Azim Dewji: Bei ya Sukari Inatakiwa Isizidi 1800 I Hali ya Biashara Kwa Sasa ni Nzuri Kuliko Zamani

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 68

  • @suleimanshabenga
    @suleimanshabenga 9 місяців тому +3

    This country so blessed with everything including the likes of brilliant minds kama mzee wetu huyu,,,,,utu na uzalendo alionao.................keep the fire burning Sir............Allah aendelee kukuongoza na akupee siha njema...

  • @bezalelmbijima8182
    @bezalelmbijima8182 9 місяців тому

    Asante mzee Dewji barikiwa kwa mafunzo mazuri ya maisha bora.

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka 9 місяців тому +3

    🎉mzee Dewji japo ni tajiri anaonekana anaishi kawaida si mpenda anasa kama wabongo wengine

  • @MsangoDiesel
    @MsangoDiesel 9 місяців тому +8

    Nchi hii ina vichwa rakini hawatumiwi tuache siasa kwenye biashara anaongea point juu ya point

    • @samwelmatemu8873
      @samwelmatemu8873 9 місяців тому

      Siasa sioshida shida ni siasa chafu.huwezi kuishi bila siasa ndugu haijawahi tokea duniani ..mkiwa na siasa safi mnakuwa na uchumi imara na maisha bora kwa kila mtu.Tanzania ukionekana wewe ni kichwa sana wana kuita majina mengi .utaambiwa fisadi,wakufitini,watakuloga,watakutengenezea mizengwe mingi sana

  • @musasaguti4760
    @musasaguti4760 9 місяців тому

    Mzee Dewji anasema kweli na ana mawazo mazuri sn kuhusu biashara na namna gn wenzetu wa kenya wanavyotulalia kibiashara. Kila mahali wakenya wameingia mpaka vijijini lkn sisi kwenda kwao ni ngumu. Kwhy serikali izuie wafanyabiashara wa kenya kuingia mpk vijijini kununua mazao bali wasubirie mipakani

  • @msafirimiracle6613
    @msafirimiracle6613 9 місяців тому +3

    Nani kagundua mtangazaji analazimisha kusema mama alipambana?na hali alisema kaka yake?mama ana sehemu yake lakini ifike mahali tutambue umuhimu wa mwanaume na tuutukuze.

  • @nasorrboso5214
    @nasorrboso5214 9 місяців тому +1

    Viongozi wetu kazi zao kukandamizana tu kama sisi wakulima tunawekewa kizingiti cha mauzo ushilika atuutaki

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 8 місяців тому

    Masikini Singida na Igunga zinatia uchungu. Zina historia ya vyanzo vya matajiri wakubwa lakini zenyewe hoi!

  • @ibbyikh1788
    @ibbyikh1788 9 місяців тому

    Kweli kabisa mi year 2004 nilikuwa College USA professor wa World history class anafundisha Mt Kilimanjaro upo Kenya nilibishana naye sana yule professor Mzungu mpaka kanichukia darasani

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 8 місяців тому

    Nikweli kabisa Mzee wetu,nchi zetu za kiafrika Huwa tunadhani kuwa mtu mwenye asili ya NCHI flan huwa sio mzalendo kitu ambacho sio sahihi ,hawa ni binadam kama wengine wanatakiwa kupewa nafasi nzuri yakuishauri NCHI/Serikali kuhusu mambo ya kibiashara inapobidi, naamini tutanufauka JUU ya uwepo wao

  • @iddmdanku2306
    @iddmdanku2306 9 місяців тому +1

    Utajiri wa familia hii umekuwa wa kuitumikia jamii inayowazunguka tangu enzi za mashine za kusaga unga kwa walaji wadogo,wakamuaji wa mwanzo wa mafuta ya alizeti,biashara ya mazao ya asili(asali,nta,gundi) nk na baadaye kupanua wigo wa biashara kitaifa na kimataifa.Viongozi wetu vijana watumieni hawa watu wana utayari na wawazi kuikuza sekta binafsi na uchumi wa Taifa kwa ujumla

