DUH! Mbunge wa Ngorongoro amgomea Kikwete bungeni | "Anaongopa anavuruga | Hajui anachokiongea"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 жов 2024
  • Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
    Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
    Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

КОМЕНТАРІ • 267

  • @hustlermeshuko2149
    @hustlermeshuko2149 2 роки тому +38

    Hongera sana Mheshimiwa Oleshangai kwa kusimama na wananchi wako tupo nyuma yako tunakuunga mkono hakuna ardhi kunyakuliwa kiholela

  • @kayangismaili9946
    @kayangismaili9946 2 роки тому +48

    Hongera sana mheshimiwa ole Shangai kwa kuwatetea wanainchi wako tunahitaji viongozi kama hawa mungu wa mbinguni akubariki na akupe hitaji la moyo wako

  • @MaaneML
    @MaaneML 2 роки тому +7

    Hongera Sana Mh. Mbunge wa Loliondo. Hadi nimelia kama Mtanzania Mzalendo mwenye uchungu na nchi yangu. Hawa ndiyo Wabunge tunaowataka. Bila woga anatetea Watanzania. Hao wa taarifa kaeni chini maana sitaki niseme chochote kuhusu Vibaraka wa wale ambao ukiingia huko mtandao inasema "Welcome to ......."

  • @cosmasparkire1837
    @cosmasparkire1837 2 роки тому +38

    Mbunge wangu mhe ole Shanghai Mungu akulinde popote ulipo

    • @nyambegamatoro6817
      @nyambegamatoro6817 2 роки тому +1

      For sure, it needs confidence and knowledge of what you might be defending. Then it comes to be a determinant factor for people's representative should be knowledgeable and courageous to defend people's rights and the nation at large.

  • @elijahnkoidela4262
    @elijahnkoidela4262 2 роки тому +13

    Full of wisdom and defensive,,, I just want to say Amen,,and freedom of our pple is soon coming,, God bless you sir.

  • @ezekieltate4877
    @ezekieltate4877 2 роки тому +19

    Hongera sana mheshimiwa oleshangai kwa kusimama na wananchi,hakika siku ukipata nafasi ya kuteuliwa kuwa president of united republic of Tanzania,hakika watanzania watafaidika sana na maendeleo utakayowaletea, hello watanzania hao ndo viongozi wa kuigwa ktk Taifa hili

  • @piniellaizer5753
    @piniellaizer5753 2 роки тому +16

    Yaan Huyu mbunge Mungu amsaidieeee Sanaa kila akitoaa tamkoo mtu anasemaa taarifa why's hayaa ni maisha ya watu ndugu zangu

  • @jeremiahandrew1849
    @jeremiahandrew1849 2 роки тому +8

    Duu kumbe kuna baadhi ya wabunge ni majembe,big up sana bro kutetea wananchi wako

  • @kisotasekwang7754
    @kisotasekwang7754 2 роки тому +28

    Tanzania tuna hali mbaya sana ,
    Yaani mbunge unasimama
    Kutoa taarifa halafu hujui unachokitoa ,
    Hongereni sana wanaowatetea wananchi
    Nchi inauzwa

  • @neemamaurice171
    @neemamaurice171 2 роки тому +12

    Huyu ni mbunge anayejua kazi yake hawa wa taarifa wanaangalia maslahi yao bravo mheshimiwa aluta continua

  • @suleymanally1465
    @suleymanally1465 2 роки тому +33

    Inashangaza Sana mambo ya msingi kama haya watu wanachekacheka 🙄 eleweni kuwa nyie ndio tumewatuma kusimamia haji zetu sijui mnaelewa ???

    • @sannycpaul9423
      @sannycpaul9423 2 роки тому +1

      Wamesahau mpaka karibu na uchaguzi ndo watakumbuka...wapuuzi sana yaani

  • @geraldbenjamin9302
    @geraldbenjamin9302 2 роки тому +20

    I hate hii kitu inayoitwa taarifa, ni upotevu wa mda tu

  • @ibrahimkibira9943
    @ibrahimkibira9943 2 роки тому +25

    Huyu ndio mbunge pekee anayeipenda sehemu yak

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 2 роки тому +7

    Don't try to undermine mbunge wa loliondo.
    Mbunge wa loliondo stick to ure points
    Hongera sana!

