Asante kwa hoja nzuri zinazoendelea kwenye bunge letu tukufu la Tanzania. Ombi langu kwa wataalamu wetu watoa hoja na wabunge wetu watusaidie kutumia kiswahili kamili ili na mimi mkulima wa darasa la 7 nielewe hoja inayoendelea pia tutasaidia kuifanya lugha yetu ya kiswahili ikue kuliko kutumia hayo maneno INSENTIVE CAPACITY na PERFOMANCE wengine tunashindwa kuelewa maana ya mjadala unaoendelea chonde chonde ndugu zetu bungeni wasomi tusaidieni kutumia kiswahili fasaha. Asante sana.
Gwajima namkubali sana lakini kwa hapo hapana....utadhania kalambishwa asali vile. si kwa kutetea huko. au hesabu imempiga chenga leo? 20% sisi kwa 80% wachina anatetea vipi mradi huo? itakuwa bure kweli? tunapata mashaka
ascofu anaeleweka vizuli sana Kwa yeyote mwenye utashi atakubaliana nae mungu akuzidishie hekima na ushauli mzuli katika kuliendeleza taifa hili Kwa masrahi ya nchi yetu ubalikiwe sana mtumishi
Sasa ukweli ni upi ikiwa nyinyi mnapingana mbona mnatutoa imani mna bahatisha tu hapo bungeni na kamati mnapiga allowances za safari tu huku wananchi wanakamuliwa kwa kodi tu mbali mbali hamtoshi mmeshindwa jiunzuluni mpishe wengine
Bora sana walivyouzima huo mkataba wa kifisadi. jamani tumechoka kuwa shamba la bibi. mkataba gani huo kweli? Yaani pesa yetu, makaa yetu, ardhi yetu, nchi yetu halafu tuambulie 20% na mchina aondoke kwao na 80%? haiwezrkani. ujinga mtupu
Gwajima huwa nakuelewa ila kwa hili umeboronga, yaani muwekezaji kwanza hana deposit yakutosha, pili ma tatu yeye achukue asilimia 80% na nchi yetu ibakiwe na asilimia 20% kweli hii inakuingia akilini😡🤨🤨🇬🇧
fikiria 20% tubaki nayo sisi wenye nchi yetu na mtaji ni wetu halafu ati 80% waondoke nayo wajanja halafu bila haya tunashabikia! Ina maana hata hesabu rahisi tu ya kujumlisha na kutoa nayo watanzania inatushinda? au ni uzalendo hatuna? au uwezo wa kufikiri ni mgogoro? Kazi iko
Uzalendo ni muhimu sana kwa nchi yetu wapo viongozi wapo selikarini sio wazalendo kwa taifa letu la Tanzania 🇹🇿 wapo kuumiza uchumi wa Tanzania Nakajima piga kazi
Hapa Kuna Jambo viongozi wengine siyo waaminifu,taifa letu ni tajiri Sana lakini wanaotumwa wengine hawaaminiki,ombi watanzania tunaomba kamati iundwe kuifuatilia timu iliyotajwa na mh ngwajima,hapo Kuna kinachoendelea binafsi.
Gwajiboy anabishana na mtaalam aliyekuwa Chair wa Kamari ya Viwanja. Kufanya kosa si kosa bali kurudia kosa ni kosa. Lkn naona Kama kakubali yaishe kiaina!😀😀😀
Hapo gwajima unataka kuitapeli nchi. Haiwezekani awamu tatu zote zilione jambo hilo halifai halafu wewe utuaminishe kua ni mradi wenye faida na nchi. Ubaya zaidi unatutamanisha kisha tukitoa hoja za kukataa wewe unatoa angalizo la vitisho vya kulipa fidia za kusaini.😀😀😀
Mbona km Gwajima katumwa??? anatumia tarakimu za hela kuhadaa kwamba ni nyingi wakati kiuhalisia kinachostahl ni king zaidi... Kwanza 2014 hakuwa mbunge na sidhani km alikuwa ameshaset plans, zaidi sana wanaotoa taarifa ni watu waliokuwepo kwenye process nzima
Hoja yako nzuri sana lakini jaribu kujirekebisha katika matamshi pahala pa R na L sipeke yako muko wengi lakini hayo ni makosa ndo maana sasa inasemekana kua kiswahili kizuri na hata english ni Kenya.
