Welcome to the official video of 'KAFARA' by The Light Bearers Tz. As you embark on this musical journey, let us begin by reflecting on a profound verse from the Bible that beautifully encapsulates the theme of our song: 'For God so loved the world that He gave His one and only Son, that whoever believes in Him shall not perish but have eternal life.' - John 3:16 DON'T FORGET TO SUBSCRIBE, LIKE, SHARE & COMMENT FOR THE BLESSINGS. #KAFARA
"ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele" maneno haya ni muhimu mno katika aya hii. Mungu baba amekwisha fanya sehemu yake na kilichobaki ni sisi kutumia vizuri uhuru wa kuchagua tuliopewa. Ili mwisho wa tuvalishwe taji ya ushindi. Mungu awabariki sana Light bearerstz team.
Ubunifu na ubora wa video hii Ni extraordinary, ujumbe na mpangilio wa sauti katika wimbo huu mzuri Ni hatari, Mavazi na wavaaji Mmependeza Sana Hadi nakosa maneno Mazuri ya kuandika zaidi ya kusema MUNGU AWABARIKI SANA, Muendelee kutuletea kazi Bora na Nzuri siku kwa sikuu.
Wapendwa hongereni kwa kazi nzuri ,mimi naomba naomba sana wimbo wenu (mwana mpotevu) una maneno haya 'imetosha mdhambi, kata shauri urudi nyumbani kwa baba' jamani nautafuta sana sana mbarikiwe
Welcome to the official video of 'KAFARA' by The Light Bearers Tz. As you embark on this musical journey, let us begin by reflecting on a profound verse from the Bible that beautifully encapsulates the theme of our song:
'For God so loved the world that He gave His one and only Son, that whoever believes in Him shall not perish but have eternal life.' - John 3:16
DON'T FORGET TO SUBSCRIBE, LIKE, SHARE & COMMENT FOR THE BLESSINGS.
#KAFARA
Huu wimbo amefundisha Nani?
Nabarikiwa mno na Wimbo huu KADARA, Be blessed LBs
Amen so blessed song
Amina!🙏
1
your writters never disappoint.... OMG!!
audio✔️
video✔️
message✔️🎉🎉
Wow, thank you! To God be the Glory.
"ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele" maneno haya ni muhimu mno katika aya hii.
Mungu baba amekwisha fanya sehemu yake na kilichobaki ni sisi kutumia vizuri uhuru wa kuchagua tuliopewa. Ili mwisho wa tuvalishwe taji ya ushindi.
Mungu awabariki sana Light bearerstz team.
What a nice song.... filled with beautiful voices, actually am about to shift from Sunday church to be an SDA,be blessed watching from Kenya ❤❤
Glory to God, be blessed and welcome to fellowship with us on sabbath day
welcome brother
Welcome brother
@@belindaakoth4132 am Happiness,am a girl 🥰🥰
@@moviesnz382 thankyou so so much for your kindness 🩷🩷
Huu wimbo ni moto🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nice song God's bless you
When the music speaks. Glory to God
Amen, be blessed a lot.
The vocals
The message
The harmony
The video
You're a blessing to me friends.
Tunasubiri kwa hamu hizi tungo zinazozidi kutubariki Bwana awabariki watu wa Mungu
I live for your music people! 😅May God continually bless you abundantly!
Amen and Amen. All the glory to him!
Creativity in every corner!! Thanks dear LB!!!!!
Thank you! Cheers!
Ubunifu na ubora wa video hii Ni extraordinary, ujumbe na mpangilio wa sauti katika wimbo huu mzuri Ni hatari, Mavazi na wavaaji Mmependeza Sana Hadi nakosa maneno Mazuri ya kuandika zaidi ya kusema MUNGU AWABARIKI SANA, Muendelee kutuletea kazi Bora na Nzuri siku kwa sikuu.
Amina na ubarikiwe hakika.
The Intro!!💯🔥🔥🔥 Amazing Work!!!!
Be blessed with #KAFARA. ☺☺☺
Waoooooh!!!!!Good song good designing am greetful to had it
Chenza Bhna .....so talented
Nabarikiwa na wimbo huuu hasa tarumbeta❤️
Duuu Mwalimu MANASE Mungu anakuona aki😂😂😂😂 daaaa!!😂😂😂😂
Mungu awabariki sana kwa wimbo huo mzuri
Très fantastique 🔥 je vous aimes beaucoup c'est bienfait depuis R.D.C vous êtes de Champions nawapenda sana 🙏💥
Beautiful song. I enjoy the style of your music 🥰🥰🥰
Safi sana
LB,creativity nayo ..😀
Sauti nazo?Wacha tu...🫢🫢🫢🫢😋
Nyimbo nzr sana ujumbe mzr kasoro tu kweny mavazi kwa ma binti mabega yap waz sana mwalimu jitahd kweny mavazi
Amen itapendeza sana na mbarikiwe Sana
Kazi nzuri mungu awabariki
Kula chumaaa 🔥🔥🔥🔥🔥
Hii ni hit song🔥
Light wamebadilika sana, vipaji vimejaa humu, Mungu aendelee kuwatumia,ila msijekuwa Kama golden gate ile ya Uganda.
