Mbunge wa Ngorongoro Acharuka, "Kama Hamtaki Watu Ngorongoro Semeni Kuliko Kuwatesa"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024
  • Mbunge wa jimbo la Ngorongoro, Emmanuel Ole Shangay amehoji kuwa kama zoezi la kuhamisha wananchi wa tarafa ya Ngorongoro ni la hiyari, kwa nini Serikali imekuwa ikiweka vikwazo kwa wakazi hao tangu mwaka 2022 kama vile kuwasitishia wananchi hao takribani 100,000 baadhi ya huduma za kijamii.
    Ole Shangay amehoji hayo wakati akichangia hoja Bungeni wakati wa mjadala wa bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa fedha 2024/25, ambapo ametishia kushikiliza shilingi endapo hatapatiwa majibu kuhusu suala hilo.

КОМЕНТАРІ • 71

  • @dodiaisrael6916
    @dodiaisrael6916 5 місяців тому +4

    Hongera sana Mhe. Mbunge Wangu Oleshangai....unatusemea wananchi wako Kazi kwa Watawala.

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 5 місяців тому

      Ni nini jamani kuwatesa wananchi ndugu zetu wamasai??

    • @salummohamed2689
      @salummohamed2689 5 місяців тому

      Huu ni ukatili wa serikali hii.

  • @ndootowilliam
    @ndootowilliam 5 місяців тому +3

    Hongera sana Mh umefikisha kama ilivyo

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 5 місяців тому

    Hi serekali ya ofvyo sana Yani tunatesa wanaichi wetu wenyewe

  • @abidandastanmaliyatabu1373
    @abidandastanmaliyatabu1373 Місяць тому

    Sasa kuwakatia maji raia huo si ukatiri huo unaofanya na serikali

  • @DanielOlosisi
    @DanielOlosisi 5 місяців тому

    Ombi langu mungu akulinde tu unafikisha sms

  • @Alexkilort
    @Alexkilort 5 місяців тому

    kwakweli kabisa kwanini taifa umoja la wamaasai wananyanyasa Sana 😭

  • @masanjamahega3296
    @masanjamahega3296 Місяць тому

    Tuki wapa kura sawa kutunyanyasa kwenu

  • @mwanagwakyala3213
    @mwanagwakyala3213 5 місяців тому

    maswali yako mazuri sana kama ni hiari kwa mtu kwanini wawekewe vikwazo

  • @MossesiMosessilaizerlaizer
    @MossesiMosessilaizerlaizer 5 місяців тому +1

    You right mh Hawa wa2 wanata kuuza izo land zetu by the way but with tunasema never never

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 5 місяців тому +1

      Tayari ziko na mwingereza, mmarekani na mwarabu

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 Місяць тому

    Sasa ndio mmepata majibu

  • @WilbertChambilo-yl1kc
    @WilbertChambilo-yl1kc 5 місяців тому

    Amechangia vzr sana tena Kwa utulivu kabisa

  • @Matayomollel-c4w
    @Matayomollel-c4w 5 місяців тому

    hongera Sana bunge wetu

  • @AllyFaraji-r4y
    @AllyFaraji-r4y 5 місяців тому +1

    Hapo ndiyo napoionaga ccm himeshindwa kutuongoza oja Ina mashiko lakini meza azigongwi wao uwambie kusifia TU mama anaupiga mwingie kama waseng

  • @success-only
    @success-only 5 місяців тому +2

    Hongera Sana mhe oleshangai kwa kusema kwa niaba ya wanangorongoro

  • @sharifubakari-e1s
    @sharifubakari-e1s Місяць тому

    Mhhh!!!!!

  • @SalimMakallah-e2r
    @SalimMakallah-e2r 5 місяців тому +1

    Asandeee sana ole shangayi umefikisha ujumbe kwa viongozi wa ngazi ya juu tutaona kama amefanyia kazi

  • @isaacalex6327
    @isaacalex6327 5 місяців тому

    inauma sana tanzania ccm ya nyerere

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 5 місяців тому

    Mmbunge anaongea yake tu,hakuna anaegonga meza wala pongezi,
    Wote wanaogopa ni kimyaaaa

    • @davidmalogo7100
      @davidmalogo7100 5 місяців тому

      Hilijambo linaonekana alieamlisha ni laisi ambae hao wabunge wanajua naakionekana mbunge anasapoti anainekana msaliti nahapo ndoujue wabunge wa kweli hawapo hapo kunawachumiatumbotu kwa hojahii yambunge ilitakiwa wabunge wote wachangie kutetea wamasai lakini wakokimiasana