Siku inakuja ambapo makaa ya mawe yatapigwa marufuku kutumika kama makaa kutokana na uchafuzi wa mazingira. Yatakapopigwa marufuku yatatudodea. Tuhakikishe huu mradi unaendelezwa lakini si kifisadi.
Mh GWAJIMA hapa awe makini, mikataba ya Wachina INA matatizo yake, UKWELI waweza kumshushia sana TRUST. Hata wale wa Bagamoyo walikuwa wamesaini tayari, na China walikwenda, ila nkataba bomu. Panahitaji moyo wa jiwe kwenda CHINA, afu ukarudi mikono mitupu kwa ajili ya Taifa lako. Mh. Gwajima be careful, Wachina siyo MAZUZU.
Namuunga mkono my Bishop Dr Joseph kwa hoja nzuri na team committee iliyoundwa imeumdwa na wataalamu wenye uelewa mkubwa inayojenga Tanzania tunaitaji kupiga hatua na kuwa na viongozi wenye uelewa mkubwa ili tupige hatua
unamuunga mkono bishop au uniunga mkono huo mpango wa kifisadi? maana hata mtoto hawezi kuwaelewa hao watanzania wenzetu walitaka kutupeleka wapi na huo mkataba wa aina hiyo. ndiyo maana wanachunguzwa maana dah 20/80 kwa miaka 100 haingii akilini. hadi mwili unasisimka kwa mshangao
Asante kwa hoja nzuri zinazoendelea kwenye bunge letu tukufu la Tanzania. Ombi langu kwa wataalamu wetu watoa hoja na wabunge wetu watusaidie kutumia kiswahili kamili ili na mimi mkulima wa darasa la 7 nielewe hoja inayoendelea pia tutasaidia kuifanya lugha yetu ya kiswahili ikue kuliko kutumia hayo maneno INSENTIVE CAPACITY na PERFOMANCE wengine tunashindwa kuelewa maana ya mjadala unaoendelea chonde chonde ndugu zetu bungeni wasomi tusaidieni kutumia kiswahili fasaha. Asante sana.
Mimi ni team GWAJIMAAAAA namkubali Sana 🙏🏼🙏🏼🙏🏼 anaeleweka
Wewe Uhondo TV Pambafu sana wewe! Kichwa na habari yenyewe tofauti! Utakuja fungwa
Nilianza kumuelewa Ngwajima lkn kwa maelezo ya wabunge wenzake kuna harufu ya ufisadi
Hata mm
Kweli
Utapeli huwo asante olesendeka zambia wanalia wachina sio watu wazuri.
Uzalendo uko wapi jamani?
kama ni ufisadi huo nao umenizidi jamani dah!
Thanks for sharing with me
Mungu akupe ulinzi ukweli hawapendiii
Gwajima namkubali sana lakini kwa hapo hapana....utadhania kalambishwa asali vile. si kwa kutetea huko. au hesabu imempiga chenga leo?
20% sisi kwa 80% wachina anatetea vipi mradi huo?
itakuwa bure kweli? tunapata mashaka
ascofu anaeleweka vizuli sana Kwa yeyote mwenye utashi atakubaliana nae mungu akuzidishie hekima na ushauli mzuli katika kuliendeleza taifa hili Kwa masrahi ya nchi yetu ubalikiwe sana mtumishi
Mhe gwajima yuko sawa. Wanao pinga hoja zake ni wale wanao jaribu kuleta urafiki na wale wanao jifanyia mambo wanayo taka Asheri Kagema
Huu ndio utamu wa binge LA chama kimoja
Q1q1
Hawa wanatupumbaza tu kwa kuhamisha hoja.ole wetu
🏁
ongeleni sana wabunge Kwa kweli wananchi munatupambania
Hahahahaha...yote sawa wakipata sawa wakikosa sawa...nchi hovyo.
