Aminà mchungaji.nashukuru sana unanitia moyo nina jeraha kubwa sana moyoni niko 🇴🇲 Oman nakupata vyema sana.natamani sana kuongea nawe binafsi kama nitapqta fursa hiyo.Mungu akubariki sana kwa kututuliza machungu ya dunia.Amina.
Thanks pastor David mmbaga for changing my life and glory be to God for showing me this channel my life changed a lot indeed I saw the love of God ❤️ I pray all who are on this channel be there when HE comes for us 🙏
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu ni mara yangu ya kwanza kukusikiliza umenifunza yaani siwezi elezea hakika wewe ni chombo cha Bwana Mungu akutunze uendelee kufanya kazi yake
Amina pst ila naomba kumbuka ndoa yangu Kwa maombi Ina migogoro mingi TU Kisha hakuna mafanikio pia nikipata pesa hazifanyi chochote hakuna plan inaefanyika mia na mikaka Niko palepale magonjwa Kwa ndoa yangu ya ajabu kila mwaka afu sitaki niende kanisani naeza Vaa niende mke wangu anajitahidi kunitayarisha lakini nikifika karibu na kanisa na toka naenda Kwa mambo mengine nisaidieni tuchumuike na familia yangu tumwombe mungu Amina 🙏
Halleluya to God be the glory that has given me the grace to hear these words, I have been blessed, blessings to you pastor, May our good Lord keep on using you for HIS ministry in Jesus name🙏🙏🙏
Amen and Amen mungu akubariki ulipo mtumishi wa mungu kwa neno hili limenigusa sana naninaamini mungu ameyafuta makosa yangu in mighty name of Jesus christ 🙏🙏
Nashukuru kupitia mafundisho yako pastor nami nimeokolewa nilikua na pepo la madeni nakopa huku nalipa huku nadaiwa kila mahali ila nilisiliza moja ya hubiri lako na leo natoa ushuhuda hii hali imekoma kabisa hakika mimi ndio nakopesha sasa jina la Yesu litukuzwe.
Amina pastor.nyenye umeongea ni ya kwangu roho ya mandeni imeniandama nina watu karibu mimi wa kutuliza mandeni nisaindie kutuliza roho hii niko karibu kunyanganywa vitu za nyumbani
For sure pastor be blessed you have thought me a lot thank God for this connection yaani I used to ask alot of questions in my life since I met you mine ni kushukuru and have seen God upon my life glory be to our living God AMEN 🙏
Hi pastor ni Veronica kutoka Kenya. Naomba oniombee Imani yangu imeanza kurudi jini. Mume wangu yuko Canada amerudi nyuma pia yeye haendi kanisa tena Sabato kila Mara excuses. Uniombee nilejeree hari yangu ya zamani. Asante
Mungu akubariki Sana mchungaji kweli hata Mimi hiyo roho ya madeni imenitesa Sana hata Sina amani katika moyo wangu nashindwa niyamalizaji lakini kwa SoMo la leo nimejifunza jinsi ya kuivunja hiyo roho ya madeni
Mathayo 18:15 Na ndugu yako akikukosa, enenda ukamwonye, wewe na yeye peke yenu; akikusikia, umempata nduguyo. Moreover if thy brother shall trespass against thee, go and tell him his fault between thee and him alone: if he shall hear thee, thou hast gained thy brother.
Mungu Baba asante kunipenda kunirehemu na kunisamehe. Roho Mtakatifu unisaidie nisifanye yanayomchukiza Mungu Baba katika jina la Yesu Kristo Amina.
Kutoka USA hapa.
Nakupata mbashara mtumishi wa Mungu
Unanisaidia saaaana sana pastor
Hallelujah Hallelujah Hallelujah AMEN Utukuvu kwa yesu maana nimesaindika sana mungu akubariki sana pastor
SIJAWAH ONA PASTOR SMART KAMA HUYU, YUKO INFORMED SANA NA MAMBO YA KIROHO NA ULIMWENGU, MAHUBIRI YAKE YANANIBARIKI SANA.
When you glorify God you add strength to angels and whe you murmur and complain you add strength to demons, This is a big revelation ❤
Yes it's
Aminà mchungaji.nashukuru sana unanitia moyo nina jeraha kubwa sana moyoni niko 🇴🇲 Oman nakupata vyema sana.natamani sana kuongea nawe binafsi kama nitapqta fursa hiyo.Mungu akubariki sana kwa kututuliza machungu ya dunia.Amina.