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 8 місяців тому

    Huyu Mzee anaongea vizuri sana

  • @annaniasbyarugaba5788
    @annaniasbyarugaba5788 9 місяців тому

    Hii Bihashara ya Sukari Nadhan kuna viongozi wanayo hisa aise kwasabab Sukari nnje ni bei rahisi sana. Hata SA Sukari 1 tone ni $500 tu

  • @saidimaloya4549
    @saidimaloya4549 9 місяців тому +1

    Mzee unaongea kiswahili vizuri kuliko hao wanaokuhoji,wanajifanya hawajui kiswahili vizuri wanachanganya na kingereza(kiswanglish)

  • @homeboybeyondtheborders4935
    @homeboybeyondtheborders4935 9 місяців тому +2

    Kenya hawapendi kabisa kuagiza bidhaa kutoka Tanzania 🇹🇿 najua kwa sababu npo kwenye biashara vikwazo vingi kutoka Kenya kwa bidhaa za Tanzania.

  • @msafirimiracle6613
    @msafirimiracle6613 9 місяців тому +1

    Umemaliza mzee uliposema hauhitaji kuongeza maadui.kumbe Tz ni paradiso kabisa viongozi wakiwa wazalendo

    • @samwelmatemu8873
      @samwelmatemu8873 9 місяців тому

      Shida hapa viongozi hamna .wanapeana kishabiki na kidini na ubaguzi na kokabila.Nilitamani lowassa angekuwa raisi au Mo ,au rostamu ,au azamu tungefika mbali sana.

    • @samwelmatemu8873
      @samwelmatemu8873 9 місяців тому

      Watu wanawaza kula kodi na kuvawana hawawazi mbali Mungu atusaidie tuu

  • @deohaule8161
    @deohaule8161 8 місяців тому

    Tatizo tuna serikali kibogoyo ambayo inatetea maovu. Serikali na wahuni wachache kwenye serikali wana husika moja kwa moja kwa Issue ya wakenya kuingia nchini bila vibali vya kununulia mazao, na bei ya sukari kua juu. Unfortunately, at moment TZ has no leadership, hence no strategy, more chaos. And when there are chaos more vultures take advantage to the situation and the cycle will never end until the country have genuine leaders who serve the interest of the country and their people.

  • @victormambasa4735
    @victormambasa4735 9 місяців тому

    ''kila jambo baya ni neema'' gonga like kama umelichukua hili🙃😉

  • @jumanesaidi7635
    @jumanesaidi7635 9 місяців тому +1

    Namfaham huyu mzee siku nyingi, (sio kwamba tuifahamiana), lakini sikujua kumbe huyu mtu ni kichwa ! Sikiluza anavyotema 'materal' !

  • @ElishaSolomoni-kc4zk
    @ElishaSolomoni-kc4zk 9 місяців тому +1

    One day yes.

  • @Adamumwambiji
    @Adamumwambiji 9 місяців тому +3

    Apewa nafasi ktk mipango enderevu ya nchi atawasaidia anakitu kikubwa chakuisaidia nchi

  • @ausonjustinian4673
    @ausonjustinian4673 9 місяців тому

    Sukari ishuke bei kila mtu aweze kuimudu. Japo kilo 2000 jmn. Tunaomba tunaomba tunamba. 😢😢

  • @mohamedjakaya5355
    @mohamedjakaya5355 8 місяців тому

    Kweli kuna mambo yanapasua kichwa inakuwaje viwanda vya sukari ndiyo vipewe kibali cha kuagiza sukari? Inawezekana kuna baadhi ya viongozi wanamaslahi binafsi ktk viwanda vya sukari hapa nchini

  • @iddmdanku2306
    @iddmdanku2306 9 місяців тому +1

    Wafanyabiashara kama Azim Dewji na ndugu zake tuliofanikiwa kuona mapito yao toka utotoni singida ni somo kubwa la uwezeshaji na unasihishaji unaoacha alama isiyofutika kwao singida na Tanzania kwa ujumla. Karama na ukarimu wa familia hii ni bayana tuwatumie kuleta mabadiliko na maendeleo endelevu

  • @ndahaniyared
    @ndahaniyared 9 місяців тому +7

    huyu mzee anamadini mengi sana

  • @JustinaKaronge
    @JustinaKaronge 9 місяців тому

    Hata akipewa lazima wamuhujumu, hii nchi inashida kubwa tuendelee kuiombea, kwa maama sijui tunakwama wapi!!?