  • @azizawaziri1507
    @azizawaziri1507 2 роки тому +1

    M.MUNGU akulinde na ubaya wowote mtetezi wetu kila akuwaziae ubaya na umrudie mwenyewe 🙏🏿

  • @richardboaz-mashagospel2346
    @richardboaz-mashagospel2346 2 роки тому +22

    Wanamvuruga but being honest kuwepo wamasai katika eneo lao ni zaidi ya aridhi tu so kuwapeleka handeni kuna udhaifu mkubwa mambo kama **mila na desturi yote huendana na origin ya jamii husika**...kuna ibaada zao hufanywa..**je ukiwatoa hapo ukawapeleka mahali kwingine haya yote yamewekwa into consideration?** Au wanajizungumzia tu? Hawa wabunge wanaopinga wamelishwa nini?

    • @epafrangweshemi4014
      @epafrangweshemi4014 2 роки тому +2

      Sheria na haki against ugandamizaji. Liwekwe sawa badala ya kulipeleka kama Simba na Yanga.Huyo ni mbunge ndie mwakilishi wa jamii husika sasa hali ya kujipanga kumuatack haileti afya na mbunge ameketi kwa huzuni sana. Nmesikia akieleza kisheria consultation lazima ipite na kukubaliana na hao wahanga kabla ya kuanza utekelezaji.
      Watu wakishajibiwa maswali yao ndipo mwanzo wa kuondoa mgogoro. Mara zote shaka hutokea endapo jambo linachukuliwa kwa haraka bila ya sababu za kueleweka na bila kuzingatia utaratibu. Dhana inayokuja aidha kuna deal inayotumiwa na kundi wakiwemo wenye nafasi za madaraka na wenye ukwasi. Huko kuna mwana wa mfalme anaesikikana kuhodhi eneo out of legal criteria inafaa jambo hilo lipate muafaka. Wazo la kuunda tume nadhani ni sahihi ili kupata facts kwa lengo la kutenda haki na kuendelea kuleta ustawi kwa wananchi hao pia kwa taifa. Sura ilivyo sasa inachafua ramani ya Tanzania. Mama yetu Samia litazame kwa kina hili suala. Kazi yako kubwa ya Royal Tours uliyoifanya itaingia dosari, inafaa usafishe dosari hiyo ili kazi iendelee.

    • @richardboaz-mashagospel2346
      @richardboaz-mashagospel2346 2 роки тому +2

      @@epafrangweshemi4014 Hili swala sio gumu wala halina shida.....linafanywa kuwa gumu makusudi tu! Solution ni rahisi tu....take right decision in a way that **unathamini maisha ya hao watu, mila zao, imani zao, desturi zao** vitu ambavyo ni muhimu kwa ustawi wa jamii ya maasai. Huwezi kusema visiwani ni wavuvi then uwapeleke dodoma...unaua desturi na mila zao, huwezi kusema wasukuma ni wakulima ukawapeleka zanzibar wakalime karafuu unawavuruga, huwezi kuchukua watu wa sumbawanga uwapeleke mahali pengine na bado ukadumisha desturi, mila zao na ibaada zao...huwezi hata kama ukiwapa acre 200 maeneo ya mtwara....**hawa wanayajua haya tunayoongea hapa ila hawataki kuzungumza labda wanaogopa, au makusudi tu maana posho zinaingia hawajali malalamiko ya watu waliowachagua kuingia humo bungeni**

    • @rasmgz2367
      @rasmgz2367 2 роки тому +1

      Wabunge wana sahau mila na desturi zao.. Mwalimu alijitaidi sana kuweka free land yani makabira yote kuwa sawa kuingliana lakini sio kuhamisha mila na desturi zao. Hapo ni kutengeneza vyazo vya vita za ukabila. Ndio maana nchi nyingi za Africa vita utokea kwa ajili ya mixer roots za ukabila..Sasa wabunge wacheka tu kitu ambacho,, 0 point 👉 inakuwaje kuamisha kabila moja adi Mkoa mwingine, nini maana ya kuwa na Mikoa? Kama walikuwepo tokea kabda ya Uhuru basi wangetafutiwa maeneo ukouko sio kumpeleka mkoa mwingine. Wabunge wanatakiwa kueshimu kwanza mila na desturi...