Thanks pastor David mmbaga for changing my life and glory be to God for showing me this channel my life changed a lot indeed I saw the love of God ❤️ I pray all who are on this channel be there when HE comes for us 🙏
Pr Mungu akubariki sana mapito tunayopitia Mungu anakutumia kuwa faraja kwetu...
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu ni mara yangu ya kwanza kukusikiliza umenifunza yaani siwezi elezea hakika wewe ni chombo cha Bwana Mungu akutunze uendelee kufanya kazi yake
Mungu Akubariki Sana. Najiona ndani Ya Mambo Saba. Asante Yesu kwa Ajili yako Pr.Mbaga David.
Asante Pastor umenifundisha kua positive ili nimfaidi Mungu.
Amina pst ila naomba kumbuka ndoa yangu Kwa maombi Ina migogoro mingi TU Kisha hakuna mafanikio pia nikipata pesa hazifanyi chochote hakuna plan inaefanyika mia na mikaka Niko palepale magonjwa Kwa ndoa yangu ya ajabu kila mwaka afu sitaki niende kanisani naeza Vaa niende mke wangu anajitahidi kunitayarisha lakini nikifika karibu na kanisa na toka naenda Kwa mambo mengine nisaidieni tuchumuike na familia yangu tumwombe mungu Amina 🙏
Halleluya to God be the glory that has given me the grace to hear these words, I have been blessed, blessings to you pastor, May our good Lord keep on using you for HIS ministry in Jesus name🙏🙏🙏
❤Aaaaaaaaamen my Pr David Mmbaga au Daudi Mmbaga
Amen and Amen mungu akubariki ulipo mtumishi wa mungu kwa neno hili limenigusa sana naninaamini mungu ameyafuta makosa yangu in mighty name of Jesus christ 🙏🙏
Jina la yesu lipewe sifa,pastor umenitoa mbali
Nashukuru kupitia mafundisho yako pastor nami nimeokolewa nilikua na pepo la madeni nakopa huku nalipa huku nadaiwa kila mahali ila nilisiliza moja ya hubiri lako na leo natoa ushuhuda hii hali imekoma kabisa hakika mimi ndio nakopesha sasa jina la Yesu litukuzwe.
Somo la leo limenigusa sana Mwenyezi Mungu aendelee kukutunza Mchungaji unatubariki mnoo
Ameeen. Ameeen. Pastor hizo zote 6 tuko hapo ndani kabisaa. Mungu anisamehe. Congratulations pastor.
Amina, tunazidi kubarikiwa, ubarikiwe na Mungu aliye hai
Amina mpendwa Mungu ni mwema tudumu luutafuta uso wake
Mungu atusaidie somo la leo Nilikua kunihusu mimi , asante pst
Hongera sana mtumish mungu akutumie unanibariki sana
Usifiwe mungu wangu
Amen amen barikiwa sana mchungaji Kwa mafunzo mazuri sana nabarikiwa sana nikiwa huku Saudi Arabia 🙏🙏🙏
AWESOME! I've really learnt a lot from this wonderful teaching. GOD bless you abundantly Pastor, AMEN.
Amina pastor.nyenye umeongea ni ya kwangu roho ya mandeni imeniandama nina watu karibu mimi wa kutuliza mandeni nisaindie kutuliza roho hii niko karibu kunyanganywa vitu za nyumbani
Mungu akubariki pastor nimejifunza kitu
Ubarikiwe..muchungaji.mungu akubariki sana.sana
Huyu Mungu ni waajabu sana yani hili ni langu mimi leo nafunguliwa kwa jina Yesu.
Ubarikiw sana pastor David Mmbaga
Mungu akujarie maisha marefu pastor unazidi kuwa faida kwetu kila kukicha
Asante nimejifunza jambo kubwa kwa nimepigwa kwenye upande wa maombi
For sure pastor be blessed you have thought me a lot thank God for this connection yaani I used to ask alot of questions in my life since I met you mine ni kushukuru and have seen God upon my life glory be to our living God AMEN 🙏
Hii
Amina mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana kwa neno zuri la Mungu.
