen, Amen kazi nzuri ❤ ...sema Chuma katisha sana🔥👏😀
Amina sana 🙏🔥😊
mbarikiwe Sana🙏🙏🙏🙏
Utukufu kwa Mungu muumba yeye atupaye kushinda 🙏🙏 Bwana awabariki sana wapendwa kwa wimbo mzuri unaotusogeza karibu na muumbaji wetu
Amina na atukuzwe daima yeye aliye juu🤲🔥😊
Yes yes yes🎉❤
May God continue blessing your ministry as you continue to serve Him.
Waooooooh! Wimbo mzuri Mungu awabariki
Amina sana na atukuke yeye daima😊
Asanteni kwa wimbo huu nzuri Ajabu...🤗🙏
Baraka Tele
Amina na ubarikiwe 👏😊
Nice song indeed . I'm personally blessed by the songs that you sing . The songs that you sing will live through the ages touching souls . Be blessed as you continue doing God's ministry🙏
Kazi nzuri sana
Barikiweni kwa kujitoa kwa kazi hii ya maana kabisa.
Amina na Utukufu kwa Mungu!😊
Praise God 🙏
Mungu awabariki the light bearers
Amina na Mungu atukuzwe juu👏🙏🏼🙌🏽