Ufugaji wa kisasa wa ng'ombe wa maziwa kijiji Wilaya ya Mufindi.
Вставка
- Опубліковано 7 лют 2025
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our UA-cam Channel : bit.ly/itvtanzania
Facebook : bit.ly/2KeQNl3
Twitter : bit.ly/2XG7aii
Instagram : bit.ly/34KItmg
Wanapendeza na hongera kwake maan kabuni mradi bora wenye tija kwa jamii na nchi
Umejitahidi sana upo mbali Big up
Hongera kaka mungu akubariki kwa biashara yako umejitahidi safi sana nimeipenda
Barikiwa sana
Vizuri nimependa
Unauliza maswali mazuri ya msingi🙏
Maziwa mbadala yanaitwa JOSERA
Hiko south mnafanyaje? Na bei zao je?
Maziwa mbala yaliyo mengi no josera ndio tunayotumia
Hongereni sana
Namba mawasiliano ya Mfugaji Ally
Hakika kila.kitu ni elimu , uthibiti, kujitolea na kuwa na mtaji kdg bac
Hasa Elimu,inabeba mambo yote hayo
Mfugaji umetudanganya ikizidi lita 2 anapata minyoo? Sio kweli kabisa
Kajichanganya kidogo labda alimaanisha kuharisha unajua kuhojiwa ni kipaji kikubwa katupa elimu
Anza na kumuuliza kwanza jina
Nahitaji ndama napataje
Nahitaji ndama napataje?
Hayo maziwa mbadala yanitwaje
Nimemsikia mfugaji anasema ndama akinywa zaidi ya lita mbili atapata minyoo, sijaelewa
Ataharisha
Maziwa mbala yaliyo mengi no josera ndio tunayotumia
Maziwa mbala yaliyo mengi no josera ndio tunayotumia
Maziwa mbala yaliyo mengi no josera ndio tunayotumia
Maziwa mbala yaliyo mengi no josera ndio tunayotumia