JINA LA YESU - The Light Bearers Tz, OFFICIAL VIDEO 2023
Вставка
- Опубліковано 7 лют 2025
- Join us on a musical journey of faith and worship as we present "JINA LA YESU."
This powerful song magnifies the greatness of Jesus and his boundless love that extends across heaven and earth. Experience the transformative power of our Savior's name through captivating melodies and heartfelt lyrics.
JINA LA YESU - The Light Bearers Tz (Official Video 2023)
Please SUBSCRIBE, LIKE, SHARE, COMMENT, and FOLLOW us on this channel and our social media pages for more updates:
Facebook Page: www.facebook.c...
Instagram: ...
Twitter: Li...
TikTok: www.tiktok.com...
For inquiries, please contact us at:
_________________________________________________________________________
Email: thelightbearerstz@gmail.com
Contact: +255 753 913 995
Other Contact: +255 754 495 195
SONG CREDITS:
Composer: Elisha Ngussa
Vocal Arrangement: Fred Kirya
Choir Master: Fred Kirya
Recording & Editing: Betese Pro
Mixing & Mastering: Betese Pro
Instrumentation Credits: Elisha Ngussa & Betese Pro
Audio: JCB Studioz
Video: The Founders Films & JCB Studioz
Audio rights: Exclusively by The Light Bearers Tz, recorded @JCB Studioz, 2023
Video rights: Exclusively owned by The Light Bearers Tz, 2023
English Subtitles: Available on the video.
All rights reserved by The Light Bearers Tz. Unauthorized reproduction, distribution, or use of this song without permission is strictly prohibited. Any use of this song for commercial purposes must be approved by The Light Bearers Tz. For licensing inquiries, please contact us at thelightbearerstz@gmail.com
THANK YOU!
Ni kwa nguvu za #JINALAYESU Hata kwa nafasi hii ya kufanya utume wake aliyetukomboa.
Yeye ni mwema sana na anayefaa kutukuzwa daima.
Tunyenyekee mbele zake sasa kumsifu.
Karibu tulisifu #JINALAYESU kwa namna hii ya pekee.
Barikiwa unaposhiriki mbaraka huu na wengine.
PLEASE SUBSCRIBE, LIKE, COMMENT & SHARE FOR MORE BLESSINGS AHEAD.
Huyo kaka karudi Tanzania? Somebody masunga Kama sijasahau
Wow wapendwa katika Bwana nmefurahi sana kumuona mdogo wangu Irene tulikuwa nae lushoto mie nkiwa nasoma IJA nlihitimu 2009 please naombeni mfikishe salamu hizi na pia namtafuta ni muda mrefu sana nilimuacha nadhani akiwa darasa la 3/4 mbura shule ya msingi
@@thelightbearerstz asantee sana
❤🙏
🙏
Butiful nice
Asanteni Sana Light Bearer's kwa wimbo Mzuri, uliobeba Ujumbe mzuri ulioimbwa na watu wazuri walio vaa Vizuri katika eneo zuri la nchi nzuri lililobeba Historia Nzuri, Mmeuvaa uhusika vizuri Sura zenu zimebebwa na Tabasamu nzuri inayotufanya watazamaji tujihisi vizuri, Nimebarikiwa mnoo na wimbo wenu mzuri, Hakika Mungu wetu Mzuri atawabarikia Mengi Mazuri. Amen
Nice song
AMEN! Be blessed with #JINALAYESU. ☺👏👏
Asantee Sana kwa maoni Mazuri, yaliyojaa ujumbe mzuri, naamini wameyapokea vizuri.. nawe pia Ubarikiwe kwa mengi Mazuri. Amen 🙏
God bless
Wimbo wangu kabisaaa
Amen 🙏 Jina la Yesu lina okowa. Blessings ❤
Can't get enough of playing and listening to this song! Let's praise the name of Jesus. Thank you my Light Bearers. I can see and feel the Rwandan rhythm matching with the dressing code.
nice songs really blessed i am realizing now that we really need God in our lives
Nimependezwa Sana na wimbonmtamu Sana Tena Kwa uimbaji wa Hali ya juu wenye ustadi Sana.