Gwajima mpigaji tuu
Namuelews sana gwajima kwenye hoja na maswali hongeza juhufi na niaha ya kweli huje kuokoa tanzania
nakuona mbunge wangu Dr Ashatu hapo
njee hatuma mafunzoo husina kufunza tembo kuelewa hili nineneo husikabkwa binadamu jee holo mumelifanyia kaxi jee itawekana
Hapo mchungaji Gwajima naona ni diri moja na hao wachina na ile kamati iliyoenda hadi China ikamatwe
Tujifunze lujipendelea kama wengine nao wanavyojipendelea. Uzalendo uanzie kwenye kulipenda taifa lako. Tusikubali kuwa shaba la bibi. why?
20% kwa 80% bado tunapigwa tu kama ngoma 😂😂😂
Huu ni utapeli, madini hayaozi
Sasa ukweli ni upi ikiwa nyinyi mnapingana mbona mnatutoa imani mna bahatisha tu hapo bungeni na kamati mnapiga allowances za safari tu huku wananchi wanakamuliwa kwa kodi tu mbali mbali hamtoshi mmeshindwa jiunzuluni mpishe wengine
Waliosaini huo mkataba nao wametuuza kwa bei ya nyanya mbovu. Hata uzalendo na mcho yao haupo. tungaangushana kweli.
80% kwa 20% sijaelewa hapo.
Tuache madini yetu! Tuchimbe wenyewe!!
Mchungaji safari hii umechunga mbuzi ni wajanja haooooooo
Umetumwa gwajima
Fyuuuuuu
Hakika
@@janethpallangyo3855 unasunya nn Sasa?
Ivi simanjiro kata ya Terrat sio Tanzania🇹🇿
Gwajima apokee somo kwa wenzake
Gwajima wewe ukoje??unachokitetea ni Nini hapo??huu ni wizi uliotukuka.!wao wabebe 80% na sisi 20%???HAIWEZEKANI
Gwajima,utaongea,ukweli,lakini,,,hutaeleweka, had, hao,wanaekupa,taarifa,.........unafikiri,,....................
Ufisadi huwo bwawa la mwalimu nyerere litafanya kazi gani kama unampa mkataba miaka100
Bora sana walivyouzima huo mkataba wa kifisadi. jamani tumechoka kuwa shamba la bibi.
mkataba gani huo kweli?
Yaani pesa yetu, makaa yetu, ardhi yetu, nchi yetu halafu tuambulie 20% na mchina aondoke kwao na 80%? haiwezrkani.
ujinga mtupu
Tunakushukuru bwana gwajima teteeni nchi sisi huku tukiongea tunaogopa tusaidieni
kee thamaa nini kwa hlllbjee thanaa nininkwa huo mrado ndio tuede
Wanapinga wachina...na wakati huo mikataba mikubwa wamepewa wachina....halafu Misaada wanaomba marekani.....bandari na mabarabara....na mengine mengi
Gwajima hapa umepuyanga sana, mtu anakuja na technologies tu ndio apewe 80% hakuna kitu kama hicho
Sikiluza upya
Gwajima huwa nakuelewa ila kwa hili umeboronga, yaani muwekezaji kwanza hana deposit yakutosha, pili ma tatu yeye achukue asilimia 80% na nchi yetu ibakiwe na asilimia 20% kweli hii inakuingia akilini😡🤨🤨🇬🇧
Umetuma asikofu au umepewa kidogodogo
Wezi watupu hao
Hapa sasa ipo shida ukiona serikali na wadau wake waki defend sana ni ktk kuwalinda wabadhilifubGwajima tunakutegemea sana kwa hili
Bishop gwajima umezingua
Wataalamu mafisadi
fikiria 20% tubaki nayo sisi wenye nchi yetu na mtaji ni wetu halafu ati 80% waondoke nayo wajanja halafu bila haya tunashabikia!
Ina maana hata hesabu rahisi tu ya kujumlisha na kutoa nayo watanzania inatushinda? au ni uzalendo hatuna? au uwezo wa kufikiri ni mgogoro?
