USIKU WA MAOMBI 28/04/2023 by Innocent Morris

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 січ 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @ElizabethMasimba
    @ElizabethMasimba Рік тому +1

    Nimempokea Bwana Yesu

  • @emmiemmi3861
    @emmiemmi3861 Рік тому +1

    Mungu kumbukA familiar yangu

  • @BizimanaFreddy-zb6vv
    @BizimanaFreddy-zb6vv Рік тому +2

    Naomba buana yesu uniwezesh nipate mkee muema

  • @MamaAlinda-p1e
    @MamaAlinda-p1e Рік тому +12

    Bwana yesu naomba unikomboe kwenye maisha yangu pamoja na familia yangu

  • @AgnesManane
    @AgnesManane Рік тому +1

    Asante Munguwangu kwa afya na uzima

  • @stellagwao497
    @stellagwao497 Рік тому +1

    Yaani BWANA YESU sna viffaa halloo hii international Duh KWA KWELI MHHHH SIKUJUA yaani acha BWANA GLORY TO GOD YEHOVAH HALLELUIAH AMEN

  • @neemamaganga9774
    @neemamaganga9774 Рік тому +1

    Bwana Yesu hakuna jambo ambalo ni gumu,kwako yote yanawezekana

  • @stellagwao497
    @stellagwao497 Рік тому +1

    MTUMISHI YOUR EXCALLENCY HONORED TREASURED IN THE BODY OF CHRIST SIKUJUI HUNIJUI ILA TUMEUNGANISHWA KWA DAMU YA YESU YAANI HATA SIJUI IMEKUWAJE NIMEAMKA USINGIZINI CM ILIKUWA ON NIMEKUTANA NA HILI STOMIC NOM KWA KINYWA CHA MAOMBI HAYA DUH DAFI SANA SIKULALA MPAKA KUNAPAMBAZUKA NADHANGAA WHAT IS GOING ON THIS IS A BIG MIRACLE TO ME INDEED GLORY TO GOD HAKIKA MHH MHHH MHHH ❤❤❤❤❤❤❤

  • @susanmutio6682
    @susanmutio6682 Рік тому +1

    Mtumishi nimempokea yesu leo

  • @trizafrances4304
    @trizafrances4304 Рік тому +1

    Ni kumbuke mtumishi Mungu afungue njia zangu zi mefungika yangu Ni kuwa mdogo

  • @christinalawrence7493
    @christinalawrence7493 Рік тому +4

    Bwana Yesu nakuinua ni wewe peke yako hakuna kama wewe Yesu,niponye na uniokoe Yesu

  • @MercyMosh
    @MercyMosh Рік тому +1

    Baba. Yangu naomba katika maombi haya nitambulike mbelezako naitaji msaada wako yehova

  • @sifabahizire7596
    @sifabahizire7596 Рік тому +3

    Usiku hui mokozi Yesu naomba ulinzi mimi n'a familia yangu

  • @emilylyimo8157
    @emilylyimo8157 Рік тому +3

    Nitakusifu kila wakati wewe Jehovah

  • @bettycherop9405
    @bettycherop9405 14 днів тому

    Mbwana asifwe yesu kutana na mahitaji nyangu yote na ubariki kazi ya mkona nyngu amen 🙏

  • @leniswekesa1856
    @leniswekesa1856 Рік тому +1

    Nimepokea bwana yesu leo

  • @Handsomeke-psycho
    @Handsomeke-psycho Рік тому +1

    Ahsante sana mtumishi hata mimi kupitia maombi yako nimeona hakuna kama yeye mungu wetu wa mbinguni

  • @mariamalongo8803
    @mariamalongo8803 Рік тому +3

    Ehee nimeona yesu uniongoze .

  • @stephaniepayet9161
    @stephaniepayet9161 Рік тому +3

    Nime barikiwa katika Jina la Yesu

  • @MariselaMwenda-ct6rh
    @MariselaMwenda-ct6rh Рік тому +1

    Asante yesu juu ya maitaji yangu rohon mungu unaweza yote nitete bwana yesu

  • @gygy41
    @gygy41 Рік тому +1

    Mtumishi nimempokea bwana yesu leo

  • @enjomahenge9127
    @enjomahenge9127 Рік тому +4

    Ee mungu naomba uyakumbuke maombi haya 🤲🙏🙏🙏

  • @carolinelucky9199
    @carolinelucky9199 Рік тому +1

    Mungu bariki mtoto wangu anapo fanya mtiani

  • @jacklinemagere1796
    @jacklinemagere1796 Рік тому +4

    katika maombi haya Mungu sikilizeni haja ya moyo Wangu
    bariki maisha yangu bariki mama yangu baba yangu bariki family yangu bariki ndugu jamaa majiran i zangu adui zangu marafiki zangu ASANT MUNGU nahamini kwako nitapata kweli Asant yesu usiku huu tenda miujiza bwana