Naamini umemfikia Mungu kama manukato juu Mbinguni aketipo mahali pake patakatifu palipoinuka.
Amina.
Amen Ameni Ameni. Barikiweni sana
AMEN!
Asante kwaya yangu from uganda
Wimbo una ujumbe mzuri, mavazi mazuri ❤❤❤ mbarikiwe na Bwana
Hakika Yesu Ni Mwema , Tulisifuni Jina Lake
AMINA! Na tulisifu Jina la Yesu.
Mbarikiwe kazi nzuri sana ujumbe makani sana ,nabarikiwa na wimbo huu ,songeni mbele kwa kazi ya Mungu .
Amina
Hamjawahi kuiangusha tasnia ya uimbaji,, Mungu awabariki
Hatari sana,,barikiwa sana kwaya niipendayo
AMINA! MUNGU atukuzwe. 😇☺👏
Nimebarikiwa
Safi sana.
Barikiwa sana 🥰❤️
Barikiweni na Bwana kwa kazi yenu iliyotuka. Ujumbe mzuri wa Habari za Yesu!
Loud in Kenya 🎉
Be blessed. 🙏☺️
Waoooo munavaa kama wanyarwanda napenda sanaaaa ❤courage abachou
Jina la Yesu lina nguvu
Lina nguvu hakika, tuliimbie daima #JINALAYESU. 😇😇😇
Your music is just of another level. Great message
@@thelightbearerstz God's name
Mungu awabariki light bearer s kwa nyimbo zenu zote nzuri sana Mungu mfike mbali sana
Mbarikiwe kwa Wimbo mzuri. Waimbaji
my name is Brighton , I really love you light bearers❤🎉
Be blessed a lot.
Nabarikiwa sanaa
Nice piece
Be blessed!
Aksanti kwa Mungu awabariki
AMINA!
Amen ❤❤❤. God blessed 😜
Beautiful song...keep on blessing souls
We love you guys from Rwanda, nice praise song, rwandese costumes and Beat ❤❤
Yeah
Mko kiwango sana na hiyo staili ya kingoni.
Be blessed!
Wow!!!!! Amazingly 😮🎉
Mmeongeza userious wakuu.
Viongozi wenu tunawashukuru kwa juhudi hii
AMINA! Na ubarikiwe.
Hakika hamzeeki kama nyimbo zenu nzuri kila siku znsvutia hazizeeekiii8
Nice song🎉🎉from 🇧🇮
Oh wow such a powerful song... I have listened to it over and over again... Glory to God..Jina la Yesu❤
Kwa neema ya Mungu tunazidi kubarikiwa
Nawapenda basi tu,Natamani ningekuwa huko mbona ningeishajiunga kuimba.kwakweli mnanibariki sana na sauti hizi na Maneno ya nyimbo zenu.Mungu awabariki sana mfike mbali zaidi na zaidi!!!
AMEN! Be blessed with #JINALAYESU. ☺👏👏
@@loycenicolao7488 AMEN! Be blessed with #JINALAYESU. ☺👏👏
Bonsoir the light bears je suis amoureuse des vos chansons que le seigneur veille sur vous particulièrement votre compositeur
Nice song,
Mubarikiwe kwaya
Adamu kutoka Burundi,tunawapenda sana Kanyimbo kazuri kabisa,Murakoze cane turabakunda(tunawapenda sana)❤️
Wow nice one I don't understand the language but I still love it great job 🇬🇭
You can still get the message through the subtitles.
Oh!!
Mungu awabariki sana wimbo mzuri.❤❤❤❤❤
mungu awabariki kwa kazi nzur
Nice one!
Nyimbo hii ni nzuri
Amen 🙏🙏 Be blessed
Hongera sana light bearer kwa wimbo mzuri hakika Mungu nimwema
Al always love u guys.
Amen🙏🏼🙏🏼
Asanteni kwa WIMBO huu mtamu Njina la yesu. ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Aimen, Mungu azidi kuwabariki...