  • @SalimMakallah-e2r
    @SalimMakallah-e2r 5 місяців тому +1

    Mungu akulinde daima mbunge wetu

  • @petermabula4492
    @petermabula4492 5 місяців тому +1

    Serikali Wana kusudi lao kwenye land ya wamasai yaani mungu atusaidie na atulinde

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 5 місяців тому +1

      Sio zetu tena ni wazungu, mmarekani mwingereza na mwarabu ndio wenye mbuga zetu turejee kwenye kauli ya job ndugai nchi imeuzwa vipande vipande

  • @RobertNdaskoy
    @RobertNdaskoy 5 місяців тому +1

    Umeongea ukweli mungu akuweke ulinzi

  • @jeremiahmsangi8215
    @jeremiahmsangi8215 5 місяців тому +1

    Meza haigongwi na ile mikofi zagao

  • @pauloropian2367
    @pauloropian2367 5 місяців тому +1

    Bunge la hovyo Sana Hawa Wana wangalia matumbo yao na watoto wao, mungu simama na watu wako,juu ya utawala wa mkoloni mweusi.

  • @NeyesuMollel
    @NeyesuMollel 5 місяців тому

    Oji pole sana shaagai ila agalia wasikufanye kama olesendek

  • @NDEWARA
    @NDEWARA 5 місяців тому

    Wanatakiwa wahame

  • @davidalais6899
    @davidalais6899 5 місяців тому

  • @Nyanda506
    @Nyanda506 5 місяців тому

    Wamasai huwa wakweli sana

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 5 місяців тому

    Nimempenda naibu spika... wabunge wa bara hawapo na hangaya..ametoa ngorongoro kwa wajomba

  • @jumamagoma1743
    @jumamagoma1743 5 місяців тому

    Njoo.chadema.ccm.haina.uwezo.wa.kuongoza.tena.wamekata.pumzi

  • @godlistengodlisten7552
    @godlistengodlisten7552 5 місяців тому

    Hivi Jamani Hii Ni Tanzania Yetu Tunayoijua? Mbona Wamasai Wanaishi Vizuri Tu Na Wanyama? Nyie Viongozi Mnaokula Dhuluma Na Kuwatesa Ndugu Zetu Wamasai Mungu Awaondoe Mfe Kifo Cha Aibu Kama Mbwa,😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @Emma300b
    @Emma300b 5 місяців тому

    Asante sana Mh. Nimekaa ngorongoro, nimeyaona hayo . Natembea naulizwa kibali kila mahali .

  • @AlaiganyaApate
    @AlaiganyaApate 5 місяців тому

    Hasante Mwechimiwa mbunge wetu

  • @clarencehilary5588
    @clarencehilary5588 5 місяців тому

    Ya olesendeka yasijekukuta mh maana huyu mama ni hatari sana

  • @meryshekoloa961
    @meryshekoloa961 5 місяців тому

    Jamanii tufike mahara tuone huruma na binadamu wenzetu nini maana ya ndani ya hifadhi watafutiwe eneo lingine ndani ya mkoa wao hata wale wa msomela wanateseka tu nyumba ndogo mira na desturi za tanga tofauti kabisa na za kwetu

  • @juliusndaserwa
    @juliusndaserwa 5 місяців тому

    Asnte Sana mbunge wetu wa ngorox2

  • @Felix-e6t4m
    @Felix-e6t4m 5 місяців тому

    atuiombi serekali ya Samia warudishe ngombe za wamasai na wakome kuwanyasa wanchi nakama ni. awa waarabu tumekataa kuporwa awakuja kutuangaisha waende kwao mswahili alisema mgeni aje mwenyeji afaidi sasa mwenyeji anafaidi ama anaumia wawekezaji waangaliwe sana watanganyika wasiumizwe nchni mwao kama wale wanawake wanaekwenda uwarabuni kufanya kazi ya nyumba wanauawa na kufanyiwa unyama wewe kama serekali umemleta mwekezaji ni jukumu lako kuangalia uyo mwekezaji matendo yake kwa raia wako ama wewe mmekubaliana yakwamba sisi raia wema tunyanyaswe na pamoja tuko nchini mwetu atutakubali Tena ujinga kama uwo iyo magufuli alikataa mikataba kama iyo watanganyika fungueni macho tunayajua yote mjue kuna mwisho