  • @munyarugereroDenny
    @munyarugereroDenny Рік тому +1

    Haleluya Mungu akubariki kwa mawombiako nimebariikiwa kwa maombiako pamoja naneno urio tusomea kwa Luka1:37Mungu aenderee kukupa nguvu nakaongeze mafuta ya maombi iri uenderee kutubariki wamini tuomwamini Bwana Yesu Kristo Amina

  • @frolencinahenry2407
    @frolencinahenry2407 Рік тому +1

    Bwana Yesu nakuinua wewe ni wewe tu ni Mungu pekeako hakuna kama wewe pigania familia yangu ndoa yangu na uchumi nakuhitaji Yesu

  • @Winfridankalupia-t8d
    @Winfridankalupia-t8d Рік тому +1

    Nimempokea Yesu awe mwokozi wa maisha yangu amina.

  • @ElizabethMasimba
    @ElizabethMasimba Рік тому +3

    Mungu kutana na mahitaji ya watoto wangu 31:07

  • @deborahkutika5158
    @deborahkutika5158 Рік тому +1

    Ubarikiweeee naamin napona

  • @favoredbyJesus
    @favoredbyJesus Рік тому +3

    Wastahili Jehovah

  • @christineobiri9033
    @christineobiri9033 Рік тому +1

    Mungu kasikie roho yangu na hitaji langu

  • @IRERISIMON
    @IRERISIMON 7 місяців тому

    Ni wewe tu YESU wa kuabudiwa na kupewa Sifa na Shukrani.....Amen

  • @agneslimo8750
    @agneslimo8750 Рік тому

    Bwana yesu kutana na uwitaji wangu nitoe kwenye nyumba za kupanga nipe nyumba yangu Sasa na familia yangu

  • @LilianMsei
    @LilianMsei Рік тому +2

    Bwana Yesu. Mponye mjukuu wangu Baraka damu ya Yesu imponye

  • @RosemaryNyalandu
    @RosemaryNyalandu Рік тому +1

    Ee mungu mwokoe mmume wangu ktk mate ya makahaba mmpe ifahamu akumbuke familia yake

  • @Handsomeke-psycho
    @Handsomeke-psycho Рік тому +2

    Ahsante sana innocent kwa maombi yako mungu amenisaidia sasa nimejua kuombana nimebakiwa

  • @chezalinaluzman77
    @chezalinaluzman77 Рік тому +1

    Bwana yesu naomba unisamehe yote niliyokukosea, na unifungue na vifungo vyote nilivyofungwa na wachawi najua wewe peke yako unaweza yote, basi baba Fanya jambo kwenye maisha yangu nataka kabla mwaka huu haujaisha nipokee hitaji la moyo wangu. Amina.

  • @ringorose3653
    @ringorose3653 Рік тому +3

    Hakuna lisilowezekana kwako Baba

  • @adylineamutamwa959
    @adylineamutamwa959 11 місяців тому

    Bwana Yesu pigania haki yangu jela kwa miezi nane Sasa fungua mlango yote niweze kukutumikia jinsi ipasavyo Mungu nijaze na uwepo wako Sana Amina

  • @Elizabeth-ds7yk
    @Elizabeth-ds7yk 4 місяці тому +1

    Oh yesu niunganishe na hi ibaada ya uponyaji

  • @JerinkDie
    @JerinkDie Рік тому +1

    Namshukuru mungu,mungu akubariki mchunguji mungu anatenda roho mtakatifu kanitembelea

  • @RamadhaniLuhizo-lw5ge
    @RamadhaniLuhizo-lw5ge 9 місяців тому

    Bwana yesu niko hapa tenda mujiza katika uchumi wangu. Nipate fedha

  • @مريمالشمراني-ظ7ط

    Niremu mwana wa daudi ukaniponye kwa Jina la Yesu amen

  • @HonorathaShirima-so5so
    @HonorathaShirima-so5so Рік тому +1

    Hakuna linaloshindikana kwako Yesu

  • @PendoBanaki-cx5hc
    @PendoBanaki-cx5hc Рік тому +1

    Mtumishi nimeokoka

  • @marklinenguye7091
    @marklinenguye7091 Рік тому +16

    In the Mighty Name of the Lord Jesus,my Father my God remember my entire family, Amen!