  • @johnmlangi6890
    @johnmlangi6890 2 роки тому +6

    Well Spoken Hon MP, for Loliondo. Ukweli utakuweka Huru & karibu na Wananchi wote wa Tanzania

  • @songokimoson6490
    @songokimoson6490 2 роки тому +1

    Hongera sana

  • @EntSportTV
    @EntSportTV 2 роки тому +23

    Nimemkubali sana jamaa aya mabunge yanayoomba taarifa ni machumia tumbo mafala sana aya mtu anaongea jambo la muhimu yenyew yanapinga pinga tu

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 2 роки тому +3

    Tumesha waambia 2025 hayupo wa kumpa kura mama samia. Huo ndo ukweli, hata mfanyaje. PERIOD. Yaani mpaka bunge kutekwa big nooo. NYERERE anawaona kwa macho 4

  • @godfreysamson3069
    @godfreysamson3069 2 роки тому +4

    Safi mbunge kutoka ngorongoro weng wao wanaongea kwavile hawana family Wala ndgu uko lkn Kwa sis wenye familia zetyu mabib na mababu wako huko hatukubaliani na hloo kivyovyote vlee Niko nyuma Yako nko pamoja na wew piga kaz kak🤝✊

  • @gaspermoko9122
    @gaspermoko9122 2 роки тому

    Hongera sana mbunge wangu chuma Cha kazi mungu akulinde na haya tunayoyapitia kama jamii

  • @shininisoipano4973
    @shininisoipano4973 2 роки тому

    Hongerani sana
    Ni jambo la heri kuona wabunge wetu
    Kwa kututea wananchi was
    Mungu awabariki na kuwalinda

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 2 роки тому +5

    Ole shangai hongera uko vzr, tatizo watu wakishapewa vyeo kidogo tu wanatusahau wananchi Kwa kuitetea serkal hata kama inazingua...kuna mda muwe mnakubali tu kama Bashe then mnajirekebisha

  • @dicksonsheja251
    @dicksonsheja251 2 роки тому +20

    Wabunge kuweni na huruma na maisha ya wananchi wenu

  • @bonnyngowo7567
    @bonnyngowo7567 2 роки тому +17

    Kweli huu ni unyakuaji wa ardhi😭😭😭😭

    • @jamaa2760
      @jamaa2760 2 роки тому +1

      Kwa mujibu wa Sheria

  • @laizerloosipolio515
    @laizerloosipolio515 2 роки тому +4

    ❤️❤️❤️❤️💪daima jembe langu mapambano yaendelee na Mungu atusimamie

    • @tanzanite9944
      @tanzanite9944 2 роки тому

      Jembe lako lishafeli kwani lilikuwa wapi mpaka beacons zikawekwa linakuja kubwabwaja baada ya habari. Anafikiri beacons zitaenda kung’olewa baada ya kuwekwa? Bichwa bovu tuu hili.

  • @taitatimotheo3075
    @taitatimotheo3075 2 роки тому +2

    Hongera mbunge kwa kuwatetea wananchi

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 2 роки тому +10

    Hao wanaotoa taarifa lengo Ni kupotosha tu...

  • @isayamarkomokoro6605
    @isayamarkomokoro6605 2 роки тому

    Hongera sana mh olesendeka

  • @thomasolodi1320
    @thomasolodi1320 2 роки тому

    mungu akubariki

  • @mtekelechapemba5501
    @mtekelechapemba5501 2 роки тому +10

    Isije ikawa ni danganya toto, kwamba muda huu wote watu wote tupeleke focus yetu Loliondo na Ngorongoro, kumbe hiyo ikawa ni mbinu tu. T7napo focus huko kumbe wenyewe wanasafirisha mizigo haramu bandarini. Mie nasema tu

  • @timboxlee919
    @timboxlee919 2 роки тому

    Wabunge wengine ni mazuzu kweli,wanatetea mafisadi kuchukua ardhi ya wamasai, hongera Sana mbunge oleshangai

  • @samweltv2064
    @samweltv2064 2 роки тому

    Mungu akubariki sana Shangai nineona msimamo wako uishi sana ktk dunia hii.