  • @emmanuelndotela9412
    @emmanuelndotela9412 5 місяців тому

    Jamani nyie mbona inaskitisha😭😭😭

  • @jakobongwara3038
    @jakobongwara3038 5 місяців тому

    Hawa wadudu wanatamaa nanchi wamekuamiungu ccm muwapende wananchi msiwamishe kwajili ya masilai yenu mtakufa mtaviacha acheni tamaa mungu awaone

  • @JohnKitamwasolemokotio
    @JohnKitamwasolemokotio 5 місяців тому

    Mbunge wa Ngorongoro ni mwamba amekuwa akifikisha vilio vyetu kwa serikali yetu sikifu. Mhe Rais naomba usikilize vilio vyetu hata sisi tunaoishi ndani ya tarafa ya ngorongoro ni watanzania

  • @salummohamed2689
    @salummohamed2689 5 місяців тому

    Wewe mbunge muulize Olesendeka.

  • @MiliarySingira
    @MiliarySingira 5 місяців тому

    😢😢😢😢
    Ukweli mtupu mhemiwa Shangai ameongea ukweli

  • @WilbertChambilo-yl1kc
    @WilbertChambilo-yl1kc 5 місяців тому

    Duuh jmn inatia huruma sana, mjitathimini sana aise.

  • @LemayanOlesenet-mq2yl
    @LemayanOlesenet-mq2yl 5 місяців тому

    Waambie kitaeleweka tu,wafunge masikio ujumbe umefika.

  • @lengishonsaborendimo.4560
    @lengishonsaborendimo.4560 5 місяців тому

    Hongera sana! Mheshimiwa hakika tunajifunia kuwa na mbunge kama ww

  • @emmanuelsitayo1977
    @emmanuelsitayo1977 5 місяців тому

    Hoja nzito hii na ni ya msingi kabisa.
    Serikali iliangalie hili suala kwa makini sana.
    Wananchi wasinyanyaswe ili wahame ni vibaya sana.
    Hongera sana mheshimiwa mbunge.

  • @isaacalex6327
    @isaacalex6327 5 місяців тому

    hay0 nimanen0 tu pana0nekana kunashinda

  • @MappyMollel-bm5zg
    @MappyMollel-bm5zg 5 місяців тому

    strong leader keep fighting one day yes

  • @salimumsoka9379
    @salimumsoka9379 5 місяців тому

    Duuuh 😭😭😭 my 🇹🇿

  • @OrmumaiKewon
    @OrmumaiKewon 5 місяців тому

    Hongera xana mbunge wetu

  • @KingiMakesen-ju9ot
    @KingiMakesen-ju9ot 5 місяців тому

    Inaumwa sana ila pole Mh mbunge tunaumiz san

  • @leyankoika1261
    @leyankoika1261 5 місяців тому

    Hongera sana Mh mbunge

  • @LameckAkyoo
    @LameckAkyoo 5 місяців тому

    Duuu

  • @onesmomalifedha4709
    @onesmomalifedha4709 5 місяців тому

    Too late brother, nini huelewi?. hahahahaa!!!!!

  • @kinyanjuisiraas6580
    @kinyanjuisiraas6580 5 місяців тому +1

    You said it all keep moving Mkuu 👏👏

  • @KiriaKipara
    @KiriaKipara 5 місяців тому +1

    Mbona hakuna mtu anagonga meza mnakaaaa kimya

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 5 місяців тому +1

      Hawataki hiyo maneno yake😢😢😢😢

  • @Joshuamollel-yz8qf
    @Joshuamollel-yz8qf 5 місяців тому

    Mungu yupo tu ipo siku moja

  • @ProsperMwakasungura
    @ProsperMwakasungura 5 місяців тому +2

    We jifanye wazungumza sana na huku jifanye huelewi.

    • @success-only
      @success-only 5 місяців тому

      Mpumbavu mkubwa Sana
      Kwahiyo unataka asiseme changamoto za wananchi?
      Kuna watu hawajitambui
      Endelea kushadadia upumbavu unaofanywa wezi WA Rasilimali za Taifa
      Kuna siku mtanzania na mzalendo atakuwa Rais WA nchi

    • @gaspermoko171
      @gaspermoko171 5 місяців тому

      Kweli ww ni sungura

    • @dodiaisrael6916
      @dodiaisrael6916 5 місяців тому

      We Vipi Asee? Unadhani Anadanganya? Tuulize tuliyopo Ground.

    • @JohnsonBagambi
      @JohnsonBagambi 5 місяців тому

      😂😂😂

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 5 місяців тому

      Kwa hiyo Wamasai siyo Raia
      Ni haki yao kuishi ngorongoro
      Wasinyanyaswe