NAFASI YA ROHO MTAKATIFU KATIKA MAOMBI || PASTOR GEORGE MUKABWA - JRC || 01/09/2022
Вставка
- Опубліковано 31 сер 2022
- Pastor George Mukabwa -Senior Pastor-Jesus Restoration Centre (JRC), Mwanza Tanzania.
For Offering you can send from any Network to M-Pesa Lipa Namba 5252176
#jrcchurch #Tanzania #jrctz - Розваги
Bwana Yesu asifiwe toka nilipopata Neema ya kumshirikisha Roho Mtakatifu Nina AMANI Na Utulivu wa moyo Wangu Na huwa ananifunulia Neno la kusimamia Jina la Bwana lihimidiwe ameen barikiwa Sana
Mumgu akubariki sanababa mafundisho Mazurie sana
Nakupenda bure Mtumishi mafundisho yako yamenibadilisha
Nimebarikiwa mno maana nilikuwa ninawaza jinsi ya kuisikiliza sauti ya Roho Mtakatifu aniongoze ktk maisha yangu yote Ameen barikiwa Sana 🙏🙏🙏
Hua nabarikiwa sana na mafundisho yako ..mungu naomba kibali cha uombezi
Mungu nitendee kitu ambacho itakuwa alama ya mwaka huu 2022 kwa jina la yesu.
Nafuatilia sana mafunzo yko,na yananipa mwelekeo dhabiti sana kiroho,be blessed,japo mie mgeni,but nafaidika zaidi.
Asante Mtumishi ,naomba roho mtakatifu niongoze malimu mwema.
pastor umnitia moyo sana
Naomba nitembee katika kweli yake na niione 🙏
Mungu baba naombe unijaze roho wako awe kiongoze katika maombi yangu na kwa maisha yngu AMENN
Roho mtakatifu inga ndani yangu ili niongozwe na wewe siku zote amina
Mungu akupe uhai mrefu umenisaidia kusimama katika maombi
Natamani roho mtakatifu kwa maombi yangu God bless you pastor
Amina mtumishi wa mungu nabarikiwa Sana mafundisho haya
Mungu akubariki baba ni mafundisho ma zuri
Amen amen 🙏 ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU🙏🙏
Asante baba kwa neno jema nimefarijika sana 🙏🙏🙏🙏
Ubarikiwe Sana Mtumishi wa Mungu
Amina
Amen
Nakupenda saana unanifundisha vyeema na nina kuelewa saana.
Amina kubwa
Kila nikisikia mafundisho ya Mungu kupitia kwako huwa naelewa wazi Wala hayaji kimafumbo Mungu azidi kujitukuza kupitia ukufimzi wako kwakuwa tunamsikia huyo Mungu kupitia wewe
Ubarikiwe sana Mtumishi 🙏
Ubarikiwe sana Mtumishi
Ubarikiwe Sana unatufungua na mafundisho mazuri yanayoeleweka
Ubarikiwe sana
Asante mungu kwa Roho wako mtakatifu
Ubarikiwe sana mtumichi
Mungu aku bariki baba
Amina
🙏🙏🙏🙏👏👏👏
Ubarikiwe pastor
Amen Amen Amen
Amen 🙏 amen
Ubalikiwe sana
Wana Raha sana walio karibu na huyu mtumishi wa BWANA
Huyu mtumishi wa MUNGU ananeno la kweli na la wakati ndani yake .nasikiliza mtandaoni lakini utasema nipo hapo.kwakweli wanaraha sana hao watumishi wenzetu
Kawaida walio karibu na mchungaji Huwa hawafaidi Kwa kuwa Wana mazoea sisi watu wa mbali tunabarikiwa
God bless you pastor
Amen nabarikiwa sana
Ameeeen 🙏🏼🙏🏼
Ameen
Usiache kufunga Bwana atatenda
Niombee kujazwa na Roho nihubiriinjili
Ameeeen 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Asante sana mtumishi wamngu
Nakupenda sana Roho mtakatifu.hivyò narìfurahia sana somo hili Mungu akujaze zaidi na zaidi.Mpakwa mafuta wa Mungu
Tumsifu Yesu kristo, namba 1 na mbili tunazipata wapi Baba maan hapa umeanzia 3
Huyu mtumishi nampenda niko kenya na ninabarikiwa sana tangu nilipokutana na hii chanol nimeinuliwa nikafunguka akili na moyo
🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Hallelujah powerful message MUNGU akubariki sana mutumishi wa MUNGU
Baba nataka kukuona,niko Dar
Bwana Yesu apewe sifa, pastor kuna kitu naomba nisaidie nilisikiliza masomo yako kuhusu mfungo nikajifunza kitu sikua nakijua malengo ya mfungo na unafunga siku ngapi?
Mtu wa Mungu naishi nyegezi, naomba unielekezi ni wapi kanisa la jrc lilipo ili j2 hii nije kuabudu nanyi
mchungaji unapatikana dar sehem gan
Yupo Mwanza,kirumba
Mimi nilipanga kufunga siku saba kwa shida ya mtoto wangu kuhusu kazini kwake ameingiza hasara kampuni kwa bahati mbaya, cha kushangaza leo amesimamishwa kazi ndo kwanza niko kwenye siku ya tatu ya mfungo sijafikia siku saba nilizopanga nauliza niache kufunga
Usiache.endelea.
Endelea usische
ndugu huenda kaachishwa iliapate kazi nzuri zaidi
Barikiwa San
❤❤
Ameeeen 🙏🏼🙏🏼
Amen
Amen