  • @samgwazay1208
    @samgwazay1208 2 роки тому

    Kama hawa wangekuwa kumi tu nchi ingenyooka 💕❤️

  • @yakobomaganga6557
    @yakobomaganga6557 2 роки тому +3

    Ole Shanghai 🇹🇿💪

  • @kessyrojas9549
    @kessyrojas9549 2 роки тому

    hayo ndio mambo ya msingi tunahitaji kuyasikia wapiga kula sio mnatuambia mama Amina bungeni!!

  • @collinmhema5443
    @collinmhema5443 2 роки тому +13

    Hiyo ndiyo kazi ya mmbunge kutetea watu wake hiloo jimbo la loliondo ingekuwa na wabunge kama akina babutale lusinde manyanya na waimba mapambio wengine hakika wananchi hawa wangekuwa hawana msaada huyu mmbunge hata wananchi wake wamemsikia na hawawezi kumuacha japo anaweza akapigwa zengwe na chama chake

    • @eladiuspeter586
      @eladiuspeter586 2 роки тому +1

      Babu tale nae Mbunge

    • @gracethomas683
      @gracethomas683 2 роки тому

      Lusinde mtoe hapo……yule ni silent killer baba na anajua kucheza na karata wala

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 2 роки тому +2

      Sana mbwa wengine wanatetea wanyama ili wapige

  • @jamesponeca8912
    @jamesponeca8912 2 роки тому +13

    Mbunge yupo sahihi kuna siku,WEWE UTAHAMISHWA HAPO ULIPO KWA NGUVU KISA SERKALI WAMEPATA MWEKEZAJI

  • @mariomsenga
    @mariomsenga 2 роки тому

    Safi sana ole sendeka

  • @zachariamakamillo1965
    @zachariamakamillo1965 2 роки тому +5

    Ridhwani na babake ni weziiiiii

  • @yakontumokinoi661
    @yakontumokinoi661 2 роки тому +1

    Wengi wanacheka kwa unafiki mungu akubariki sana mh Shangai hatuna cha kuwalipa

  • @nicolauswandao8988
    @nicolauswandao8988 2 роки тому +1

    Hao wanaotoa taarifa bila research ni kuleta fujo. "They must come with evidence on their opinions" Nakuelewa sana Mbunge endelea kukataa taarifa zote ambazo ni za ovyo

  • @ceciliamagalabajimmy4391
    @ceciliamagalabajimmy4391 2 роки тому +5

    Ndio faida ya kuwa na kiongozi mwenye elimu sio bora anajua kusoma na kuandika . Wa mapambio ndio wananikera mimi kuliko ugali kwa njegere.

  • @fraviansweetberty8819
    @fraviansweetberty8819 2 роки тому +1

    Mtu akisema ukweli ety anavuruga mtafika mbingun mmechoka🙄🙄🙄🙄

  • @josephlushinge8156
    @josephlushinge8156 2 роки тому +2

    Kikwete nimkimbiz mulipa inch kwa nini

  • @theresiamwandara7990
    @theresiamwandara7990 2 роки тому +25

    Naumia sana mtu mwenye hoja nzuri anapokua interfered.Hii nchi bila vita hatutaheshimiana.Kuna mambo mengi watu wanazimwa lkn yanaumiza.Wamasai ni watu wenye msimamo hawatishwi na wavulana.

    • @geraldbenjamin9302
      @geraldbenjamin9302 2 роки тому +1

      Ni upuuzi mtupu, mengine hayana hata hoja kabisa

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 2 роки тому +1

      kabsa bila kusimama mkapinga dhulma kilasiku mtakua wakimbizi ndani ya inchi yenu uoga mbaya sana

    • @Bar-ngayo2024
      @Bar-ngayo2024 2 роки тому +2

      Haki inahitajika kweli,ila unajua madhara ya vita au nikuchangia tu kwa uchungu tulio nao??
      Tusiombee vita vikaingia Tanzania,aheri tuonekane wajinga na waoga kuliko vita viingie Tanzania