  • @JustinaKaronge
    @JustinaKaronge 9 місяців тому

    Kwa upande wa mpira nimekuelewa Azim kweli watoto hata milioni moja tunakosa bongo 12 tu!!? Hi ndo bongo kwakweli,

  • @mohdmohd8428
    @mohdmohd8428 9 місяців тому +3

    Kwenye umri wake hataki maadui wengi" inamana ushauri wake kuna majambazi wa biashara

    • @JustinaKaronge
      @JustinaKaronge 9 місяців тому

      Kabisa mzee wawatu kasema dini yake haipendi kujilimbikizia mali binafsi, km Mungu amekujalia mali saidia wengine,

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 9 місяців тому

    Hili suala la kuwa na eka 50 mpakani kwanini sisi tusitenge hizo 50 upande wetu ili kuwataka Wakenya wanunue hapo mpakani ili wasiingie ndani kwa wakulima.

    • @charleskuyeko4400
      @charleskuyeko4400 9 місяців тому

      Hapo kuhusu wachezaji Mzee Dewji ujue kwamba hata makundi ya clabu Bingwa tutakuwa hatufiki kama tukiacha hawa wachezaji 12. Na ligi yetu itakuwa ya 50 Afrika wakati sasa ni ya 6.

    • @AloneChuga
      @AloneChuga 8 місяців тому

      Hilo ni wazo ambayo nimekuwa nayo sana,siyo kuwa na heke 50 tu, kinacho takiwa ni kujenga soko kubwa la kisasa ambayo ingewawezeshe wakulima kupata soko la kisasa. Hapa serekali ingepata kodi na hilo ingeweza kuichochea uchumi wa nchi

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka 9 місяців тому

    Nchi yetu ina ardhi kubwa tungekuwa na viongozi wenye akili tusingeagiza vitu kama sukari nje vingozi wa nchi hii ni kuongeza kodi tu kwa bidhaa ili watumbue nchi

  • @peterdaimon-ug6fd
    @peterdaimon-ug6fd 9 місяців тому

    Hawa jamaa bwana hatari sukari nchi za jirani Bei ndogo Kama hawawezi waruhusu tuchukue nchi jirani mbona wanatutesa Sana au Kuna dili

  • @alfinmbilinyi5985
    @alfinmbilinyi5985 9 місяців тому

    Bei kupanda tatizo viongozi kuwa wafanya biashara.Na ubinafsi wa kujilimbikizia mali na kutoipenda Tanzania.

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 8 місяців тому

    Wazee kama hawa wasaidiwe kuandika vitabu vya kukuza ujasiridamali tuachane na theories za wa magharibi tuu

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka 9 місяців тому +2

    Uongozi mbovu na ubinafsi vinaitafuna nchi

    • @JustinaKaronge
      @JustinaKaronge 9 місяців тому

      Ni kweli shida ni serekali na njaa za viongozi wetu chini ya mfumo mbovu wa chama cha mapinduzi

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq 9 місяців тому

    Hili la sukari ndilo linadhihilsha kuwa Hawa wanaongoza inchi hawana upendo na wanainchi masikini

  • @cbegram6161
    @cbegram6161 9 місяців тому

    Huyu mwamba anatakiwa ahojiwe na sky wa SnS

  • @mamlomamlo9064
    @mamlomamlo9064 9 місяців тому +5

    Akili ya mtu mweusi kwamba kila mweupe kaukuta utajiri kwa wazee wake ni mawazo mgando

