#TBC
Вставка
- Опубліковано 12 вер 2024
- Fuatilia habari na matukio mbalimbali kwa saa 24 kupitia tovuti yetu, www.tbc.go.tz au App yetu ya “TBC Live” inayopatikana
Play Store (Android): bit.ly/3kYnnsr
App Store (iOS): apple.co/31Yxjta
Tufuatilie pia kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii;
Twitter: / tbconlinetz
Instagram: / tbc_online
Facebook: / tbconlinetz
Hy anajua kuelezea sana na anajua kazi yake nzuri sana sana
Dada upo vzr very elaborative
Nashukuru sana hii elimu nimeipenda. Nikihitaji kufuga ngome nitawatafuta.
Very informative dada
Mashaallah
Tuwekee Mawasiliano ya Mabuki tafadhali
Naomben no ya sim
Boresheni mbegu hio mbegu inayo wonekana sio
Harun iperndimentu
Nikweli Iko powerful Kwa maelezo na mifano vizur hongereni mabukiii nahitaj mbegu ya dume wa nyama na jike mbili za maziwa
Tbc mmeifanya kuwa ya kisiasa Hadi wengi hawaifuatilii
Ngombe WA kienyeji
Tunaomba mawasiliano.
Namna hii sasa ndiyo taswira ya channel ya Taifa inapaswa kuwa. Hii ni shule kwa kuona na kusikia. Heko kwenu. Endeleeni kuboresha. Fikeni vijijini kutoa jamaa. Mfano onesha namna tunafuga kimazoea na kushauri