Kazi iko
Waziri anampa taarifa mchangiaji hahaaaaa
Sio mladi huu ni mradi huu
Yaani hawa ccm bhana, mikataba ya kifisadi wamesaini wao halafuwanataka tuwasikilize wakibishana. Nchi ilishawashinda
Gwajima unaowatetea kwa utaalamu hawa ndio wanaotuhujumu usitiamishe kwa suala LA mikataba vinginevyo Gwajima amepewa kitu kutetea huo mradi
Tumbuaneni mna tuibia sana
Uzalendo ni muhimu sana kwa nchi yetu wapo viongozi wapo selikarini sio wazalendo kwa taifa letu la Tanzania 🇹🇿 wapo kuumiza uchumi wa Tanzania Nakajima piga kazi
Gwajima mpgaji
Hogera
Gwajima piga kazi mungu anakuona
kazi gani?
kutetea nchi kuibiwa?
1.2 billion dollars ndio gwajina anaona ni point ya maana. Kingine ni miaka 100. Hajafikiria juu ya mwekezaji huyo anachukua kias gani.
Hapa Kuna Jambo viongozi wengine siyo waaminifu,taifa letu ni tajiri Sana lakini wanaotumwa wengine hawaaminiki,ombi watanzania tunaomba kamati iundwe kuifuatilia timu iliyotajwa na mh ngwajima,hapo Kuna kinachoendelea binafsi.
gwajima unatetea mafisadi looh
Gwajiboy anabishana na mtaalam aliyekuwa Chair wa Kamari ya Viwanja. Kufanya kosa si kosa bali kurudia kosa ni kosa. Lkn naona Kama kakubali yaishe kiaina!😀😀😀
20/100% ya mali yetu inawezekanaje???
Mimi na ukoo wangu.tumekuchagua wewe uwe Raisi wetu.
Nyie n w hovyo
Gwajima anazingua
Hapo gwajima unataka kuitapeli nchi.
Haiwezekani awamu tatu zote zilione jambo hilo halifai halafu wewe utuaminishe kua ni mradi wenye faida na nchi.
Ubaya zaidi unatutamanisha kisha tukitoa hoja za kukataa wewe unatoa angalizo la vitisho vya kulipa fidia za kusaini.😀😀😀
Hawa ndo wale wanaishi na wanachokiamini
Bunge halina chalenge ni uhuni mtupu watu wa chama kimoja watajikosoaje? Msitu mpya nyani walewale.
Mbona km Gwajima katumwa??? anatumia tarakimu za hela kuhadaa kwamba ni nyingi wakati kiuhalisia kinachostahl ni king zaidi... Kwanza 2014 hakuwa mbunge na sidhani km alikuwa ameshaset plans, zaidi sana wanaotoa taarifa ni watu waliokuwepo kwenye process nzima
Tuchimbe wenyewe!!!!
Anaona milioni 600$ hela nyingi 😂😂😂😂😂
Kwan ni hela ndogo
CCM mbonaivo jaman
Hapo kwenye miaka 100 sikubaliani kabisa, na hapo kwenye asilimia 20 hapana kabisa, mpango wa kifisadi kama mwizi
Hapo Kuna mahesabu ya gharama za uendeshaji na mtaji 20% ni haina gharama yoyote
@@oscarmario466 hakuna kitu hapo. tunaanbiwa ati sis tutasevice mitambo na umeme tuuziwe pia..
utapeli mtupu... huo ni ufisadi
Huyu kfeli leo Bishop gwajima
Kwa nin hatufanyi wenyewe???? Kwani lazima mwekezaji
Ndio hatuwezi kuchimba hatuna utaalamu
@@mohdshebe5640 kwanin tusitengeneze wataalam wetu wenyewe lini tutakuwa nao kama ndio tatizo kweli???
@@mndambokilavo2502 PLO Lumumba aliwahi kusema kuwa "Afrika ni dhaifu". Ni mambo mengi tu hatuwezi kufanya!
@@mohdshebe5640 kwani Nini vyuo vyoote vikuu havifundishi utaalamu!! Au ni mtajia hakuna😆
@@judicalosika7642 wanaacha kusomesha vijana wanawaza uwekezaji wa kipumbavu Kama huu
Ufalme kufitiana!!! Wanajichanganya wenyewe
Not velliy good ni very good
Kwanini Gwajima huwezi kusema Biashara unasema Biashala kwanini huwezi kusema Tayari unasema Tayali, na Kwanini huwezi kusema Wizara unasema wizala na Kwanini huwezi kusema Serikali unaema Selikali ??????????