  • @fatemajohn3195
    @fatemajohn3195 Рік тому +2

    Ameen ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU

  • @dorcasobanya
    @dorcasobanya Рік тому +1

    asante mungu kwa majabu yako katika maisha yako

  • @AgnesLubisa
    @AgnesLubisa Місяць тому

    Naomba mungu Leo hiii Kwa Imani nipate wateja wakuuzia nyumba Kwa bei ya milion saba au nane Ili nilipe madeni

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 11 місяців тому

    Bwana YESU nakuinua ni wewe peke yako hakuna kama wewe YESU niponye na nniokoe YESU

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 Рік тому

    BWANA YESU naomba unikomboe kwenye maisha yangu famili yanga uchum afya nyumban watoto wangu shule wafunguliwe kielimu Kwa jina la YESU christo amen

  • @IMMACULATEBENEDICTO
    @IMMACULATEBENEDICTO 7 місяців тому

    Ninaomba Bwana Yesu umguse mtoto wangu Mreen aweze kusikia kama ulivyomuumba baba .

  • @lovenesszera9460
    @lovenesszera9460 Рік тому +1

    Asante mungu kwa uzima na afya ulionijaalia mpk sana ninakuona wewe peke yako 🙏🏽

  • @AgnesLubisa
    @AgnesLubisa Місяць тому

    Naomba Mungu afungue Mme wangu juma kama Mimi usingiz ulivyo kata na omba nayeye usingiz ugome atukumbuke na aje sas

  • @IMMACULATEBENEDICTO
    @IMMACULATEBENEDICTO 7 місяців тому

    Bwana Mungu Ninaomba Mme wangu arudi nyumbani tuishi pamoja maana hakunileta kwake kunitekekeza na hali yangu ya udhaifu WA afya maana nami sikupenda kuwa hivi .

  • @AgnesLubisa
    @AgnesLubisa Місяць тому

    Naomaba mungu mama Roz na juma na wafalakanisha na atukumbuke atusamin na aje

  • @dinahbhoke2611
    @dinahbhoke2611 10 місяців тому

    Asante mungu kwakunifungua mungu wangu

  • @emilylyimo8157
    @emilylyimo8157 Рік тому +3

    Bwana nirehemu

  • @margret1717
    @margret1717 Рік тому

    Mwe/mungu nakuomba uibariki Kila hatua zangu kwa kina la yesu kristo aliye hai.

  • @AnnaTubeti
    @AnnaTubeti Місяць тому

    Mungu naomba uwaponye wanangu na mm.. Amina

  • @ashurabae
    @ashurabae Рік тому +3

    Bwana yesu n wewe tu unae yajua maisha uangu hakuna mwana damu ama mtu anae yajua maisha yangu na famila yangu anaomba ukaniondolee roho ya kurudi nyuma kila nguvu za hiza zinazo niandama na zikataa katika jina la yesu nakataa lana za uko kila madhabau yanayo jengwa kupitia ndoto ama maneno ya wana damu usiku huu wa saa saba nina nena uhai nina nena uzima mana n ww bwana uyajuwae maisha yangu hakuna mwana damu awezae kupingana na we jehova na nakataa kila roho zinazo nirudisha nyuma kila nao niwazia mabaya na amin ya kwamba hawatani pata mana upo pamoja nami

  • @JohnMoussamercipourvotre-mu6rg
    @JohnMoussamercipourvotre-mu6rg 8 місяців тому

    Mutumumishi nimepokeys Bwana Yesu Leo Ivi Nikushukuru saana

  • @IMMACULATEBENEDICTO
    @IMMACULATEBENEDICTO 7 місяців тому

    Mungu baba Ninaomba uguse afya yangu ambayo imesanbabisha Mme wangu kunikimbia alisema amechoshwa na hali hii

  • @MorlineGeorge-e2w
    @MorlineGeorge-e2w 3 місяці тому

    Nimempokea bwana yesu❤🙏 Amen 🙏

  • @emilylyimo8157
    @emilylyimo8157 Рік тому +3

    We bwana unaweza

  • @QueenQueengerald
    @QueenQueengerald Рік тому

    Ashukuriwe mwenyezi mungu kupitia maomba haya tumekuwa na usiku mzuri tumeamka salama

  • @jacklinemagere1796
    @jacklinemagere1796 Рік тому +4

    Nakimbilia kwako yesu wangu naomba unisaidie baba.bwana yesu magumu yote nakuletea wewe bwana yesu uyapoke