Barikiwa sana pastor kwa mahubiri yeye baraka Mungu
Mtumish hakika Kuna jambo nilihisi nimeshindwa asnt Leo nashinda Kwa jina la yesu
ubarikiwe mtumishi mungu akupe maisha marefu
Glory to God, Neem ya Mungu ktk Kristo Yesu Izidi kwako Izidi kufanya Mapezi yake Kwa Waaminio
May God bless you abundantly pastor, l have seen God's blessings Amen
Naomba Mungu anisamehe makosa yangu niliyotenda kwa kujua au kwa kutokujua
Barikiwa mtumishi wa mungu
Hi pastor ni Veronica kutoka Kenya. Naomba oniombee Imani yangu imeanza kurudi jini. Mume wangu yuko Canada amerudi nyuma pia yeye haendi kanisa tena Sabato kila Mara excuses. Uniombee nilejeree hari yangu ya zamani. Asante
Mungu akutendee muujiza wa kiroho
Indeed blessed 🙌 God 🙌 bless you 🙏 pastor
Asante kwa somo zuri, ubarikiwe pastor 🙏🙏🙏
Asante sana pastor Amen Amen
Mupakwa mafuta wa Mungu, Bwana n'a kujazieni Baraka tele , asanteni kutubariki na somo
Amen.Nabarikiwa sana Mchungaji
Namuomba m/mungu anionye
Mungu akubariki mtumishi wa MUNGU.
🙏🙏 pastor
Ubarikiwe sana pastor
Have been blessed alot
Amina mtumishi wa bwana tnazidi kubarikiwa
God bless you
Amina Kwa neno la Leo,mungu atukuzwe Kwa kukutumia kama chombo.
Mungu akutunze pastor.
Mungu akubariki Sana mchungaji kweli hata Mimi hiyo roho ya madeni imenitesa Sana hata Sina amani katika moyo wangu nashindwa niyamalizaji lakini kwa SoMo la leo nimejifunza jinsi ya kuivunja hiyo roho ya madeni
Amen
Barikiwa Pr kwa somo zuri
Kila unaposifu mungu unawongeza nguvu kwa wa malaika💪💪💪
Asante Amina
Ubarikiwe na Bwana, kwa neno Hai kwetu
Wow... listening
Mungu apewe sifa.
Mtumishi wa Mungu ubarikiwe inanitia moyo sana
Amina mchungaji, karibu kwetu
Mungu akubarki sna mchungaji umesaidia Sana
AMINA ubarikiwe Sana,
Amina mtumishi
Ameeen Nabarikiwa sana kutoka Muscat
AmeeenNabarikiwa sanaa Mahubiri haya
Amen and amen
Mungu atukuzwe kwa makuu anayo tutendea SoMo la Leo limenigusa sana mutumishi mungu azidi kukubariki kwa kazi nzuri aliyo kupa
Asante yesu kwakutusamehe pasta Mungu akubariki
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💜💜💜💜💜💜🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
Kwaiyo pastor mpaka umfate uyo mtu umuombe msamaha uwez kuomba kwa Mungu pekee na ukasamehewa
Mathayo 18:15 Na ndugu yako akikukosa, enenda ukamwonye, wewe na yeye peke yenu; akikusikia, umempata nduguyo. Moreover if thy brother shall trespass against thee, go and tell him his fault between thee and him alone: if he shall hear thee, thou hast gained thy brother.
@@MahubiriPrMmbaga ahsante pastor sasa km na uyo ndugu na yeye alikukosea na ajakuomba msamaha
Balikiwa sana mtumish
Kwa Imani nimepona kupitia SoMo ili Mungu Akubaliki Sana.
Ubarikiwe sana pasta
Amen
Ubarikiwe pasita kwa mafunzo yako hakina nabalikiwa sana
Barikiwa Sana pasta.
Aminaa
When I heard about the eating part😂😂I lost it
Amen Gloire à Dieu
sûr
Amen 🙏🙏🙏
Amina sana mchungaji
amen
Amina
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amina ni kweli
Amen amen 🙏
Si jina mchungaji tu ww ni mwalimu mwema sna sna
Amen Amen
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mimi nimebarikiwa asantii sana mjungaji🙏🙏
Mungu nite nguvu
Amen 🙏
God are your
Grory to God
Nitengeneze. .somo.muchungaji
Mungu apewe sifa, muchungaji nashindwa kuomba mpaka nakosa maneno usiache kuniombea
Balikiwa Sana
Ooooo tayari😢