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 2 роки тому

      @@Bar-ngayo2024 nadhani uoga wako khaufai kama wbabu zenu wangeogopa kama mnavoogopa wewe na baadhi basi uhuru msingeupata mgekua bado mnatiwa minyororo so uoga mbaya sana kuokoa taifa na kizazi cha kesho lazma msimame kupigania haki za inchi kama wazehe walimwaga damu na kukubali kufa ili nyie mje muishi vizuri sasa kwanini nanyie msikibali kumwaga damu kwa ajili ya vizazi vyenu ? mtaliwa hadi lini ? mtateseka hadi lini wakat uhuru mnao wakusimama kupinga dhulma ya wachache ,,,,

    • @epafrangweshemi4014
      @epafrangweshemi4014 2 роки тому +1

      Ni uchungu tu huu. Vita jambo jingine na usitegemee iingie vita Tanzania ipoe kesho. Tuna RASLIMALI nyingi zonazomezewa mate na mataifa lukuki. Tutasalitiwa hata na jirani zetu. Tutakuwa km DRCongo. Tujipangie kuwa tunachagua viongozi wapenda watu sio wapenda vitu. Mambo ya kupewa 10, 000/= unamuacha kiongozi mzuri unauza kura ni mbaya sana. Huyo akiingia madarakani anakwenda kufisadi tu usitegemee kunufaisha umma. Chumia tumbo inatusumbua sana sisi watanzania.

  • @lilykarim8968
    @lilykarim8968 2 роки тому

    Asante mungu wa mbinguni wanaoshangiria wezi wamebaki kutuvuruga

  • @songokimoson6490
    @songokimoson6490 2 роки тому

    mungu akusaidi bungeni mm baraka kimoson pinganiya ichii yako

  • @olobikoomollel3898
    @olobikoomollel3898 2 роки тому

    Mh. You are leader mzalendo please usikubali kuingiliwa bila kuvuatwa taratibu za kisheria maana tulikuchagua utuwakilishe na sio hao wanaotoa taarifa kukuforce in your land bcoz they must came by step as rules said.

  • @adolphdavid2572
    @adolphdavid2572 2 роки тому

    Haya nì Mambo ya msingi sana Msiwekee mzaha KUCHEKAAA!!!

  • @jonimarwa597
    @jonimarwa597 2 роки тому

    Mbunge wa Ngorongoro Yupo sawa Kwa anachokipigania kwhy ifike mahala Kwa usichokijua usikiingilie maana Kwa Wabunge wengine ni wageni wa hayo Maeneo

  • @justinejulius2319
    @justinejulius2319 2 роки тому +1

    Jamani

  • @doricekibona5993
    @doricekibona5993 2 роки тому +1

    Hivi huyu mbunge aliyefunika mdomo ni wa Jimbo ganii?? Watu wa Jimbo lake wanaumwana kweli?

  • @racerbmkali
    @racerbmkali 2 роки тому +4

    Uyu mbunge naomba ajengewe sanamu lake mambo yasiwe mengi.

  • @laurencemassawe9100
    @laurencemassawe9100 2 роки тому

    Uyu mbunge yuko vizuri sana

  • @nyamwekomatoke9951
    @nyamwekomatoke9951 2 роки тому +3

    Wanayoyaongea hao akinakikwete ndo wale wale majambazi wa ardhi
    hawana uchungu nawanaichi wa Roliondo

  • @williamjoakim304
    @williamjoakim304 2 роки тому

    Upo sahihi kabisa

  • @venantrugabela6798
    @venantrugabela6798 2 роки тому +1

    Wabunge wa CCM wanashangaza sana

  • @amosafrica2350
    @amosafrica2350 2 роки тому +2

    Huu utaratibu wa taarifa ni kuvuruga wasemaji makini tu. Mbunge anatetea wananchi wake halafu mifukwekwe inatokea nyuma taaarifa taarifa.

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 2 роки тому +3

    Kikwete mungu anakuona ni muongo

  • @saidnkwabi2475
    @saidnkwabi2475 2 роки тому +3

    Wale “collaborators” Tulikuwa tukiwasoma kwenye historia kipindi cha ukoloni sasa ndo nawaona na naelewa relevance yake. It’s sad. Very sad.

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 2 роки тому +2

    Kama Wabunge wa eneo husika wanapinga hiyo kitu kwa nini tunalazimisha. Wabunge ni Wawakilishi wa watu kama wanasema HAPANA maana yake wananchi wa eneo husika wamesema HAPANA.