Sasa mradi wa $3b serikal ikope$2 na $b400 huyu mzee changmot
Hoja yako nzuri sana lakini jaribu kujirekebisha katika matamshi pahala pa R na L sipeke yako muko wengi lakini hayo ni makosa ndo maana sasa inasemekana kua kiswahili kizuri na hata english ni Kenya.
Siwa jinga! Mwekezaji umpe80au50hunaakili
Gwajima anafaa kuwa raisi miaka ijayo
We nawe vipi
Labda wa ukoo wako
@@williamenock7079 "sasa hata akiwa wa ukoo wangu inakuhusu nini wewe!! Halafu unaletea comment yangu shobo ya nini,Mimi sikuogopi jombi ngumi naweza na mateke.kama umezoea kuwatishia nduguzo watishie haohao waendelee kukuabudu wewe
wee
Anafaa 100%
Siku inakuja ambapo makaa ya mawe yatapigwa marufuku kutumika kama makaa kutokana na uchafuzi wa mazingira. Yatakapopigwa marufuku yatatudodea. Tuhakikishe huu mradi unaendelezwa lakini si kifisadi.
Aaaaa hizi ndio siasa ya Tanzania sijui nani mkweli kila mtu mjuwaji . ..huyu anajenga huyu anabomoa cjui nani mkweli hasa
Rais wangu kikwete alikuaga anatazama anasikiliza mwisho anaamua kucheeeeeeka.... Kicheko fran hivi ahahaha haha!
Mwamba anajua Sana
Bora umetumbua japo wote ni vilaza
Asa huyo anayepiga makofi nyuma yako hapo kila kitu anakuelewa kweli askofu!!!!!!?!!!!!!!
Gwajima alitaka kuingiza chaka watu na mishe zake za ufisadi akahisi watu hawaujui uo mkataba 😂.. watu wanampa facts zenye evidence anabaki kukataa
Ccm woote
Ni takataka
Mchungaji ameveshwa kamzu ndani ya kamati baada ya kuona hatakubali
Gwaji leo kachapwa !!
Wewe ndiye Raisi wangu ujae.Mungu akulinde.
Sasa hujasema yupi
Kumbe mueshimiwa ntuwadili
Waitwe wabunge waupinzani ndo weny akili Zaid wa mambo uyu gwajima anaujuaji wa juu juu tu
Nani mkweli hapo ,ngoja tusubiri
Serekali fanyeni wenyewe Sasa kwanini mnawapa wawekezaji
Mnaendeleaa kuchima chumba
Gwajima anajua kutengeneza hoja zenye ushawishiii hapo hata Kama muda umeisha lazm spka atasema endelea tu
kama nakuerewa hivi
Gwajima mcheza senema za ngono hakustahili kutiwa bungeni,ni dharau kwa watanzania.
Askofu kaingia kwenye biashara.. shame on you
You don't know a thing, yeye is honor and defending a country so cool down he is man of God let Him do his work
Ugwajima apewe ulinzi,
NAONA TAARIZA NI MBINU YA KUPOTEZA HOJA KUU NA MUDA
Mh GWAJIMA hapa awe makini, mikataba ya Wachina INA matatizo yake, UKWELI waweza kumshushia sana TRUST. Hata wale wa Bagamoyo walikuwa wamesaini tayari, na China walikwenda, ila nkataba bomu. Panahitaji moyo wa jiwe kwenda CHINA, afu ukarudi mikono mitupu kwa ajili ya Taifa lako. Mh. Gwajima be careful, Wachina siyo MAZUZU.
yap! yap!!
Namuunga mkono my Bishop Dr Joseph kwa hoja nzuri na team committee iliyoundwa imeumdwa na wataalamu wenye uelewa mkubwa inayojenga Tanzania tunaitaji kupiga hatua na kuwa na viongozi wenye uelewa mkubwa ili tupige hatua
unamuunga mkono bishop au uniunga mkono huo mpango wa kifisadi? maana hata mtoto hawezi kuwaelewa hao watanzania wenzetu walitaka kutupeleka wapi na huo mkataba wa aina hiyo. ndiyo maana wanachunguzwa maana dah 20/80 kwa miaka 100 haingii akilini. hadi mwili unasisimka kwa mshangao
Gwajima tunakuelewa sana piga kazi
Bunge la mafala