  • @muhammadalibhaz1390
    @muhammadalibhaz1390 9 місяців тому

    huyu Azim Dewji kiwanda cha mafuta ya kula aina ya mpishi ilimshinda akaifilisi na hatimaye pesa za wafanyabiashara waliolipa fedha mwanzo (advance payment)iliwapate mafuta zililiwa na Azim Dewji kwani kiwanda ilifilisika kutokana na deni kubwa na hatimaye Leo hii kiwanda cha mafuta kinamilikiwa na mo Dewji

  • @cbegram6161
    @cbegram6161 9 місяців тому

    Mtangazaji kaambiwa kaka analazimisha mama wakati anapambana

  • @BakoPoultry
    @BakoPoultry 9 місяців тому +1

    Sasa hao wanaweza kuwa na uchungu na watanzania wao ni wafanyabiashara na ukiangalia alivyo hata sukari iwe 20,000 kg kwake sawa tu maana pesa wanayo

  • @Burner_Acc
    @Burner_Acc 9 місяців тому +2

    Huyu mzee mzalendo kuliko wamatumbi

    • @muddsaid-kn2dq
      @muddsaid-kn2dq 8 місяців тому

      Jamani mzee wawatu hashindwa kuongea ukewlik sukari

  • @SaviorAfrica
    @SaviorAfrica 9 місяців тому

    Alafu ukiwa malawi mpakani ukinunua ya huko unakamatwa mbona hauwaelewim

  • @PhilibetLadislaus
    @PhilibetLadislaus 9 місяців тому

    Rais anaogopa wafanya biashara au hajui uchumi tunasubiri wachumi na ushauri wao.Usiombe awamu ya pili kwa woga huu

  • @msowamhokole7714
    @msowamhokole7714 9 місяців тому

    Mzee unawaza biashara ya mafuta ya taa wakati siku izo kuna gesi unaotaa ama nini

    • @subirahowen124
      @subirahowen124 8 місяців тому

      Hujamsikiliza vizuri kasema mfano

  • @muhammadalibhaz1390
    @muhammadalibhaz1390 9 місяців тому +1

    nashanga apple yaani tufaa inayotoka afrika kusini inauzwa tanzania kwa shillingi 1000 lakini embe dodo kutoka kigamboni inauzwa 1000 japokiwa hiyo apple inalipiwa ngarama ya upakiaji +ushuru nk lakini embe hailipiwi hayo ngarama

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 9 місяців тому

      Apple zinatoka njombe bhn, hiyo ya South porojo

    • @athumannyungundileki9799
      @athumannyungundileki9799 9 місяців тому

      ​@@adkajisi4536ndugu yangu unataka kuleta ubishi Bure tu tufaa unazoona zinauzwa hapo mjini zenye kiwango zote zinatoka Afrika kusini

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 9 місяців тому +1

    Akili kubwa sana

  • @RobertGwelela
    @RobertGwelela 9 місяців тому

    Je huyu ni baba yaje Mo Dewij?

  • @AhmedHassan-vl5zf
    @AhmedHassan-vl5zf 9 місяців тому

    😂😂😂😂

  • @NgengeMkeni-uo5hq
    @NgengeMkeni-uo5hq 9 місяців тому

    1. *Fislii sixti* dahh.. watangazaji wa bongo mnatia aibu yaani hata kutamka jina la kipindi chako "Three Sixty" hujui🚮
    2. Microphone ya mtangazaji (aliyevaa suruali ya jeans) haifanyi kazi tokea Dk 1 mpaka Dk17 na hakuna anayeshtuka kuifanyia kazi. Ina maana hapo hakuna mtaalamu wa sauti?
    *KIPINDI KIZURI ILA MNAZINGUA*

  • @mohdmohd8428
    @mohdmohd8428 9 місяців тому

    Kwenye umri wake hataki maadui wengi" inamana ushauri wake kuna majambazi wa biashara