Daaah, sichoki kuwafatilia ila intrô ni 🔥🔥,,
Nifundishwe n'a mm kupiga kinubii😂.
Nabarikiwa LB
Barikiwa sana waimbaji. Aminaaaaaaa
🎉🎉🎉🎉🎉 hongera!!!Kazi njema watumishi wa Mungu,kwa kweli tu huru👏👏👏🙌🙌🙌🙏🙏🙏
Take care, bear the right light we expect from you!!, GOD loves you,He is taking care of you.
Iyo mimi nitasema mungu awazidishiye akılı tena zaidi ili mutunge tena vyema kuliko. Mbarikiwe saana waimbaji wetu.
From Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 🇨🇩🇨🇩🇨🇩👊👊
Amina na ubarikiwe.
Amazing piece. Be blessed in abundance
#Abudance
Nice message,....thanks guys for spreading good news to christians
Bwana Awabariki sana
We love you and GOD be with you
❤❤❤❤❤❤
Wow wow wowest!!!! This is so incredibly beautiful.i love the vocal arrangement.Good job light bearers
Thank you so much!
Nawakubali sana
Be blessed
Mnafanya kazi njema🙏🏾
Amina.
Mubarikiwe sana wapendwa kwa kazi hii
Kafara ya kweli yenye upendo wa kweli
Amen. 👏👏🙏
🎉🎉
Amina barikiwa classmate wangu groly elias
Wapendwa hongereni kwa kazi nzuri ,mimi naomba naomba sana wimbo wenu (mwana mpotevu) una maneno haya 'imetosha mdhambi, kata shauri urudi nyumbani kwa baba' jamani nautafuta sana sana mbarikiwe
Nyimbo nzuri ujumbe mzuri, barikiweni
mbarikiwe kwa kazi nzuri
Amazing
Mmependeza sana🥰
Amazing song nawapenda Sana nikiwa Bujumbura-Burundi 🇧🇮
Amen, be blessed.
Much love from Uganda.. Thanks for the subtitles.. Am blessed by the message.. God bless u the light bearers
Amina!!! mbarikiwe na bwana
Nawapenda Mungu atusaidie tufike mbinguni
Nimeisubiri kwa sana🔥
Mbarikiwe kabisa ❤❤❤
Aminaaaaa mfike mbaliiii❤❤❤
Amen amen,nabarikiwa sana
Oh what a blessings❤❤
Nawapenda.na ninawaposti.kutoka Rwanda
Kafara iliyomwagika iliondoa makosa yangu..Amina,mbarikiwe 🙏
Amina, barikiwa.
Love from Uganda
video kaliiiiii
Safi
Mbarikiwe from Rwanda
Amen, be blessed.
mnabariki wengi sana
Mbarikiwe saaana wapenzi wa Baba Ninawaombea Baraka za Bwana ziwe Nasi sote Amina 🙏🙏🙏 Tuzidi kujihusisha.
Glory to God 🙏 hallelujah beautiful song 💖
Beautiful song with beautiful voices ❣️
Watching from Nairobi Kenya
Glory to God. The song contain a good message
Nabarikiwa sana na nyimbo nzuri mungu swabariki
Great
My all time favorite choir. Blessings galore !
Mko vizuri mungu awalinde mrudi kama mlivyoanza
Good I like it
Think I saw a kid who looks like the kid who loves singing your songs, is that her?
Hata sasa bwana ni mwema 🤲
hongeren kwa utumishi uliotukuka katika kumwimbia bwana👏👏
Amina na ubarikiwe.
Wimbo mzuri ajabu
Nabarikiwa
Mungu awabariki katika kulitukuza na kulitangaza jina lake🙏
This is amazing ❤❤ from Kenya 🇰🇪 we love you guys
Be blessed Kenya. We love you. 👏😊❤️
Nice one ❤
Amina!! Jaman wimbo mtamu. Mungu awabariki sana wapenzi kakita Bwana.
perfect shot amazing song
No question 🎉
The trumpet is wow!!
Nice song am impressed to much from Rwanda(a singer of Kugana yesu family choir gahogo SDA church)
Mbarikiwe sana The Light Beares hakika kwa kafara yake Yesu sisi tumepona na kuwa huru milele.
Amen!
You're a great team..the trumpet guy is a blessing 😊
Mungu Awabaliki sana kwa nyimbo nzuli❤❤
Be blessed The lightbeareras Tz...
Amen. 👏👏☺️
Ameeeeeen
❤amen
Nawaombea Baraka
Ameen❤
It's true Kafara .May God bless you Light bearers
Makini sana
Kiukweli MUNGU aliyejuu azidi kuwabariki the light bearers wimbo huu n mzuriii unawabariki wengiiii🙏
Amen! 👏👏👏
wow I love this keep blessing us ....from Kenya I really love your Gospel
Nawapenda sana from Rwanda
Amina na Ubarikiwe sana.
Amen, ahsante Yesu wangu kwa KAFARA
Amen