  • @frankjohn8706
    @frankjohn8706 2 роки тому

    Waandishi jifunzeni na kiswahili vizuri, Kuna kudanganya,kusema uongo lkn kuongopa ni lugha ya wapi hii?

  • @abdallahyasin6829
    @abdallahyasin6829 2 роки тому +1

    Hapo ndio utajua viongozi wa wa watanzania na viongozi wa mabeberu. Roho imeniuma sana mbunge anatetea wanainchi wake na wengine wanatetea matumbo yao

  • @samweltv2064
    @samweltv2064 2 роки тому +1

    Nasimama na mheshimiwa shangai hao wengine ni kujikweza tu muacheni aongee anaeshi uko nyie hamuishi uko.

  • @laizerloosipolio515
    @laizerloosipolio515 2 роки тому +1

    Kama ardhi ilwekwa na wakoloni kwann haijatengwa Tangu mwaka huo?

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 роки тому +1

    Hao waliochaguliwa na mama naibu waziri wa ardhi hao ndiyo wakomba nchi wameiuza nchi kwa waarabu

  • @doricekibona5993
    @doricekibona5993 2 роки тому +1

    Sasa huyo libaba lilivaa barakoa ndiyo nn sasa haoni aibu embu toa huko mdomonii ili uongee è utetee watu wa Jimbo lakooo

  • @Silyvesta
    @Silyvesta 2 роки тому

    Hahahaha 😂🤣😂😂🤣😂 serikari waongo mtu mnawanyanyasa wananchi

  • @robertokasike4824
    @robertokasike4824 2 роки тому +1

    Wabunge mnatia aibu kwa kuminya maelezo ya mbunge wa loliondo

  • @ellyitete938
    @ellyitete938 2 роки тому +14

    Tunawaombea watetezi hizo ni roho Mungu wa mbinguni anaziachia za kizalendo kupinga dhuluma

  • @AliAhmed-gn4pf
    @AliAhmed-gn4pf 2 роки тому

    Seriously wabunge wa tz hupokeya ngapi kwa mwezi sisi Kenya mubunge 20000$ kwa mwezi na kitu juu

  • @josephneja9109
    @josephneja9109 2 роки тому

    Mbunge wa ngorongoro amgomea kikwete !!! Kichwa Cha habari ni tofauti na yaliyo zungumzwa humu! Sielew mna maana gani?

  • @jonahmathayo5156
    @jonahmathayo5156 2 роки тому

    Huyu Mwenyekiti yupo safi sana.

  • @robertokasike4824
    @robertokasike4824 2 роки тому

    Mbona wabunge mnatumia nguvu sana kulazimisha na kinachoendelea loliondo?

  • @athumanihassan8462
    @athumanihassan8462 2 роки тому +3

    Huyu ndio anafaa kuwa mbunge yupo makini na kazi yakw

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 2 роки тому +1

      Sana kaka wanamvuruga anapoongea ukweli

    • @saeedally268
      @saeedally268 2 роки тому

      Huyo riziwani fisad tu hawo akina kikwete ndo wanaharibu nchi hawafai ipo siku mungu atawahukumu hawo ndio waliokuwa wanamuhujumu magufuli hawatufai watanzania

    • @abuushakiraddausiy8666
      @abuushakiraddausiy8666 2 роки тому

      Wabunge wengii wachumia tumbo

  • @ahz6907
    @ahz6907 2 роки тому +2

    wasihamishwe.patachimbika...

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 2 роки тому

    Ona jambo la linaloongeleewa ni la maaana lakin makofi 2tu wengi wanajaza matumbo.hongera såna kaka

  • @israelsimba4954
    @israelsimba4954 2 роки тому

    Soma sections 6 , 7 na 181za Land Act 1999 Act No.4 Cap 113 utapata ufafanuzii na jibu la kisheria.

  • @billgussy6099
    @billgussy6099 2 роки тому

    Ccm wame vuruga sana maisha ya wananchi

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 2 роки тому +1

    Bahasha za kaki kimyaa, zinatembea bungeni, ila watanzania wote tutawa kula, wasema ukweli.