  • @JonesKapipo
    @JonesKapipo Рік тому +1

    Nifungue kiuchumi yesu

  • @LightnessKomba-m9l
    @LightnessKomba-m9l Місяць тому

    Mungu nikumbuke Mimi leo nipate mume sahii

  • @dinahbhoke2611
    @dinahbhoke2611 10 місяців тому

    Asante kwakumkomboa mtoto wangu kwajina layesu christo

  • @mukamusoniwendy1176
    @mukamusoniwendy1176 Рік тому

    Amen Amen akuna kinaco kushinda BWANA YESU

  • @mtumishisuzanshitemi4145
    @mtumishisuzanshitemi4145 9 місяців тому

    Naomba mtu mzuri wakumuja mungu ilitupatane tuishi pamoja

  • @LevineEmmanuel
    @LevineEmmanuel 8 місяців тому

    Asante mtumishi nimempokea.yes.amina

  • @Kitambalazaina
    @Kitambalazaina Рік тому +1

    Amen ubarikiwe

  • @AncyMerci-un2nu
    @AncyMerci-un2nu Рік тому

    Amina 🙏 MUNGU nina Imani kwamba yote ambao imenishinda Kwako yanawezzkana naamini Kwako nadjuwa unaona yote ninayo pitiya,naimani kwamba kwako notaweza eeeeh Bwana 🙏

  • @vivianatieno7002
    @vivianatieno7002 Рік тому

    Amen.Mungu ondelea mtoto wangu roho ya uwoga na mpe usingizi na amani

  • @SarahKanyeba-gc7ms
    @SarahKanyeba-gc7ms Рік тому

    Bwana yesu kupitia. Hi neno anikomboe kwa onngojwa. Ni
    Miye. Ngoy moni

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 11 місяців тому

    I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I

  • @emmiemmi3861
    @emmiemmi3861 Рік тому

    Yesu nikumbuke na mimi

  • @stellahwangu5193
    @stellahwangu5193 Рік тому +1

    Mtumishi nineokoka leo

  • @dinahbhoke2611
    @dinahbhoke2611 10 місяців тому

    Asante kwakuharibu nguvu zagiza

  • @IRERISIMON
    @IRERISIMON 7 місяців тому

    God bless Pastor Morris nd his ministry...Amen

  • @joharisadi873
    @joharisadi873 Рік тому +1

    Amen amen,naamin yote yanawezekana🙏🏼

  • @BertinaFrancis-v2l
    @BertinaFrancis-v2l Рік тому

    Amina Ee mungu yote yaliyo nishinda, kwako yanawezekana kwa nguvu zako nayakibidhi kwako Amina🙏🙏🙏

  • @ShadrackPhinias
    @ShadrackPhinias Рік тому

    Ubarikiwe mtumishi na kuanzia Leo nimeupokea Nuru ya yesu krito,

  • @SMEDIA298
    @SMEDIA298 Рік тому

    HALELUJAH MTUMISHI WA MUNGU MUNGU AKUBARIKI

  • @margaretmumby2411
    @margaretmumby2411 Рік тому +3

    Amen

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 11 місяців тому

    Asante YESU

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 11 місяців тому +1

    Naomba maombezi ya biashara yangu ya spare zamagari uchumi afya nyumban biashara familia uchumi kibali chaka kazi nyota yangu ingae Kwa jina la YESU kristo amen

    • @FatumaKashindi-l3h
      @FatumaKashindi-l3h 5 місяців тому

      Naomba maombezi kwajili ya ndoa yangu niko mbali na mume wangu kwasasa naitaji Mungu hanisaidie mume wangu hanikute uku naitaji msaada wa maombi kwajili ya ndoa yangu anipe nguvu na moyo wavumilivu nisubiri wakati wake saaiii naomba msaada wa maombi

  • @elizabethnaih5455
    @elizabethnaih5455 8 місяців тому

    Nimeokoka leo Amen

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 Рік тому

    Naomba maobezi ya biashara yanga yaspare zamangari nipate wateja katika dukalangu Kwa jina la YESU christo

  • @HappyjosephMapunda
    @HappyjosephMapunda Рік тому

    Mwana yesu nimponye na maginjwa

  • @TujifunzePamoja
    @TujifunzePamoja Рік тому

    Ubarikiwe na Yesu kwa huduma

  • @susanmutio6682
    @susanmutio6682 Рік тому +1

    Yesu nishindanie

  • @queenmwanzia3283
    @queenmwanzia3283 Рік тому

    Kila roho inayonitesa naomba iniachilie masaa roho ya umaskini madeni talaka kuangaika ufukara magonjwa out 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @PrudenceKavunja
    @PrudenceKavunja Рік тому

    Ninajuwa hakuna kitu kina mushida Mungu najuwa Mungu ataniponya

  • @janetdaniely7945
    @janetdaniely7945 Рік тому +3

    Amen🙏

  • @kitambalazadock7078
    @kitambalazadock7078 Рік тому +1

    Katika maombi haya mungu waponye watoto wangu

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 11 місяців тому

    I receive I receive I receive

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 Рік тому

    I receive I receive I receive I