Tunaona mabadiliko makubwa kwa kazi za hivi karibuni👐👐, Audio, video so Quality ❤
Amina, na ubarikiwe. 👏👏☺️
Good to see my favorite vocalist back, I wish she was in the natembea na yesu song
Mungu amilide sana kwa nyimbo zuri
Safi shem ume tisha kaka
Nilikua cna mpango wa kuja makambi ya Makongo Juu ila ngoja nije tu mbarikiwe sana 🎉😊
Barikiwa na karibu Sana.
Amen🙏be blessed
Hallelujah jina la Yesu ni kuu sana. Jamani nawapenda sana pia mmevaa vizuri sana yaani vazi lenyewe tu linahubiri endeleeni kuwa na uvaaji huu huu wenye heshima hata mbele za Mungu ❤❤❤❤
Daah...huu wimbo umesimama ..balaaa
Amen na ubarikiwe!
Waoooooooooo
Amen
🇧🇮🇧🇮
Be blessed. 👏👏👏
Mungu awabariki sana kwa nyimbonzenu nzuri
Waouuuuuuu🎉🎉🎉jaman mnapendeza sana mmefaa kama burundi na ruanda mnapendeza sana 😍😍😍😍😍💕💕💕nyimbo nzuri sana mubarikiwe sana
Nice song
We are proud of you
Wonderful message!!! Elisha Ngussa ubarikiwe sana bro!
AMEN! Be blessed with #JINALAYESU. ☺👏👏
Nimebaliwa sana kupitia hiii kweli 🥰❣️
Perfect...hakuna kama yeye.Hakika Yesu ni mwema
Nyimbo zenu nisafi ukiwa safalini hivi
Amen good job
Hakika Yesu ni mwema, nitatangaza JINA lake ulimwengu walijue😍🙏
Amina!
Nawapenda sana
Wow is amazing
Jamani kwel huu wimbo mtamu sana❤❤
AMINA! Na ubarikiwe sana.
Amen Amen 🙏🙌🙏
The 'i-imba kwa sauti kubwa...' gets to me every single time.. And the second stanza is deeeep, truly God is immesuarable and thus changeless regardless of what we are, or what we do..and that's we can depend on Him, why we should shout from the mountain tops His praises
Mungu awabariki kwa ujumbe mzuri
Amen!
Indirimbo nziza,mwambaye neza,murakoze cyane ndabakunda
It's such a wonderful song 👍
Be blessed!
Kwavalazi la kinyarwanda mumependeza sana, beat ni ya kikwetu Rwanda, kwakweli jina la yesu litangazwe ulimwenguni kote, kutoka kigali nawapenda sana, mungu azidi kuwapigania
Nice song I soon I will join the group
Mungu awabariki na mfike mbali sana.amen,,😂😂😂🥀🌹🌈🌌
Haupimiki kwa nyakati kwa furaha au huzuni . Amen! Amen! Amen
Be blessed
Blessings 🙏. Keep shinning
AMEN! Be blessed with #JINALAYESU. ☺👏👏
Kwa kweli nabarikiwa saana na wimbo huu
Hakika Yesu ni mwema ❤
Nice song ❤
Aminaaaa 🎉
Asee huu Wimbo mtamu, NITATANGAZA JINA LAKE, hakuna Kama Yeye
Ila sio wao
Good to see my favourite soprano back I don't know her name but I really like her 😊😊 blessed from zambia 🇿🇲🇿🇲
Be blessed. 🙏☺️☺️
Kati ya nyimbo zenu zinazonibariki ,huu ni moja wapo, naupenda sana,
Hakika Yesu ni mwema hakuna kama yeye 🙏
Mungu awabariki sana, hakika ni wimbo ambao umenibariki sana.
MUNGU awabariki sana Kwa nyimbo zenu ,nabarikiwa sana.
nice
So touching,my all time choir,❤❤❤❤keep spreading the word of God all over the world through your blessing songs and nice voices
🤗 Glory to God
AMEN! Be blessed with #JINALAYESU. ☺👏👏