  • @prospermalala6636
    @prospermalala6636 2 роки тому

    Vimeumana ndani ya CCM, aridhi imechukuliwa na waarabu walitutesa Babu zetu wamerudi Kwa kuwekeza lkn tabia zao nizile zile

  • @johnkingunge7964
    @johnkingunge7964 2 роки тому

    Huyu mbunge ananibariki sana maana anaongelea hali halisi ya jimboni kwao

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 2 роки тому

    Wengi humo njaa zinawasumbua hawajui maisha ya watu na amzingira waliyozoea leo mtu kazoea polini umpeleke mjini tena kwa nguvu, ila Mungu anawaona mkimaliza ubunge wenu mtatukuta tu huku mapolini muanze kuomba ashamba ya kulima.

  • @shabanijuma2085
    @shabanijuma2085 2 роки тому

    Mara Mipaka .Mara wanainchi wanaama . Nyinyi mmesema mnaweka Mipaka tu hao wanao ama kinanani

  • @MaliusYohana
    @MaliusYohana 2 роки тому

    Too bad for the government..poor government

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 2 роки тому +1

    Wengine wanamasilai ya binafisi. Baada ya masai kutoka tutaona

  • @benjaminimiselya6944
    @benjaminimiselya6944 2 роки тому

    Awamu zilizopita mbona hazikufanya haya.Baada ya Samia kucheza movie Mabeberu wamwamwambia nenda kawafukuzwe Wamasai Ili wao wamiliki(Ujue Uthaifu wa Kutawaliwa na mwanamke)

  • @reganshao
    @reganshao 2 роки тому

    Yaani mtoa taarifa wa kwanza nimekuchukia sana bwana akubadilishe uache ujinga. Swali kama ni kutenga kwujua mipaka kati pori na wananchi mnawahamisha wa nini?

  • @chrisjacob4057
    @chrisjacob4057 2 роки тому

    Mm sijui waziri huyu wa ardhi ninan aliyemchagua

  • @olewangaparmitoro1395
    @olewangaparmitoro1395 Рік тому

    Mtoto wa ngorongoro aliyezaliwa na anatakaye zaliwa baadaye atakukumbuka kwa maneno haya

  • @wahapahapa3279
    @wahapahapa3279 2 роки тому +1

    Alafu uyu kikwete na watu wake hawafai KWANINI MNGANGANIE KUPIMA ENEO HILO MBONA MAPORI YAPO MENGI KWANINI WASIENDE KUPIMA MAPORI YA CHALINZE YEYE ANGANGANIA WATU WAPIME MAPORI YA ARUSHA KAMA HAKUNA MASLAI BINAFSI,Acheni wizi mmekula sana nchii hii bado hamtosheki #ripmagufuli

  • @flyracetvkenya
    @flyracetvkenya 2 роки тому

    Tunapenda vile Tanzania mko juu katika Bunge lenu na mko na viongozi sio wanasiasa

  • @amaninaupendo.3539
    @amaninaupendo.3539 2 роки тому

    MUNGU ALIE MUNGU MKUU YUPO MH ATAWAPIGANI ILO NAMINI. AMEN. MBONA SASA WATU WANAHAMA KAMA NI MIPAKA TU INAWEKWA ?. (NAWASII MWANGALIENI MUNGU MKUU JUU YA MAAMZI NA UTU WA WATU WA TAIFA PIA. AMEN.

  • @simonzelote5998
    @simonzelote5998 2 роки тому

    Mh ridhiwani Ni lazima aitetee loliondo ichukuliwe kwa sababu atakuwa na manufaa na yanayoendelea.

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 2 роки тому

    🤔Hii taarifa mbona haiheshimu muda wa waheshimiwa wanakatizwakatizwa ndio utaratibu au hatupendi kusikia ukweli?

  • @babupusindawalaizer6515
    @babupusindawalaizer6515 2 роки тому +1

    Ngoja lifiki la Mlimani Mwanza tuone ukanda utakavyojionyesha

  • @loitushulyamat2738
    @loitushulyamat2738 2 роки тому

    Wamasai popote pale mlipo mko hatarini kwa mifumo na sera ya ardhi ya nchi yetu. Yanayowakuta ndugu zetu wa ngorongoro zitawakuta tu jiandaeni kwa hilo.

  • @SKY-fk3fz
    @SKY-fk3fz 2 роки тому

    Lakini maisha gani wanoishi wamasai bora wabadilishiwe mazingira wamasai wanaishi kama wanyama